KIVUMBI LEO! MFANYABIASHARA AMCHONGEA MWIGULU, KIJAZI, MBELE ya WAZIRI MKUU "HAFAI KUWA WAZIRI WETU"

  Рет қаралды 135,525

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

KIVUMBI LEO! MFANYABIASHARA AMCHONGEA MWIGULU, KIJAZI, MBELE ya WAZIRI MKUU "HAFAI KUWA WAZIRI WETU"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 222
@marymuna5810
@marymuna5810 Жыл бұрын
Angekuwa Mzee baba uwaziri ungeishia hapo mnazi moja
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Sana! Mwiguru hafai, Magu alimtema, mama sijui Kwa nini kamrudisha
@maidaamie648
@maidaamie648 Жыл бұрын
​@@MsAggie5 mama kilaza
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Mapema sana angemsepesha tu
@ms123ru
@ms123ru Жыл бұрын
Kuna muda nammiss magufuli especially kwenye maamuzi mama anatakiwa amtoe mwigilu immidiate
@frankjohn0714
@frankjohn0714 Жыл бұрын
Yn magu Angekuwepo leo
@rosekambona5719
@rosekambona5719 Жыл бұрын
TANZANIA imeamka watu wamechoka sana hali ngumu ya maisha
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Mama anaupiga mwingi
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Жыл бұрын
Unajua mjusi ukiukimbiza kwa mda mrefu huwa unageuka kuwa nyoka hivyo ifike hatua walioko juu wajue watu wamechoka hali tete jamani.
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Ila hapo hapo kwenye kumlaumu mama pia tukumbuke aliesababisha bunge la chama kimoja ni baba sasaivi tunakosa watu wa kutusemea bungeni ndiomana mwigulu analinga sana anaongea kauli anazojiskia yeye mzee angeacha wananchi wachague wawakilishi wao leo yasingefikia hapa tusitoe lawama upande mmoja wadau tumbuke na uchaguzi ulikuaje?
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
@@rogersiddy we nawewe sasa baba ndie aliepiga kura huko vijijini? sema wapinzani mlitoka kwa kukosa uwadilifu wa kutimiza ahad ccm walikua nahaq kuchaguliwa kwa kishindo kutokana na rais alivokua muadilifu watu wakaona nyie wapinzani mlikua wabunge miaka 20 yote na hamna la maana mlilowafanyia wanavijiji wakaona wachague sehemu iliyotatua matatizo ya watanzania kwa miaka 5 tu inchi ikanga nawatanzania wote waliishi kwa aman na kwa kuheshimiana tajir alimuheshimu masikin na masikin alimuheshimu tajir hiyo ndio sifa na hadhi ya uongoz bora ndio maana wanasiasa chafu walikosa kura sababu wapo kimasrahi yao nasio ya wanainchi
@juniorleonard9140
@juniorleonard9140 Жыл бұрын
Safar ya mapinduz imeanza soon kitaumana
@winepreneur7329
@winepreneur7329 Жыл бұрын
Huyu mzee anajua Sana,👏👏
@BunjuBase
@BunjuBase Жыл бұрын
Heko MAJAALIWA..umesimama kuskiliza kwa muda wote huo na hukukaa chini.MOLA akulinde inshaallah
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
Allahumma ameen
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Nina imani Waziri Mkuu angekuwa Raisi pale pale angemtunbua Mwigulu sema hana jins anamuachia mwenye nchi
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Yan
@inesskasale-hr1em
@inesskasale-hr1em Жыл бұрын
Hakika umeongea mzee. Mwigulu hafai hata kidogo
@maribaisack2097
@maribaisack2097 Жыл бұрын
Safi sana mzee...
@barakagideon9401
@barakagideon9401 Жыл бұрын
Mzee ni genius sana
@user-qt6jo5se4v
@user-qt6jo5se4v Жыл бұрын
Safi sana
@maherzain2555
@maherzain2555 Жыл бұрын
Huyu mzee kaongea point sana, Mwigulu akiendelea kuwa waziri Raisi atakuwa anawakosea sana
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Magufuli alimtoa Mwigulu hafai kuwa waziri anahalibu nchi yetu
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 Жыл бұрын
Alafu huyo mama yenu wa kambo akamrejesha
@maidaamie648
@maidaamie648 Жыл бұрын
​@@calvinloveambroce842 mama dishi limeyumba mwenzie takataka alizitoa yeye kazirudisha
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 Жыл бұрын
@@calvinloveambroce842 alumrudisha magufuli Bana acheni maneno
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
​@@calvinloveambroce842😂😂😂😂😂 umeni maliza mamayetu wa kambo
@salmabinyaga2357
@salmabinyaga2357 Жыл бұрын
Afu baadae akamrudisha mwenywe
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Uyu mwigulu mungu amlaani laana tulah Mwizi tu wanatajirika kwa pesa za dhulma
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Anamabasi na kadhaa wa kadha
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Ndo mwenye mabasi ya Esther ndo mwenye Sheri za Esther ndo mwenye timu ya singida big stars ni waziri waovyo kuwahi tokea hii wizara
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@faustinombilinyi9809 Na mabasi yake yana sheria maalum barabarani yanakimbia balaa na hayakamatwi
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
@@leokamil6284 kweli bro nashangaa mama alioni Huli jaman au mpigaji nae pamoja ni aibu
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@faustinombilinyi9809 Ajabu sana
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 Жыл бұрын
Waziri yeyote aliyetumbuliwa kipindi chamagufuli hafai kama uyo mwigulu
@user-tx7vq1nf8h
@user-tx7vq1nf8h Жыл бұрын
Haya akili za mwigulu bwana
@peninacharles9757
@peninacharles9757 Жыл бұрын
Mwigulu achia ngazi
@isackshota7658
@isackshota7658 Жыл бұрын
Viongonzi munaokabiziwa zamana ya nchi iweni makini sana yai litawapasukia mukononi na hamutaamini
@MsopheKapaya-wk4sc
@MsopheKapaya-wk4sc Жыл бұрын
Kivumbi na jasho uko tuendako tutazichapa wananchi washachoka mungu atunusuru
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 Жыл бұрын
Hayo ndo maisha hakuna kuogopa mtu Ukweli ndo huo .Haki ni ngumu sana nchi yetu uhuni mwingi viongozi wengi hawana Huruma wamejawa na rushwa tu Kila kona
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Жыл бұрын
Mwigulu atoke kesho
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Mwigulu. Nape Makamba hawafai Hata kidogo ndiyomaana Magufuli aliwatoa
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@awadhally1052
@awadhally1052 Жыл бұрын
Kwel kabisaa. Wezi hao
@awadhally1052
@awadhally1052 Жыл бұрын
Kweli hao wez ndiomana magufuli aliwatumbuaa
@jacobsanday9085
@jacobsanday9085 Жыл бұрын
Magufuli alimbadilisha wizar hajamtumbua alikuwa wazr wa sheria
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Жыл бұрын
@@jacobsanday9085 waziri wa sheria katka nchi Gani?
@MankaMassawe-k9l
@MankaMassawe-k9l Жыл бұрын
Jamani kwanini viongozi wetu hawapindi kusikiliza na kuwasaidia wananchi tunateseka kwani mfanyabia shara akiteswa sisi wengine ndio tunakufa kabisa.
@vwctvtanzania
@vwctvtanzania Жыл бұрын
Mh Rais tunakupenda mnooo kwakazi nzuri mnooo, ombi mbadilishe waziri wa fedha weka mwingine Kwanza ,haya Mambo ya migomo nakila Aina ya fujo hazita endelea,fanya marekebisho pls, kamamna sema sawa naomba like zenuu
@JosmLumambo-ex6mb
@JosmLumambo-ex6mb Жыл бұрын
Naata wakimtoa kesha shiba sana kama kupe anae nyonya damu ya mnyama
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 Жыл бұрын
Jaman me mungu anisamehe namchukia sana yule wazir wa pesa daah kwasabu huwezi mpenda mtu anaeumiza watu mambo ya ajabu sana haya
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
Hunizidi mimi simpendi hata kidogo mtu asie na huruma kwa binadam wenzie
@RoberthoZahabu
@RoberthoZahabu Жыл бұрын
😂😂😂😂Mzee hongera sana
@meshackmlaki2066
@meshackmlaki2066 Жыл бұрын
Me namchukoa Sana uyu mwigulu afanyi tathmini ni kuua tu yaani anasema tukaishi Burundi
@JULIAN-es7xm
@JULIAN-es7xm Жыл бұрын
Mwigulu afai
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 Жыл бұрын
Nnachofurahia Ni Kwamba Mama Yetu Anapenda Kusikiliza Kero Na Maoni Yetu,Na Pia Nchi Yetu Tuna Mfumo Wa Kukubaliana .... Kilichobaki Ni Yeye Kuona Kama Utekelezwaji Unafanyika Kupitia Kero Hizi 🙏
@jumahalifa6436
@jumahalifa6436 Жыл бұрын
Ameshaharibu NCHI pakubwa sana Mama alichue hili amtoe uyumtu wananchi hatumtaki
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Huyu mzee ameongea vizuri sana
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 Жыл бұрын
HAYA MAMBO TULISAHAU KABSA DAAAH R.I.P MAGUFURI 😢
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Unaona eeeeeh
@lalasalama6720
@lalasalama6720 Жыл бұрын
Ndie aliuwa biashara mmesahau
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
@@lalasalama6720 uliyesahau ni wewe! Hajaua biashara anayeua biashara ni huyu. Ugomvi wake ni matajiri wakubwa wakubwa ambao walikuwa hawalipi kodi na hao wafanyakazi WA TRA ambao wengi wao walikimbia na kazi waliiacha kwa woga!
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
​@@lalasalama6720 angeuwa wasingemlilia .maaana mpaka mama lishe wanamlilia sasa hivi
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
@@lalasalama6720 Nakubaliana na wewe kbs ila watanzania tulivyo wanafiki tuko tyl kuongea uwongo kwasababu tunaiyogopa serikali wakiongea wachache wanapiga makofi tu
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 Жыл бұрын
Ata maofisa wa TRA waliokuja dukani kwangu na kulazimisha faini huku wakitaka mke wangu awape pesa walisema wameagizwa na waziri pamoja na commissioner
@MaryJohn-hh2ku
@MaryJohn-hh2ku Жыл бұрын
Mwigulu hafai kabisa mama tupa mbali na sheria.ana kauli za ovyo sna
@johnssaimon450
@johnssaimon450 Жыл бұрын
Mama akiendelea kumuweka huyu mwigulu atakuwa anawakosea watanzania
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 Жыл бұрын
maisha magumu wafanyakazi tunalipa Kodi kwenye mishahara, ukitoa hiyo feeha unakatwa tena, ukitaka kumtumia mzazi hela ya mbolea unakatwa akienda kutoa Nate anakatwa tukihoji tunabiwa nendeni Bujumbura. inauma Sana pale hiyo hela CAG anaposema wameiba tena hivi mnatuonajebona hamna hurumaaa😭😭😭
@gasperjohnson3388
@gasperjohnson3388 Жыл бұрын
Mwigulu leo atalala kinywa wazi
@coin9007
@coin9007 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@silvergold5855
@silvergold5855 Жыл бұрын
Safi
@neemamsuya829
@neemamsuya829 Жыл бұрын
Magufuli alimjua
@JosmLumambo-ex6mb
@JosmLumambo-ex6mb Жыл бұрын
Safi mwenyekiti umesema ukweli naimani na mh kassim majaliwa atalekebisha
@lovenessyohana1247
@lovenessyohana1247 Жыл бұрын
Mwingulu Leo kazi unayo
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Hii ndo madhara ya bunge la chama kimoja yoote haya yametokana na mtu alietoa amri ya kuwapitisha wabunge wa chama kimoja
@husseinally5550
@husseinally5550 Жыл бұрын
Hawa jamaa itakuwa kweli wameumia sana
@deokessy6596
@deokessy6596 Жыл бұрын
mwigulu ana nyodo....mi sitaki kuona hata sura yake....Mama mtoe
@jumahalifa6436
@jumahalifa6436 Жыл бұрын
Tukowengi
@braytongelicho2210
@braytongelicho2210 Жыл бұрын
Mwigulu tunaomba ujiuzuruu
@PLAYPROGAMING568K
@PLAYPROGAMING568K Жыл бұрын
Kweli kabisa hafai maana hajui hata biashara hajui kuwa kama ipo au haipo kweli
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 Жыл бұрын
Pole sana 🇹🇿 Mawaziri wasio na maarifa🤔😢🤔
@jmc2196
@jmc2196 Жыл бұрын
Ewe Mungu wetu tusaidiye huyu waziri mukuu kwa uwezo wako 2025 aongoze inchi njo anaweza akasaidiya wanaanchi akajitaidi kufanya kama Maguuli tulikosa jameni alakini let's hope kuwa huyu mwisho atakuja kuwa Raisi 🤲
@Zai-vh7jd
@Zai-vh7jd Жыл бұрын
Wanadamu tunajisahau sana! Watu wana nguvu za kukashifu wenzao wanapotangulia mbele za haki. Aliyesema wazuri hawafi ni MTU mmoja tu. Iweje sasa kila anayekufa mnamhusisha na hiyo kauli! Sote tunao comment humu hatujui tunakufa lini. Mungu atusamehe kutoka kwenye umajinuni huu tumuhofie Mungu tu😢😢
@praygodrobert1655
@praygodrobert1655 Жыл бұрын
Mama ni msikivu naona ajira ya mwingulu ikiisha kesho asubuhi
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Msikivu lakini Kwa nini yuko kinyume na mwenzie aliyemtangulia? Yaani wale wote mwenzie aliyewatema yeye ndo amewakumbatia sijui Kwa interest gani!
@mumukinga8327
@mumukinga8327 Жыл бұрын
mama ndio anamkingia kfua hawez kmtoa
@frankurio469
@frankurio469 Жыл бұрын
Singida kuna ushuru wa kashusha na kupakia mzigo ya viwandani, huu uonevu hadi lini , tutalipa tozo ngapi ,hii iko mwanza na singida , kibaya zaidi hii tozo ni kubwa sana tunateseka mno ,
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 Жыл бұрын
Ni hatare kwa kweli, ukiona raia kachafuka hana uoga kbs
@rosekambona5719
@rosekambona5719 Жыл бұрын
Mmemkatisha ana point
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Жыл бұрын
wabunge hawana kazi kabisaaa wajifunze kitu leo
@titombizo6941
@titombizo6941 Жыл бұрын
Mi binafsi nchi hii naona zitapigwa tu maana watu tumesha choka. Mungu asimamie
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Kwakweli
@MarryJulius-o4o
@MarryJulius-o4o Жыл бұрын
Mwigilu ni mzigo kwa taifa letu aendee...
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Siwamuondoe wampe hiyo nafasi mwingine ambaye anautu na huruma kwa wananchi wai wanaowaongoza , Ila muda upo majibu yanakuja ,ni swala la muda tu wanajifanya WAMEFIKA LAKINI MUDA UTAWAJIBU
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Жыл бұрын
Angekuw baba magu uwazir wa mwinguru ungishia hapo mnazi mmoja angerud kwake na boda boda
@rosekambona5719
@rosekambona5719 Жыл бұрын
Mwigulu jitafakari haiwezekani utajwe wewe tu
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 Жыл бұрын
Eeeh kweli unajua sana
@barakanestory3521
@barakanestory3521 Жыл бұрын
Hafai kabisa waziri
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Жыл бұрын
MWIGULU ,analindwa Nan ? Mbona wizara imemshimda hii
@seifsaidseifsaid1210
@seifsaidseifsaid1210 Жыл бұрын
Aibu sanaa wafanya biashara kugoma serikali mjitafakali sana.
@frankurio469
@frankurio469 Жыл бұрын
RIP Magufulì
@peterkissiry6432
@peterkissiry6432 Жыл бұрын
Leo mama samia umeelewa ngoja tuone watanzania wataishi vip alafu selekali vlevle mfikilie kama wafanya wskubwa wana lalamika hivyo je,watu wa hali ya chin atakua na hali gan fkilien isee watu wana hali ambayo sio rafki maisha n magumu kwa watanzania
@kdloon2030
@kdloon2030 Жыл бұрын
Mwigulu ni kero kubwa,aondolewe tuu
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 Жыл бұрын
Wamchane tu safi sana
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Mwigulu umekuwa kero
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 Жыл бұрын
Hivi huyu nchemba ,, serikali yake?? maana Kila Kona anaimbwa yeye?
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 Жыл бұрын
Me naseema...
@neemamsuya829
@neemamsuya829 Жыл бұрын
Mama samia I’m sure umeona jipu hilo
@Bob-kz2ql
@Bob-kz2ql Жыл бұрын
Na ndio alikuwa anataka uraisi huyu waziri wa Fedha dah…Mungu kwel katuepusha sana na hili janga, ndio maana Mh Lowassa atabaki kuwa kiongozi bora nchi hii ambaye katika ngazi ya juu kabisa aliamua kujiuzuru kiroho safi ila hawa sa sshv mh sioni
@berthasamwel9955
@berthasamwel9955 Жыл бұрын
Mwigulu Hofu ya MUNGU ikiwa ndani yako utatenda haki, umetoka kwenye nafasi muda mrefu, naamini MUNGU kasema nawe kwa namna nyingi sana na kukuonya kwa kuwa wewe ni Mtumishi Wake ili kusimamia nafasi yako ipasavyo lkn haukuitii sauti ya MUNGU. Simamia haki hakuna wa kukushambulia jambo hilo limeanzia rohoni.
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Kwanza hio tozo ya buku kwenye luku iondolewe haina maana kwetu.
@sniper93999
@sniper93999 Жыл бұрын
RIP JPM😢😢MAMA , MAKAMO NA WAZIR MKUU ekeni urafik pembeni na watu wasioajibika na waoumiza watu 😰
@mirajijuma454
@mirajijuma454 Жыл бұрын
ukweli unauma
@michaelmndeme-jc7md
@michaelmndeme-jc7md Жыл бұрын
HUYU MZEE AWEKEWE ULINZI
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Жыл бұрын
HUYU MWIGULU NCHEMBA HAFAI HATA KUA BAROZI WA NYUMBA 3
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 Жыл бұрын
Kama Mamlaka ya uteuzi haita waondoa HARAKA Waziri Mwigulu na Kijazi ktk nafasi zao, ni DHIHIRISHO kuwa Mamlaka inanufaika na wanayoyafanya. Kifupi HAWAFAI/WANAPWAYA sana ktk hizo nyadhifa.
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Жыл бұрын
❤❤❤
@AnnastaziaSilayo-sk5cj
@AnnastaziaSilayo-sk5cj Жыл бұрын
Mama Siya aliongea kariakoo
@ChristianKudilla
@ChristianKudilla Жыл бұрын
RIP HPM
@ginamasauna8906
@ginamasauna8906 Жыл бұрын
Tungeomba mwiguru avuliwe uwaziri awe raia kama ataweza afanye biashara ili aone unyama anaofanya kwa watanzania kama inamstahiri yeye
@twalibkatuli5318
@twalibkatuli5318 Жыл бұрын
Waziri mkuu Anafaa kua Raisi Ana huruma sana na hekma pia
@RamadhanAbdallah-hd8dj
@RamadhanAbdallah-hd8dj Жыл бұрын
Mwigulu mchemba siyo waziri mzuri , kwa kweli wangemtoa tu uwaziri
@rossemissusomuchmjsungura8890
@rossemissusomuchmjsungura8890 Жыл бұрын
Mwiugulu akili hamna liende kulima uko vijijini limekaa ka halijasoma vile
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 Жыл бұрын
Jamani jamani.
@renataraymond1545
@renataraymond1545 Жыл бұрын
Wenye busara wangejiuzuru
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Sio kwa Tanzania hii
@EndishadastanMrutu-pz4vs
@EndishadastanMrutu-pz4vs Жыл бұрын
Ap umenena mzeee
@ramamasenda6637
@ramamasenda6637 Жыл бұрын
Mama uyaone ayo ufanyie kazi pangua safu iyo alingumu mtaani uku aende yeye Zimbabwe
@onestkasmir4297
@onestkasmir4297 Жыл бұрын
Yuko sawa kabisa ila mwigulu ni chawa wa mama yeani ataah mngepiga uwah hawezi tolewa maana ni matoto ya viongozi yeani hayatoki kustaafu mpka wafariki daah hicho ni kilio kizuri cna lakini piah hicho ni machozi ya samaki
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 Жыл бұрын
Huyu mwigulu ni chenga sana alafu anajifanya anataka kuwa raisi
@richardjmadebe727
@richardjmadebe727 Жыл бұрын
Huyo mwigulu hafai kabisa hats jimboni kwake wanainchi wake haya maji hawana hafai kabisa
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kampuni yake ya mabasi inaendelea kwa tozo
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila Жыл бұрын
Hivi anatoka jimbo gani
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@IsraelKisaila Iramba Magharibi
@salha6596
@salha6596 Жыл бұрын
Watanzania wote tujifunze ukorofi pindi panapotokea ouzo kama huu tukikaa kimya raisi awezi kujua
@seifsaidseifsaid1210
@seifsaidseifsaid1210 Жыл бұрын
Waziri wa fedha ni majanga tupu km ana akili na anataka kulinda Chama chake ajiuzuru Mara moja!
@ChristianKudilla
@ChristianKudilla Жыл бұрын
RIP JPM
@eliamanigolitagolitamsengi9348
@eliamanigolitagolitamsengi9348 Жыл бұрын
Kiukweli Tanzania tunaelekea kusiko,,, Babaj Mapato yameongezwa karibu 100% kutoka 100,000 Hadi 180,000. Unashindwa kujua Hawa wasomi walisoma wapi kupandisha Kodi gafla kiasi hiki?. Tunaomba tu Mungu amfufue Magufuli. Ukiuliza hawana majibu yenye mashiko.
@thadeimkula7093
@thadeimkula7093 Жыл бұрын
Mwigulu hafai atoke kwenye uwaziri hatu mtaki
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 Жыл бұрын
Mwigulu dah unalalamikiwa Kila muda unadhida gani kumbuka wwe ni mwanadamu sio MUNGU
@lulusmith524
@lulusmith524 Жыл бұрын
T.r.a siwapnd kbsa wezi wanatufisili hli ngumu
@moniazaninka540
@moniazaninka540 Жыл бұрын
Mwingulu tumle supu😢
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Жыл бұрын
Kama Raisi atamuacha mwigulu atakuwa anatukosea sana wana nchi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Hahaa mwigulu wizara imemshinda ,apewe nyingine labda sio hii. Aisee Magu nimekukumbuka.
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Nyieee dah mwigulu amekaangwq haswa
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 14 МЛН
Game Theory
1:07:08
Yale University
Рет қаралды 432 М.
Open to debate: Harris and Trump clash
52:33
The Economist
Рет қаралды 8 М.
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН