No video

KISHKI KTK ZIARA YA MAKABULI YA MASWAHABA WA MTUME (S.A.W) NA WAKEZE NDANI YA MJI MTUKUFU WA MAKKA

  Рет қаралды 48,315

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 84
@barwani890
@barwani890 2 жыл бұрын
Mashaallah insha'Allah na sie mungu atujaalie tufike yaarab
@salhaali9284
@salhaali9284 2 жыл бұрын
Amin yarrab
@oman7710
@oman7710 2 жыл бұрын
Amiiin Yarabb
@issaali7669
@issaali7669 2 жыл бұрын
Aaamin
@ms_caramel2688
@ms_caramel2688 2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@mwaminifumwadilifu123
@mwaminifumwadilifu123 6 ай бұрын
❤ masha allah pia allah atujaghalia na tuzikwe maeneo hayo❤
@hassanbakar9278
@hassanbakar9278 2 жыл бұрын
Yaarab Tujaalie na Sisi Tuliobak Na Nia Tuweze Kufika huko Kabla Kufariq Amin
@salhaali9284
@salhaali9284 2 жыл бұрын
Amin yarrab
@oman7710
@oman7710 2 жыл бұрын
Allahumma amiiin Yarabb
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Amiin
@bongotwitter5996
@bongotwitter5996 Жыл бұрын
m mungu atujaalie kufika makka inshalla
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 жыл бұрын
ALLAH NASI TUWEZESHE SIKU MOJA TUWE WAGENI WAKO KATIKA NYUMBA YAKO TUKUFU.
@Zzz-fl2gr
@Zzz-fl2gr 2 жыл бұрын
MashaAllah mwenyezimungu awahifadhi na sisi atupeleke tena inshallah. Atutakabalie hajj zetu.
@mouwanahamisi8216
@mouwanahamisi8216 2 жыл бұрын
Masha Allah Afghanistan ametuacha njian😌😌😌 ....shukran mung atujaalie na Sisi tufike Kweny ibada ya hijjah😢
@salhaali9284
@salhaali9284 2 жыл бұрын
Amin yarrab
@khamiskiandiko2965
@khamiskiandiko2965 2 жыл бұрын
Mashaallah natamani sana katika maisha yangu au umri wangu namimi nifike huko inshaallah
@aishakali3082
@aishakali3082 2 жыл бұрын
Allah ummah Sally wa Salim Allah Muhammad wa Allah ally wa Azwajika wa thuriyatihi , Allah atujalie nasi pia tuwahi kufika sehemu hii takatifu insha Allah
@khalidhuwel9458
@khalidhuwel9458 2 жыл бұрын
Amiin
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@salhaali9284
@salhaali9284 2 жыл бұрын
Amin yarrab
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. ALLAHU AKBAR WALILLAHI AL HAMDU. Allah Awarehemu Na Awasamehe Makosa Yao, Nasi Atujaalie Husnul Khaatima Ya Rabb. Allahumma Amiin
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Amiin amiin amiin
@mdmonir3988
@mdmonir3988 2 жыл бұрын
Amiin
@mgazahabibu1596
@mgazahabibu1596 2 жыл бұрын
Mashaalah!!Hakika wote mnaonekana apo wote mnang'aaa wote mna nuru mashaalah hakika kweli huo ni mji mtukufu Yarrab tujalie nasi siku moja tuwe ni wenye kudhuru ktk nchi hii!!
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Amiin Yarabby 🤲
@awadhally1052
@awadhally1052 2 жыл бұрын
Amiin
@issaali7669
@issaali7669 2 жыл бұрын
Aaamin
@tatumzinga7984
@tatumzinga7984 2 жыл бұрын
Allah atujaalie kheir na rizk tutizimize hii nguzo ya tano ya uislam.
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Mashaallaah jazakumullah kheir amiin
@abbyndame5393
@abbyndame5393 2 жыл бұрын
allah awajaalie mwisho mwema in sha llah
@rashidalfan8274
@rashidalfan8274 2 жыл бұрын
mashaallah jazakumullah kheir INSHA'ALLAH nishafika walakin sikuwai kufika Kwa makaburi Ayo INSHA'ALLAH nexts ntaenda this year Allah anipe wepesi nifike kuyazuru bakaburi haya
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
Amiin
@issaali7669
@issaali7669 2 жыл бұрын
Usisahau kutuombea na sisi tuweze kufika huko kwa ajili ya Ibada tukufu Inshaallah.
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 2 жыл бұрын
Mashaallah ila sio mbaya kutuwezesha na sisi ambao hatujaenda hijja wa umra tukaenda inshallah kama pana uwezo
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah Mashelhk wetu Mungu hawape afya njema na umuli mrefu lnshaallah
@frdosr5794
@frdosr5794 2 жыл бұрын
Mashallah tabarakalah!Allah awahifadhi nyote na atujalie mwisho mwema sisi sote InshaAllah
@MikkyKikula
@MikkyKikula Ай бұрын
Allaah. Tujaalie SS waja wake tuweze kufika katika vwanja tukufu
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
Masha Allah, Allah anifikishe kwenye ziara hizi sehemu hii kabla Allah hajaichukua roho yangu, Allah Ummah Amiin
@zabirashzabi2846
@zabirashzabi2846 2 жыл бұрын
Amiin amiin amiin atufikishe sote kabla hajachukua nafsi zetu.
@mdmonir3988
@mdmonir3988 2 жыл бұрын
Mashaa Allah Allah atuwezeshe na sisi Inshaa Allah
@fatemaoman7948
@fatemaoman7948 2 жыл бұрын
Allah awataqabalie ibada zenu nasisis Allah atupe wepesi natwfiq tufike
@jaz9974
@jaz9974 2 жыл бұрын
Allah akbar Mashaallah mashaallah mashaallah
@user-zw6oe9bj9j
@user-zw6oe9bj9j 2 жыл бұрын
Shukran kwa video nzuri lakini jitahidi unapoandika kuchunga usahihi wa maneno kilugha usahihi ni makaburi wala sio makabuli
@jimjam4148
@jimjam4148 2 жыл бұрын
MASHA ALLAH.
@aminamohammed7946
@aminamohammed7946 2 жыл бұрын
Mungu atujalie na sisi tuweze kufika huko
@awadhally1052
@awadhally1052 2 жыл бұрын
Amiin
@aishakali3082
@aishakali3082 2 жыл бұрын
Masha Allah tabarkallah
@aishakali3082
@aishakali3082 2 жыл бұрын
Allah awatakabalie wote mliofika ,nina wapenda wote kwa mahaba makuu masheihk wetu walimu wetu, natafakari tukiwa peponi wote vile tutakua na furaha ziada
@aishafarah2456
@aishafarah2456 2 жыл бұрын
Mashallah Tabaraka Allah
@shuweikhahamad6392
@shuweikhahamad6392 2 жыл бұрын
Mashallah yaallah atujalie na sie tufike makka na sie kwa nia moja kwa iman yaallah tupeleke inshallah Hali ya kua umeturidhia
@MabrouqkimboJuma
@MabrouqkimboJuma 2 ай бұрын
Mashaallah
@noffelsalim830
@noffelsalim830 2 жыл бұрын
Mungu atujaalie nasi tuweze kufika inshallah
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Maaha allah Juma mmanga nimemkubali Kweli ni muandishi wa habari !!!
@tabujuma9046
@tabujuma9046 2 жыл бұрын
Maasha Allah
@nabilally5991
@nabilally5991 2 жыл бұрын
Allahumma Ameen
@hasanisaydi7115
@hasanisaydi7115 2 жыл бұрын
mashaallah
@aminamohammed7946
@aminamohammed7946 2 жыл бұрын
Walaykum salaam waramathulahi wabarakatu
@husseinmgoo3074
@husseinmgoo3074 3 ай бұрын
Ok
@bellasi349
@bellasi349 Жыл бұрын
Sasa uyo mtume gani alipenda mke mmoja sana kuliko mwingîne
@allymwinyi970
@allymwinyi970 2 ай бұрын
Ndugu kumpenda huko sio kwa minajili ya kuwanysnyasa wengine au kucha kuwahudumia ipassvyo. Hapana, inaonyesha Mtume Muhammad anaonyesha kauli au namna ansvyothamin mchango wake katika mafanikio ya utume wake. Hata maisha yetu sisi watu wa kawaida mtu anaweza kufiwa na mke wake mkubwa akapagawa kutokana na nafasi au mchango wa mke huyo na kufikia hatua ya kusema kauli za kufanana na hivyo.
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 2 жыл бұрын
Hain Maan ndug sem yamejengew kabur moja wat wawili
@leylasalim9380
@leylasalim9380 2 жыл бұрын
Kk masawe anaona kiza
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
Wenye dini hao wanadondoka alabi asate sana
@radisafaa6676
@radisafaa6676 2 жыл бұрын
kwani kuenda makaburini kutalii sio dhambi
@kibakombe1020
@kibakombe1020 2 жыл бұрын
Kujengea makaburi sio bid'aa?
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@athaum05
@athaum05 2 жыл бұрын
MAKABULI ndio nini?
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Simumesema makaburi hayajengewi kumbe tuna danganywa sisi huku?
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 2 жыл бұрын
Msikilize shekh vuzuri
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 2 жыл бұрын
@@rehemamejja8342 ingekua ni sauti tupu tungesikiliza lakini hii ni video kila mmoja ameona kama yamejengewa
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
Huyo Mu Afghanistan aliongea nini?
@khubeybjandal7435
@khubeybjandal7435 2 жыл бұрын
Shirk kufanya ziara makaburini
@sheikhfirdaus9857
@sheikhfirdaus9857 2 жыл бұрын
Mchamba wewe
@abubakarngao6549
@abubakarngao6549 2 жыл бұрын
Uwahabi utakuacha uwatupe wazazi wako kama mnyama ndugu wacha kupotoshwa na uwahabi
@husseinmaula5914
@husseinmaula5914 2 жыл бұрын
Sisi tunaenda makaburini haya wewe unatakaje?????
@rajaburamadhan386
@rajaburamadhan386 2 жыл бұрын
@@abubakarngao6549 Uwahabi umefanyj sas na chuk zk
@allywaziry6419
@allywaziry6419 2 жыл бұрын
kuenda makaburini hakuna amayepinga hata huyo aliesema uwahabi hajui lolote.. kudhuru makaburi sio haram ila haramu kuweka utaratibu usiokuwepo huo ndio uzushi na utapingwa milele.. mpaka eid kubwa ndio mkadhuru makaburi mmetoa wapi???
@headthinker2797
@headthinker2797 2 жыл бұрын
Mashaallah
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 53 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 85 МЛН
MAKALA YA JINSI YA KUFANYA HIJJA  - Na Sheikh Nurdin Kishk , 2024
21:44
Dua TV Tanzania (TZ)
Рет қаралды 26 М.
Hivi ndivyo anavyooshwa Maiti.Shkh Al hidhry
12:29
Masjid Firdous Online Tv
Рет қаралды 37 М.
HISTORIA FUPI YA MJI WA MAKKAH NA KA'ABA
9:12
Khery online Tv
Рет қаралды 16 М.
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 53 МЛН