KUFUKUZWA KAZI WATUMISHI DARASA LA SABA, MSUKUMA ALIAMSHA DUDE

  Рет қаралды 683,227

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma ametoa sharti gumu kwa serikali baada ya kusema kama aiwezi kuwarejeshe kazini watumishi wa darasa la saba walioachishwa kazi, basi iwaachishe pia ubunge wabunge walioishia elimu hiyo akiwemo yeye mwenyewe.
Msukuma ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mjini Dodoma leo.

Пікірлер: 185
@Sulemanlukumay
@Sulemanlukumay 6 ай бұрын
Upo sawa
@ALLENJUMA-r5v
@ALLENJUMA-r5v 8 ай бұрын
Asante mtanzania hàlis kwa kujaali ndugu wa tanzania
@rasbantu4835
@rasbantu4835 6 жыл бұрын
Big up Msukuma! wewe una kipaji cha asili, ulichopewa na mwenyezi Mungu. Msukuma for the President! Hapa kazi tu.
@nkalalisaka4441
@nkalalisaka4441 3 жыл бұрын
Msukuma siuje ugombee kwenye Jimbo letu baliadi mjini
@rehemajilo
@rehemajilo 7 ай бұрын
Kwa kweli msukuma mungu akupe miaka mingi
@MarryMathias-g6k
@MarryMathias-g6k 19 күн бұрын
Daaah mungu azd kukuweka
@KinyaMabuya
@KinyaMabuya 7 ай бұрын
Nimeipenda iyo mweshimiwa
@happynessjohn3904
@happynessjohn3904 2 жыл бұрын
Safi Sana ndomaana nakupenda Sana mumbunge wetu
@jenifacharles6085
@jenifacharles6085 Жыл бұрын
YupO sawa kbxa
@maxmillianebenezer9270
@maxmillianebenezer9270 6 жыл бұрын
Kaka Msukuma nakukubali sana. Your have a good speech geita amkukosea kabisaaaa
@wilbertchambilo7608
@wilbertchambilo7608 3 жыл бұрын
Daaah, safi sana
@iddothmani3273
@iddothmani3273 3 жыл бұрын
Msukuma ubarikiwe 🙏 Sana.
@davidojuok1608
@davidojuok1608 9 ай бұрын
Wisdom detected from this guy
@MakutaChrispro-lk8gj
@MakutaChrispro-lk8gj 7 ай бұрын
Nakubali msukuma wakwetu
@LiberatusiMwanakatwe
@LiberatusiMwanakatwe 6 ай бұрын
God aku bless sana kwa kutusemea wa Tz
@GaudinRuboroga-vr2jh
@GaudinRuboroga-vr2jh Жыл бұрын
Msukuma chuma Cha puaaaa👍
@MenaVenance
@MenaVenance 3 ай бұрын
Mungu akuongozee maarifa nakukubali sana kiongoz
@YussuphOmary
@YussuphOmary 6 ай бұрын
Upo vizuri sana msukuma endeleya kuongey
@WariobaMwita-so3kc
@WariobaMwita-so3kc 6 ай бұрын
Naupenda sana wimbo huu maana unipa nguvu kiroho
@eliudkitulu9187
@eliudkitulu9187 5 жыл бұрын
Nakukubali sana mh msukuma hakika unaitendea hak kaz yako ya ubunge!
@dengerengisaruni1859
@dengerengisaruni1859 6 жыл бұрын
Musukuma hatakama hawajakuungamokono lakn umeongea hongera sana kaka
@pillykimenyi846
@pillykimenyi846 Жыл бұрын
Hongera msukuma una busara ya kuzaliwa kuzidi hata wa
@josephmekaba4864
@josephmekaba4864 3 жыл бұрын
Safi sana kiongozi
@shabanmanyama1694
@shabanmanyama1694 4 жыл бұрын
Kweli kabisa Maana walio wengi nidalasa la saba wana miladi yao mikubwa hata kuna baadhi ya wabunge ndugu yao wameajiriwa na dalasa la saba
@GeorgeDeus-y2x
@GeorgeDeus-y2x Ай бұрын
Hongera msukuma
@jacobmathius3096
@jacobmathius3096 5 жыл бұрын
Namkubali san msukuma
@fredrickmalunde3426
@fredrickmalunde3426 6 жыл бұрын
akili zako angekuanazo profesa elimu ingekua mbali ,uko vizuri
@halimamwaita2929
@halimamwaita2929 Жыл бұрын
Baba.ubarikiwe.mungu.akuweke
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 5 жыл бұрын
Nafasi yako mungu anajua utafika mbali sn ktk uelewa wako
@EmanuelKiroshi
@EmanuelKiroshi Жыл бұрын
Kweli wew ukisimama kila kitu iko sawa
@innocentoder8481
@innocentoder8481 Жыл бұрын
Nakukubaliii,,,,zaidiiii
@maigathomas2353
@maigathomas2353 3 жыл бұрын
Point
@KassimMohammad-jz5ww
@KassimMohammad-jz5ww 6 ай бұрын
Point taken
@HassanKiyombi
@HassanKiyombi 2 ай бұрын
Nimependa
@EliaKinyaga
@EliaKinyaga 5 ай бұрын
Umetisha sana
@ElishaChongomabe
@ElishaChongomabe 6 ай бұрын
Hongera sana msukuma😷
@dicksonmwalo519
@dicksonmwalo519 6 жыл бұрын
Msukuma Leo umeongea maana sna,maana watu hawa wanafanya sana halafu ndo wapga kura
@MichaelSwai-p6x
@MichaelSwai-p6x 3 ай бұрын
Ongea baba tunakukubali sana
@issaabdi9129
@issaabdi9129 2 жыл бұрын
Ana point
@SOLOMASENELO
@SOLOMASENELO 6 күн бұрын
Pamoja xana
@neemaadamu3698
@neemaadamu3698 Жыл бұрын
Big app sana
@JosaphatRupily-nu4ic
@JosaphatRupily-nu4ic 5 ай бұрын
Asnt san,kwa utetezi wako nzr
@elibarikielikana1824
@elibarikielikana1824 4 жыл бұрын
Mungu akulinde sana baba
@SalumJumanne-o1r
@SalumJumanne-o1r Ай бұрын
N ukweli Mzee baba sisi watu wa dalasa la Saba wanatuzarau sana
@emmymaduka8599
@emmymaduka8599 3 жыл бұрын
Big up musukuma ww nijembe
@Emmanueli-v9o
@Emmanueli-v9o 9 күн бұрын
Uko sahihi mubunge
@atumwakafungula2064
@atumwakafungula2064 4 жыл бұрын
Hongera sanaa.
@kulwakashindye5546
@kulwakashindye5546 5 жыл бұрын
Asante kaka chapati kazi
@shijakulwa8676
@shijakulwa8676 5 жыл бұрын
Nakukubal Mr.msukuma
@koyeemollel9288
@koyeemollel9288 5 жыл бұрын
Mbona uwatete maskari wa wanyamapori wawo hawafai kurejeshwa Ngorongoro imeoza hatuna mtetezi bungeni tutete nasisi
@RajabuAbillah-uv7sf
@RajabuAbillah-uv7sf 5 ай бұрын
Lajabu abilah
@desderydidas4088
@desderydidas4088 2 жыл бұрын
Jembeee la taifaa hiloo
@JeremiahPaulo-k3o
@JeremiahPaulo-k3o Жыл бұрын
Asantee
@fideahyera2599
@fideahyera2599 Жыл бұрын
Daa huyo ndo Mbunge Sasa!
@ErickMashishi
@ErickMashishi Жыл бұрын
Go front
@mamaally6134
@mamaally6134 4 жыл бұрын
big up kaka hongera sana
@MasungaSitta-j9o
@MasungaSitta-j9o 2 ай бұрын
Www e champion
@StellaKimario-q4m
@StellaKimario-q4m 4 ай бұрын
Msukuma hoyeeee
@PaschalMasinda-gl4hd
@PaschalMasinda-gl4hd Жыл бұрын
Kweli kabisa
@JolamMagayambeche
@JolamMagayambeche 22 күн бұрын
Shikamoo kaka
@byelatibazigiza4305
@byelatibazigiza4305 Жыл бұрын
Msukuma ajengewe sanamu yake Ikulu jaman umeongea point nzri sana, darasa la 7 wanadharauliwa sana maana ata kwnye uandikishaji wa wapiga kura ua hawapew nafasi ata yakusimamia, wanaletwa walienda skondari izo nidharau nakuogeza umaskini kwnye nchi yetu,mtu anadharauliw mpaka yy mwnyew anajidharau mwsho wa sku darasa la saba anakua wakukaa tu nymbni kulima kilimo kikigoma ndo keshafeli elimu yake jaman😢inaskitisha sana ifike wakati serikali iliangalie ili kwa huruma sana jaman,ningeandka mengi lkn acha tu niishie apa
@raziambwana2145
@raziambwana2145 5 жыл бұрын
Ndofaida yakula dona na mayai yenye baba unakuwa na Akili ya Asili, lkn angekulaga zaman sembe na mayai yasio na baba ungeogp kutetea kwa vile na ww ni7.
@allymfangavoo6065
@allymfangavoo6065 5 жыл бұрын
Umeogea point Sant
@HudumaMarimbo-m4x
@HudumaMarimbo-m4x 15 күн бұрын
Ujengewe sanamu
@DanieliSaimoni-bf3nb
@DanieliSaimoni-bf3nb 8 ай бұрын
Nice
@peninanoelnoelpenina
@peninanoelnoelpenina Жыл бұрын
Vzr sana
@DanfordMboka
@DanfordMboka 6 ай бұрын
Ndy baba msukuma sema!!
@DoktaNjoolay-yz9kt
@DoktaNjoolay-yz9kt Жыл бұрын
Musukuma leo bungei
@ReubenLovvest
@ReubenLovvest 9 ай бұрын
Msukuma nomaà
@jamilasaleh9610
@jamilasaleh9610 2 жыл бұрын
Huyu ndo mbunge namba moja nnae mkubal tanzania umezungumza ukwel % from zanzibar
@andreamkilaha2225
@andreamkilaha2225 8 ай бұрын
True
@lucresiashee1289
@lucresiashee1289 5 жыл бұрын
nice🖒
@kelvinalex5644
@kelvinalex5644 6 жыл бұрын
Hilo ndoo umeliona Leo
@FrankChuma-ug4bj
@FrankChuma-ug4bj 4 ай бұрын
Matukio
@KatunziJovitha
@KatunziJovitha 6 ай бұрын
Waoo
@Ramso01-s5q
@Ramso01-s5q Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉chukua. Maua yako
@rashidmfaume1819
@rashidmfaume1819 6 жыл бұрын
upo vzr sana msukuma bonge la point
@ShijjaAshimu
@ShijjaAshimu 5 ай бұрын
Suba🎉
@nispalaurian
@nispalaurian Жыл бұрын
ndiyo na wabunge wa darasa la 7 hatuwataki bungeni
@VicentKagwa
@VicentKagwa Ай бұрын
Ni sahihi kabisa huo ndo ubunge halisia .
@AllyWaziri-bo3je
@AllyWaziri-bo3je 5 ай бұрын
Hatar jmn
@elizabethswai1790
@elizabethswai1790 4 жыл бұрын
Msukuma safiiiiii
@Rukiamussa-xe3ib
@Rukiamussa-xe3ib 11 ай бұрын
Mh.musukuma tumamaga ndugu wane
@sophiambwana6985
@sophiambwana6985 6 жыл бұрын
Umenena vizuri Mh:Msukuma.
@sylvestermadatakaswahil802
@sylvestermadatakaswahil802 5 жыл бұрын
CHIFU iviwewe nimtu gani? maana wewe haukufaa kuwa mbunge uritakiwa kuwa rais maana wewe ukiwa rais mpaka darasa lakwanza watakuwa wanaenda nagari shureni mwenyezi mungu akuzidishie uzima
@jacobpaul1145
@jacobpaul1145 5 жыл бұрын
Safi sana
@hamisiamini9320
@hamisiamini9320 2 жыл бұрын
sawa
@LeoniyJovid
@LeoniyJovid Ай бұрын
❤❤❤
@livingstoneurassa4949
@livingstoneurassa4949 6 жыл бұрын
Kweli, kusipokuwa na uangalifu wa hali ya juu, kutakuwa na matabaka ya wasomi na darasa la saba.
@JustineJohn-ow9yz
@JustineJohn-ow9yz 5 ай бұрын
That’s is a thing that matter
@MisungwiPius-ih2kd
@MisungwiPius-ih2kd Жыл бұрын
Kwahil ulinena vzr
@issapesakwanza7005
@issapesakwanza7005 3 жыл бұрын
Huyu ndom bunge asiee raza damu akiwa Bingen bigapu msukuma
@JkogaloKawagara
@JkogaloKawagara Жыл бұрын
🎉🎉
@elibarikielikana1824
@elibarikielikana1824 4 жыл бұрын
Ameeeeeen
@BonifaceSambo-ze6jh
@BonifaceSambo-ze6jh Жыл бұрын
Msukuma ni mtu wa tofauti saana, mimi binafsi namwelewa sana,namwita mbunge wa watanzania wote wa darasa la sana,maana wengine wote wanaona haya kuitwa darasa la saba,wakati hoja zake,zinaongeza umri wa kuishi.😂😂😂
@kapayasaimon4169
@kapayasaimon4169 Жыл бұрын
Uko sawa msukuma wambie ili waelewe
@hosearwechungura7164
@hosearwechungura7164 6 жыл бұрын
Mhe. waga mkorofi ila leo umeongea point, safi sana uwe hivyo siku zote!
@EdwìnLugiko
@EdwìnLugiko 8 ай бұрын
Saf2 nambie
@shabanjumanne5139
@shabanjumanne5139 4 жыл бұрын
Apo umesema kwa kwel
@samwelimsungu8312
@samwelimsungu8312 6 жыл бұрын
Kweli naamini hoja siyo elimu ni kukaa na kutafakari Msukuma unaonekana kituko lakini unaongea logical issues
@paskalifaustni
@paskalifaustni 3 ай бұрын
hongera sa 2:35 n baba sema yote
@NickTeonest-c7x
@NickTeonest-c7x 2 ай бұрын
Ruaga mpina
@LaurentEtide
@LaurentEtide 18 күн бұрын
Siyo kiĺa aliye enda shule anauwezo wa kufikilia vzr wengine wenzetu na ss
@sadockmlumba9771
@sadockmlumba9771 5 жыл бұрын
Tunakushukulu msukuma
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 26 МЛН
MSUKUMA AMUWASHIA MOTO LUHAGA MPINA BUNGENI
6:21
Global TV Online
Рет қаралды 163 М.
MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.
10:48
"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA
10:05
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН