This is Original Sound from Bongo Dir @Nicklass Pro @DibroOneTouch & Vanturetz Mixing @Mafia_tz Link Up On Boomplay: www.boomplay.c... Spotify: open.spotify.c... Apple Music: music.apple.co... #Kontawa #mwalimu #BlackandWhite
Пікірлер: 1 200
@kontawa7342 Жыл бұрын
Ningependa Kuwakaribisha kutazama Video ya wangu Mpya #Mwalimu Please Nisaidie Kushare kwa Marafiki , Usiache kucomment pia. Nawapenda Sana❤️🙏🏽
@shamshabani2262 Жыл бұрын
Wakwanza kuviews
@salehsaid4559 Жыл бұрын
Champion boy hapa kutoka Zanzibar huna baya Kama nyamwinga kaka
@salehsaid4559 Жыл бұрын
Champion boy hapa kutoka Zanzibar huna baya Kama nyamwinga kaka
@Makomando-l8s Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hWGscn-Qm8qffMU
@samuellevy2564 Жыл бұрын
Unajua sanaa we jaamaa
@Robytiger-px8kt Жыл бұрын
Ngoma Kali sema nami ninabgoma yangu naomba muisapoti natumia jina Roby tiger jina la wimbo ni mandonga mtu kazi
Siwezi kuzima data mpaka nisubili dude langu Like kwangu kama tupo pamoja
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌🙌
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌🙌
@BayayiCornelius-xv5fe Жыл бұрын
Hujawahi niangusha bro.. More love from+254
@michaeljames3480 Жыл бұрын
Kaka nyimboo ya Champion ulioteaa nyimbo ,zako zngnee zoteee mbovuuu lzm. Nisemaa ukwel
@SOS_VILLA Жыл бұрын
Kama umemwona Ndaro..nipe like😂😂
@Legionbwoy Жыл бұрын
Huku kwetu Kenya 🇰🇪 Kontawa alikubalika maana nyimbo zake huwa zinahit 🔥
@mungumkubwa6432 Жыл бұрын
💪
@roytz4611 Жыл бұрын
Nahiii Ngoma ikifika na 5 on trending kontawa anaacha kufokafoka kama nyoka anahamia upande huu 😂😂me anachekaga tu. Ila masha loveee
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@unyamaunyamani5791 Жыл бұрын
💪
@kilangakomo1024 Жыл бұрын
❤
@mussaabdalla5466 Жыл бұрын
Namkibali sana huyu mwamba...kama ww ni chama la kontawa naomba like zenu🤟💥
@mohdkhalifa8828 Жыл бұрын
Hahahaa Hii lazma pia nayo kali hna mbaya kaka tawa
@Didahofficial123 Жыл бұрын
Kontawa is moving to another level, Walahi heistawa is another banger 🔥🔥. Wapi likes zangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@cardo_998 Жыл бұрын
Mnyamaaaaa mwalim sasaa
@mungumkubwa6432 Жыл бұрын
💪
@ElishaKyenga Жыл бұрын
@@cardo_998
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@unyamaunyamani5791 Жыл бұрын
💪
@samboy9441 Жыл бұрын
yaan Mr Teacher.....Umetisha Kontawa
@restojeekenya7333 Жыл бұрын
Oya wanamawita mwalimu!!!!,,,, I love this guy kontawa, it's music style is amazing, alfu kumbe mjeshi kikofia kahusika pia😂😂, naipenda hii😊
@beniardajuna2580 Жыл бұрын
Wanakuitaaaa mwalimu hii imepasua anga kinyamaaaaaa
@DavKin-f9p Жыл бұрын
Nlikuwa naisubir sana kazi hii bonge la kazi kutoka Kwa kontawa mwamba sana🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@Hemed-kw4lk Жыл бұрын
Mzee kontawa umetisha sana tunataka tukufananishe na diamond platnumz pambana sana acha na konde atakupoteza
@djwizztyga Жыл бұрын
Mwanzo nimeshangaa kusikia beat la singeli nikijua Kontawa ni Mwanaharakati nikaona kazingua huyu ila nikaona nisikize nilpofika katikati nikajikuta natabasamu na kusikiliza kwa makink zaidi na ilipoisha nikaona nianze tena 🫡🫡🤣🤣🤣
@maalimmwenge50027 ай бұрын
😂😂
@Thealthcare.education-96 Жыл бұрын
Naikubal San iyo ngoma nahisubir Tena kwahamu kubwa🎉🎉
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌
@AlexJumanne-ls5gm Жыл бұрын
Huya mwamba anaandika mistali mizuri like zake jaman
@JamesMbise Жыл бұрын
Kontawa nakukubali kinomanoma mwangu na ulipomhusisha Amasha hapo ndo umemaliza kabisa
@stanleyleonard8613 Жыл бұрын
Kontawa unaenda poteza mashabiki wish that Mashalove dress code
@auntiemylee3157 Жыл бұрын
Kaa kwa kutulia 😂😂😂
@SuperCharles57 ай бұрын
ujinga
@adolphmwangoje2887 Жыл бұрын
Htli sana kijna 😂😂
@maxwellmoshidamson322 Жыл бұрын
Mwalimu kontawa ❤ minachekaga tu
@gideonpaulo2238 Жыл бұрын
Hiyooooo imeenda mwalimu fundi
@braybah_oley Жыл бұрын
Unyama mwingi sana humu aisee... Enh bana kontawa 🔥 nakubali sana hili jiwe
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@unyamaunyamani5791 Жыл бұрын
💪
@rogathjmrema2221 Жыл бұрын
🚨🚨🚨TAWAAAAH TEACHER
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌
@globaltv_online Жыл бұрын
KONTAWA😅 MWALIMU..MIMI NACHEKAGA TU
@mungumkubwa6432 Жыл бұрын
💪
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@unyamaunyamani5791 Жыл бұрын
💪
@unyamaunyamani5791 Жыл бұрын
💪
@Real_hiphop_flow Жыл бұрын
Utawahuwa blood ujawahi shindwa
@kerlyd255 Жыл бұрын
Oya you made it my brother maua yako liacha ya creativity Ila unajua kuchora vibaya mnoo we ni MUBAYA HIII Let we enjoy men I call you TEACHER CONTA.
@unyamaunyamani5791 Жыл бұрын
💪
@frankkarua9994 Жыл бұрын
Yah imepenya hiyo ngoma Kali sana
@presentertelence1679 Жыл бұрын
Mwalimu naomba uniadhibu 🇰🇪
@vanderjoe2551 Жыл бұрын
Uwiiiiiii kweli hiphop nomaaaaa
@Mafelay667 Жыл бұрын
Mwalimiuuuuuu🖍️🖍️🖍️📢📢📣📣🚬✍️✍️
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌🙌
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌🙌
@Rajab-Raj Жыл бұрын
Ndarooooo....au basi😂😂😂😂😂😂
@AndrewGodfrey-l2p Жыл бұрын
HII IMEENDA👏🏽🌹🌷💐 yan kk kontaw ni bora wazazi wangu wa wai kufa ila sio wew ur so talentend boi yan (wale wanaosema july to jan wanahits wao kk sio kweli )# ebu kk waoneshe yan wew ni mwalim adi wa hipop acha ao ma young wasemane warogane ila wew ni mwalim wao kk sas ni zamu yako from augost to january ni hits to hits mwalim imeenda waliosem hufiki mbali waulize hapa ni wapi tuna wait another hits more hits from u kak nasemaj augost to january ni wew tu kwenye chats ndio uwaongoze kk ngojea hii iende kuwasumbua vichwa kwanz na tupate maokoto ❤like and comented by me smart kid@ officiall
@OrediAmisi-q9r10 ай бұрын
tawa mimi naishi Congo nakubali goma zako mungu akubari sana n'a kubumba île mziki mchimba makaburi n'a shamba nyimbo nzuri sana On est ensemble toujours que Dieu béni votre en tout cas tu es meilleure champion je viens kaka
@paulwilliam6053 Жыл бұрын
Tunaisubilia kwa hamu goma hilo nakukubali sana 🙏😀🙏❤🎉🎉🎉
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌🙌
@munirahstargirl Жыл бұрын
Watching from Kenya namkubali sana kontawa Tanzania nyumbani like kwake kama unaipenda ii nyimbo 😅🤗
@aloicesanga4478 Жыл бұрын
Nimekukunali mwalimu upo vizuri sanaa 🎉
@mungumkubwa6432 Жыл бұрын
💪
@badrugabba559511 ай бұрын
Iswear that kontawa is big boy Ilike
@djkiin2544 Жыл бұрын
Hatari 😂😂😂😂,,,,, nimependaaa kazi nzuri kama unaikubali hili ngoma achia like,,,,
@lukongaismael9700 Жыл бұрын
brother unajuwa kuandika aise salute
@festoismail7648 Жыл бұрын
Umeua kinyama🔥🔥🔥🔥
@salimhamad2701 Жыл бұрын
Ningekua na MAMLAKA ya kuifungia ningeifungia nchi tunaibomoa wenyewe. Wazungu wanakuja kumalizia tu. Hawana kazi kubwa tena
@officialyoungjoctz3152 Жыл бұрын
Ujawahi kosea mwamba 🔥💪
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌🙌
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@FerdinandFreddy-d6f Жыл бұрын
Kontawa ww ni shida et yaan first konde boy second kontawa mnatishaaa nyie watu
@abdillahkhamis2081 Жыл бұрын
Kontawa ww unakoelekea ni next level 🎚️
@ErastoMyuwili Жыл бұрын
Unajua kontawa mungu akunyoshee
@JOHN-RAY Жыл бұрын
❤❤❤❤😂😂😂 mwalimu kontawa , huku Kenya sabiki wako❤
@officialmkerewe Жыл бұрын
Kontawa kwamba unaweza kumpangisha chumba Cha mtihan
@dubadontv8387 Жыл бұрын
Mwalimu 😂😂😂❤🔥🔥🔥🔥
@DENNISOGINGA-rx9gc Жыл бұрын
mm apa kutoka kenya my brother akh ww kontawa n mwalimu kweli 👊👊👊👊💪💪💪
@diemsiburundi Жыл бұрын
😂😂😂😂Kama unakubali mwalimu gonga like hapa
@huzaimahassan Жыл бұрын
😂😂 We Mwalimu waovyo sana osiombe tu! Serikali ijue maana kifungo kinakuhusu🔒
@hassanmbuyu1240 Жыл бұрын
Ngoma ngali Kwa sisi vijana lakini uwezi ukaangalia hiyo nyimbo na familia mfano.baba ,mama na dada .nyimbo bila matusi inawezekana. All the best mi nachekaga tu ❤
@hezronjoseph405 Жыл бұрын
Wasenge awa wanatualibia watoto
@jacksonisaya5920 Жыл бұрын
Maadili 0 kabisa hata kwa vijana
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@unyamaunyamani5791 Жыл бұрын
💪
@kilangakomo1024 Жыл бұрын
❤
@salimchibonge5446 Жыл бұрын
Ukitaka kujua talanta ya muimbaji lazima awe story teller uko vizuri, mm nachekangaa tuu 🤡💯
@wizyqtv8428 Жыл бұрын
Mii nachekanga tu😂 badman Konta❤never disappoint
@GODLISTENWAYDA Жыл бұрын
Masha love 😂😂😂 mbavu zangu
@hillarymadali4462 Жыл бұрын
Top of the game.....KONTAWA 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@mungumkubwa6432 Жыл бұрын
💪
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@meshack2559 Жыл бұрын
Mwalimu nomah!!
@edwardnelison7485 Жыл бұрын
Kontawa✨✨✨✨✨✨✨💥💥💥mwalimu
@breymbasa3451 Жыл бұрын
ila Tanzania tuna sound nzuri sana za mziki ila poa poa ndo ianatuweka kama HATUNA sound ASILIA🙌
@kadito-music Жыл бұрын
Mwalimu tena mwalimu mkuu take your flowers from me 🫂🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
@MRTSBUILDER Жыл бұрын
Umetisha SANA mwalimu
@TIGER_TALENT Жыл бұрын
My favorite ♥️ Kontawa kiboko sana unapenda kuchapa sana😂
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌
@NengaJulenge-yi4fd Жыл бұрын
Kontawa 😄😄😄
@gellyflaour Жыл бұрын
Ubunifu mkubwa mnooo hongera
@nyirokizo8216 Жыл бұрын
imeweza Tawa...sapoti sana kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@nuhumoren5103 Жыл бұрын
Hii imeeendaaa kabisaaa 🙊😀😀😀
@MariamKwembe-q1r Жыл бұрын
Bonge la ngoma and Good Idea. Keep it up!!❤❤
@mungumkubwa6432 Жыл бұрын
💪
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@unyamaunyamani5791 Жыл бұрын
💪
@MichaelEdwrdi-jp5ve Жыл бұрын
Kwel kaka iyo imeenda big up
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌🙌
@baysadam235 Жыл бұрын
Minachekaga tuuu🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿
@RichardMurithi-kb9gu Жыл бұрын
Kontwa Kali iyo🇰🇪
@anordrussi6940 Жыл бұрын
kontawa mwalimu ❤❤❤❤
@jmvuna279211 ай бұрын
Ajabu BASATA wanaenda kinyume nyume.... Hiii kuangaliwa na wanafunzi, ni kichocheo
@bibliakitabukitamu6015 Жыл бұрын
HIZI NDIO NYIMBO za Kufungiwa Basata
@Jaydannychawaboy. Жыл бұрын
Oyah we naomba like za ndaro@tz kama unamkubali pamoja na King kontawa mwalimu ❤️❤️❤️❤️🇹🇿
@adektatu4506 Жыл бұрын
This what we call artistry at it's best. Mad respect.
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@unyamaunyamani5791 Жыл бұрын
💪
@IzackNgowi-u7l Жыл бұрын
oyaaaaaaaa yamotooooo mwalimuuu😅
@the_chemistry Жыл бұрын
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌
@mungumkubwa6432 Жыл бұрын
💪
@mungumkubwa6432 Жыл бұрын
💪
@kenjirokenya66 Жыл бұрын
Kenya tunatambua
@beyatus1196 Жыл бұрын
💪
@blonekasereka6961 Жыл бұрын
Ngoma kali saana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kontawa ume uwaaaaah
@peteradonga7668 Жыл бұрын
Hapa Kenya nikiskia KONTAWA mi NACHEKAGA tu, man you always Deliver .much Love and support from +254 Kenya
@khalefkhalef5733 Жыл бұрын
Kontawa ni mmoja 2 nchi hii nipeni like zangu wadau🎉🎉🎉
@Kinoge-j9k Жыл бұрын
🙌🙌
@POKOTMALIK Жыл бұрын
5k in 30 minutes sending salute from Nairobi Kenya mwalimu