15 Langoni na Kilonzi

  Рет қаралды 14,524

MzeeBarwani

MzeeBarwani

8 жыл бұрын

Bwana Aman Thani anaendelea kuhojiwa na Profesa Ibrahim Noor katika mwaka 2000. Anaeleza shida zaq gereza ya Langoni. Mwezi wa Ramadhani, Kilonzi (mkubwa wa jela) aliwaachia wafungwa kupokea vyakula vikavu kutoka majumbani. Pia Kilonzi aliwapunguzia saa za kazi na kufanya darasa za dini mwezi huo mtukufu.

Пікірлер: 9
@ummusamira3518
@ummusamira3518 7 жыл бұрын
Innalilahi wainnailaihi rajiuni yarabi msamehe dhambi zake alipitia mazito mola mpe faraja huko aliko madhalim mola wangu unajuwa wewe jinsi yakuwahukumu ila Inasikitisha saaana anahadithia kwahisia kubwa
@rahmarashid1670
@rahmarashid1670 5 жыл бұрын
Amin yarrabi walifikiria na wao hawatokufa
@MrKhatibu
@MrKhatibu 8 жыл бұрын
Shukra
@salumhabib2178
@salumhabib2178 8 жыл бұрын
Ahsante kwa kutupatia historia ya 'nnchi yetu, email address hii salim197148@yahoo.com. Adam. Naomba unitumie hii CD yote kwa pamoja, naomba jina la kitabu na wapi nitakipata?
@MzeeBarwani
@MzeeBarwani 8 жыл бұрын
Natumai kitabu cha marehemu Sheikh Aman Thani utakipata hapa: documents.tips/documents/ukweli-ni-huu.html
@ummusamira3518
@ummusamira3518 7 жыл бұрын
Huyu mzee kwani ameshafariki?
@MrKhatibu
@MrKhatibu 7 жыл бұрын
Ummu Samira . Ndio Allah amsameh makosa yake na ampe malazi pema.
@MUSTAFAAHMED-bj3bn
@MUSTAFAAHMED-bj3bn 11 күн бұрын
Tayari
16 Kutoka Gerezani 1967
13:15
MzeeBarwani
Рет қаралды 27 М.
17 Yalomkuta Saleh Sadalla
16:08
MzeeBarwani
Рет қаралды 33 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 20 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR NBS & OCGS
3:35
Nbs Tanzania
Рет қаралды 4,1 М.
Napenda Hii Sehemu ya Kauli ya Mwalimu Julius Nyerere.
1:37
DMM Visual Channel
Рет қаралды 88 М.
MAISHA YA ALLY SYKES
1:19:54
Mwanahistoria MohamedSaid
Рет қаралды 28 М.
21 Haki Lazima Ipatikane
13:11
MzeeBarwani
Рет қаралды 21 М.
16. Amani Thani: Kisa cha Hanga
24:11
Hilmi Hilal 259
Рет қаралды 4,5 М.
1  Mwaka wa Mwanzo Jela
11:42
MzeeBarwani
Рет қаралды 11 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН