Moja ya watu naopenda kuwafuatilia kwenye KZbin ni huyu kaka very smart na hapepesi na ni ukweli mwigulu na mavunde wanapambana kwa ajili ya kuikwamisha simba
@jumaissa77609 күн бұрын
Kaka munguakujalie maisha malefu unajuwakuongelea mpira
@SaidMana-dp4et9 күн бұрын
Nakukubali kaka unaongea vizuri sana wape vidonge vyao
@hamidudigogo58638 күн бұрын
Yani selfu jinsi ulivyo kua huipendi YANGA Mimi nitakua namba Moja wewe namba mbili jinsi siwapendi utopolo VIBAYA sana siwapendi utopolo
@PerpetuaGadson8 күн бұрын
Sema kaka
@DonatelaSanga8 күн бұрын
😅😅😅😅😅 seifu mngu akuweke kaka unayo yasema niyakwer kabisa ķaka
@omarysonky9 күн бұрын
Seiph nakubali sana
@hamedrashid43568 күн бұрын
Seif toa dawa kaka
@Husna-x1d8 күн бұрын
Jamani tuseme tu ukweli sefu anajua mpira
@honestrymes45499 күн бұрын
Bro upo sahihi sana
@DanielChaula8 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤
@SuzanKameta8 күн бұрын
Huyo ni kiongozi matope Hana akili
@JumaSuleiman-np3eb9 күн бұрын
Uyo japhert inamuuma apo😅😅😅😅
@JohnJoseph-qq7ow8 күн бұрын
Yanga wanapenda kubebwa na mipira ya dhuluma
@siphaelySiphaely-nk7ey9 күн бұрын
Kaka 🙌 unajua mpira sana
@hassanjalikazi67548 күн бұрын
Seff uko sasahihi sana nduguyako napatikana songa batini tanga
@semuhunge23108 күн бұрын
Sawa kaka ndugu yangu songa na maguzoni ni Moja @ seif mipapa
@JohnJoseph-qq7ow8 күн бұрын
Yanga wanabebwa sana aisee huo ndo ukweli
@jumasella-s2k9 күн бұрын
ukweri usemwe watu wanatumia madaraka Yao vibaya mbuge mpina ana mlalamikia sana mnguru kama natumia madaraka vibaya
@Esterkomba-ef7eb9 күн бұрын
Uchawi chuki roho mbaya rushwa.
@MbanoMrage9 күн бұрын
Huu mziki wa seph hakuna shabik wa yanga anauweza. Sio God yanga, Mchome, wala mwalimu wa Yanga
@JamesPaul-o2h8 күн бұрын
Waambie ukweli hao
@Esterkomba-ef7eb9 күн бұрын
Itafikia mahali wachezaji watanzania hawatapata nafasi.
@hamismwami26099 күн бұрын
Mpira umeingiliwa
@why-ir8zl8 күн бұрын
Na mwingine ameongezeka MTANDA RC Mwanza
@swamadujumanne7959 күн бұрын
Ila jafeth kumuhoji huyo jamaa huoni km anakuhalibia platifom yako yaani anachokiongea nimajungu taarabu ushubwada yani mpira umemshinda
@AbuuAyubu-t7c9 күн бұрын
Kumbukeni cocha wa yanga kasema hivi ligi ya bongo mbovu imeidumaza yanga mistake kuviriga maneno yanga wanamatawi yao yakupata ushindi sio siri ni wazi wazi akina dodoma jiji prison singida haaaahaaahaaa utopolo
@semuhunge23109 күн бұрын
@Swamadujumanne pole ndugu yangu Kwa kutojua vitu endelea kujifunza mm @ seif mipapa
@bone1028 күн бұрын
Sasa kama Hujui video za Seif Simba ndo zinaviewers nyng zaidi sasa jiulize wewe kama sio tahira ni nani maana unasemaje anaharibu platform wakati video zake ndo zinaviewers nyng mfano hii ina viewer elfu 5 ndani ya dakika 15 Video za nyuma zinasiku 1 hazijafika viewers elfu 5 kasoro ya Kisugu 😂😂
@bone1028 күн бұрын
Sasa kama Hujui video za Seif Simba ndo zinaviewers nyng zaidi sasa jiulize wewe kama sio tahira ni nani maana unasemaje anaharibu platform wakati video zake ndo zinaviewers nyng mfano hii ina viewer elfu 5 ndani ya dakika 15 Video za nyuma zinasiku 1 hazijafika viewers elfu 5 kasoro ya Kisugu 😂😂