KITALE LAINI MOJA - TRINITY

  Рет қаралды 32,089

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Join this channel to access its benefits:
/ @biblianuruyadunia

Пікірлер: 98
@clakbiz3331
@clakbiz3331 Жыл бұрын
Mwl ndacha kazi nzuri hila jalibu kuita mjadala na mch paul semba . Kuna majina ambayo yana wingi katika lugha ya kiebrania ambayo ni matatu ambapo watu walio kuja kutafsili katika luha ya kingeleza mawili waliyatafsili katika wingi wake mfano waters na heavens ambalo sote tunajua hakuna wingi wa water na kwenye kiswahili baada ya kutafsili wao waliamua kutoa wingi huo na kuandika katika umoja ambao ni maji. Kwahiyo hata neno mungu lilishindwa kutafsiliwa katika wingi wake kutoka lugha yake ya asili. Asante sana napenda masomo yako . 6:49
@QuickBaby-o3i
@QuickBaby-o3i 2 ай бұрын
Amen amen ak umenifundisha kabisa kuanzia Leo nitakuwa nikimwabudu mungu siku ya sabato maana nimejua kweli nayo kweli imeniweka huru
@juliusnyaga5949
@juliusnyaga5949 Жыл бұрын
Hapo kwa ndio ndio au la la bwana Ndacha umewezwa. Yesu alinyamaza.
@countercheck887
@countercheck887 Жыл бұрын
Mwalimu Ndacha Mungu akubariki na akulinde 🙏🏼
@fedytemba7541
@fedytemba7541 11 ай бұрын
Ooooh mwalimu we pia hauamini katika nafsi tatu za Mungu mmoja?
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 Жыл бұрын
Barikiweni sana watumishi kwa kazi hii ngumu mnayo ifanya🙏🙏
@MichaelAbel-s4r
@MichaelAbel-s4r 6 ай бұрын
Roho ya Mungu na Roho MT ni nafsi mbili shauri Moja. Amen
@KelvinIrungu-e6r
@KelvinIrungu-e6r 7 ай бұрын
nikiona mkutano kama huu wanaume ni wengi kushinda wanawake huwa nafurahia sana kwa sababu sio rahisi wanaume kama hawa kukusanyika waskize injili. very strong teachings
@fedytemba7541
@fedytemba7541 11 ай бұрын
Usiitumikie dini mbali mtumikie kristo yesu
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Жыл бұрын
Kweli hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu😮😅😅😅😅😅
@ezekielmwamba9106
@ezekielmwamba9106 Жыл бұрын
Amen Amen Amen barikiwa sana mtumishi Ndacha. Maraika wa Mungu wako na wewe kila uendapo jinsi Roho anakuongoza kutumia Bibilia.
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 10 ай бұрын
Amen sana
@MichaelAbel-s4r
@MichaelAbel-s4r 6 ай бұрын
Usitake kujibiwa Kwa akili yako , 1kor 2:10--15 .Amen
@ViviansDavis
@ViviansDavis 6 ай бұрын
God bless you Ndacha
@gracebaptistchurch2129
@gracebaptistchurch2129 Жыл бұрын
Ole wenu, ninyi mnaokubaliana na mafundisho hayo. Utatu wa Mungu ni fundisho la kweli. Roho Mtakatifu ni Mungu. Matendo 5:3,4.
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA Жыл бұрын
Kuja uwasaindie
@patrickmaina9085
@patrickmaina9085 Жыл бұрын
unaonekana wewe ndie huelewi kwana inasema Roho mtakatifu sio mungu Roho kisha soma 4 usikie inamtaja mungu ulindanganya mungu sio mungu Roho wewe nn
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 Жыл бұрын
Ni roho mungu mwingine ama ni roho wa mungu hatawewe ni bure kabisaa
@masanjasabanja3789
@masanjasabanja3789 Жыл бұрын
JE ROHO MTAKATIFU NI MUNGU? MWANZO 1:1-2 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. UFAFANUZI KITABU ELIMU YA KWELI SURA YA 14(SAYANSI YA BIBLIA) UK 105 Lakini yeye atakapokuja huyo Roho wa kweli ,atawaongoza awatie kwenye kweli yote .Yohana 16:13.Ni kwa msaada wa Roho huyo tu ambaye mwanzo alitulia juu ya uso wa maji kwa neno ambalo vitu vyote vilifanywa ya nuru halisi iangaziayo kila mtu ajaye ulimwenguni ndipo ushuhuda wa sayansi waweza kutafasiriwa kwa usahihi.ni kwa kiongozi wake tu ndipo kweli zake za kina zaweza kufahamika TUAMAINI LA VIZAZI VYOTE SEHEMU YA PILI SURA YA 73, UK 281 PAR 2, 3 Kabla kristo hajajitoa kuwa kafara ya wenye dhambi ,alitafuta zawadi mhimu na kamilifu kwa ajiri ya wafuasi wake ,Zawadi ambayo itawaletea rasilimali zisizo na ukomo za neema alisema nami nitamwomba Baba, naye atawapa msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele; ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu. sitawaacha ninyi yatima; naja kwenu.(Yohana 14:16-18) Kabla ya hili Roho alikuwepo ulimwenguni ,Tangu mwanzo kabisa wa kazi ya ukombozi,alikuwa akitenda kazi ndani ya mioyo ya watu .lakini wakati kristo alipokuwa hapa duniani wanafunzi hawakuwa na haja ya mfariji mwingine .hata atakapokwisha Kupaa ,Ndipo watajisikia wanahitaji Roho ndipo atakapokuja.Roho mtakatifu ni mwakilishi wa kristo .lakini asiyekuwa na hali ya kibinadamu na hivyo huru SURA YA 73,UK 284 PAR 2 Roho anayekuja ana uwezo wa kuhuisha upya maana pasipo huo ,kafara ya Yesu ingekuwa bure .uwezo wa uovu ulikuwa ukiongezeka karne hadi karne na utiifu wa watu kwa vitendo viovu ulikuwa unashangaza. Dhambi ingeweza tu kukabiliwa na kushindwa kwa kwa uwezo wa nafsi ya tatu ya utatu mtakatifu ambayo ingekuja katika uwezo tele wa uungu Roho huwezesha mambo yaliyokamilishwa na mwokozi wa ulimwengu.moyo hutakaswa kwa uwezo wa Roho mtakatifu ,kupitia kwa Roho mtakatifu waumini huwa washiriki wa asili ya uungu. MWANZO 1:26-27 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. 1 YOHANA 5:8 Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. MATHAYO 28:19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; MATENDO 5:1-5 Lakini mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza mali,akazuia kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe naye akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa mitume Petro akasema, Anania, kwa nini Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu, na kuzuia kwa siri sehemu ya thamani ya kiwanja? Kilipokuwa kwako, hakikuwa mali yako? Na kilipokuwa kimekwisha kuuzwa, thamani yake haikuwa katika uwezo wako? Ilikuwaje hata ukaweka neno hili moyoni mwako? Hukumwambia uongo mwanadamu, bali Mungu. Anania aliposikia maneno haya akaanguka, akafa. Hofu nyingi ikawapata watu wote walioyasikia haya JE YESU NI MUNGU? YOHANA 1: 18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. WAFUNDISHE WATU UKWELI ACHA KUDANGANYA
@fredrickmugo7221
@fredrickmugo7221 Жыл бұрын
Dacha for your kindness tunasumbuli mafuzo kuhusu epiphany juu wako kwenye bilbe
@georgeisrael5990
@georgeisrael5990 Жыл бұрын
Mwalimu ndacha, ubalikiwe kwa kazi unayofanyia mungu. Wengi wakudharau sababu ya ukweli wa ufafanusi wa biblia. Nakuombea sana siku moja huwe kanisani mwetu
@yvonnesarah3534
@yvonnesarah3534 Жыл бұрын
Thank for ua teachings biblia nuru ya dunia
@Shilurofficial
@Shilurofficial Жыл бұрын
Barikiwa Ndacha ...being an Advent forever...
@johnsonogendi2066
@johnsonogendi2066 Жыл бұрын
Hi
@fredrickmugo7221
@fredrickmugo7221 Жыл бұрын
dacha ni mkweri kabsa kwanza hapo kw Christmas tuepuke kabsa .... epiphany huwa Wana celebrate Christmas January
@stanleymulama7811
@stanleymulama7811 Жыл бұрын
napenda ujumbe huu..Mungu azidi kuwapa neema na ufahamu na awalinde..watu waokolewe kwa Kweli
@samsonndege2833
@samsonndege2833 Жыл бұрын
Karibu kanisani
@jimmybiko7629
@jimmybiko7629 Жыл бұрын
Ushuhuda ni 10 commaments Ushuhuda wa yesu ndio roho ya unabi Tofautisha "ushuhuda" na "ushuhuda wa yesu"
@everlynenanjala9747
@everlynenanjala9747 Жыл бұрын
Hallelujah bwana yesu asifiwe ,Niko kitale nimebarikiwa
@ezekielmwamba9106
@ezekielmwamba9106 Жыл бұрын
Amen
@paulocharo7780
@paulocharo7780 Жыл бұрын
Amina.
@johnsonogendi2066
@johnsonogendi2066 Жыл бұрын
Pia Mimi Niko kitale
@samsonndege2833
@samsonndege2833 Жыл бұрын
Karibu kanisani
@peteramwai2858
@peteramwai2858 Жыл бұрын
Amen mtumishi kumbe tumepotozaa sana 🙏🙏🙏
@Nancybosibori-sz5nb
@Nancybosibori-sz5nb 9 ай бұрын
Mm nami ninawaongesea masomo zaburi 16:11 mhubiri 3:1 mathayo 16:10,14-17
@thierrynduwimana48
@thierrynduwimana48 Жыл бұрын
Ubarikie
@johnkimani-vm8vn
@johnkimani-vm8vn 8 ай бұрын
Ndacha wape habari
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
Sio saut ya Mungu acha uongo
@casaica2993
@casaica2993 Жыл бұрын
Trinity kumbe ata ni funzo linaweza kaisha hii mwaka
@Affordable-cars-z4o
@Affordable-cars-z4o 7 ай бұрын
Mwalimu dacha wachana na huyo Shaitan
@mathewwafula3689
@mathewwafula3689 Жыл бұрын
Mungu ni Yule Yule tangu zamani na hata leo milele na milele habadiliki kamwa yesu asifiwe
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
Ambaeni Yesu au
@happyfuraha7587
@happyfuraha7587 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mwalimu ndacha
@franciswanjiru7472
@franciswanjiru7472 10 ай бұрын
Ruiru mtu anaeza toa wapi
@johnjuma7578
@johnjuma7578 Жыл бұрын
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
Wakrito poleni sana ila mtaelewa
@YvonnePriya
@YvonnePriya Жыл бұрын
❤❤
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 Жыл бұрын
Muisraeli amejichoma mwenyewe kwa wakolosai 🤣🤣🤣
@RamadhankarisaKatotikalu-qr5vb
@RamadhankarisaKatotikalu-qr5vb 6 ай бұрын
Huko ndio kuchanganyikiwa kwenu ninyi wofu kwamafundisho yenu yasiyo kua na mwelekeo wahata ninyi wenyewe kutoelewa maandishi na hamjui hio ndio sababu ya mwenyez mungu kuiteremusha qoroan tukufu yenye mafundisho yakweli yenye kueleweka na wenyekuisoma
@mush337
@mush337 Жыл бұрын
Niko na swali mtumishi ndacha, wakati yesu alisema atatuma msaidizi je huyo msaidizi ni roho mtakatifu ambaye ni roho wa mungu?Kwa hivyo yesu alituma mungu mwenyewe lakini roho wake asiyeonekana?
@ezekielkoech3460
@ezekielkoech3460 Жыл бұрын
learning alot...thanks
@HezronKanake
@HezronKanake 8 ай бұрын
Ukisoma Desire of Ages page 671.2 Inatueleza vema kuhusu kazi ya the third person of the Godhead ya kwamba bila yeye hatuwezi kufaulu kwa hii issue ya dhambi. Ukisoma kumhusu Yesu ni kwamba hakuomba maisha kwa Baba.Ina maana Yeye ni self existent kama Mungu Baba alivyo (Bible commentary volume 5 page 1130.3 ; Selected messages 296.2 ;signs of the times,april 8 , 1897 page 61 and many other references. mimi binafsi siamini yeyote kando na Mungu wa milele aliumba dunia.Ndio maana Yesu alifanya hivyo akisaidiwa na Baba na pia Roho alikuwapo kama wakolosai inavyosema. EGW alimuuliza Yesu kama vile Filipo alivyomuuliza kama Baba anamfanana yeye akajibiwa ndio.Na yeye anatuambia ya kwamba pia Roho wake yu vivyo hivyo( life sketches 88 page 230.3) EW 54.2.....So tusijihatarishe kumkataa Roho
@adventsoundtv
@adventsoundtv Жыл бұрын
Ndacha kuwa watu wanakushabikia na kukupungeza mitandaoni. Wanakudanganya ili upotee, halafu wewe unadhani ni watu wazuri, jihafhari sana. Utaaibika mwisho wa safari. Naona kwa uwazi kabisa unaelekea pabaya. Umeanza kukana uwepo wa Roho Mtakatifu kama nafsi ya Uungu. Kisha ukaanza kukana Uungu wa Yesu wa asili ukadai kakopeshwa Uungu, Kisha ukakana kuwa hakuwepo milele. Kifuatacho Utakana uwepo wa Mungu kabisaa na kuwa infidel. Nakutahadharisha tu.
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA Жыл бұрын
Hiyo inaitwa kelele bro...kama ujasikiza mafundisho kaa kimia
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Жыл бұрын
Wewe umekurupuka kuandika nadhani husikilizagi kitu mwalimu hufundisha😊😊😊😊😊😅😅😅😅😅
@Ndocha_Locha
@Ndocha_Locha Жыл бұрын
True
@KelvinIrungu-e6r
@KelvinIrungu-e6r 7 ай бұрын
@@BIBLIANURUYADUNIA mwalimu ndacha uko na vitabu in pdf format unitumie nizisome.Am willing to buy
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 Жыл бұрын
Haya wakristofa munaendelea kubishana wenyewe Kwa wenyewe haya sisi tupo pembeni mukimaliza njooni kwenye dini ya haki uisislamu hauna kupinda pinda eti miungu mitatu miungu miwili watatu ni roho tutajifunza Nini wenyewe Kwa wenyewe munabishana arafu anasifiwa mutu eti ndacha ubarikiwe potezaneni kiama kipo
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
waislam tumeongea sana na imani ya utatu kwamba ni jambo ambalo halipo bora ndacha uje uwazindue wenzio
@mohdmud194
@mohdmud194 Жыл бұрын
Luka 3:22 ....sauti ikasikika kutoka mbinguni wewe ndiwe mwanangu mpendwa wangu nimependezwa nawe Sasa ndacha twambie wewe una waungu wangapi? Siku zote ukipiga kelele yesu mungu leo unatwambia hiyo sauti ndio ya mungu kutoka mbinguni na yesu apo sio mungu Kwanini ukidanganya watu siku zote kuwa yesu mungu alaf Leo unamkana kabisa kuwa yesu si mungu
@wycliffemengo1739
@wycliffemengo1739 Жыл бұрын
stagnate water or flowing water which is the correct one for baptism. and why?
@MaryamMaryam-n1v2e
@MaryamMaryam-n1v2e 8 ай бұрын
Mbona husemi wa israel ni wa pinga kiristo alafu unasema waislamu
@fredrickmugo7221
@fredrickmugo7221 Жыл бұрын
..... teach us please about epiphany
@chenzhenlee7633
@chenzhenlee7633 Жыл бұрын
Kitabu ca trinity nikipate wapi??
@junicnamuwenge6957
@junicnamuwenge6957 Жыл бұрын
Warilmu wetu 😂😂😂🤣🤣😅😅😆😆😄😃🇸🇦
@kambanimwanyulu7570
@kambanimwanyulu7570 Жыл бұрын
Ndacha naomba unijibu ili Swali, Kuna kundi kubwa na kundi dogo, unaelewaje kuhusu haya makundi?
@jimpaserics9359
@jimpaserics9359 Жыл бұрын
Natamani tupatane nawe siku Moja ndacha Kisha mada iwe trinity.
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA Жыл бұрын
Unaona utakuwa na kitu kipya?
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 10 ай бұрын
Mulizeni wapi imesema bibilia ukiristo ni dini? Ama wapi yesu ameingia kanisani? Wapi yesu mwenyewe aseme yeye ni mungu?? Muongo tu
@sivan6740
@sivan6740 6 ай бұрын
Kuna faida gani ukijua hayo
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 6 ай бұрын
@@sivan6740 mkubali tu mumepotea. Haina haja ubishi. Paolo amewapoteza okoweni maisha yenu
@murandabrian
@murandabrian 6 ай бұрын
uislamu ni dino ya uongo muone huu
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 6 ай бұрын
@@murandabrian sio makosa yako ni paulo
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 6 ай бұрын
@@murandabrian yesu alisujudu, aliingia msikitini, wewe nani kakupeleka kanisani kupiga magoti??
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 Жыл бұрын
I feel bad for that man who really wanted to prove about the Holy Spirit... This Ndacha does not believe in Holy Spirit.. Alot of lies in SDA
@masanjasabanja3789
@masanjasabanja3789 Жыл бұрын
MAJIBU HAYA HAPA SOMENI HAO NI MATAPELI WANAPOTOSHA UKWELI.--JE ROHO MTAKATIFU NI MUNGU? MWANZO 1:1-2 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. UFAFANUZI KITABU ELIMU YA KWELI SURA YA 14(SAYANSI YA BIBLIA) UK 105 Lakini yeye atakapokuja huyo Roho wa kweli ,atawaongoza awatie kwenye kweli yote .Yohana 16:13.Ni kwa msaada wa Roho huyo tu ambaye mwanzo alitulia juu ya uso wa maji kwa neno ambalo vitu vyote vilifanywa ya nuru halisi iangaziayo kila mtu ajaye ulimwenguni ndipo ushuhuda wa sayansi waweza kutafasiriwa kwa usahihi.ni kwa kiongozi wake tu ndipo kweli zake za kina zaweza kufahamika TUAMAINI LA VIZAZI VYOTE SEHEMU YA PILI SURA YA 73, UK 281 PAR 2, 3 Kabla kristo hajajitoa kuwa kafara ya wenye dhambi ,alitafuta zawadi mhimu na kamilifu kwa ajiri ya wafuasi wake ,Zawadi ambayo itawaletea rasilimali zisizo na ukomo za neema alisema nami nitamwomba Baba, naye atawapa msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele; ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu. sitawaacha ninyi yatima; naja kwenu.(Yohana 14:16-18) Kabla ya hili Roho alikuwepo ulimwenguni ,Tangu mwanzo kabisa wa kazi ya ukombozi,alikuwa akitenda kazi ndani ya mioyo ya watu .lakini wakati kristo alipokuwa hapa duniani wanafunzi hawakuwa na haja ya mfariji mwingine .hata atakapokwisha Kupaa ,Ndipo watajisikia wanahitaji Roho ndipo atakapokuja.Roho mtakatifu ni mwakilishi wa kristo .lakini asiyekuwa na hali ya kibinadamu na hivyo huru SURA YA 73,UK 284 PAR 2 Roho anayekuja ana uwezo wa kuhuisha upya maana pasipo huo ,kafara ya Yesu ingekuwa bure .uwezo wa uovu ulikuwa ukiongezeka karne hadi karne na utiifu wa watu kwa vitendo viovu ulikuwa unashangaza. Dhambi ingeweza tu kukabiliwa na kushindwa kwa kwa uwezo wa nafsi ya tatu ya utatu mtakatifu ambayo ingekuja katika uwezo tele wa uungu Roho huwezesha mambo yaliyokamilishwa na mwokozi wa ulimwengu.moyo hutakaswa kwa uwezo wa Roho mtakatifu ,kupitia kwa Roho mtakatifu waumini huwa washiriki wa asili ya uungu. MWANZO 1:26-27 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. 1 YOHANA 5:8 Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. MATHAYO 28:19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; MATENDO 5:1-5 Lakini mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza mali,akazuia kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe naye akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa mitume Petro akasema, Anania, kwa nini Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu, na kuzuia kwa siri sehemu ya thamani ya kiwanja? Kilipokuwa kwako, hakikuwa mali yako? Na kilipokuwa kimekwisha kuuzwa, thamani yake haikuwa katika uwezo wako? Ilikuwaje hata ukaweka neno hili moyoni mwako? Hukumwambia uongo mwanadamu, bali Mungu. Anania aliposikia maneno haya akaanguka, akafa. Hofu nyingi ikawapata watu wote walioyasikia haya JE YESU NI MUNGU? YOHANA 1: 18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. WAFUNDISHE WATU UKWELI ACHA KUDANGANYA
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA Жыл бұрын
kuja usaindie wao...badala ya kelele ya comment..sisi hatuna huo mda WA comment
@masanjasabanja3789
@masanjasabanja3789 Жыл бұрын
@@BIBLIANURUYADUNIA MBONA UMESOMA HIZO SIO KELELE WAAMBIE WATU UKWELI USIPOTOSHE
@RIO-jf9mo
@RIO-jf9mo Жыл бұрын
@@masanjasabanja3789 wadhani hio ni Quran ....wasoma wewe umeelewa ulichoandika hapo ...ama umecopy and paste ..kutoka kwa mazinge....hujui lolote Yani kuelewa ndo huelewi ....ni kama huyo mzee andiko limeandikwa hapo limesomwa ...lakini kulielewa haliewi .... bibilia Ina mafumbo ..bila kujielewa ..utasoma maneno hayo na uyafananishe ....na ya gazeti Ila maneno haya yana maana mengine..
@masanjasabanja3789
@masanjasabanja3789 Жыл бұрын
NAOMBA WASIONDOE COMMENT MAANA WANATABIA YA KUONDOA COMMENT NA KUFUNGA AKAUNTI
@alisalat4842
@alisalat4842 Жыл бұрын
Nyote mumepotea dini ya haki ni uislamu
@solomutinda
@solomutinda 9 ай бұрын
You can train a dog and finally it bites you! read 1 John 5:7-8 King James Version 7 For there are three that bear record in heaven, the Father, the Word, and the Holy Ghost: and these three are one. 8 And there are three that bear witness in earth, the Spirit, and the water, and the blood: and these three agree in one.
@pastorfrancisagola564
@pastorfrancisagola564 Жыл бұрын
NoTrinity no Trinity in the Bible so which means the truth is there is only one true God in the Bible
@husseinguyo4929
@husseinguyo4929 Жыл бұрын
Wewe kafiri ndacha wacha kupotosha watu, hawa hawana elimu mazinge ndio dawa yako mbona umekimbia professor mazinge
@isaiahonyapidi5662
@isaiahonyapidi5662 Жыл бұрын
Wewe Hussein ndugu wa kijini
@rashidgona1808
@rashidgona1808 Жыл бұрын
Wwe wataka ushindi ama wataka mafundisho c kama ww uko na elim uende ukutane naye
@mathewwafula3689
@mathewwafula3689 Жыл бұрын
Pia nawe nenda ukachambuwe naye Ka Una elimu
@euniciouspendo3432
@euniciouspendo3432 Жыл бұрын
Mapua yako majini yanapata mattress
@justineogeto6213
@justineogeto6213 Жыл бұрын
Mazinge alitoroka mombasa anajua nn sasa
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel Жыл бұрын
Luka MCIVIC Co us. 54 Na siku ile ilikuwa siku ya Maandalio, na sabato ikaanza kuingia. 54 And that day was the preparation, and the sabbath drew on. 55 Na wale wanawake waliokuja naye toka Galilaya walifuata, wakaliona kaburi, na jinsi mwili wake ulivyowekwa. (Kwa Mujibu ya hayo Maandiko hakuna Neno Ijumaaa) Au hizi Bible zinatofautiana?
@clakbiz3331
@clakbiz3331 Жыл бұрын
Mwl ndacha kazi nzuri hila jalibu kuita mjadala na mch paul semba . Kuna majina ambayo yana wingi katika lugha ya kiebrania ambayo ni matatu ambapo watu walio kuja kutafsili katika luha ya kingeleza mawili waliyatafsili katika wingi wake mfano waters na heavens ambalo sote tunajua hakuna wingi wa water na kwenye kiswahili baada ya kutafsili wao waliamua kutoa wingi huo na kuandika katika umoja ambao ni maji. Kwahiyo hata neno mungu lilishindwa kutafsiliwa katika wingi wake kutoka lugha yake ya asili. Asante sana napenda masomo yako . 6:49
Wakristo Vs Waislamu...Mungu Wa Kweli Nani?
1:34:11
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 11 М.
myama na uongo wake
50:47
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 9 М.
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 1,1 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 4,5 МЛН
Mwalimu Dancha Amefika
51:58
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 37 М.
MCH NDACHA :MASWALI NA MAJIBU
47:51
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 8 М.
Crusade kwa wangendo
35:38
mark blessed official
Рет қаралды 332
Father from Kitale Our Lady of Fatima Catholic Church
1:09:17
Mkare Studios Ke
Рет қаралды 232 М.
MASWALI NA MAJIBU- NDACHA NAKURU
1:06:53
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 145 М.
Ex-Pastor vs Pastor Ndacha & his Team @ Navakholo Kakamega County
2:07:31
Mdahalo: Utatu na Uunga kati ya Pr. Henry Kang'entu na  Pr. Francis Ndacha
1:52:20
SAUTI NYIKANI MINISTRY
Рет қаралды 16 М.
KWANINI MUHAMMAD NA ASIWE YESU (FULL VIDEO)Pro MAZINGE VS NDACHA
1:38:15
arkas online tv
Рет қаралды 14 М.
WAFU WAKO WAPI???
1:17:47
PRESENT TRUTH LOUDCRY MINISTRY
Рет қаралды 2,9 М.
DEBATE KUU;JE,KUNA MUNGU ROHO KWA BIBLIA? NDACHA VS MUROKI
3:20:02
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 11 М.