KOMANDOO, MWAMBA SASA HUYU HAPA WA JWTZ, USIJICHANGANYE

  Рет қаралды 773,774

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 585
@lputaa
@lputaa 2 жыл бұрын
Anafanana Konde Boi (utani tu)....East Africa tuwe imara ivo 💪🏿🇰🇪🖤
@aploscoder4358
@aploscoder4358 2 жыл бұрын
every man was born komandoo , training and exercise adds something am the commando of myself nami ukijichanganganya lazima UCHAFUE PAMPASI
@mkimbizi2688
@mkimbizi2688 2 жыл бұрын
😂
@dannyelias382
@dannyelias382 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@kagarukifred7372
@kagarukifred7372 2 жыл бұрын
Huko sawa kabisa
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 Жыл бұрын
sauwa mzee naona umelewa
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 Жыл бұрын
Nimekuelewa
@bonifacekcharles2324
@bonifacekcharles2324 Жыл бұрын
alaf unaweza kuta anateswa na mapenzi❤
@Abdallah-tf7mk
@Abdallah-tf7mk Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MasterRegan
@MasterRegan 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@zachariamtobesya5605
@zachariamtobesya5605 3 күн бұрын
😂🤣😂
@audiphoncealphonce2079
@audiphoncealphonce2079 2 жыл бұрын
Mungu alivyo waajabu mikogo yote hiyo hapo risasi moja tu chiniii 😅
@aristidestibaijuka3428
@aristidestibaijuka3428 2 жыл бұрын
Nawapenda wanajeshi au polisi wanaompenda Mwenyezi Mungu na si kuonea raia
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
Jamani yote sawa,lakini mungu kisu chake ,hatari uchezeshi hata kope hapo ndo ninaposema bola niwe komando wa mungu ,maana sitoogopa hata robo
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 жыл бұрын
Acheni matisho !! Muulizeni mandonga yaliyomkuta😂😂😂 !! Halafu mwili wa mtu usikufanye ukapata wenge! Kuna vijamaa ni vyembamba vimo humo humo jeshini sasa njoo na kifua chako ujichanganye ndio utajua sisimizi ni mdogo lakini anamkalisha tembo !!
@theoneartist6327
@theoneartist6327 2 жыл бұрын
Watuletee movie ya makamando wa Tanzania 🇹🇿 mbona tuta- enjoy Sana 👏🤗 tunawapenda makamando mola awajalie kazi njema na uimara wa ulinzi katika nchi yetu I love my Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌷
@godwindishon77
@godwindishon77 2 жыл бұрын
Tutacheka san
@angelkavishe5240
@angelkavishe5240 2 жыл бұрын
Uyu Mwamba akikufumania na mke wake akugusi ni kuimba wimbo wa Taifa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@alexdukes5547
@alexdukes5547 2 жыл бұрын
Hawa huwa wanatoboa macho akikufmania hutasahau
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
😀😀😀😀
@missangela6720
@missangela6720 2 жыл бұрын
Umewaza nini Angel lakini😂😂😂
@sadatisabihi3818
@sadatisabihi3818 2 жыл бұрын
@@alexdukes5547 Daaaah Ahahahaha
@downtoncargocargo4140
@downtoncargocargo4140 2 жыл бұрын
@@sadatisabihi3818 kwahiyo huyu akikutwa na ukimwi yeye ndo ameuleta nyumbani ?
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 2 жыл бұрын
Wanasema jeshi sio ukomavu wanakosea, technology haitumiki kila sehemu Kwan matumizi ya technology ya kivita huwez a kuathiri idadi kubwa ya watu wakiwemo wasiokuwa na hatia hivyo lazima. Kuingia kwenye uwanja wa kivita mfano Russia wao Wana deal na wanajeshi hawakushinda kupiga missiles ila wakifanya hivyo missiles zitaua kila mtu.
@abdulmfaume9969
@abdulmfaume9969 2 жыл бұрын
Huyo co commando ni Askari wa kawaida ni MILITARY POLICE, commando anakuwa na eagle kwenye combat pia na ballet yake inakuwa brick red
@shaibuselemani2135
@shaibuselemani2135 2 жыл бұрын
Comando hawezi kuwa mp?
@dickabuya7030
@dickabuya7030 2 жыл бұрын
Huyo ni Mp, angalia kwenye bega
@hellohalidi7627
@hellohalidi7627 2 жыл бұрын
Sahihi, MP = Military Police, ni askari jeshi, ni askari wa kawaida
@calvindonalds5373
@calvindonalds5373 2 жыл бұрын
Jichanganye!!!!!
@calvindonalds5373
@calvindonalds5373 2 жыл бұрын
sio kila occasion wanavaa combat zao... i hope ulimuona before this viddeo...
@EsterMakubi-om6hg
@EsterMakubi-om6hg 10 ай бұрын
Ni MP bhn co commando mlinzi TU uyooo 😄😄
@nyamtigaibrahim530
@nyamtigaibrahim530 2 жыл бұрын
Nyakyusa Boy
@innocentpaul1999
@innocentpaul1999 Жыл бұрын
Huyo c commando huyo Ni Military Police(MP) ambaye yupo on special Duty kwaajili ya Kusimamia ulinzi maalum...Komando huvaa Ballet yenye Rangi ya Brick Red na huwa na Eagle badges ukimuona tu utagundua tofauti
@AZAM_MEDIA
@AZAM_MEDIA 4 ай бұрын
Halaf cjui Kwa Nini vyombo vya habari vinashindwa kuadress issue kama hizi? Hata barret ni tofauti za MPs na special forces
@olarivolariv1313
@olarivolariv1313 2 жыл бұрын
Duniani ya leo hutumia technologia kwa kila siku,sasa wewe unasema uyo ndio mwanaume, kwa hiyo wengine ni wakina Nani,ni sawa wanafanya mazoezi mana ndio kazi yao ila bado na yeye ni binadamu,
@matipashankanawaaooo1199
@matipashankanawaaooo1199 2 жыл бұрын
Uyo yeye mwenyewe kuna mahali anakaa kimia
@labanakyoo4177
@labanakyoo4177 2 жыл бұрын
Hajamaanisha wengine sio wanaume, amemaanisha huyo amekamilika kwenye mafunzo ya vita ,
@Godgrace67
@Godgrace67 2 жыл бұрын
Ujuaji mwingi kupinga tu wewe why always negative mind Nan kasema so binadamu
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 жыл бұрын
Sasa sijui hiyo sauti inayomsifia mwanaume ni ya mwanamke 😂😂
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Unafikiri ukomando ni mwili mkubwa tu na mbwembwe kama za power mabula au mibuti mikubwa kama mpanda farasi ukomando umebeba vitu vingi na vingine vya siri wanawaitaga tu watu kama hao makomando kwa makusudi lakini wenyewe wametulia tu pembeni na wala hawanaga mwembwe hao wakubwa wao wenyewe wanawaogopa
@winterkasela9033
@winterkasela9033 2 жыл бұрын
Huyo ndo commando mwenyewe acha ubishi hata ukiangalia siraha zake ni vitu vya ajabuajabu yani kisu kamba tochi kimtungi yani hata kibastora chake nikidogo huwezi kiona wewe huoni hata ma mp wakawaida ni kama wanamshangaa watu hao hawaonekani hovyo.
@johnmike6059
@johnmike6059 2 жыл бұрын
Eti ebu mwambie maana anasifia ujinga commando comando
@chidodoozkid1122
@chidodoozkid1122 2 жыл бұрын
Raia awezi kuelewa kuna comando wembamba lkn hatareeee
@mombafaraji2394
@mombafaraji2394 2 жыл бұрын
Sure
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@winterkasela9033 Sura , tochi , mtungi na bastora wewe unafikiri huo ndio ucomando 😂😂😂 Comando anaewza akawa ata mwanaume mwenye sura nzuri, sasa tazama warabu wachanese wakorea na Japanese hao asilimia kubwa hao ndio wenye sura nzuri zaidi na pia ndio wenye hatari kubwa katika mambo ya kikomando tena na ndani yake wapo na warembo vile kwani wewe hupo dunia yangapi nduguyangu 😅 Ukomando hupo wa aina nyingi visu bastora wanajeshi wote utumia, ndio nyinyi mkimuona kila mtu mwenye sura mbaya mnafikiiri pia ana roho mbaya vile vile
@husseinnkuna4260
@husseinnkuna4260 2 жыл бұрын
Yeeeeeees mwamba huyu hapaaaaa teteteeee teteteeee hatariiiiiii... Jichanganye uone😂😂😂
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
Naipenda jwtz 🇹🇿
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 жыл бұрын
Maaskari wa bongo wamebaki kuwa wa maonyesho kama ni kamanda kweli hebu mpelekeni ukren ndo mtajua kama ni komando au ni kilaza tu 🤠🤠
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 2 жыл бұрын
Ukraine mh? Hta ungekua ww komando ucngeenda unadhan nan anakubal kule c kama unaplekwa kibiti
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@abdulazizmwipi9295 eti kibiti 🤣🤣🤣🤣
@clementsabuni75
@clementsabuni75 2 жыл бұрын
Jamani wampeleke hata hapo congo tuu akaoneshe ukomandoo wake kama akiweza kupambana na waasi baasi ndo atakuwa comandoo haswaa.
@mathayokihwelo7390
@mathayokihwelo7390 2 жыл бұрын
Acheni makasiriko, na nyie mkafanye maonesho kwani mmezuiwa!? Tamaa tu ndio zimebaki
@erickphilipo6058
@erickphilipo6058 2 жыл бұрын
Ukraine kwa nn . Kat yy kaapa kuilinda tz
@believesiwale4404
@believesiwale4404 Жыл бұрын
Jamaa kapungua sana saiz Yupo pale kigamboni marine special force
@danielimeshack3712
@danielimeshack3712 2 жыл бұрын
Chuma hiko hatari sana kama unamkubali gonga like nyingi sana kwake
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 2 жыл бұрын
nimeishia kutabasamu
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Hicho chuma Ni made in Tanzania
@amina8665
@amina8665 2 жыл бұрын
Obadia mzee wa kazi kazi,,ila na nguzu zetu unakuta Mwanamke mdogo anatufanya tunanyooka na kuwa wapole shetani wa wanawake ni noma.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Maashallah maashallah daa mwili Nyumba kifua kalai kono nondo maashallah
@lusajokafuko3450
@lusajokafuko3450 2 жыл бұрын
😂😂
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
Mmh
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 2 жыл бұрын
Lakini pindi muda wake ukifika anaposhukiwa na Malaika anayetoa roho za watu basi hatokuwa na nguvu yakunyanyua hata ukope wake!!
@erickphilipo6058
@erickphilipo6058 2 жыл бұрын
Hata ww vivyo hivyo
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 2 жыл бұрын
Dunia inawatu wa aina Tatu,waongea pumba ,waropokaji na wale wanaoua watu wanaosema ukweli Katika jamiii Kazi kuongea wivu kazi za watu nakuwaombea vifo tu wakati ukipewa hata ulinzi wa geti kwenu huwezi
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
@@charlesboniphace2249 😅😅😅😅💯
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Kwakweli 🤲 ni mtihani 🤔
@nyokonyoko7990
@nyokonyoko7990 2 жыл бұрын
Jiuliza kwnz kwnn umeongea hvy....ndugu yng ww ni mchawi
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 2 жыл бұрын
Hawa kwa wake zao mrenda tu kweli mapenzi nyoko!
@mackdonardnyondo9201
@mackdonardnyondo9201 2 жыл бұрын
Ww ni kenge
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@ambroceharouna364
@ambroceharouna364 Жыл бұрын
Sa mapenzi yahusika vipi apo
@fabianndimanya2055
@fabianndimanya2055 2 жыл бұрын
Very prestige kwa wazazi wake wanaomwangalia✍️✍️
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 2 жыл бұрын
Kuna watu humu wanatoa kashfa sana,,kuwa eti hamna kitu apo,,,hebu nenda na ww ufanye ili tuone kuwa nikawaida,,,kila mtu nakazi yake,, acheni dharau jmn
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Kwakweli
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Tena hakuna mbwa wenye dharau kama Watanzania
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 2 жыл бұрын
@@missmwayway4704 sanaaa,,wanaonaga kila kitu ni rahisi tu
@mananievans3646
@mananievans3646 2 жыл бұрын
Ni kama Tanzania mko na Wanajeshi hodari sana Duniani kuliko nchi yoyote ile
@afrodailytv4335
@afrodailytv4335 2 жыл бұрын
physically yeah...lete wakorea wako uone kichapo watakula
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 2 жыл бұрын
Wewe sio mtanzania
@mananievans3646
@mananievans3646 2 жыл бұрын
@@anoldpotentin2446 ndyo mm si mtanzania lakini kulingana na vle mnajisifia Wanajeshi wenu, ni kama wao ndo hatari kuliko Wanajeshi wowote Duniani
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 2 жыл бұрын
@@mananievans3646 Yes unafikiri tusipowasifia wanajeshi wetu, nani atawasifia? Watanzania tunapenda vitu vyetu na tuko proudly navyo wakati wote. Alafu fatilia historia ya Jeshi letu hakuna Jeshi lolote la Africa lenye historia iliyo tukuka kama Jeshi la Tanzania
@mananievans3646
@mananievans3646 2 жыл бұрын
@@anoldpotentin2446 lakini na mbona Hilo jeshi lenu halijapelekwa huko Ukraine kumsaidia mrusi ambaye anaendelea kuangamizwa ka Kasi mno!
@sponsorboyofficialtz1191
@sponsorboyofficialtz1191 2 жыл бұрын
Mm uyo namchapa tu asijichanganye kwangu ukomando ni uko mm ndo master
@geraldswai5492
@geraldswai5492 2 жыл бұрын
Huyu siyo Komando Bali huyo ni MP.maana yake ni military police komando hawezi kupewa kazi ya kulinda uwanja kazi ya komando kubwa ni kusaidia jeshi lake pale ambapo wanajeshi wakawaida wameshindwa pia wamepewa mafunzo Maalumu Tofauti na wenzao.Kwa hiyo huyo hapo ni Askari wa jeshi wanaitwa MP.
@davidmloge7277
@davidmloge7277 2 жыл бұрын
Hujui jeshi
@jumaramadhani5861
@jumaramadhani5861 2 жыл бұрын
@@davidmloge7277 kwani kwenye mkono wake wa kulia kuna kitambaa cha aina gani
@mohammadabdallah2147
@mohammadabdallah2147 2 жыл бұрын
mm ni mwanajeshu kwenye macomandoo wapo mp kila kikundi jeshini lazima Liwe na mp maana ya mp ni watoaji azabu na mp kwenye Kambi anaweza kumtesa mkubwa wake alomzidikwa cheo
@mahmoudmwamba8014
@mahmoudmwamba8014 2 жыл бұрын
@@mohammadabdallah2147 ....mwambie huyo kakariri hajui kuwa kila kitengo jeshin kina kilanja ambae ndio mp
@rolax1999
@rolax1999 2 жыл бұрын
Hujui jeshi n komando mp dictecive
@goodluckngapulila6379
@goodluckngapulila6379 2 жыл бұрын
Uyu jamaaa namkubari sana amenifanya nitamani kuwa mwanajeshi na nimeambiwa anaitwa obadia ila natamani kuonana nae
@theosaimon6933
@theosaimon6933 2 жыл бұрын
Bro ni vizuri kuwa na ndoto hizo na ni vizuri kutembelea ndoto zako ?kama kweli unapenda jeshi ?ulipende kisawasawa? Ila utambue jeshi sio lele mama unahitajika kuwa mkakamvu haswa? Kabla haujavaa hilo kitambaa kigumu ,chanye rangi aina tatu ?nikimaanisha kijani mchanganyiko na nyeusi ikikolezwa na rangi tangawizi?watu wengine wakiita baka baka utambue kuna tanuru kubwa na zito inabidi upite?kwanza Sio rahisi unavyofikiria? Inabidi uwe mkakamavu sio kitoto ila tembelea ndoto zako na siku moja utafika
@mtuiart
@mtuiart 2 жыл бұрын
Sasa mbona amekaa tenge si atachoka sasa ....hamna mwamba kwenye gogo anakunja sura vzuri tuu chooni 😎 Alafu hilo li fire extinguisher la nn sasa si kuna magari ya zimamoto Bongo bhana
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 2 жыл бұрын
😀😀😀
@andrewbigambo6721
@andrewbigambo6721 2 жыл бұрын
Tuwe serious Libya Iraq walikuwepo .mabeberu tunaowakumbatia wakikinukisha hamna kitu kama komando.komando anaweza kwepa risasi tuache kujazana ujinga.ni ajira tu ila siku hizi kinachoangaliwa ni technology tu.makomando kazi kubwa labda wakalinde viwanja vya mpira au mabausa kwa walevi bar
@IsackMosses-sp7ry
@IsackMosses-sp7ry 3 ай бұрын
JWTZ makomando Tanzania inajivunia kuwa na jeshi imaraa.
@westhamtznalenale3093
@westhamtznalenale3093 Жыл бұрын
Huyo pia ni dancer wa kitambo sana kwenye nyimbo ya chibwa ajihiba Dance yupo sasa ni mjeshi na kasoma kawe ukwamani
@liversonmbela2735
@liversonmbela2735 Жыл бұрын
hizi ni nguo tu na maonyesho..ila tanzania msiombe vita..hao makomando nguo mnaona ni binadamu..
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 2 жыл бұрын
Kapendeza sana vp KUHUSU ELIMU YAKE?
@nelsonthuo5094
@nelsonthuo5094 2 жыл бұрын
#wajackoyahband ni #D4
@TonnyMaleko
@TonnyMaleko 4 ай бұрын
Doctor 😊 kimara
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Makomandoo wa siku hizi wana miili midogo Saaana na wala huwezi wadhania, huyo ni Askari wa Jeshi -MP
@emmanueldrawerhq7526
@emmanueldrawerhq7526 2 жыл бұрын
Kweli man MP huyo-yaani military police
@ananiamkasu8847
@ananiamkasu8847 2 жыл бұрын
Kwani komando hawatakiwi kuwa Mp?
@shaibuselemani2135
@shaibuselemani2135 2 жыл бұрын
Komando hawezi kuwa mp?
@philmoneric6256
@philmoneric6256 2 жыл бұрын
tatzo unaweza kuja kuwa hvyo alaf ukafaa kwa mapenzii tu ndo ujue maisha yalivyo
@lago7477
@lago7477 2 жыл бұрын
ana miguu ya kichaga
@scariothagreat
@scariothagreat 11 ай бұрын
unasifiaje mwanume mwenzako et uyu mwanaume kwel kwel every man is strong bro wew tu unachagua uwe feminist ama masculinity
@rogatiusscarion726
@rogatiusscarion726 2 жыл бұрын
Wengi umu naona mnamkandia lakin jamaa Yuko smart,Ni pande la mtu kwelii jeshi.linajivunia kuwa na watu Kama hawa Afu tupende vya nyumbani jamn
@theoneartist6327
@theoneartist6327 2 жыл бұрын
Nakukubali mwamba watutengenezee na movie ya kikomando 🇹🇿 🌷
@TradingPHD
@TradingPHD 2 жыл бұрын
Don’t bring your karate to a Gun fight 😎 gafla Pahhh.. man down
@missangela6720
@missangela6720 2 жыл бұрын
😂😂😂
@lusajokafuko3450
@lusajokafuko3450 2 жыл бұрын
😂
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 2 жыл бұрын
😂😂😂😅🤣
@mrcardano1203
@mrcardano1203 2 жыл бұрын
Kaka nikuelimishe, ukisikia komando sio wa hivyo ulivyosema et karate, huyo anauwezo wa kupotea kama upepo na usimuone na kuna vifaa vingi wanavyo, commando ni extre physical fitness mkuu
@TradingPHD
@TradingPHD 2 жыл бұрын
@@mrcardano1203 ahahah 🤣🤣🤣 anaweza kupotea kama NINJA.. mara paah komando ka disappear
@FebroniaBakulilehi
@FebroniaBakulilehi 8 ай бұрын
Nimekubali aisee
@joventbilungi1332
@joventbilungi1332 2 жыл бұрын
Uyo sio komando tutolee umbea apa
@fadhiludumana5524
@fadhiludumana5524 2 жыл бұрын
Orbadia From 841 Mafinga KJ Nimekukumbuka Sana kaka Mkubwa
@michaelmgaya5191
@michaelmgaya5191 2 жыл бұрын
Majeshi sana msenge uyo 😂😂😂
@shaibuselemani2135
@shaibuselemani2135 2 жыл бұрын
Ni komando kweli?
@fadhiludumana5524
@fadhiludumana5524 2 жыл бұрын
@@michaelmgaya5191 ahaahahhah kumbe Umemkumbuka 😂😂😂😂 Sema Bado Hajaenda coz ya komando Ujue
@fadhiludumana5524
@fadhiludumana5524 2 жыл бұрын
@@shaibuselemani2135 hapan Huyo ni Mp (Military Police...) POLISI WA KIJESHI
@tanzaniaunforgettable4401
@tanzaniaunforgettable4401 2 жыл бұрын
Huyo n MP bana...... military police
@Mohammed-vy4vw
@Mohammed-vy4vw 2 жыл бұрын
Kwanguvu yote hii tulonayo kwenye majeshi yetu kama tungeitumia kulinda lasilimali zetu wenyewe zisiende kujenga nchi nyingine tusinge lalamika maisha magumu 🤔😏
@maishastambul1362
@maishastambul1362 2 жыл бұрын
Daaah braza umenena ukweli salute
@clecencechrispine6396
@clecencechrispine6396 2 жыл бұрын
Acha kututisha mwanahabari huyo ni MP😂😂😂siyo mwamba
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 2 жыл бұрын
Mwamba wa nini jamani tusitiane ujinga izo mbavu tu hamna lolote kidole tu tu kikimuuma usk asubuhi anakimbilia hospital.
@japhetjacob7674
@japhetjacob7674 2 жыл бұрын
Jaribu uone
@djwinnertz
@djwinnertz 2 жыл бұрын
ila mbele ya mwanamke ana ujanja akunaga ukomando kule
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 2 жыл бұрын
Hahahahahahaaaaaa!!!!!!
@jeffchurum1431
@jeffchurum1431 5 ай бұрын
I find it very funny😂 kamba na fire extiguisher zinatumika wapi hapo.
@vituscharles9029
@vituscharles9029 Жыл бұрын
Anafanana na mandonga
@chamwilambomusa4447
@chamwilambomusa4447 2 жыл бұрын
Now the world is moving to the war without man kwa kuwekeza kwa technologia xx sisi tunasifiana ujinga. Tho wanakuwa na umuhimu kwa some missions lkn tukaze buti sio muda wa kusifiana kama we are the top in quality aaaa aa nooo
@Users2523
@Users2523 2 жыл бұрын
Huyo akiingia anga zangu namuikalisha na ukomandoo wake woote💪💪💪
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tanzania bhana ukihama uwe na sababu zako
@ambroceharouna364
@ambroceharouna364 Жыл бұрын
Nenda
@paschalmahonajulius3530
@paschalmahonajulius3530 2 жыл бұрын
Komando pekee ni JACOB MATATA. kwa hapa Tanzania
@ghost_worker01undetectable63
@ghost_worker01undetectable63 2 жыл бұрын
Hiyo mp wa kawaida... Komandoa wana baret ya maroon..
@AZAM_MEDIA
@AZAM_MEDIA 4 ай бұрын
Bora useme
@isayadaud1491
@isayadaud1491 2 жыл бұрын
Huyo tu ndo komando au kuna wengine mbona mna mshobokea sana 🤣🤣🤣🤣
@Fieryvisuals
@Fieryvisuals 2 жыл бұрын
Huyo siyo commando ni Askari wa kawaida angalia mkononi ni MP (MILITARY POLICE), commando anakuwa na eagle kwenye combat pia na ballet yake inakuwa brick red
@chamwilambomusa4447
@chamwilambomusa4447 2 жыл бұрын
Mbwembwee nyiiingiii loh now technology
@abdallahsalehe8325
@abdallahsalehe8325 2 жыл бұрын
Uyoo ni mp bhna acha kudanganaya watu
@NdiyembukeJr
@NdiyembukeJr 8 ай бұрын
Mbwembwe tu hizo wapeleke vitani ndio tuone uKomando wao
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 2 жыл бұрын
Tuwekeze ktk technology
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 2 жыл бұрын
Dunia ya leo teknolojia ina matter
@abossto
@abossto 2 жыл бұрын
Kama yeye ni kommando mtume huko Somalia kama atakuwa salaama usalama wake
@abdalahasuman8740
@abdalahasuman8740 2 жыл бұрын
Awa wanafaa tuwa tume Waka saidie ndugu zetu Congo kupambana na m23
@nassorolikoko3904
@nassorolikoko3904 2 жыл бұрын
Vita drc haiishi mpaka wazungu waamue...
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@nassorolikoko3904 Wazungu au wenyewe waache tamaa zao
@nassorolikoko3904
@nassorolikoko3904 2 жыл бұрын
@@Mpakauseme kitu hicho hakiwezekani ndio maana nikasema mpaka wazungu waamue
@steventibenda5
@steventibenda5 2 жыл бұрын
m23 mpaka leo bado imara na inaendelea kufanya mauaji na uporaji kwahyo wamefeli
@badymedia9648
@badymedia9648 2 жыл бұрын
Halafu ukutwe anapigwa vibao na mkewe,mamae
@rahimomary7663
@rahimomary7663 2 жыл бұрын
Halafuuu unakutaaa anasumbuliwaaa na mapenzi Tena na kitotooo cha 2000😂😂😂😂🤣
@AdventTVOnline777
@AdventTVOnline777 2 жыл бұрын
😂😂😂
@EsterMichael-ke4so
@EsterMichael-ke4so Жыл бұрын
Chumbani roond Moja tuu Chali
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 2 жыл бұрын
Mmmm mwili huo hatoboe nampa dakika 3 tu na mwangusha
@issaathuman7345
@issaathuman7345 Жыл бұрын
sio commando huy kaka n soja wa kawaida tu
@Alllifeneedsislearning
@Alllifeneedsislearning 2 жыл бұрын
Wapeleke Ukraine wakutane na akina Putin
@sundymolls9673
@sundymolls9673 Жыл бұрын
Komandoo ni Yesu tu
@allykilimanjaro1430
@allykilimanjaro1430 2 жыл бұрын
Tumpeleke kwa Mr putn
@jastineadrick5343
@jastineadrick5343 2 жыл бұрын
Mh atariii
@martinjames601
@martinjames601 2 жыл бұрын
MP .tu huyo msimuogope hana ukomando wowote ,komando havai badge ya MP
@fakimaneno8930
@fakimaneno8930 10 ай бұрын
Huyu saluti mzee
@konobao9709
@konobao9709 2 жыл бұрын
Hamna kitu hapo.huyo mbona wa kawaida sana Ajichanganye usandaweni au usonjoni ale nchale wa chumu afe.
@johnmarwa4702
@johnmarwa4702 2 жыл бұрын
Kwann mnapenda kutembelea nyota za wanaume wenzenu.
@Mohammed-vy4vw
@Mohammed-vy4vw 2 жыл бұрын
Hamna kitu humo pamoja na ukakamavu wote alionao lakin kashindwa kulinda lasilimali za nchi yake zisiibiwe na wapolaji 😎😏😏
@betsonkhanboymtotowababa6163
@betsonkhanboymtotowababa6163 2 жыл бұрын
Hatari
@Izzeboy
@Izzeboy 3 ай бұрын
Oya wanangu hii jamaa njemba maninaaa😂😂😂
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 Жыл бұрын
Fire extinguisher ya nn???
@conganyoyo3195
@conganyoyo3195 2 жыл бұрын
AyoTv huyu jamaa n noma na nusu
@MrBm369
@MrBm369 2 жыл бұрын
We usiseme huyo ni mwanaume haswa. Kunawatu tuna ishinao Hulu mtaan n Hao ndo hata nzi hawa gusi Seema tu hawajapata nafasi ya kuonekana
@kuyonza94
@kuyonza94 2 жыл бұрын
Mwamba kumbe MP duuh
@khaledsalum816
@khaledsalum816 2 жыл бұрын
Sio komando n mp uyo
@masterstyle7850
@masterstyle7850 Жыл бұрын
Nice
@RahimhKhamisi-yw7ez
@RahimhKhamisi-yw7ez Жыл бұрын
Mtoto mzuri kbsaa uyo
@SundayWanyama-kn6pe
@SundayWanyama-kn6pe 7 ай бұрын
Sio kweli
@ayoubdallu4476
@ayoubdallu4476 2 жыл бұрын
OGOPA anaye vaa kofia nyekundu
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 2 жыл бұрын
Asant tanzania
@audiphoncealphonce2079
@audiphoncealphonce2079 2 жыл бұрын
Maleria tu inalaza mwili wote huo 😁
@pestodave
@pestodave 2 жыл бұрын
Rentokil for mice....
@alphakiuyo9447
@alphakiuyo9447 11 ай бұрын
Mtungi wa gas wa nini 😂 😂
@kibarabaramalande8617
@kibarabaramalande8617 2 жыл бұрын
Saa fire extinguisher ya nini bwembwe nyingine bana hazina manaaa
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 2 жыл бұрын
Elim jee?
@fransissamwel1648
@fransissamwel1648 Жыл бұрын
Daha jeshi kweli noma sn
@AlexDitto-qz1hn
@AlexDitto-qz1hn Жыл бұрын
Huyo namkalisha kwanza mzito utapiganaje kizimamoto
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 126 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
RAIS SAMIA ASHUHUDIA MAKOMANDO WAKIPIGANA MMOJA ABURUZWA NA GARI
10:00
RSS ഉം ADGP ഉം!''ഗം'  | #GUM | 13 September 2024
19:57
asianetnews
Рет қаралды 247 М.
Is peace possible with Netanyahu in Israel and Hamas in Gaza?
17:17
Channel 4 News
Рет қаралды 225 М.
The final test to become a Royal Marines scout sniper | Part three
13:53
BFBS Forces News
Рет қаралды 60 М.
Russia strips accreditation of six British diplomats | BBC News
10:56
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 632 М.