Рет қаралды 3,530
Oktoba 14, 2022 ni siku ya kumbukizi ya kifo cha Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais kwa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwl. Nyerere alikuwa mstari wa mbele kukemea na kupambana na rushwa. Makala haya yanarejea baadhi ya matukio ambayo Mwl. Nyerere alizungumzia tatizo la rushwa nchini.