KOREA KASKAZINI ina BALAA! KIM JONG UN azindua Makazi 10,000 ya KIFAHARI, watu wataishi BURE

  Рет қаралды 42,271

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 150
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 3 ай бұрын
Hakun nchi ino uwezo wa nyuklia ikawa maskini duniani❤❤
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 3 ай бұрын
Wamarekani ivyo wao wivu umeshahanza uyu raisi wakorea ni fimbo sheria zake ni nzuri Korean kaska zini ni inchi nzuri ❤❤❤❤ apewe mahuwa yake
@user-ql6hg7fy9p
@user-ql6hg7fy9p 3 ай бұрын
Vikwazo vinafanya kazi kwa mataifa ambayo viongozi wake hawajitambui kama wa kwetu Afrika, Afrika na Tanzania tunakwama kwa sababu tuna viongozi washereheshaji, ili tuendelee tunahitaji viongozi watendaji kama alivyokuwa JPM.
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 3 ай бұрын
Haya Mambo wamagharibi Hua hawazipendi kabisa wao wanataka waone kila siku binadamu wanateseka
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 3 ай бұрын
Endeleeni Kumuita Dikteta Lkn Yy Anajenga Nchi Yake
@nizarrama225
@nizarrama225 3 ай бұрын
Hiyo gari ina ubora kuliko gari ya rais wa marekani, point of correction
@sund2553
@sund2553 3 ай бұрын
Tanzania bado tuna Tajirisha viongozi washibe kwanza 😅
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 3 ай бұрын
Aisee vyombo vya habari vya magharibi ni watu wabaya sana sasa nani dikteta kim au wao?
@noelimori4621
@noelimori4621 3 ай бұрын
Ndio ushangaeh magharibi sio watu
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 3 ай бұрын
@@noelimori4621 😃😃👊
@mohamedmbalazi748
@mohamedmbalazi748 3 ай бұрын
Magu aluanza hizi mishe sema ndo ivo
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 ай бұрын
Nchi ambazo zimekata na kupoteza culture Yao siku zote Huwa ni WA kuyumba yumba,,,ndio sawa na tz,n.korea ni nchi ambayo IPO connected na asili yake hivo lazima wawe na umoja na nguvu
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 3 ай бұрын
Jamaa anajitahidi aendelee kujifunza. Kutupa habari za aina. Hii
@btsanime6138
@btsanime6138 3 ай бұрын
Marekani ni wapotoshaji wameisema vibaya north korea rais kim jung un vibaya nawakati yeye anapenda wanainchi wake vizuri sana.
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 3 ай бұрын
Wamarekani hawapendi haya mambo ya free maana maisha yao wanategemea sana, hawana vyanzo vingine vikubwa vya mapato
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 ай бұрын
Halaf kuna Muafrika mwenzetu kaaminishw kua Korea Kaskazini ni nch maskin kupita kias
@OmarySamata
@OmarySamata 3 ай бұрын
Daaah kiduku ana akili nyingisana
@rashadally6871
@rashadally6871 3 ай бұрын
Kwani kuna ulazima kupata like... Acheni ujinga mama...
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 3 ай бұрын
Mmarekani ni mdomo wala hawezi kupigana
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 3 ай бұрын
Skayi izimambo tunazipenda sana tenasan najiskiafalaja San kwaiyistoli naomba muendelezo 🇧🇮💐👊👊👊👊
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 3 ай бұрын
DUNIA BILA WA MAGHARIIB INGEKUA PEPONI. WANAOWEKEWA VIKWAZO WANANCHIWAAO WANASTAREHE. WANAOWEKA VIKWAZO WANANCHIWAAO WANATAABIKA.
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 ай бұрын
Halafu utasikia Korea Kaskazini ni masikini hana lolote ni nchi nzuri tatizo ni nchi za magharibi zinatengeneza maneno ya hovyo
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 3 ай бұрын
Pamoja San from 🇧🇮💐🌹 tuponanyi
@festohaule9716
@festohaule9716 3 ай бұрын
Viongozi wa Afrika Wanawaongoza Wafu.... Vikwazo vyote na Bado Korea inasonga mbele kijeshi na kisayansi....
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 3 ай бұрын
Hata Gaddafi alifanya zaidi yahayo lakini wakamsaliti nilisikia story yake nikaishia kulia tu..Sasa wamlinde kiongozi wao wakimsaliti tu tutasaidia umaskini..maana binadamu wakipata raha wanatafuta shida
@Baday_8
@Baday_8 3 ай бұрын
Wakijaribu chamoto watakiona😅😅😅
@omarmussa5755
@omarmussa5755 3 ай бұрын
Naomba likes zenu
@meekman1805
@meekman1805 3 ай бұрын
Asanteni wana Simulizi. Nawaelewa sana.
@nicholasmkama2877
@nicholasmkama2877 3 ай бұрын
Si kwanba wana mabomu ya nyuklia,wana kiwanda cha kutengeneza makombora ya nyuklia.
@pharesdismas8876
@pharesdismas8876 3 ай бұрын
Iyo gari aliyopewa kim ni kama anayotumia putin ina safety na ina features zote kwa mtu wa level ya putin the beast ya marekani aina tofauti na iyo gari kwenye ubora
@SaidiMohammed-ge5ot
@SaidiMohammed-ge5ot 3 ай бұрын
Safi sana
@Nzirubusaabudara-nb1bm
@Nzirubusaabudara-nb1bm 3 ай бұрын
Niko burundi nawapenda sana
@bekamicky1071
@bekamicky1071 3 ай бұрын
Mmmh
@omaryluhanga9387
@omaryluhanga9387 3 ай бұрын
Muengereza Alisha sema tuwafanye Africa wasipande kiuchumi, Ili waweze kututawala, na wamefanya sisi tuwe wa kupewa misada na sisi tunachekelea
@sumakitengo1356
@sumakitengo1356 3 ай бұрын
Kidukuuu
@charlesadolf1062
@charlesadolf1062 3 ай бұрын
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 3 ай бұрын
Kuomba like mbona ni kama ujinga na kutojitambua....! au ni mawazo yangu tu🤔 Mapovu luksa lkn kwa alie mgando...🤯
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Wala sio uongo ni ufala wakutupwa.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 ай бұрын
Inatakiwa ipigwe marufuku kabisa huyu ni upambavu wa hali Ya juu.
@user-zp1ij9rq9v
@user-zp1ij9rq9v 3 ай бұрын
Viongozi wanchi yetu wanawaza kulinda Amani wakati wananchi wanashida nawao wakigawana pesatu
@abuudamiani
@abuudamiani 3 ай бұрын
Mwamba katisha👏👏
@StephanoMoses
@StephanoMoses 3 ай бұрын
Song la afande sele limejaa ujumbe mzito mno ndio maana likafungiwa fasta. . Andika Afande sele BILA MAREKANI
@petermwamanga724
@petermwamanga724 3 ай бұрын
Ally nataka ufanye research chanzo cha mapato cha North Korea halafu utakuja kujua. Kwanini na vikwazo bado wanafanya matukio kachimbue zaidi
@user-ej2th7jc9k
@user-ej2th7jc9k 3 ай бұрын
Nyumba alishajenga Ghadaf huko libya. Hakuna aliyesema na watu waliishi for free. Tatizo pia waafrika tunapenda kushadidia vitu vya weupe...sijapenda. next makala nendeni libya mtuambie Ghadaf alifanya nini?
@Baday_8
@Baday_8 3 ай бұрын
Wewe nae au unafatilia chanel moja mbona habari ya ghadaf hipo lakin sio chanel hii naish inay ongelewa hap mpya ya ghadaf ni zaman kuna utofaut kidog hiyo habar yamotoooh yan
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 3 ай бұрын
Kijana mdomo mzito sana huyu
@lifeuptv6353
@lifeuptv6353 3 ай бұрын
🎉🎉
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 3 ай бұрын
Vikwazo vyamarekani avina yeyote inakua mdomo tu kwanza inchi ambazo zina vikwazo watu wao wako vizuri kuliko wale ambao wana vikwazo
@djb2kzer0
@djb2kzer0 3 ай бұрын
Kwaiyo mchambuzi ana ilinganisha korea na bongo 😟😟😳
@godfreyalphonce5646
@godfreyalphonce5646 3 ай бұрын
My lord I wonder 😮
@kodakblack3836
@kodakblack3836 3 ай бұрын
Congratulations mr kipanki ✌️
@alfasafaraja8515
@alfasafaraja8515 3 ай бұрын
Sasa bro kwanini inji zingine aziwapigi vikwazo inji za magaribi ?? Mpaka waho tu ndo wakupana vikwazo
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx 3 ай бұрын
kaka minaomba unifanyia mpango kwa alikiba nipate kazi ya utangazaji ndio kipaji pekee nlicho balikiwa namungu
@giuseppemanaos75
@giuseppemanaos75 3 ай бұрын
Mda sio mrefu Korea kusini aturudi kwa Korea kasikazini
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 3 ай бұрын
Tz wakijenga wanawapa wahindi alaf mnadanganywa Korea ni masikin amken waafrica
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 ай бұрын
Afrika tukienderea kuamini kuwa marekan na washirika wake ndo baba wa democrasia, tutabaki kuwa masikini na wenye roho mbaya sisi kwa sisi miaka 💯💯
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx 3 ай бұрын
sauti nzuri na mzigo ninayo lakini pia nim.bunifu wavipindi tofauti tofauti
@yayananajota5838
@yayananajota5838 3 ай бұрын
King Kim the men,
@Badvoice707
@Badvoice707 3 ай бұрын
Soon tanzania na sisi tutajengewa inshalaa
@chingaboy1149
@chingaboy1149 3 ай бұрын
😂😂😂😂unaota weee
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
Mchana kweupe😅😅😅😅
@chingaboy1149
@chingaboy1149 3 ай бұрын
@@MiriamAbdallah 😂😂😂😁😁🙏asaivi kunisaidi nchi inaambiwa inauhuru ila hajitawali niuhuru or uhuni kuharibu pesa zetu tu ety wanasherekea uhuru usiokuwepo hii miccm kama mijinga eehe😁😁😁hao wanamiaka 50 wapo navikwazo ila kwa Tanzania nikama kichwa na tako😁😁😁
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 3 ай бұрын
ndiomana Mimi nikiwasikia wamerekani wakisema nidikiteta nawaona niwajinga tu
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 3 ай бұрын
Ulaya na marekani ndio aduwi wa hii dunia, nadhani bila wao na rohozao mbaya za kishetani nahisi duniani pangekuwa ni mahali salama. sasa ukitizama nchi kama North Korea bila ubabe wao wasingefika hapo walipo leo lakini Je ni nchi ngapi za kiafrica zilitaka kupiga hatua zikarudishwa nyuma? Wanachokifanya wazungu ni kuwauwa viongozi ama wataalam wenye akili na maarifa.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
👊✌️👍.
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 ай бұрын
Marekani kisha sema nchi yoyote ile haiwezi kuwa na urafiki nayo kama itakataa ushoga lazima hiyo nchi hatoipenda na hatoipa msaada lazima mruhusu ushoga katika nchi yenu
@user-lc9zf6jw1r
@user-lc9zf6jw1r 3 ай бұрын
iv kweli kwa huyu jamaa,raia na watumishi wa umma gharama za maisha zikoje? maana mi naona hela zimewekezwa kwenye mabomu tu ya nyuklia
@barakakusa7606
@barakakusa7606 3 ай бұрын
Kiduku anatoa hizo pesa maana hata USA hawajafanya mradi mkubwa kama huu😮😮
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
Alaf uyo markan kama nn mnamuona labda
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 2 ай бұрын
Wizi wa mitandao
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 3 ай бұрын
Nchi za wanaumeeee hizooo sio kwetuuu huku tunaaangaika na wamama wAnazururaaa kusaini tuuu hakuna ubunifuuu
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 ай бұрын
Ww unachuki tu, nch hii ina mika zaid ya 60 tangu Uhuru huyo mama ndo kwnza ana miaka mi3
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 3 ай бұрын
​@@salehkhalfan7345hakuna kitu mama yenu kutwa nzima kuzulula na kwenda kusaini mikataba ya ajabu. Sasa kaeni muanze kuoana men to men
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 ай бұрын
@@user-ii6gs2jg4g miaka zaid ya 50 ya waliopita kabla ya Mama unaionaje, au ww Chuki zko n kw Mama tu Suala la kuoana Men to Men tu Uamuz wa mtu mwnyw hay mambl yalianzia Zaman xan na sio lazim kila Sharia ya Mzungu ufuatwe Ss kwtu Sharia wa4, atakae fata hayo Mamb ni Ujinga wke mwnyw
@Baday_8
@Baday_8 3 ай бұрын
Wewe mshamba kwel kwan Tanzania ni yakwanza kuwa na rais wa kike😂😂 hii sio nchi ya kwanz bro nyie ndio magaid wa nchi kilakitu mnaping ayasasa kagombee ww uone kama huto semwa vibaya😅😅
@Torono_95
@Torono_95 3 ай бұрын
Ongea taratibu
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 ай бұрын
Why skyworker....??
@bakariomary5781
@bakariomary5781 3 ай бұрын
Huyu sasa ndo anaishi Uongozi
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 3 ай бұрын
Imejirudia hukuikaguwa SNS
@ibrahimmakungu9711
@ibrahimmakungu9711 3 ай бұрын
Hivi Marekani akizindua makombora yake mbona hatusikii popote?
@ManOfSteel-2ruku
@ManOfSteel-2ruku 3 ай бұрын
Hivi unajua hata Bomu la nuclear alilotumia marekani kuipiga japan 1945 aliiba teknoljiia kutoka kwa mjerumani, kipindi cha allies walipoingia ujerumani kuangusha utawala wa hitler marekani aliwakuta wajerumani wanamalizia kitengeneza bomu la nyuklia ndipo akachukua teknolijia hiyo na kuihamishia kwake hatimae akalitumia 1945
@user-tn4ny3ii2t
@user-tn4ny3ii2t 3 ай бұрын
Iyo eps yakongo inatokalin
@jumabee9890
@jumabee9890 3 ай бұрын
6
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD 3 ай бұрын
Izo begi walinzi wamebeba ni zann msaada plizi
@AbdalallaBrahimam
@AbdalallaBrahimam 3 ай бұрын
Hizo silaha mkuu zinauwezo kuzuia milipuko
@user-eb2el9kw6m
@user-eb2el9kw6m 3 ай бұрын
Propaganda ndo kitu pekee kinachofanya Western countries wasikilizwe. Ukiwapuuza ukaendelea na mambo yako Hawa watu wa magharibi ni takataka kabisa
@JohnMhagama-cr7yn
@JohnMhagama-cr7yn 3 ай бұрын
Shida ni kwamba waafrika tumeaminishwa siasa za propaganda za kimagharibi,ndo maana afrika Kila uchwao hatundelei
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 3 ай бұрын
Ukifanya yako wazungu hawafurahi ndo maan Magu aliwakataa
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 3 ай бұрын
Huyu mchambuzi yupo objective ila kama akisoma vitabu sana atakua mchambuzi nguli badae
@cidewashington670
@cidewashington670 3 ай бұрын
ndugu zetu wa Magomeni mpaka leo havieleweki?
@issahilali9421
@issahilali9421 3 ай бұрын
Tatizo wa president wa African wanajipenda wenyewe
@benhamza5649
@benhamza5649 3 ай бұрын
Sera zipo hivi:: Ikiwa hukubaliani kua chini yao wakuhukumu, basi wewe ni dikteta na mwenye kuathiri democracy. Wa Africa tuamke ! Watu Kama hawa wachambuzi ni watu muhim sana kuweza kutupa maono ya pande zote. Brother ubarikiwe sana sababu western media are controlled and therefore we get what they want us to get. “ The best and true story is told by the unknown story teller “ Benh
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 3 ай бұрын
Afrika rushwa ndio inatumaliza viongozi wetu hawaonihayo nahizinika kirasiku maji umeme miaka nenda rudi niaibu
@IsmailiNiraji
@IsmailiNiraji 3 ай бұрын
Sky kwema mimi ni shabiki mkumbwa Sana nilikuwa naomba link ya WhatsApp
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 3 ай бұрын
Hyo apo
@aminaali792
@aminaali792 3 ай бұрын
Big up Korean shame on America yeye kazi yake kugawa kodi za wananchi wake tu 🙄😏hawana muda wa kuangalia mwananchi wake yaani mpaka mikopo ya elimu hawawapi insurance za hospital ni tabu kwao ila kuwakata kodi tu ndo kazi yake mbwa yule 😡
@jumalihumbo5314
@jumalihumbo5314 3 ай бұрын
Mwamba kim jong Un piga kazi dogo janja😅😅😅
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂AISEE KIDUKU YUKO VIZURI. MAANA ANAKUAMBIA YEYE MKILIAMSHATU ANAANZA NA KUBWA KWANZA YAANI NYUCLIA, BADAE MNAMALIZIA NDOGONDOGO.
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 3 ай бұрын
Magufuli hata sisi tz 6:28 hatukumpenda,kabsaaa
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
WEWE HUKUMPENDA POLE SANA
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Sema ww choko hujampenda wapende ao mashoga wenzako
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 3 ай бұрын
Sema wewe ndo hukumpenda
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 ай бұрын
Ujamaa ndio habari ya mjini wamagaribi na democratia yao ushetani tu hawana maajabu yeyote zadi ya propaganda
@user-rv9rk2jb9q
@user-rv9rk2jb9q 3 ай бұрын
Leo mimi watano nipeni like zangu sasa na mimi
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 3 ай бұрын
Alaf unaenda kuzipika na kula??
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 ай бұрын
Mnakera nyie watu wa kuomba omba vitu hewa 😢
@Baday_8
@Baday_8 3 ай бұрын
Atutakiiih😅😅
@deathrow8004
@deathrow8004 3 ай бұрын
That's child & ushamba.. Umenunua simu leo
@jogechi2105
@jogechi2105 3 ай бұрын
Siwezi tamani kuishi huko hata iwe bure
@edwardtrigga5701
@edwardtrigga5701 3 ай бұрын
Wamarekani wamekubrainwash na unaamini marekani ni sehemu Salama
@jogechi2105
@jogechi2105 3 ай бұрын
​@@edwardtrigga5701 Mitandao ipo wazi jifanyie research
@ChalomeJunior
@ChalomeJunior 3 ай бұрын
mchambuzi unaboa!!!..kwakifu unauwezo wa kuelezea atakama unajua history..sky tafuta mchambuzi mwingine
@iambaizo
@iambaizo 3 ай бұрын
Kuna documentary inayoekezea n vp serikali ya north korea inapataje pesa huku vikwazo kutoka nchi za magharibi. Kwanza mafuta hawana ila wanapata kutoka nchi za uarabuni na wanawasaidia silaha na mafuta yanaingizwakimagendo. Issue nyingine kuna wafanyakaz raia wa north korea nchi nyingne wanafanyakaz kazi na pesa zinapelekwa norh koreakwa njia za magendo kufadhili miradi ya nuclear. Kuna wengine wapo kwenye viwanda vya china familia zao zpo chni yauangalizi na pesa wanazopata zinatumwa so he not just little rocket man as refered by pres Trump but hes very intelligent man.
@songamberetv2219
@songamberetv2219 3 ай бұрын
North Korea ina maka ya mawe wanauza china ndo vitu vinawaingizia pesa
@iambaizo
@iambaizo 3 ай бұрын
Ni kweli Wana source nyingi za fedha ikiwemo deal Haram na halali pia hata ofisi zao za balozi mfano katika nchi nyingine hupangisha waingize fedha Wana mighahawa ya kiasili Cambodia ambayo wanaendesha kwa miaka 5 mitano ni yao then mgahawa wanakuachia so Wana mbinu nyingi pia teknolojia wanapewa na urusi
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 3 ай бұрын
We nae hujuwi chochote kumbe, wale wanauza makaa ya mawe mpk baadhi ya nchi za ulaya. Na silaha wanauza pia
@iambaizo
@iambaizo 3 ай бұрын
@@ismailabbas4197 soma maelezo uelewe sio kukurupuka
@amanbeyanga8055
@amanbeyanga8055 3 ай бұрын
Mdogo wangu unafahamu mambo mengi lakini haujui namna ya kusimlia na ukamsisimua au kumvutia msikilizaji
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 3 ай бұрын
Kwa upande wako huyu sio mtangazaji boss , Sky sio boya ndugu mpk kumtumia huyu Mwamba
@Zuu673
@Zuu673 3 ай бұрын
Jamani sasa tunafikaje huko😂😂😂
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 3 ай бұрын
Piga chini fisi emu
@Zuu673
@Zuu673 3 ай бұрын
@@user-ii6gs2jg4g sijakuelewa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
Uwiiiiii😅😅😅😅😅
@Zuu673
@Zuu673 3 ай бұрын
@@MiriamAbdallah hahaha
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 3 ай бұрын
Hata Tanzania viongoz wetu wajifunze maana nchi hii ina rasimali lukuki but it's people they are poor economically just bcoz uroho wa viongoz wetu kujineemesha wenyew na vizazi vyao
@festohaule9716
@festohaule9716 3 ай бұрын
Viongozi wengi wa Afrika wanawaongoza Wafu 😂😂😂😂..
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 3 ай бұрын
@@festohaule9716 si hivyo festo issue ni kwamba most of African leaders ni walafi wa Mali ndiyo maana hawapo tayari kufanya kazi kwa ajili ya maslahi ya watu.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@hamudshabani7801na pia wako chini ya hao manyangau wa magaribibi
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 3 ай бұрын
Putin kahusuka hpo bro
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 ай бұрын
Us huo ni dictator
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
KUNA WATU NDANI YA NCHI NDO HUWA WANAPELEKA PROPAGANDA ZA KUMFANYA RAIS FULANI WA NCHI KUWA MTU MBAYA, NA MBAYA NI MTU WA NDANI ANAEKUJUA KUKUHARIBIA SIFA 😊
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
KUNA WATU NDANI YA NCHI NDO HUWA WANAPELEKA PROPAGANDA ZA KUMFANYA RAIS FULANI WA NCHI KUWA MTU MBAYA, NA MBAYA NI MTU WA NDANI ANAEKUJUA KUKUHARIBIA SIFA
@betinvestment3204
@betinvestment3204 3 ай бұрын
Uyu jamaa yupo tna huku tunataka mtu mwingine tafadhali mwana SNS
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 3 ай бұрын
HALAFU MASHOGA WA MAGHARIBI WANADANGANYA KUA WAATU WANAKANDAMIZWA NA HAWANA UCHUMI 😂
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 ай бұрын
Hizo ni propaganda za west
@chancekambale3498
@chancekambale3498 3 ай бұрын
Uyu jama sio mchambuzi nagisi anaongea nikama hana uhakika wa mambo anayo ongea 😢😢😢😢😢😢😢😢
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 3 ай бұрын
Kwa ujuaji sasa, yupo vizuri sana
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 3 ай бұрын
We ndo hujui kitu
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 3 ай бұрын
Yani we kondoo kweli, sasa hapo kipi hujaelewa?
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha 3 ай бұрын
Nchi ina vikwazo lakini ina maendeleo kuliko hizi nchi zetu ambazo hata barabara wanashindwa kuzijenga
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 3 ай бұрын
Kwani wewe utamwitaje mwendazake
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 3 ай бұрын
Vikwazo vyamarekani avina yeyote inakua mdomo tu kwanza inchi ambazo zina vikwazo watu wao wako vizuri kuliko wale ambao wana vikwazo
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 11 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Russia Scooped up Western business. Is it still afloat?
23:35
Real Reporter
Рет қаралды 590 М.
VITU vilivyopigwa MARUFUKU Korea Kaskazini kwa KIM JONG UN
11:01
BONGO FASTA
Рет қаралды 41 М.
All creatures are from God #jesus #jesuschrist #jesuslovesyou
0:19
Jesus By Your Side
Рет қаралды 4,9 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
0:40
MrBeast
Рет қаралды 160 МЛН