Hongera sana MHs MBUNGE KISHIMBA UKO Na mawazo muhimu yakipata wasikilizaji wTaokubali kufanyiwa kazi nchi itaamini askari Wa pori
@meshackkamduli8507 Жыл бұрын
Walio kupeleka bungeni mungu awabariki
@gallibmhammed89713 жыл бұрын
Huyu mzee anaongea point sana ukikaa ukiskiliza bunge mara nying utaskia katika mipango yao tufanye hv kama nchi flani walivyofanya wakapata maendeleo hii inamaana nchi itaendeshwa kwa kucopy ya wengne. Hakuna nchi katika hizo walizotaja itakaa waseme tuige Tanzania. Hii inamaana elimu tunacopy kwa wazungu na maisha vilevile tunacopy. Ifikie hatua viongozi wakubwa kama wabunge watunge sheria kutokana na asili yao na maisha halisi ya mtanzania si kucopy kila kitu. Nchi kama China, iran,korea zimepiga hatua baada ya kuacha kucopy 100% yanayotoka nje. Lazma nchi ijiamulie kulingana na watu inao waongoza si kucopy
@philemonaminiel3 жыл бұрын
Huu ni mfano wa kuigwa Wa huyu mbunge mwenye busara na hekima za kuona mbali mdadisi ,lakini cha kushangaza kwenye hili serikali za vijiji bado zunauza mashamba kwenye mapori yenye misitu minene na ulime lazima ukate MTU ndipo upunguze kivuli mmea update kukua vizuri ,au MTU achome miti yote bila faida au apewe Elimu ya kuibadilisha miti kuwa pesa mfano uchomaji wa mkaa serikali ipate ushuru au ichomwe biila faida kipi boraa? Maana vinavyoendelea mshambani nu vitu vya kusitisha sana miti inachomwa bila faida inaonekana tumelizika Sana'a mi mi naungana na mbunge serikali ilasimishe hayo mazao ya misitu kuweka katika magulio ili kuondokana na usumbufu hongera sana mheshimiwa j4 kishimba kwa mawazo endelevu ya kulijenga taifa Katika amani
@nestorymwezimpya40772 жыл бұрын
Kuiga sio tatizo Ila hata biblia inasema ndugu zangu igeni mema musiige mabaya hii yote inasababisha na watawala wetu kutokusima sela na mipango inde haraka
@erickmasunga99392 жыл бұрын
Hawa viogoz hawana huruma na wananch wake hayupo aneumiza akil kuhusu wananch
Big up xana msukuma. Huwa unaongea point kuwazd had hao wanaojiita wasomi
@Ezeakutelevision3 жыл бұрын
Huyu kweli professa
@mwana45992 жыл бұрын
Safi sana Prof. Kishimba.
@deusdeditkapenegele89192 жыл бұрын
Mzee Kishimba KONGOLE unaeleza maisha halisi ya Mwananchi wa kawaida kabisa,wabunge wengine tuige mfano huo,sio kushindana kuonyesha Elimu zenu Bali Uwakilishi wenu Bungeni. ASANTE SANA MZEE MUNGU AKUBARIKI.
@mwalumogomsigwa8562 жыл бұрын
Sheria za TFF afu mtu alisomea London
@frankedwardmhoza66132 жыл бұрын
Jamaan maarifa aliyonayo mzee kishimba inatakiwa ya fanyiwe kazi na wasomi wetu
@petrojohn82503 жыл бұрын
Kuwa na mbunge kama Kishimba ni bahati sana,kahama mmepata mbunge,huyu ni zaidi ya profesor
@habibndyeshobora68482 жыл бұрын
Were Mzee were in Genius sana M/Mungu akutunze!!!! Amiin.
@masoudrashid54802 жыл бұрын
Kwa kweli ikiwa tutapata wabunge wenye maona kama huyu mzee wananchi tutanufaika sana na rasilimali za nchi
@charlesrongo36153 жыл бұрын
safi sana mh kishimba sema watu chache ndo wanakuelewa
@faustinejemsi14883 жыл бұрын
Nani hamuerewi kishimba
@ramadhanmahongole56632 жыл бұрын
Huyu mzee huwa napenda kumsikiliza ana hoja nzuri sana
@faraimangoro9510 Жыл бұрын
Shikamoo Profesa.
@faustinejemsi14883 жыл бұрын
Asante sana kishimba nakukubali
@iddihussein5262 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@selemsigala47712 жыл бұрын
Hakika kishimba hujawai kosea Mungu akubariki🙏
@raufurajabu Жыл бұрын
Nakuelewa sanaaa mzee wangu hawa watalam ni vilaza 2
@kulwahdeusdedith2780 Жыл бұрын
Kishimba Mimi nakupa udoctor michango yako ni bungeni yote inawahusu wananchi hongera sana
@dazk78613 жыл бұрын
Kishimba shikamoo
@jumakivuma5813 жыл бұрын
So intelligent
@kiharasadikiluca93772 жыл бұрын
Sawa mzee uko vizuri ukomakini
@kasililamecksatano73023 жыл бұрын
Pf kishimba namuelewa sana huyu mzeee
@mtagaiwakarungula35472 жыл бұрын
Uko vizuri mkuu
@kabhikachambala33923 жыл бұрын
Ndio. Namwelewa.
@MwalumogoMsigwa14 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉 uyu jamaa
@yohanamlowe704 Жыл бұрын
Daaaa safi sana
@Expedito25122 жыл бұрын
Huyu mzee aliumbiwa busara sana
@alexlingwendu67803 жыл бұрын
Daaa Asee huyu Ni Mtu muhimu saana ktk uchangiaji hoja bungeni.
@jacksonluzwiro93742 жыл бұрын
safi sana kishimba
@yesayamwambu44312 жыл бұрын
Mheshimiwa mbunge unasema vitu vya msingi hongera
@veronicanangale4700 Жыл бұрын
Kahama mtuludishie tena bungeni mhe. Kishimba.😁😄😁😄
@isayayohana63413 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mzee una akili sana babangu
@mshamumohamed83053 жыл бұрын
Huyu mbunge ana akili sana kwa kweli nakupenda sana
@chamwilambomusa44473 жыл бұрын
Anaupigaga mwingii saaaana kishimbaaa
@nrecords72223 жыл бұрын
Da! Ila hyu mbunge anajiamini Sana,ety kwasababu kasomea London 😂😂😂
@LambertNandi-kf3ww Жыл бұрын
Very smart
@wechemoshy4305 Жыл бұрын
Huyu Mh kumwita Professor ni kumkosea adabu Mamlaka za vyuo vikuu vijitafakari watu wa aina hii ndio wanaostahili kutunukiwa Udaktari waHeshima watu wenye mawazo mbadala Xante xana Mh Kishimba
@essauchaula54362 жыл бұрын
Namkubali Sana kishimba anaongea vitu halisi
@MuyaMndiga-pq2gn3 ай бұрын
Huyu mbunge namkubali sana Tena nimzalendo wa nchi hii
@khadijayusuph2634 Жыл бұрын
Yaani kwa kweli kuhuusu mkaa kweli waangalie namna maana wananyanyasika Sana" duhu wanakera saana"na maliasili wanakamata raia wanawanyanganya na wao wanauza 🤔🤔
@wilsonnzowa36202 жыл бұрын
"hatutaki wasomi kuwa polisi"tunataka wasomi wanaotatua matatizo ya wananchi sio wanaogeuka kuwa miungu watu
@plumbingtanzaniaplumber75703 жыл бұрын
Safi
@majidukalugendo47382 жыл бұрын
Natamani sana kuendelea kumsikiliza huyu mzee wetu mhe. Kishimba kuliko kuwasikiza Maprofesa wetu ambao hawaeleweki Elimu zao zinasaidia Nini vizazi vyetu. Our elites must use their education to solve the locally existing challenges. But that is the case wanatuharibia upepo tu. Mzee huyu anaongelea masuala yaliyo ndani mwetu na anatoa suluhisho lakini hakuna aliye tayari kutumia mawazo yake kutatua matatizo kwa sababu hajasoma. MASIKINI TANZANIA, MASIKINI AFRIKA!!!!
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Ni zaidi ya Uprofesa kama Elimu ni vyeti
@odilompilipili7381 Жыл бұрын
Huyu kweli ni msomi
@elispiuselias13392 жыл бұрын
Hamna kitu hapo, gesi yenyewe imepanda ukizuia mkaa mbadala wake itakuwa nin,
@abdonsamson81822 жыл бұрын
Nitakupigia kura mzeee KISHIMBA.
@loitushulyamat2738 Жыл бұрын
Kweli kishimba ni kiboko cha maisha halisi ya watanzania
@renatusaugustine34102 жыл бұрын
Safiiii
@nyambegamatoro68172 жыл бұрын
Waambie hao wahusika wapunguze Bei ya gesi na waongeze usambazaji gesi kupunguza matumizi ya mkaa.
@kilonzokallage61592 жыл бұрын
Waambie hao mzee maana wanatungia sheria zao kwenye magora yenye viyoyozi Utalikuta lijitu limezaliwa na kukulia kijijini lakini leo limejisahau
@isikesamike2 жыл бұрын
Aliyekulia kijijini wala hawezi kutunga sheria ya kijinga hivi. Tunasumbuliwa na vilaza waliokulia kwenye viyoyozi hawajui adha ya watu wa chini. Tuna wasomi ambao hata hawajutambui.
@mekumeku24842 жыл бұрын
Nasema huyu jamaa mpeni uraisi hakika
@immamwandolela68512 жыл бұрын
Unatisha mzee
@machilijuma82032 жыл бұрын
Tunakuamin
@godfreyobadiah78922 жыл бұрын
Suluhu ya kukatwa miti ni serikali kupunguza gharama za umeme mafuta ya taa na gesi, zamani majiko ya mafuta taa yaliokoa miti, mkaa haukuwa dili ilikuwa biashara ya aibu.
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Huyu baba 10000
@henrysangiwa17312 жыл бұрын
Hamjui tu kwamba issue ni wauza gesi wanahitaji soko lao likue kama ilivyo kwenye yard za magari hawauzi now inapigwa marufuku ya kuningiza magari chini ya 2010. Kesi ya uhujumu kukata mti ili wauze gesi ??? Hii nchi jamani
@vascomaguku26052 жыл бұрын
❤️❤️
@godwinmongi52422 жыл бұрын
Mzee Juma haya mawazo Hadi nafurahi kuyasikiliza
@festomlowegypsum82142 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@stephanijeremia3302 жыл бұрын
Da huyu Mzee apewe urais tu
@egidiusthadeo55732 жыл бұрын
Hivi kila hoja zinafanyiwa kazi
@aminitu37662 жыл бұрын
Dah hatar
@albertinamichael61232 жыл бұрын
Hilo bunge darasa la 7 ndoi wenye mawazo .
@yassinhamza19692 жыл бұрын
Akili kubwa huyu mzee
@andrewsam3642 жыл бұрын
Huyu angekua speaker Tanzania tungeendelea maana anafikiria nje ya box
Sehem zingine wamekamatwa wamepigwa faini 50000 Kila ng'ombe Moja.
@oblemongi4195 Жыл бұрын
Yupo mbunge yuleeeee daaa cjui nawaza nn
@bockerbocker8495 Жыл бұрын
Ni heri nimsikilize Mbunge mwenye elimu ya chini kuliko hawa wasomi wakubwa,hawa wanaojiona ni wasomi ndiyo hola kabisa yaa ni hovyo kabisa
@cosmaslunyembeleka251 Жыл бұрын
Uyu jaa ikitokaea Ni Raisi tutatajirika wote. Uiangalia Nyumbu Ni wengi kuliko ng'ombe na mazingira hayana shida. Alafu wanadanganywa na wazungu hawana hata mbuzi.
@gallibmhammed89713 жыл бұрын
Nchi kama china imeamua kuipa hata tiba za asili thamani na leo wanasifika lakin sisi wasomi wetu wa kwanza kupuuza tiba asili na mambo mengi ukipoboresha chako ulichonacho ukataman cha mwingne ni mwanzo wa kukosa maendeleo. Kuna mambo mengi na elim nying ya kiasili kama mtanzania anazikosa kwa kuaminishwa imepitwa na wakat ndo maana inafikia hatua mbunge anasema mashine iondolewe hospital kwa kuona taifa lake linaitiwa aib, hawa ndo wasomi tunapeleka bungeni na vyeti lukuki.
@bayonsileo21553 жыл бұрын
Uko vizuri kishimba
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Tiba asri nitam kuriko vidonge nisum Huyu baba namkumbuka makufuri Huyu baba apemaisha marefu
@selemaniselemani70142 жыл бұрын
Ukifika chuo unafundishwa wizi sasa hapo akisimama mwenye digree hapo angesapot ujinga wakati wanajua kabisa asilimia kubwa watanzania wanategemea mkaa!
@flaviankato16973 жыл бұрын
Duh
@jamhurilibawa65053 жыл бұрын
apewe nafasi akafundishe chuo kikuu huyu ni professor kamilii hakuna longolongo! hivyo vyuo vikuu hamumuoni huyu mbunge kumpa hiyo honorable doctorate?
@mfwimimkemele11563 жыл бұрын
Good
@crissinkala31102 жыл бұрын
Hii nchi kwa upande wa wasomi hatuna kabisa wengi polojo nyingi lkn uharisia wa elimu ni 0+0
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Nyundo hiyo
@machilijuma82032 жыл бұрын
Jamani iv mmesomea nn mawzili@ mnaongeatu tumieni akr jaman
@juliusntandu43022 жыл бұрын
Maproffesa nchi hii wapo wachache sana kama sio Mh. Kishimba peke yake.
@shamteamiry63262 жыл бұрын
Bahati mbaya viongozi hawanamaono
@davidmwita30082 жыл бұрын
Viongozi wetu wanasikitisha, wanajisahulisha waliko Toka, upuuzi kweli EFD na mkaa gunia moja
@bakuzasimon61932 жыл бұрын
Badala ya selikari kutatua keep ya nishati wanazidi kuichochea
@idysimba8816 ай бұрын
Mkaa ni endelevu
@joelmosses9395 Жыл бұрын
Huyu mzee amebalikiwa xaana anaogea point tupu na kwa busala mnooooo,
@emmanuelzao3 жыл бұрын
😎
@kalla4alex1462 жыл бұрын
Wasukuma waanakili kweli kwli vichwa
@machilijuma82032 жыл бұрын
Tulia jbu hoja tumia akr znguka vjjn usisetiwe ;!
@franklawrence54522 жыл бұрын
huyu mzee inabidi serikali ifanyie kazi mawazo yake
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Baba ukosahihi wafunguke nawengine
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
Daaah ukiongea mpk nàmkumbuka rais magufur
@sifamanyori-kf9vq Жыл бұрын
Kwanini mutu abae ajasoma anakuwa navita sana nakwanni serikari mirebe wanatumia Kuni kwanini wasitumie nges kama kwenye maoteri
@LydiaIsangi6 ай бұрын
Siku zote anaongeaga vitu vya msingi
@yuzotv4582 жыл бұрын
😂😂😂😂😂NAIPOKEA KWA MIKONO 3.
@jumaamartin79292 жыл бұрын
DR KUMBUKA
@musamusahshafi14963 жыл бұрын
Kishimba nakuunha mkono uposawa kabisa
@elimenson3150 Жыл бұрын
Kishimba ww ni mashine ya serikali na ccm yote. Sijamuona msomi zaidi yako kishimba mbwa zingine zote ndani ya bunge nikuwaletea matatizo wananchi badla ya kuwatatulia matatizo
@lazarochihoma26632 жыл бұрын
9
@nestorymwezimpya40772 жыл бұрын
Ndo maana tuiomba selikari ikamilishe mapema umeme kutoka bwawa la mwalimu nyelele ili tuondokane na iyi aza lakini kuendelea kuchelewa ni kusababisha jangwa katika hii nchi
@zainabumbondei8635 Жыл бұрын
Unapochangia sipendi umalize bunge lingekuongezea muda namaoni yako wayafanyie kazi