KISUGU CHAMA ALIKUWA MSALITI NDANI YA SIMBA AHENDE TU HUKO YANGA TUMEJIPANGA KUSHUSHA VYUMA KWELI

  Рет қаралды 63,497

SPORTS MAX

SPORTS MAX

Күн бұрын

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Пікірлер: 134
@iddkawozya3714
@iddkawozya3714 3 ай бұрын
Hongera Sana KISUGU tunawaomba viongozi wetu watuachie kocha wetu JUMA MGUNDA
@AkramIbrahim-c8w
@AkramIbrahim-c8w 2 ай бұрын
Wewe Kisugu Mwizi Was Fadhila Inaelekea Wewe Kl CK Unapata Rizki CK Moja Ukikosa Hata Mungu Umshukuru
@SeniSalam
@SeniSalam 3 ай бұрын
Aende tu Simba haiwez kuwa na chama milele,
@BarakaGilbart
@BarakaGilbart 2 ай бұрын
Nimemkubali mwamba kaongea ukweli ilove you simba
@cosfubile7859
@cosfubile7859 3 ай бұрын
Bora chama aondoke tu, nitafurah mno akiondoka tunataka simba mpya hiyo ela anayo taka chama bora mkamchukue feisal.
@ezradaudi7024
@ezradaudi7024 3 ай бұрын
Na Mimi natamani chama aondoke simba maana ameiaumbua simba kwa mda mlefu na ndo chanzo cha kuuza ile mechi ya 5 _1 alihusika % 100
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Kisugu umesema kweli kabisa. Kwanza simba ijayo hatuwataki makocha wa nje. Mgunda moto moto❤❤❤❤🎉🎉🎉👍👍👍👍👍
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr 3 ай бұрын
ninachosema chama msaliti aende safi nimefurahi sana mimi naamini hii simba itafika mbali sana inshaallah
@SadamSarita-t7z
@SadamSarita-t7z 3 ай бұрын
Tawile
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 3 ай бұрын
Waende tu wanatuharbia Tim yetu hawawachezaji tunao waabudu Hawa ndo wanatuharbia Tim yetu ya Simba
@muhurumatiku1226
@muhurumatiku1226 3 ай бұрын
Exactly
@BakaliBakali-r1f
@BakaliBakali-r1f 3 ай бұрын
Nakubaliiiiiiiiiiiiii
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 3 ай бұрын
Kisugu nakupenda sana,ww ni msema ukweli na unajua mpira#SIMBA nguvu moja
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 3 ай бұрын
Chama aende akibaki Simba ataendelea kusaliti team kwa kiburi chake chama huyo aende zake tu huko
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 3 ай бұрын
Tarehe 8 SIMBA day MUNGU akipenda nitakuwepo TAIFA💪💪💪#SIMBA nguvu moja
@AmiryHamza-gs8pp
@AmiryHamza-gs8pp 3 ай бұрын
Chama aende kwani yeye simba inaweza bila chama kikubwa tunawaomba viongozi wetu watuachie kocha wetu juma mgunda atutaki kocha mwingine naselemani matora nae apewe thank you alafu kocha wetu mgunda aletewe msaidizi mwingine
@AkramIbrahim-c8w
@AkramIbrahim-c8w 2 ай бұрын
Chama Amefanya Mengi Simba Leo Hukumbuki Kisugu Usiwe Mwizi Was Fadhila SI Kisugu Simba Wt Msaiwe Wezi Was Fadhila
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Mo Boss wetu Yote kwa yote tafuta majembe na utuachie Kocha wetu Magunda ili waone magoli mwaka huu. Chama nenda salama tu.
@yusufmruma2870
@yusufmruma2870 2 ай бұрын
Simba is bigger than Chama, let him go wherever he wants, let us rebuild our team.
@MsouthChilala
@MsouthChilala 3 ай бұрын
Waambie wengine wanatumiwa chukua mauwa yako🎉
@brownmasai774
@brownmasai774 3 ай бұрын
Kwa midomo michafu kama wa kisugu msimu huu, tutashuhudia wanachama kwa viongozi wakiondoka Simba kwa mamia, ukianza na kisugu mwenyewe.
@Bornwizer
@Bornwizer 3 ай бұрын
HUYO ATAKUA SIO MSHABIKI WA SIMBA 😂😂. AONDOKE TU
@AkramIbrahim-c8w
@AkramIbrahim-c8w 2 ай бұрын
Wana Simba Msipende Kutia Ulimi Kinywani Vibaya Mseme I Na Mazuri Yake Chama Msimshutumu Kwa Mabaya Mchezaji Sio Mwanachama Anachagua Anapotaka Kwenda
@BakaliBakali-r1f
@BakaliBakali-r1f 3 ай бұрын
nakubaliiiiiiiiiiiiii mm Simba dam dam kaka kisugu
@albertvalentino130
@albertvalentino130 3 ай бұрын
Jiandaeni na vipondo tu --- hamna timu ninyi.
@mr.lawimagupa3914
@mr.lawimagupa3914 3 ай бұрын
😅😅😅😅😂Team mnayo nyie ambao hamjawahi kosa ubingwa tangu utopolo ianze
@galosmsangawale3830
@galosmsangawale3830 3 ай бұрын
Kila mwaka anasajiliwa yanga alafu kapewa mwaka mmoja why?
@paschaziaalobati9946
@paschaziaalobati9946 2 ай бұрын
Umesema ukweli kisugu moyo wa mwana Simba ni Simba mchezaji anaungwa mkono kwa kucheza vzr
@abdulhalimsalim1386
@abdulhalimsalim1386 3 ай бұрын
Bravo kisugu wape ukweli hao chama chama uto washazoeya kula matapishi ya simba
@hamisiabdallah6961
@hamisiabdallah6961 2 ай бұрын
Tuko pamoja kisugu chama ninani wamepita wakina okwi mafisango sembuse chamba
@MfaekaMwiyi
@MfaekaMwiyi 2 ай бұрын
Hongera Sana Sana kisugu
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 2 ай бұрын
Aende zake huko,hatumutaki hyo Chama aende tu
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 3 ай бұрын
Mbona mechi 50 goli moja bado yupo
@WestonMbadame
@WestonMbadame 3 ай бұрын
Chama ni Nan walikuwepo wachezaji wakubwa wamepita nae aende tuu
@saidsalum6101
@saidsalum6101 2 ай бұрын
Huyu dada sijui nimtangazaji wakituo gani cha habari maana hajui kabisa kuhoji anahoji kama mshabiki anaizalilisha kazi yake nawaliyo mpa kazi
@muyongahassan2188
@muyongahassan2188 3 ай бұрын
Chama nimchezaji mzur anawez kwend time yoyote mpira ni biashara
@jamalhussein3435
@jamalhussein3435 3 ай бұрын
Simba nguvu moja tu waende zao kuma ndegerez KISUGU i love your speech wape ukweli wao as we SIMBA IT'S BIG CLUB THAN EVERYONE IN EAST AFRICA
@FelixZelote
@FelixZelote 2 ай бұрын
Isiwe maneno iwe kweli
@MickJ-kv7iv
@MickJ-kv7iv 3 ай бұрын
Max Lengo ni chama wanane
@dismascosmas7860
@dismascosmas7860 3 ай бұрын
Chama sio simba mwache atembee watauza jezi tu mafanikio zerooòooo
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 3 ай бұрын
Kumng'ang'ania Chama ndani ya Simba SC ndio kumeibomoa klabu ya Simba SC.
@PhilomenaSteven-x9h
@PhilomenaSteven-x9h 2 ай бұрын
Midomo yenu michafu iyo ndomana wachezaji wanaondoka kusaliti nini mbona ulipigwa nje ndani km ulisalitiwa labda na mkeo 😂😂😂😂
@paschaziaalobati9946
@paschaziaalobati9946 2 ай бұрын
Alafu Simba hatuna ubinafsi kama wenzetu
@antonicyprianmsamati8819
@antonicyprianmsamati8819 2 ай бұрын
Hamna mchezaji mkubwa kuliko Simba
@JoelyEmmanuel
@JoelyEmmanuel 3 ай бұрын
Boss ajitaindi aboreshe timu
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks 3 ай бұрын
Sizitaki mbichi hizi MANENO ya sungura anapokosa jambo
@hamisiabdallah6961
@hamisiabdallah6961 2 ай бұрын
Nasisi hatuchukui uchafu kutoka kwa wachafu pumbavu zao
@MichaelKulonzya
@MichaelKulonzya 3 ай бұрын
Aende tu wanini Simba the big team
@MalikiKavindi
@MalikiKavindi 3 ай бұрын
Waandishi hawa wanafiki sana kama makota vile
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 3 ай бұрын
Yaani chama ni kama Imonga, utofauti ni kwamba, Inonga alikua ameihujumu Simba wazi wazi wakati Chama alikua anahujumu kichinichini na hadhareni.
@Elphas-gl5lg
@Elphas-gl5lg 3 ай бұрын
Kisugu unaongea point kwer kwer
@IssaOmary-r7h
@IssaOmary-r7h 3 ай бұрын
Chama yanga daima mbele nyuma mwiko
@JeckaNobeth
@JeckaNobeth 2 ай бұрын
Chama hatumtaki mda wakuchezea Simba umekwish aende kwa majirani nao wakutane na gori tano
@Istqamagrapher
@Istqamagrapher 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 sw bro umezaminia🤗
@JonathanMgaiwa
@JonathanMgaiwa 3 ай бұрын
Simba ipo tangu miaka kibai huyu chama ana miaka 5 tuu simba aende huko alikokuwa anapokea hongo. Huyu mwandishi pia boya tuu wakala wa utopolo
@ashakusiluka9217
@ashakusiluka9217 3 ай бұрын
Chama akweendee huko kwani yeye nani
@AdamSaidhangolwa
@AdamSaidhangolwa 3 ай бұрын
Upo sahihi kisugu
@zainabuBotto
@zainabuBotto 2 ай бұрын
Wakwanza chama msariti
@DidreAndrea
@DidreAndrea 2 ай бұрын
Wambie awo adi wakome simba nitaipenda adi nakufa ❤❤
@tuweniomary4232
@tuweniomary4232 3 ай бұрын
Eti namchukuru mwenyezi mungu
@mzeebabumzee
@mzeebabumzee 3 ай бұрын
nini chama kaondoka mtoto wetu mkude tena wa kumzaa sembuse uyo mtoto wa kambo mwache aende chama nani kaseja okwi ajibu amisi tambwe na wengitu mwache aende tena fasta
@benjamanigabriel3349
@benjamanigabriel3349 3 ай бұрын
Jamn na aende hawa ndo waliotuhujumu kwenye zile tano. Tukiendelea kumng'ng'ania atazid kutufelisha .viongoz nawaomba watujengee tim bora chama nenda utakapo baba ila siyo simba please
@CastoUgo
@CastoUgo 3 ай бұрын
Muacheni. Jamaani anaumia Na chama wake 😂😂😂😂😂 Tuna muweka bench chama. Wenu apati number pale ..😂😂😂 sema Tuna wakomoa.makolo..pumbavu zao 😅😅😅😅😂
@dismascosmas7860
@dismascosmas7860 3 ай бұрын
Aoondokeeeee tu
@zainabuBotto
@zainabuBotto 2 ай бұрын
Sense chama Nani kwani wameondoka watu shembuse wewe
@HolelaJohn
@HolelaJohn 3 ай бұрын
Aende aendako , sio kila siku yy tu. Who is he?
@nassoroathuman5161
@nassoroathuman5161 3 ай бұрын
Kwan dd umetumwa nn mbn umekua nausenge fulan hiv
@thomaskitemi3283
@thomaskitemi3283 3 ай бұрын
Wewe nawe kazi kuandama wachezaji badala machawa viongozi ndani ya simba
@dstaroficial
@dstaroficial 2 ай бұрын
Masnich hao
@petro8010
@petro8010 3 ай бұрын
Kwa kikosi cha kina Jobe hiki ndo urudishe vikombe
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 3 ай бұрын
Chama nani aende tu kashazeeka
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk 3 ай бұрын
Mmmm mdomo unalipa kwakweli
@MeksonyJoseph
@MeksonyJoseph 3 ай бұрын
Hahahaha ime penya hiyooo tulieni tume waporaa
@ommymp9058
@ommymp9058 3 ай бұрын
Mchezaji Yuko huru mkataba umekwisha,hujapora bado
@LinusKyando
@LinusKyando 3 ай бұрын
TUNASHUKURU MMEONDOA WASALITI UCHWARA MMELETA WASALITI KWELI
@theonasmkoba6121
@theonasmkoba6121 3 ай бұрын
Huyu mtangazaji ni bure kabisa
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 ай бұрын
Badala umtakie heri raisi wako wa heshima mo dewji unamtia nuksi mama etu na meno yako machafu yasiyojua mswaki na colgate
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 2 ай бұрын
Mgunda Hana mbinu
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 ай бұрын
Ooh Yanga hawana hela ya kumnunua chama sijuwi kibu haya kiko wapi?? Tajiri kavaa hadi taulo kama kipindi kile lakini wapi mpunga haujatosha...chama kashusha hadi dau lakini wapi. Tushajua sasa kumbe GSM ndiye tajiri wa ukweli...chama kawaweka madunduka na tajiri yao ooh sorry bilionea wao vikao 10 lakini wapi
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 3 ай бұрын
Wamesubiri mpaka amalize mkataba
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 ай бұрын
@@DeusiMorisi kama timu aliyokuwa anachezea walivyosubilishwa hadi amalize mkataba
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 3 ай бұрын
Maduka yabomolewe
@ShabaniMussa-f3k
@ShabaniMussa-f3k 3 ай бұрын
Uongo
@Niika870
@Niika870 3 ай бұрын
Tatizo Simba hatuna msemaj, semaji wetu anazidiwa na propaganda za Yanga achangamkeeeee
@josephchales6478
@josephchales6478 3 ай бұрын
Wewe kisugu mwehu kwr wachezaji muhimu tegemezi mnatoa mnaleta wapya kuja wakaungane ni leo yani nyie
@HildaRugee
@HildaRugee 3 ай бұрын
Hao walioungana wametufikisha wapi '
@SudibillyKatembo
@SudibillyKatembo 3 ай бұрын
Simba nikúbwa kuliko mchezaji hizo pesa anazotaka chama akazifuate yanga tuu,Wacha bilionea aijene timuuu
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 3 ай бұрын
Bilionea anashindwa kumpa bilioni chama ili abaki
@user-princs
@user-princs 3 ай бұрын
Nikweli wanavunja vunja kuja kuunganika sio Leo!!! Kuunga tumu inachukua muda Sio kitu Cha Siri inajulikana acha wapayuke
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 3 ай бұрын
Chama ni Msumbufu pale ni bora kuanza upya
@YussufKhamis-n4c
@YussufKhamis-n4c 2 ай бұрын
Bado na wewe .
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 3 ай бұрын
Achape mwendo
@rahplenyengerahplenyenge722
@rahplenyengerahplenyenge722 3 ай бұрын
Kisugu wewe ni ndume lakini unapenda kumusiviya uyu mujiga anaitwa samiya
@jamalhussein3435
@jamalhussein3435 3 ай бұрын
Wewe una mtaja mama wetu ana husika na nn wacha upumbavu usa your brain sisi tunaogea mambo ya mpira Samia ame tokea wapi kama huna story shut up your mouth
@IsaacPhilemon-mt7bk
@IsaacPhilemon-mt7bk 3 ай бұрын
Kisugu umeongea vzr sana tena sana,hongera,❤️❤️,wachane na hao wachambuzi hewa.
@WestonMbadame
@WestonMbadame 3 ай бұрын
Chama ni Nan walikuwepo wachezaji wakubwa wamepita nae aende tuu
@petro8010
@petro8010 3 ай бұрын
Kwa kikosi cha kina Jobe hiki ndo urudishe vikombe
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 3 ай бұрын
Jobe Thank you inamuhusu
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 ай бұрын
Nendeni katengenezeni timu, watu wanamalizia kuijenga timu yao, mwaka wa nne unakuja.
@LassonDominick
@LassonDominick 3 ай бұрын
DAAAH KUNA POINT HAPO YA MAANA NIMEIKUBARI!!!!!!! AMBAYO NI----"WAANDISHI WANATUKOSEA HESHIMA SIMBA---" YAANI HY NI KWERI BILA CHENGA! waandishi wanatoa hoja za kijinga sana kuhusu SIMBA 😅😅
@WestonMbadame
@WestonMbadame 3 ай бұрын
Chama ni Nan walikuwepo wachezaji wakubwa wamepita nae aende tuu
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 3 ай бұрын
Chamaa ameingia tamaa siyo desturi ya wazambia ameiga tabia za kiswahili sasa amepotea
@JeckaNobeth
@JeckaNobeth 2 ай бұрын
Simba ni nguvu moya nanguvuhiyo mo,dewij,asante kwa kubomoa na kujenga naamini wanna simba tutafurahi na tutashangiria kwa furaha
@SadamSarita-t7z
@SadamSarita-t7z 3 ай бұрын
Naamini chama kama ataenda yanga hatocheza raund2 atagwa nakitu kixito naatapigwa nakitu kixito kama manara
@vitalismakyaohamnakitu1714
@vitalismakyaohamnakitu1714 3 ай бұрын
We chupi tu
@SadamSarita-t7z
@SadamSarita-t7z 3 ай бұрын
Nipo palee👉
@ashakusiluka9217
@ashakusiluka9217 3 ай бұрын
Kabisaaa
@SadamSarita-t7z
@SadamSarita-t7z 3 ай бұрын
Anaixumbua sana Simba naitakua yeye ndoanatoa xiri za Simba
@JacobKapinga-x5z
@JacobKapinga-x5z 2 ай бұрын
Kisugu nakukubali
@GodPetro
@GodPetro 2 ай бұрын
chama nenda inatosha hatukuhitaji tena wape hii uto
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 3 ай бұрын
Walikuwa wasaliti kama yuleee wacha wamfate
@FumaoFumao-d8w
@FumaoFumao-d8w 2 ай бұрын
Tuko pamoja
@ayubuchaula7187
@ayubuchaula7187 3 ай бұрын
Aende tu
@KATEGILEMABADA
@KATEGILEMABADA 3 ай бұрын
Simba tungefadhaika iwapo Chama angeondoka pasipo kuisaliti timu yetu
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 3 ай бұрын
Medy kagere alipendwa sana Simva ila yuko wapi leo na huyo Chama ndo anaenda kuishaaaaa
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 3 ай бұрын
CHAMA na INONGA ni miongoni mwa wasaliti,acha waende hatuwezi kuendelea kuwakumbatia wasaliti#SIMBA nguvu moja
@nassoroathuman5161
@nassoroathuman5161 3 ай бұрын
Yan wachambuzi wabongo ni hovyo sana nani alimju chama kabla yasimba kumleta tz achen propoganda kuangalia mnchokipewa simba walikuja wengi na wameondoka iwechama ss siokama wale waliochoma jezi ss niwaungwana sana chama aliitumikia simba namudawake umeisha tafuten mengine haya yachama yatawapotezea muda haswa ww baamed imetumwa ww sio mwandishi ww nichawa
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 3 ай бұрын
Nbc ili tuchukue lazima TFF Wabadilishe sheria mdhamin wa team wasidhamin team zaid ya mbili.vinginevo kuna uhujum wa mechi.
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 ай бұрын
GSM hadhamini madunduka na bado mkapigwa goli 7....acheni makelele tengenezeni timu...Azam anadhamini ligi nzima ila bado Yanga bingwa acheni visingizio
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 ай бұрын
Mna ukubwa gani hata nusu fainali CAF....baada ya chama kusepa mmekuja ni kwamba amejisafisha mwenyewe maana timu yenu ilikua inamchafua na matokeo mabaya
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 3 ай бұрын
Wana SIMBA tupo pamoja sana na big boss MO na management yake yote💪💪💪#SIMBA nguvu moja
@Elphas-gl5lg
@Elphas-gl5lg 3 ай бұрын
Kawaida ya Simba kionesha wachezaji wa viwango ndo yanga anawapata hapa simba
@JoelyEmmanuel
@JoelyEmmanuel 3 ай бұрын
Waende tuu chama chama ni mungu sasa ameenda mbona hatujafa mbona
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 15 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 87 МЛН
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 14 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
MCH. MSIGWA ATOA SHARTI LA KUHAMIA CHAMA KINGINE
7:00
NURU DIGITAL TV
Рет қаралды 4,3 М.
MKE WA JIRANI PART { 2 }
15:24
DIRECTOR GOZI
Рет қаралды 138 М.
Simba 2-0 Yanga | Highlights | NBC Premier League 16/04/2023
21:27
KISUGU ASEMA UKWELI KILICHOWAONDOA CHAMA NA INONGA
17:10
SPORTS MAX
Рет қаралды 7 М.
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 15 МЛН