Je suis congolais! Nilijifunza kidogo kuhusu Mwalimu Nyerere. Maintenant, j'ai la chance de le découvrir en profondeur! C'était et ça restera un grand intellectuel, un grand philosophe, un grand Maitre!
@richardgaya396510 ай бұрын
The rapport he had with the audience!!!!!!!!!.....the honesty of his ideals and ideas he genuinely had for the Nation !!!! Mwalimu was a very rare exception on the Continent!!!
@johnramadhani32414 жыл бұрын
Mwalimu jk nyerere alikuwa anakipawa kutoka kwa mungu
@mussamgonola39833 жыл бұрын
Hayati Nyerere alikuwa mwalimu, Hayati Magufuli alikuwa mwalimu da Yatupaswa kutafakari walale kwa Amani ma genius hawa Mungu alitupenda watanzania cha ajabu wema hawadumu
@emmanuelbonifas35175 жыл бұрын
Sauti hii bado inaishi mungu akupe pumzk la milele mzee hakika wema awana maisha
@ABSTemu Жыл бұрын
"Ogopa Kama Ukoma" - Serious Message, People Laugh!!! Sad!
@calvindete65775 жыл бұрын
Too much wisdom from Mwalimu...very tough question for the future African leaders..
@dothomswata44074 жыл бұрын
hakika huyu mh.dkt john pombe magufuli anastahili pongezi kwa kila mtanzania
@vince_vinson.20834 жыл бұрын
Dah...! Magufuli anahusikaje hapa tena ?
@leonardchoma37659 ай бұрын
Huu ulikuwa mwaka 1995, Mimi nilimpokea airport na wakati wa hotuba ya Mwalimu Nyerere mimi nilikaa katikati ya sehemu ya eneo la kuchezea mpira
@oscarkasalile39666 ай бұрын
Hongera Sana kwa kumpokea Baba was Taifa
@makasimuhindo3448 Жыл бұрын
Ni viema Sana kuhifazi hutuba kama n'a hizi Mwalimu alikua sujaa kweli hongera kuleta uhuru Tanzania
@jeremiahmasunzu34373 жыл бұрын
Kiongozi aliyekubali makosa yake na kujisahihisha Mwanga wa milele akuangazie eeh bwana Upumzike kwa Amani.
@nickosisto51442 жыл бұрын
Asante baba wa taifa letu njia ulionyesha,.Hii ni hotuba ya. Mei mosi. 2995 mbeya uwanja sokoine.
@ibrajust34645 жыл бұрын
you are one of the best mzee Nyerere
@gosbertrwezahura36455 жыл бұрын
Hongera saaaaaana Rais Magufuli. Una uchungu na nchi ya Tanzania kama Mwalimu alivokuwa. Tunamshukuru Mungu kwa ajili yako.
@sendamalweyo7914 жыл бұрын
Gosbert Rwezahura ...
@salvatorymtunga28022 жыл бұрын
Magu alikuwa hana uwezo hata robo kumfikia Nyerere, Nyerere wengi hawamjui kuwa alikuwa hataki ukabila wala ukanda wa ziwa, hakuwa mpendelevu kikabila.
@ayubunsajigwa39355 жыл бұрын
Jamani Wahariri mnapotosha watu hii sio hotuba ya mwaka 1969 ni mwaka 1996 baada ya Nyerere kustaafu Urais mwaka 1985 na vyama vingi kuanza tena 1992
@amoswailesdeule63735 жыл бұрын
Uko makini sanaaa🤗🤗
@edwardmkwelele4 жыл бұрын
1995
@olexanderj.69692 жыл бұрын
Ijumatatu Mei mosi 1995
@williamshao78932 жыл бұрын
Hii ni hotuba ya Jumatatu ya Mei Mosi 1995 na si ya mwaka 1969
@PatrickJoseph-vw2tn5 ай бұрын
Nyerere M eya
@mtumishimtumishi38284 жыл бұрын
Mwaka 1995 Mbeya Mei mosi
@richardgaya396510 ай бұрын
Vividly explains the whole concept of Exploitation of the Working Class and Class structures of/in Society!!
@lilianrobet90455 жыл бұрын
Uyu kweli baba wataifa
@hangiroetincelle81673 жыл бұрын
In the world,they are 4 important people,people of all the time: Martin L king Mandela,Madiba,Nelson Ghandi Nyerere Julius
@samsonkayioni22183 жыл бұрын
My brother you have not had from Malcolm x...I'm sure you will be fascinated by him
@leonardchoma37656 ай бұрын
Mandela no, maybe for the sake of the Imperialists.He handed over everything to the whites.He wasn't a true African hero.
@simbaamani13183 жыл бұрын
Unforgettable Mwl J K Nyerere mazungumzo hai !!
@worshipandmeditation82732 жыл бұрын
It is so sad All this Serious Talk as a wake up call was taken as a comedy show and people laughed SO INSANE NO WONDER TANZANIA IS MORE POOR THAN WHEN IT WAS 60years ago lack of seriousness on very important things... Kweli umaskini wa Fikra ni kitu kibaya sana
@ramadhankayaya54843 жыл бұрын
Mbona mmeondoa sehemu ya hotuba
@masikaraphael28234 жыл бұрын
Akinunua,kanunuliwa.kama amekopa atalipaje?.mwalimu ulikuwa na busara.
@lemburismollel23933 жыл бұрын
Hii ni hotuba ya Mei Mosi Mwaka 1995 na sio Mwaka 1969
@abdalahmrisho3076 Жыл бұрын
Kweli kabisa ni 1995 nilikuwamo siku ile ndani ya uwanja wa Sokoine
@johanesbina13022 жыл бұрын
KAMA magu vile jamani🤗🤗🤗💞💞💞💞🙏🙏🙏
@salvatorymtunga28022 жыл бұрын
Kumlinganisha magu na Nyerere ni kama mbingu na dunia,l Nyerere hakuwa mkabila wala gange za kanda.
@danfordmageche58062 жыл бұрын
The Great message
@charlesmwambinga43553 жыл бұрын
Ili kukuza ueleea wangu na Busala hua lazima nimsikilize Nyelele..Mandela Kaunda...na Kenyata
@BeatusKLeon2 жыл бұрын
The title is misleading. Nyerere made this speech on May Day 1995
@agustinothadeus2 жыл бұрын
Inaonekana hata aliyeipost sidhani kama ameisikiliza vizuri kwani dakika 36:02 Nyerere anasema "Viongozi wanaotaka kuingia katika awamu ya tatu ya uongozi", moja kwa moja hii inaonesha ilikuwa katika vuguvugu la uchaguzi wa 1995
@bakarikhatib741010 ай бұрын
Wengine hawana utaratibu wa kuuliza hata kama hawajui
@surusuru1994Ай бұрын
😂😂😂hapa nimechka walekezeni wa Zanziba ndo kitukindog utasikia Tanganyik
@kalumbugideon4159 Жыл бұрын
Kichwa cha Afrika.
@mwasisobajohan76412 жыл бұрын
dah pumzika Baba wa Taifa mwalimu Nyerere
@vince_vinson.20834 жыл бұрын
Mwaka 1969, Kwanza kulikua hakuna vyama vingi. Hebu rekebisha hicho kichwa cha habari.
@ABSTemu Жыл бұрын
This is NOT 1969! Ulipublish Rekebisha!
@kambamazig020247 ай бұрын
Hii haikuwa hotuba ya 1969 bali 1995 Mbeya! Waandishi mnahitaji ku-cross check na ku-vet information yenu kabla hamja-post kwenye mitandao.
@leonardndossy5602 жыл бұрын
Hotuba hiyo haikutolewa 1969 rekebisha mwaka wa hotuba hiyo kwa usahihi wa kumbukumbu
@danielmwanjali24492 жыл бұрын
Huo mwaka umekosea. Ilikuwa may day 1995
@muftybawesy4 жыл бұрын
sawa kabisa
@edwardmajanga3977 Жыл бұрын
The true son of Africa
@edwardmajanga3977 Жыл бұрын
Saws kabisa
@prosperfrumence43423 жыл бұрын
GENIUS
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Cha kimoja tuko China 🇨🇳 makufuli lazima badilisha chama azisha chama kipya
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Lazima tulete maendeleo Tanzania na lazima chama cha majambazi kibadilishwe
@King_Of_Everything5 ай бұрын
👍👊✌️
@yessemwakibete2458 Жыл бұрын
Hiyo hotuba haikuwa mwaka 1969 ilikuwawaka 1995 na Mimi ni miongoni mwa watu waliompokea airport ya zamani.baadaye sokoine Mbeya ambapo alitoa madini hapo Moja kati ya hotuba nzuri kuwahi kutokea.
@kelvinjelas39239 ай бұрын
Binafsi mara zote nafarijika sana kuisikia sauti hii.
@kelvinjelas39239 ай бұрын
Lakini nafurahi zaidi kuhusu uwepo wako Yesse Mwakibete katika tukio hilo muhimu katika historia ya Nchi yetu.
@BS-kl9yf4 ай бұрын
Wametuchosha na usambazaji wa historia kwa kubadilisha miaka. Imebakia hao kuanza kusambaza hotuba za Mwalimu wakidai ni ya 1389.
@fitinamagambo70143 ай бұрын
😊 pp@@kelvinjelas3923
@nidalhimidi18905 жыл бұрын
Majina Jina Haya - Tanganyika Au Zinjibar/Zanzibar Ni Mabandiko Ya Watawala/Wageni - Wajerumani Na Masultani Kutoka Oman.
@alialamoudi97294 жыл бұрын
Huyu ameitawala nchi kwa nguvu sana miyaka thelathini NA tano anakataa mtu awe rsisi huko zanzi bari aliua waafrika NA. Waarbu kinyama walizikwa kwenye. Mashimo makuba angalia Google utaona maajabu ni adui wa waaslaam nchi iliendelea baada kifo chake ikawa tajiri NA hapo alipokuja makufuli ameitengeneza nchi NA watu wengi. Walitaka ungereza irudi afathali kuliko huyo rais karurudisha nchi maskini duniani NA usisahau alivamia uganda wakafa elfu ishirini kwa nchi ya uganda raia ameua bila huruma mtu yo yote anasimama mble yake ananghnia uraisi muda mrefu sana sana mpaka mungu amemleteya kensa wa damu akakaa angalia kama mtoto mdogo mwaka mzema nitakufa nitakufa mungu amepa athabu duniani NA ahera itampata mchema kuni
@musanap5 жыл бұрын
This speech was in 1995......
@hangiroetincelle81673 жыл бұрын
1969
@musabarnabas7628 Жыл бұрын
Ndio 1995, mtoa posti amedanganya kimakusudi kabisaaa.
@gracaconceicao46352 жыл бұрын
that was 1995, not 1969
@tonnsimbasportsclub71685 жыл бұрын
Wengi wanafatilia vityu visvyo vya muhimu
@kiatu5 жыл бұрын
Hii ni hotuba baada ya JKN kustaafu. At 38:08- Sheria imekosea kuzuia wagombea (urais) binafsi...Ni kukosea kwa msingi..
@khalfanmashamba99363 жыл бұрын
Hekima na busara nyingi za mwalimu Julius k nyerere zimedumisha amani na usalama nchini
@bakarikhatib741010 ай бұрын
Mwaka 1969 hakukuwa na OTTU
@sakarimomoi70404 жыл бұрын
1995 mwandishi bebu jiongeze 1969 nyerere bado alikuwa Raisi wa tz, na speech tu inaonyesha sio raisi wa nchi
@edwardmkwelele4 жыл бұрын
Ni shida tu waandishi wa kitanzania wanachotaka tu ni viewers tu ili wapige pesa to you tube hawajali facts
@ismailnoor67294 жыл бұрын
smejko sakari kaleta umaskini tu hakuna elim hakuna chochote kaleta kuma tu
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Yaaa kaleta umaskini tu na katunyima education chama cha majambazi na majangili wakitoka ktk nchi tutapata maendeleo hata Kenya wamebadilisha chama cha upinzani kilishinda Malawi Burundi Rwanda Zambia ss hawa wataachilia serekali whith day
@edwardmkwelele4 жыл бұрын
@@ismailnoor6729 Siyo rahisi kwa watanzania kama ulivyosema tumenyimwa elimu ya utambuzi na uthubutu na tumejawa na ubinafsi wa viongozi na watendaji wengi wanafikiria maisha yao wana wasiwasi kikija chama kingine hawatakuwepo walipo ndio maana wanataka chama kishinde kila mara ili waendelee kuwepo walipo kwa faida yao pia katiba haina nguvu ya kuendesha uchaguzi huru na wa haki inapendelea chama kinachokuwa madarakani. Subiri safari hii ushindi kwa CCM itakuwa 100% siyo simple kuitowa CCM
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Edward Alex Mkwelele hapa kuchukuwa bunduki lzm tu hukuwe bunduki kama boko haram ndiyo tutapata chetu
@sylvanuskavindi27563 жыл бұрын
Rekebisha, hotuba hii ni ya mwaka 1995 sio 1969
@koleshntagwa23682 жыл бұрын
Hatuna budi kuyaenzi maono yake
@robertlyaunga32622 жыл бұрын
Mwalimweweulikuajembe
@micamathew25953 жыл бұрын
Mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania vilianzishwa 1992, sasa hiyo 1969 ni ipi???
@mussamgonola39833 жыл бұрын
Kuanzishwa rasmi ni 1992 ila vilikuwepo havikutambulika
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Kumayo na mchonga menu na makufuli nachama cha majambazi hata mufanye nn hamta fikia Kenya
@yassarsuphian55994 жыл бұрын
stress zako peleka kuzimu huko mbwa wewe.
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Yassar Suphian ww nn na ccm munalazimisha watu siyasa mbovu umaskini unakusumbua lazima kuwe na mashindano kwenye siyasa siyo kitulazimisha siyasa ya mbumbavu Nyerere na umpumbavu wa wala rushwa kama ww
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Hapa ni kutafuta silaha ili makufuli atolewe kwa bunduki na siyasa mbovu za Nyerere Tunakuja na vijana waliyo jitolea muhanga kufa ili ccm itoke ktk serekali yetu kwa bunduki ss
@macknonkibona24013 жыл бұрын
Kenya inatuhusu nini sisu si sikiliza hotuba za kenyana kwa mstagabali wa ardhi yenu na ukabila nyerere anaingia vp kenya?
@zingibarofficinale83513 жыл бұрын
Edit huo mwaka please
@doktamathew Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Salisalum10 ай бұрын
1969????
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Huyu mpumbavu rais nn matatizo yake lazima tu Amin maendeleo yaletwe na yeye sindio rais
@francismapugilo24352 жыл бұрын
Siyo mwaka 1969 ila ilikuwa 1986 nadhani
@gosbertrwezahura36455 жыл бұрын
Huyu Mzee alikuwa ni zawadi kwa Watanzania na Afrika nzima kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Alikuwa na akili na busara isiyo ya kawaida.
@vickyabdul48125 жыл бұрын
Jamani wa Tanzania mumushukuru Myenyezi Mungu kumpata Maghufuli kama rais sisi wenzenu tunaliya wivu.
@elastonmbwilo35815 жыл бұрын
Hutuba hii sio ya 1969 ni ya May day 1995 nilikuwepo Mbeya kama Mkuu wa Wilaya
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Gosbert Rwezahura mshenzi huyu kaleta umaskini na umpumbavu wa shule za kimpumbavu na dunian hajulikane kama rais wa maana Bali dictator tu huyu sawa na makufuli tu hakuna maendeleo ya maana kujisifu tu
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Akili za mchonga meno mpumbavu na hana adabu katuntuma elimu na maendeleo lazima chama chama cha majambazi kitolewe madarakani ili tupate maendeleo
@gosbertrwezahura36454 жыл бұрын
@@ismailnoor6729 Unaelewa unachoandika ndugu?
@shabantelack5716 Жыл бұрын
How 1969
@zingibarofficinale83513 жыл бұрын
..
@mustafamatu55085 жыл бұрын
Nice
@mtumishiwangu76835 жыл бұрын
Huyu kwel baba wa taifa
@mtumishiwangu76835 жыл бұрын
Huyu kwel baba wa taifa
@dothomswata44074 жыл бұрын
huyu kweli mungu ampumzishe mahali pema amina amana alifanya kazi yake vilivyo hakika tutamkumbuka daima
@rashidmkwinda234 жыл бұрын
Its 1995
@pascaljumanne11796 жыл бұрын
60billion
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Sipendi kujipendekeza ktk viogozi wanaoleta umaskini African president who wanted ya sell Africa some didn't know how to be president stupid leaders should resign
@neteregines39414 жыл бұрын
hacha ujinga wew ni nani atakuletea maendeleo yako kama si wewe mwenyewe
@edwardmkwelele4 жыл бұрын
Haikuwa mwaka 1969 rudia kumbukumbu zako kama si 1990 basi 1995
@micamathew25953 жыл бұрын
Mfumo wa vyama vingi vilianzishwa1992
@semeninyerere35734 жыл бұрын
1969?
@vince_vinson.20834 жыл бұрын
Nimejiuliza swali hilo hilo ?
@daudmsomba24393 жыл бұрын
Ni hotuba ya maymosi 1995 mbeya
@oleiei4345 жыл бұрын
Jamani hotuba ya 1969? Na kwa nini nywele za rais ni za rangi ya kijani?
@ayubunsajigwa39355 жыл бұрын
Ni ya mwaka 1996 sio 1969
@elastonmbwilo35815 жыл бұрын
Hii sio hotuba ya 1969 nihotuba ya may day 1995
@elastonmbwilo35815 жыл бұрын
Mimi ni shahidi nilikuwa Mkuu wa wilaya ya Mbeya
@edwardmkwelele4 жыл бұрын
1995
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Huyu mpumbavu siyo baba wala babu ni mshenzi tu huyu
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Mshenzi huyu
@nancymwangi7926 Жыл бұрын
mshenzi ni babako aliye kuzaa tu
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Kama sio upumbavu wa Nyerere Tanzania 🇹🇿 egekuwa kama misr au Egypt
@edwardmkwelele4 жыл бұрын
Ameondoka miaka zaidi ya 30 iliyopita sasa mbona haijawa kama Misri acha uongo na Misri yenyewe pia haina tofauli sana na Tanzania hata kwa sasa
@yassarsuphian55994 жыл бұрын
naona we jamaa nina uhakika kabisa aidha una akili pungufu au umerogwa
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Yassar Suphian mama yako mwenye akili finju kumamayo na rais aliyeleta umaskini Tanzania kumalamamazenu na siasa mbovu hamkubali kushidwa wala mshindani siyasa ya ukoloni tutachukua silaha ndiyo tulete mapinduzi nchini
@isackrichard96324 жыл бұрын
Pole Sana kk najua Usha olewa huko
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Isack Richard Pokea. Salaam za mume wako kotoka makaburini julias k Nyerere anataka kujufira kwa kutumia tech ya ss
@mosaidi26334 жыл бұрын
Acheni kumpongeza huyu mzee yeye kaifanyia nini tanganyika tokea awe raisi ni umasikini tu hadi kafa ,wacheni kumuona mungu hakufanya kitu isipokuwa kuimeza zanzibar tu
@issaguyashi83214 жыл бұрын
Mungu akusamehe
@petermabiki77983 жыл бұрын
Natamani ningejua umezaliwa mwaka gani. ila hata kama umezaliwa 2002 bado akili yako haina akili.
@stanfordjoseph15853 жыл бұрын
Wewe mzima Kweli?
@medardsotta52113 жыл бұрын
Soma vizuri historia kabla hujaongea 'mdogo wangu'!
@tumlakimwaitumule3 жыл бұрын
Mpaka leo hii hujajua roles Za nyerere? Kwanini ulikimbia shule?
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Mshezi huyu
@rmwashu4 жыл бұрын
Mshenzi baba yako.. Alipaswa kuvaa condom
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Rainer Mwashu kumalamayako ndiyo lilifanya kosa
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Rainer Mwashu wajipendekeza kwa baba yako kuma tu. Yeye and you just numbered nothing more
@rmwashu4 жыл бұрын
Tatizo ni malezi
@ismailnoor67294 жыл бұрын
Rainer Mwashu babu yako alifanya kosa la kujipendekeza kwa mchoga menu tv kaweka kwake tu kumalamayake mwenyezi mungu ampe athabu ya milele motoni mshezi kaweka chama cha majambazi kutawala mbaka tupoteee dunia kwa sababu ya wapumbavu Kama nyie stupid thinking Nyerere is only leader but don't forget other leaders who opposed his leadership now kwa sababu ww umepew hela please don't fool people
@dicksonmhilu11215 жыл бұрын
Hahahaha unatakiwa uwe na roho ngumu kutoa majubu haya