KARIAKOO, Jamaa amchana Waziri "alafu Mh MWIGULU wewe una PhD, unajua vitu vingine tuulizane"

  Рет қаралды 217,285

Habari Digital

Habari Digital

Жыл бұрын

Пікірлер: 206
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Жыл бұрын
Yaani watu wa Dar mmefanya kazi ya wabunge..hongereni sana
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa.
@SalumBakar-ob7in
@SalumBakar-ob7in Жыл бұрын
Kwakweli
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Safi Sana wafanyabiashata,huyo mwigulu ana phd ya ufisadi tu, Rip JPM
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Ni aibu aibu aibu kuja kusemwa hadharani ..heads must roll!
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 Жыл бұрын
Wanaunafu wenzetu waliohamia Zambia na Malawi kutafuta riziki,mi walikuja kwenye kabanada kangu wakaniambia nilipiage kabango niliko andika jina langu shilingi 300,000 kwa mwaka,jamani hii Tz kweli wanaifaidi wachache,Mungu tutazame kwa jicho la kipekee
@salomemalema7470
@salomemalema7470 Жыл бұрын
Respect kamamda Adam Zella wao wanafikili wamesomea wao tu biashara wamesahau kuwa wanaowaongoza nao niwasomi wazuri pengine kuliko wao
@monicambuya-sq9ms
@monicambuya-sq9ms Жыл бұрын
Mh kweli Watanzania tumechoshwa nidhamu ya woga imeisha
@yakubsaid22
@yakubsaid22 Жыл бұрын
Sio nidhamu ya woga imeisha uongozi ulioko madarakan ndo umetengeneza mazingira hayo kuanzia rais na wazir mkuu wake
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Жыл бұрын
Waziri wa fedha ni. Moja ya takataka za serikari hii😏
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Жыл бұрын
Hongela sana wafanyabiashala RIP magufuri
@margrethjonesmshana8555
@margrethjonesmshana8555 Жыл бұрын
Yaaaani ndio maaana nasema mtaaani Kuna ma genius
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 Жыл бұрын
Kwa kero hizi hata mm nimesajili kampuni yangu hivi karibuni, kwa wizi huu naifunga kampuni Bora niuze maandazi kuliko kukutana na TRA.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Kasome KITABU CHA kiyosaki ,ujue mbinu za KUWEKEZA bila kulipa Kodi best Huko kwenye kampuni umeenda kujinyonga mwenyewe
@tanzaniaally
@tanzaniaally Жыл бұрын
Hadi kwenye maandaz watakudai kodi
@JAIROSMLIMILA-cl1wp
@JAIROSMLIMILA-cl1wp Жыл бұрын
Iyo wizara inatakiwa isafishwe na steel wire.
@summanelson5523
@summanelson5523 Жыл бұрын
Safi sana!!!! Wamemwagika sana!!!
@jarnskorelly464
@jarnskorelly464 Жыл бұрын
Hafai kuwa waziri wa fedha Jamani amtoe
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Жыл бұрын
jamani wafanya biashara watanzania mkovizuri sn mungu awabariki maoni yenu ipate ufafanuzi
@alexpuwale9653
@alexpuwale9653 Жыл бұрын
Mama Samia aangalie Uwaziri wa Mwingulu,huyu jamaa hafai kuwa Waziri ndo maana Magufuli alimtoaga kuwa Waziri
@DaressalaamTv-rb2io
@DaressalaamTv-rb2io Жыл бұрын
Tutamkumbuka Magufuli kwà hali hii kweli kiongozi bora sio chama ni mtu binafsi na kujali watu na kupenda taifa lako bila kujali tumbo
@abdallahally842
@abdallahally842 Жыл бұрын
Ukenda kenya uganda burundi congo hakuna kukamatana sana police umalizane nae lkn hakuna duniani wasimamia kodi wakakabarabrani ni kuitukanisha serekali kwa maslahi ya matumbo ya tra
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo Жыл бұрын
Nashukuru Mungu bado tuna watu timamu,lkn Kuna ,mwigulu,Simba Cha wene,na ........✍️🤔
@africayetutv329
@africayetutv329 Жыл бұрын
HAPA ni dhahili kuwa sasa wananchi wameanza kuchoka kama wanaweza kuongea mbele ya kiongozi hivi bila kuogopa serikali ilitazame tunakoelekea ipo siku wananchi watawashikia mawe viongozi na inaosha wanahasira za muda na machungu mengi
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Kabisa boss hii ni ya yajayo yanafurahisha wa tz weshachoka sasa
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Жыл бұрын
Huyu jamaa ananondo sana,tatizo nchi yetu inaurasimu sana ndo maana tutaendelea kumkumbuka JPM tu kwa kweli
@labankisunga1567
@labankisunga1567 Жыл бұрын
Sio tutamkumbuka sema nitamkumbuka...
@vyoxerhama2417
@vyoxerhama2417 Жыл бұрын
Unajua nchi hii wanazani wenye akili wapo bungeni, mahakamani na serekalini, siku hizi watu wanajua vitu vingi Sana, na kuwadanganya danganya km zaman haipo tena
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Kabisa
@musakibwana4596
@musakibwana4596 Жыл бұрын
Hata sisi mombasa tunalia ivoivo. Nairobi hakuna bandari lakni sisi wa mombasa tunategemea mali kutoka Nairobi.
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
yani kiongozi anae sikiliza watu wake ndiyo anae faa kuwa kiongozi yani waziri mkuu MUNGU akutunze kwakweli wewe ni baba yetu tuna kuamini una huruma na watu wahali ya chiini mtu akiwa sehemu nzuri hawezi kujua wengine wanapitia changamoto gani wa baba wanaonge mpaka wana tamani kulia kulingana na njinsi wanavyo tendewa 😢 inaa saama kama haja kukuta haya huwezi kuelewa ila ya kikukuta ndoutaelewa MUNGU awabaliki wafamya biashara mmetuwakilisha vyema tatizo watu hawa ridhiki na mishahara yao hata kidogo alicho nacho maskini na hicho pia wanataka wasimaizi mkojee? MUNGU ana waona na dhuruma zeenu
@salomemalema7470
@salomemalema7470 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Majaliwa kiongozi bora sana apewe URAIS kiongozi sikiliza hoja Malalamiko ya wananchi kitu kizuri na kutatua
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Жыл бұрын
Huyu kaka apewe yote❤❤❤❤
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
MUNGU MUNGU MUNGU EE. Nakuomba Mh. Kasim Majaliwa awe Raisi wetu Tanzania 2025.
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 6 күн бұрын
Huwezi kuwa waziri mkuu miaka 10 halafu uwe raisi kwa katiba hii
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa wafanya biashara wengi wa Kanda ya ziwa wanaagiza mizigi Uganda na Nairobi.
@upgo6112
@upgo6112 Жыл бұрын
Huyu mwigulu ...ni hamnazo ..ni bora wa darasa la saba....PhD ya wizi ndo aliyonayo
@user-zh8wg3lc4i
@user-zh8wg3lc4i Жыл бұрын
Lakini Tanzania kuna kudanganyana sana CCM bwana!! Tanzania kuna wafanyi biashara Wachina, Wahindi, na Waarabu mbona hatuwaoni kina Bakhresa, kina Mohamed Dewjina wale Waarabu wengine wako wapi? Wanapigwa mchanga wa Macho wanadanganywa tu masikini CCM.
@jumaally4263
@jumaally4263 Жыл бұрын
Kweli wafanybiashara Mmefanya kazi ya Wabunge kuliko wabunge wenyewe
@soniaemmanuelmataro9414
@soniaemmanuelmataro9414 Жыл бұрын
Mmewachana vizuri sana,
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Qassim majaliwa ni kiongoz bora sana natamani siku moja aiongoze hii nchi
@awadhally1052
@awadhally1052 Жыл бұрын
Insha Allah
@MsanangoMwalabu-rx1oo
@MsanangoMwalabu-rx1oo 8 күн бұрын
Hafai walewale
@user-bi7gk7im4f
@user-bi7gk7im4f 18 сағат бұрын
Hafai
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Mnawachekea sana
@senixdanethox
@senixdanethox Жыл бұрын
Kila mtu anatafuta pesa vijana tra wanaajiriwa juzi leo wanamagari hizi ni rushwa
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Yaani wee acha tu
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v Жыл бұрын
Mwigulu anahisi kuvaa skafu ya bendera ya nchi ni sifa kumbe ni ujinga huo .. tena kwa kabila lake sidhani ..kama hilo kabila lake linauwezo kufikiri na kubadilika.
@ShabaniOnyango-gm3vz
@ShabaniOnyango-gm3vz Жыл бұрын
Jamn Kuna watu tunaishi nao lkn wanavitu vikubwa xna cheo kumbe Ni bahati tu ukipata nafax usiichez wapo watanzania weng hawajapat nafx ila wanauwez kuliko ww mwigulu mh nipeni maua yangu
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Жыл бұрын
Kwakweli Mwigulu nchemba ni Tatizo kwa nchi hii. ww Ni mvuruga uchumi mkubwa, mnyonyaji uchumi wa wananchi, mbambikizia makodi na matozo kwa wananchi. mwenye kiburi na wivu kwa wafanyabiasha
@saidali3893
@saidali3893 Жыл бұрын
Huyo mwinguli mama apo pana usiri gani asiondolewe anapiga sana hapo yy na makamshina wa TRA WAZIR MKUU WW MSAIDIZI WA MAMA SAMIA MWINGULU HAFAI ANA KIBURI CHA FEDHA WANAZO ZICHOTA HAPO
@user-zp6ub1nc3v
@user-zp6ub1nc3v Жыл бұрын
Jamani kiufupi Mwigulu hafai kuwepo wizara ya fedha.
@johnlihawa4145
@johnlihawa4145 Жыл бұрын
Mwamba amerema points kinoma...afa anajua
@SalumBakar-ob7in
@SalumBakar-ob7in Жыл бұрын
Nimekubali
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Well presented
@fridakagoma1715
@fridakagoma1715 Жыл бұрын
Wapeni makavu kweli mie nilikuwa sielewi kama mizigo inatoka Zambia siku hizi ndo inarudi tena Tanzania. Ndio maana Zambia imechangamka yaani na wanaijenga Kwa kasi Inaelekea kuwa kama Kariakoo. Sio mbaya lkn wawe makini Watanzani watakuumbia Nchi
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 Жыл бұрын
Walikuwa wakisema baba anatumia maguvu kukusanya kodi leo kjkowapiii
@mshambawamjini2671
@mshambawamjini2671 Жыл бұрын
Ni kweli tunaomba mfutilie miradi yote mnayo peana kuna majungu sana hata hapa nilipo
@amanntepa8178
@amanntepa8178 Жыл бұрын
Mungu fundi
@michaelgershon9077
@michaelgershon9077 Жыл бұрын
Tanzania inabunge dhaifu. Bunge la kula mishahara. Wachumia tumbo, nchi hii ni ngumu.
@evianjames88
@evianjames88 7 күн бұрын
😂😂hyu jamaa ajengewe sanamu aisee
@Fabian-yr3ep
@Fabian-yr3ep Жыл бұрын
Dah dah
@kutikavu-jk7ue
@kutikavu-jk7ue Жыл бұрын
Mwigulu hafai, si mtetezi wa wananchi, hiyowizara haiweziii
@nurdinibrahimu7312
@nurdinibrahimu7312 Жыл бұрын
Barabbara kabisa babamdogo👍🤳
@patrickrukuba3314
@patrickrukuba3314 Жыл бұрын
Uko sawa ndugu ni aibu tz
@reymamy-rc7fx
@reymamy-rc7fx Жыл бұрын
Huyu jamaa ajengewe sanam
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Kweli
@victorjames3730
@victorjames3730 2 ай бұрын
Kodi ya kitenge Zambia milioni 30 Hadi 50 Tanzania milioni 300 just imagine
@ireneassey2022
@ireneassey2022 Жыл бұрын
Ajiuzulu tu uyoo mwiguluu
@muktarmashukura950
@muktarmashukura950 Жыл бұрын
Muheshimiwa Majaliwa, ni mvumilivu sana
@vyoxerhama2417
@vyoxerhama2417 Жыл бұрын
Ulitaka asiwe mvumilivu? Kiongoz sahihi Ni Yule anaeruhusu watoe keep zao hata km anaguswa yeye mwenyewe ajue mapungufu yake
@KijaElikana-vk4xp
@KijaElikana-vk4xp Жыл бұрын
Uzinduzi ikulu
@mariasmith4301
@mariasmith4301 Жыл бұрын
Umoja ni nguvu 💪💪
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 8 күн бұрын
Huyu jamaa nimemkubali anaongea point safi kabisa kutetea HAKI ni kazi jamani.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Жыл бұрын
Tuna bandari haitusaidi waeleze wa TZ , Allah atusaidie,
@user-zp6ub1nc3v
@user-zp6ub1nc3v Жыл бұрын
Mwigulu hafai hata kuongoza kuku wa nyumbani kwake
@Nedjadist
@Nedjadist Жыл бұрын
Huyu mama kumkumbatia Mwigulu, mtu ambaye hamudu kazi, kutammwangusha azame naye!
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 Жыл бұрын
Wanaiba pamoja
@calistusmahombo-ty8ni
@calistusmahombo-ty8ni Жыл бұрын
Maofisa wa TRA wote wasimamishwe na wakubwa wao wote na Mali zao zichunguzwe wafilisiwe,kinyume Cha hapo ni kupakana mafuta Kwa mgongo wa chupa.
@fridamnyambii7175
@fridamnyambii7175 Жыл бұрын
Mkutano wa wafanyabiashara wamefanya kazi ya bunge kabisaa maana wabunge ndio walewale hawana uchungu
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 4 күн бұрын
Asantee
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 Жыл бұрын
Mwigulu chembe kama nimuzalendo ni Bora ajiuzuli kama anaipenda Tza asisubili wat wamechoka
@omarkhamis3909
@omarkhamis3909 Жыл бұрын
Anajichekesha kipumbavu kama chizi kaokota mkate jalalani fukuza hilo yeye ndio anasababisha maisha kua magumu tz
@mathiaspeter397
@mathiaspeter397 Жыл бұрын
Mwigulu AJIUZULU UWAZIRI NI MWIZI
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 8 күн бұрын
😢wapeeee!!!
@user-yd9ds1zs1i
@user-yd9ds1zs1i 6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 daaaaah! Nouma sana
@edwinbayona7395
@edwinbayona7395 Жыл бұрын
Mabunge bungeni yapo yapo tu dadeq watu hapa wanaongea points za muhimu😢
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 8 күн бұрын
Uongozi mbaya haustahili kuendelea kuwepo
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 Жыл бұрын
Mizigo inaagizwa Nairobi na uganda
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 8 күн бұрын
Mzungumzaji moja mwenye ndevu kabla ya wafanyabiashara wa mikoani ameongea vizuri sana kama anafanya kazi TRA
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 Жыл бұрын
Na Scarf ya nchi shingoni,,Muoneeni huruma jmn
@frankenock2853
@frankenock2853 Жыл бұрын
Aonewe huruma kwa kuiba fedha za nchi ?
@habaccucisrael5328
@habaccucisrael5328 Жыл бұрын
👏🏽👏🏽👏🏽
@selegioelias9076
@selegioelias9076 Жыл бұрын
Ana chekacheka tuu hapo
@SamweliPhilipo-kd6ld
@SamweliPhilipo-kd6ld Жыл бұрын
Mwiguru Nchemba
@jumannewamburaa4145
@jumannewamburaa4145 Жыл бұрын
Tatizo mwigulu tu apo
@marrytesha6960
@marrytesha6960 Жыл бұрын
Akili nyingi sana huyu
@BotulphusAugustine
@BotulphusAugustine Жыл бұрын
Upigaji tu uku tarime simenti yakenya 15000 tanzania 20000 vip acha wizi
@user-lc9yw3kt1s
@user-lc9yw3kt1s Жыл бұрын
Nakupenda sana wazili wangu mkuu
@jumaally4263
@jumaally4263 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@MrishoMzelela-xb9bb
@MrishoMzelela-xb9bb Жыл бұрын
Bila wabunge wa upinzani bunge ni uozo tu
@Chef_Ammytz
@Chef_Ammytz Жыл бұрын
Hili ni bunge baada ya lile la sita
@yassersalleh8409
@yassersalleh8409 Жыл бұрын
Banda 😂
@monicachacha455
@monicachacha455 3 күн бұрын
safiiii
@lovenessferdinand3664
@lovenessferdinand3664 Жыл бұрын
Haki hiki nikichambo Cha mwaka 😅woi
@samuelnjuguna6688
@samuelnjuguna6688 Жыл бұрын
Kenya tuko more 🔥
@maulidiforty5493
@maulidiforty5493 Жыл бұрын
Uzur wa JPM angetoaa hapo hapo mamuzi
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 6 күн бұрын
Mwigulu na hafai kuwa waziri kabisa mama huna mtu hapo mpka vita itatokea UK I'm leaving huyu mnyeramba
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 Жыл бұрын
Hii serikali inatufanya tuzidi kuhangaika sana
@user-gc3lf5wc9z
@user-gc3lf5wc9z Жыл бұрын
Saf sana wafanyabiashara serikal wasikie
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 6 күн бұрын
PM ni jabali hata Magu alimkubali akamteua
@hadijasaidi331
@hadijasaidi331 Жыл бұрын
Mh Waziri mkuu ukimaliza ya Kariakoo geukia sokoni vitu ama vyakula vipo juu sana tunaomba utafutie dawa,tunateseka wananchi wako,yaani kila mtu na bei yake anayojiamulia leo hii kesho hii na hakuna kiongozi anayetujali kuona tunaumia na familia zetu
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Ety ajiuzuru....😂😂
@ramygichero1016
@ramygichero1016 Жыл бұрын
Nchi ya Tanzania niya Ajabu mnyeramba kuwa waziri wa fedha haifai kabixa
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 күн бұрын
Raiya wanaujua uchumi kuliko walosoma angalieni nchi mnaitia ufukara pas na sababu tre kutwa mwandege kukamata magari wanakusanya rushwa kwa viroba makufuli aliwafukuza pale wanakesha kupitisha malori ya egzepishe kupakia mizigo ya loko nikosa ispokua madereva wanatoa pesa
@annakassege7134
@annakassege7134 Жыл бұрын
Yu Majaliwa anapaswa kuwa rais
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 Жыл бұрын
Watu wamechoka😂😂😂
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН
I’m just a kid 🥹🥰 LeoNata family #shorts
00:12
LeoNata Family
Рет қаралды 20 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
#LIVE: WAZIRI MKUU AIBUKA KARIAKOO SAKATA LA WAFANYABIASHARA KUGOMA
48:56
Когда все обошлось 😮‍💨 | Королева Двора
0:16
Аминка Витаминка
Рет қаралды 4,7 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
0:31
PANDA BOI
Рет қаралды 21 МЛН