I'm from BURUNDI. Joel Nanauka is not teaching only Tanzanians but the World
@faidandaha1174 Жыл бұрын
Exactly really seen and noted
@joelnanauka Жыл бұрын
Thank you, let’s keep learning
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Huu nao ni Ukweli 💯 Mtupu lazima upige esabu ,Ndugu Nanauka Shukrani Sana............
@frankmisalaba9225 Жыл бұрын
kila siku najifunza na fursa nazidi kuzipata. mungu akubarik xan
@SaidMakaba Жыл бұрын
Saw mkuu Mungu akubali sana unakufunza vitu muhimu sana
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ahsante
@EmmanuelDaudi-g2s Жыл бұрын
One point
@faidandaha1174 Жыл бұрын
Nakupatia vyema Niko kigoma kakonko
@hakizimanagerome9274 Жыл бұрын
Nilwahi kuishi hapo kasanda
@joelnanauka Жыл бұрын
Tuendelee kujifunza
@meshackngadango6855 Жыл бұрын
Big up my mentor Joel nanauka
@bahatikamihanda3689 Жыл бұрын
Ongera uko vizuri, lkn kama kuna lazima kutumia kingereza jitahidi kutafasiri kwani unatuhacha wengi nyuma.
@andersonleheni7860 Жыл бұрын
Ninahtaji hata sk moja nikuone tuu maana napata vtu from kwako
@glorykavishe-q6m Жыл бұрын
Uko vizur mkuu
@JanvierVenas-ro9us Жыл бұрын
Nime kuelewa mwalimu wakimataifa
@Mama-A Жыл бұрын
Much love from kenya
@evodiamangula8691 Жыл бұрын
Mungu akubariki zaidi sana Tena fanikiwa katika Mambo yote kutoka njombe nakufutilia sanaa
@meshackngadango6855 Жыл бұрын
Njombe sehemu gani Evodia?
@officialmagreth479 Жыл бұрын
Ur blessed sir 🙏🙏
@Yohana-tt3sn Жыл бұрын
Utabadirisha maisha yangu mwalimu mungu aendelee kutoa neema ya maarifa
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen
@FelistaMollel-x3j Жыл бұрын
Mm niko Nairobi nakupata vema wewe mwalimu mzuri sana
@joelnanauka Жыл бұрын
Thank you, let’s keep learning
@rizikimwaikugile6040 Жыл бұрын
Thank you so much
@johnkonakuze9700 Жыл бұрын
🙏🙏
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina
@chuiinternationalinvestmen719 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏👍
@HeriethSylvester-dm3nb Жыл бұрын
Cjawahi kuacha kukusikiza
@janetfrancis718010 ай бұрын
😅
@mukamambeba7966 Жыл бұрын
Kama kila kitu utategemea pesa yako kukipata basi your very poor person.Mwaka 2015 aliyekuwa the former prime minister E Lowassa aliamini pesa ingempitisha kuwamgombea wa urais.Lakini cha kustaajabisha Hayati JPM aliyekuwa hana watu wengi..yeye alikuwa na watu wachache waliokuwa na value kwake kama B Mkapa,aise cha kustaajabisha jamaa alitoboa.😅
@justinmwenda7449 Жыл бұрын
2030 tunakupa kura RAIS...
@godfreymwenesho1770 Жыл бұрын
Kaka punguza English tukuelewe ote
@alicenice1711 Жыл бұрын
Alie kwambia usiende shule nani 😂😂
@chuiinternationalinvestmen719 Жыл бұрын
Msikilize kwa Makini Godfrey akiongea English anatafsiri pia, Omichooo hhhh.