SHEIKH ALI BIN MUHSIN AL BARWANI NA SIASA ZA ZANZIBAR

  Рет қаралды 76,966

Bin Seif

Bin Seif

8 жыл бұрын

Sheikh Ali Bin Muhsin Al Barwan akielezea alichokifahamu kuanzishwa kwa vyama ya siasa Zanzibar hadi Mapinduzi

Пікірлер: 128
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv Жыл бұрын
Nimemuelewa sana huyu mzee Allah amuhifadhi kwa kweli nimeijua historia ya nchi yetu ya zanzibar Allah awasamehe masheikh wetu na wazee wetu na ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa kweli nimekuelewa sana sheikh Ali muhsin kwa kweli tumedanganywa na ccm historia na mapinduzi ya zanzibar
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 Ай бұрын
kumbe huyu nyerere mulikuwa mukimlea sasa alikuwa akija kufanya nini na Tanganyika ilikuwa mbali kumbe kaanza fitina zamani sasa kaja kumtembeza mgeni wake kwani hapa kipindi hicho palikuwa kwake siengeenda akamtembeza Butiama kwa mama ake huyo mgeni wake
@bunamay1000
@bunamay1000 5 ай бұрын
Mola Allah amrehemu na ampandishe daraja peponi, Aameen
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv Жыл бұрын
Kamwe katika maisha yangu kwa hii historia sitoshereherekea mapinduzi ya zanzibar
@abbiecox1
@abbiecox1 Ай бұрын
ukisusa wenzzako wala! ila nawaombea sana muipate znz yenu kisha mtajionea ushuzi utakavyonuka! mshirazi mgunya mpemba mtamwagana tu mna visasi ninyi
@muhammadsalim2614
@muhammadsalim2614 3 жыл бұрын
Mashallah
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu analipa kwa Ubaya waliowatendea watu waliokua hawana hatia yoyote kwa kuwatesa, kuwauwa na kuwafanyia machafu ndio mana hadi sasa shida hazishi Zanzibar, Maisha magumu hio ni dhuluma ndio inawarudia. Ingawa hadi sasa bado Serikali ya Oman inafadhili ujenzi wa majumba ya zamani na mambo mengine lakini waliodhulumiwa wengi wao waliuliwa.
@abbiecox1
@abbiecox1 Ай бұрын
dunia nzima ina shida sio znz tu
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 Ай бұрын
wewe lakini unaakili nchi zote duniani zina shida ? llabda hii Zanzibar
@abbiecox1
@abbiecox1 Ай бұрын
ABEID KARUME THE BUTCHER OF ZANZIBAR ALIWAFUNDISHA ADABU WAARABU NA WATOTO WA MASURIA ADABU YA UKWELI!
@hajimakame1062
@hajimakame1062 4 жыл бұрын
Waengreza wabaya sana
@salimzahor5181
@salimzahor5181 6 жыл бұрын
جيد
@abdullkilawi5504
@abdullkilawi5504 8 жыл бұрын
Memori
@khadijaamrani6282
@khadijaamrani6282 Жыл бұрын
Tunge faidin sana haswa sisi tulizaliwa na vizazimvya oman.wallah twapiga vita kila mahamali tumekuwa duni.
@khadijaamrani6282
@khadijaamrani6282 Жыл бұрын
Kweli kabisa mzee wangu
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 5 жыл бұрын
Hebu na wana CCM waeleze na wao wanavyofahamu Dola ya Zanzibar kabla ya Mapinduzi ,sio kutudanganya eti mama zetu wakifagilishwa kwa maziwa(matiti).
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
👊👍✌️.
@chibaboy5803
@chibaboy5803 8 жыл бұрын
gud history bin seif
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 5 жыл бұрын
Kila aliyewafunga waislam na kuwahujumu laana ya Allah imfikie huko aliko kama kafa basi zimuendee kaburini huko. Sisi waislam baba yetu wa taifa ni nabii Ibraahim na hatuna mwingine wala hatutamkubali adui wa mtume Muhammad S.a.w kuwa kipenzi chetu. Utawala wetu utarudi tu chini ya Quran na sunnah
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 жыл бұрын
Allahumma amiiiin yaarabbal aalamiyn
@alvinbenito9115
@alvinbenito9115 4 жыл бұрын
Baba yenu wa TAIFA kwani sio AMANIABEID KARUME
@mtambalaalinoti
@mtambalaalinoti Жыл бұрын
Kumamako sisi waafrika
@hisqueen7419
@hisqueen7419 3 жыл бұрын
The legend
@osmannassir1515
@osmannassir1515 2 жыл бұрын
Slavery is Slavery. Tusijaribu kuhalilisha utumwa.Europeans,Arabs and Africans wote waliusika all is called slave owners.tusijaribu kuhalalisha mtu yeyote utumwa.explain who owned that land before all those foreigners arrived? When we talk about Africans,rembember Africa is a continent so is bigger than England and Oman.
@osmannassir1515
@osmannassir1515 2 жыл бұрын
Brother watuambia weather of Oman na Zanzimbar?Stop using the word Makhadimu.Hilo neno wewe mwenyewe asili ya hilo neno.
@osmannassir1515
@osmannassir1515 2 жыл бұрын
Neno moja tu kama Hizb maana yake ni kikundi,icho kikundi chaweza kikawa cha malengo tofauti tofauti.lazima tupate neno la kuongezeaili tuelewe nikikundi cha nini?
@osmannassir1515
@osmannassir1515 2 жыл бұрын
Love it or hate it,before those foreigners arrived to Zanzibar,zanzibar had Natives where are they in your political History telling.Maneno kama Mtwana my God shame on you guys
@osmannassir1515
@osmannassir1515 2 жыл бұрын
The only place in Oman palipo Ardh ya kilimo ni Sulala only remaining ni pure desert
@stevescot5650
@stevescot5650 5 жыл бұрын
asante Kwa elimu japo yapasa kufahamu walikua watawala wetu ,hapo mimi ndio hoja yangu ya msingi ipo ni kwamba walikua na ujamaa wa karibu sana na Oman wakiwa ni vizazi vya huko ,Kwa kuwa kipindi cha vuguvugu la uhuru na kujitawala miaka ya 1960's lilipokua lipo moto ,waafrica wote Kwa pamoja waliona haja ya kujitawala wao Kwa tabaka lao likishika hatamu baada ya miaka ya ukoloni barani Africa , maana ikumbukwe kuna baadhi ya makoloni walisema hawatoki (mifano Rodhesia/Zimbabwe , South Africa,Namibia,zanzibar etc ) kwakua baadhi ya maeneo hawatoki sababu hawakukuta Mwafrica yoyote akiishi mahala pale, pili hawana pa kwenda na niwao ndio wameleta ustaarabu Africa etc
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Ww. Ndo fala
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
@Tafari Kassai tena ni kisiwa cha Tanganyika ila tu miaka hiyooooo mingi ilopita alikua aishi mtu mpaka alikuja mwaarabu na meli zao ndio wakakiona kile kisiwa na kuanza kuishi, na wakaanza kuja bara na Africa ya karibu kuja kuchukua watu weusi na kuwaleta hapo kisiwani na kuwafanya watumwa wao na kuanza kuzaliana, na ilibidi wamuondoe mwaarabu kwani sio kwao kaja tu pale na mtu mweusi kupajua pale kisiwani ni kwa ajili ya mwaarabu kwani walikuja na meli zao na kuanzisha mji,ila Ardhi kweli ni ya Tanganyika ile kwani tuko karibu na wanzanzibari ni watanzania period ila wapemba ndio hawautaki utanzania wanataka uawarabu na kudai nchi yao ili tu mu Oman arudi pale ambapo haiwezekani pale ni East Africa.
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
hujasoma history vizur
@jumajorn8932
@jumajorn8932 4 жыл бұрын
nyerere na karume ndio madui wa zanzibar tusifichane bwana
@msakuzikondo536
@msakuzikondo536 Жыл бұрын
Nyerere na Karume ni mashujaaa
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 11 ай бұрын
Dunia hii mwenye nguvu ndio mwenye haki. Anafanya anavyotaka. Ndio maana waingereza wakaivunja dola ya Zanzibar. Kwa sababu ya nguvu zao. Hii dola itarudi pale itakapopata nguvu tena.
@user-ss5cf4re9x
@user-ss5cf4re9x 4 ай бұрын
Hayo hayaelezwi ktk historian y znz heko sana
@masamainvestment9995
@masamainvestment9995 Жыл бұрын
Safi Mzee tupe shule
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 5 жыл бұрын
Historia ya ukweli unaipata kwa wazee hawa na sio za wanasiyasa waliokumbatiwa na maadui wazungu ili kuuficha ukweli na ukoloni ulikuwa kwa ajili ya kuwauwa waislam na uislamu na mambo mengine kama mapinduzi, azimio la arusha, vijiji vya ujamaa n.k ilikuwa ni njama pamoja na kuiuwa jumuiya ya kiislam ya east Africa na walipanga makubwa mno ila mungu kaepusha matokeo yake na dola ya kiislam inarudi na itarudi na hakuna ataeweza kuizuia tena wala kukabiliana nayo hata wangeungana na majini na kumiliki dilaha gani. Nafurahia na naona fakhari kuwa muislam.
@stevescot5650
@stevescot5650 5 жыл бұрын
JARIBU TENA UONE TAFADHALI ...
@stevescot5650
@stevescot5650 5 жыл бұрын
asante Kwa elimu japo yapasa kufahamu walikua watawala wetu ,hapo mimi ndio hoja yangu ya msingi ipo ni kwamba walikua na ujamaa wa karibu sana na Oman wakiwa ni vizazi vya huko ,Kwa kuwa kipindi cha vuguvugu la uhuru na kujitawala miaka ya 1960's lilipokua lipo moto ,waafrica wote Kwa pamoja waliona haja ya kujitawala wao Kwa tabaka lao likishika hatamu baada ya miaka ya ukoloni barani Africa , maana ikumbukwe kuna baadhi ya makoloni walisema hawatoki (mifano Rodhesia/Zimbabwe , South Africa,Namibia,zanzibar etc ) kwakua baadhi ya maeneo hawatoki sababu hawakukuta Mwafrica yoyote akiishi mahala pale, pili hawana pa kwenda na niwao ndio wameleta ustaarabu Africa etc
@GlobalSouthObserver
@GlobalSouthObserver 2 жыл бұрын
Mapinduzi yalikuwa ya kuondoa udhalimu wa waomani kwa waafrika
@kamanyolabilajasho3833
@kamanyolabilajasho3833 2 жыл бұрын
@@GlobalSouthObserver sasa hivi mnakaliwa na mkoloni mweusi mwenzenu..fyooo...
@GlobalSouthObserver
@GlobalSouthObserver 2 жыл бұрын
@@kamanyolabilajasho3833 angalau mkoloni mweusi kuliko muomani ama mwarabu
@ritchiemuta1092
@ritchiemuta1092 Жыл бұрын
Hii stori inafirahisha na kufikirisha tatizo haina reference kama miaka au machifu wa kibantu ili kujua ukweli halisi Hivyo kama stori za kijiwe ipo safi
@abbiecox1
@abbiecox1 Ай бұрын
huyu ni Arabian pupet hawezi kutuambia wahadimu walipotelea wapi
@davidarabian5004
@davidarabian5004 5 жыл бұрын
يجب ترجمة هذا التاريخ ..يا عمان العظمى مجرد أتخيل ارسال ١٢ الف جندي من عمان إلى زنجبار ليس بأمر هين .هل يعرفون الأجيال العمانيين تاريخهم. كم انتي عظيمة يا عمان
@user-qe9ot4kl9u
@user-qe9ot4kl9u 3 жыл бұрын
هل انت عربي؟ من أين لك اسم دافد؟ إن كنت عربي لماذا لا تترجم أنت، فالترجمة تعتمد اللغة وليست جنسية.
@osmannassir1515
@osmannassir1515 2 жыл бұрын
Great for what?
@osmannassir1515
@osmannassir1515 2 жыл бұрын
Oman was a colonial power just like British and France
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@@osmannassir1515 Oman na Zanzibar zilivamiwa sambamba na Makafiri wa Potugal na baadae Oman na Zanzibar zilitawaliwa na Makafiri wa Uingereza. Zote zilipata Uhuru kutoka Uingereza.
@abbiecox1
@abbiecox1 Ай бұрын
aliyesafiri na kuwakuta watu yeye ni mgeni tu huyo kama alivyo karume na wazazi wake na wengine wahadimu wako wapi hata leo hakuna mabaki yao! je waliuliwa au; hebu vipindi vijavyo utujuze mshirazi na mngazija wanajulikana walikotokea muhadimu yuko wapi!
@imbamohamed358
@imbamohamed358 4 жыл бұрын
Wee Mzee Sultan alivyipinduliwa Oman walimkataa ....Zanzibar ni nchi ya waafrika
@drfarouk7691
@drfarouk7691 4 жыл бұрын
Imba Mohamed muafrika ni nan !?
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Kabisa kwani kisiwa kiko mbali sana na Oman pale mwaarabu walikuja tu na meli zao miaka hiyoooo mingi iliopita ndio wakatia nanga pale na kukiona kisiwa kitupu, ndio kuanza kuishi na kuja kuchukua watumwa bara huko na Africa, na baadae wakaanza biashara za utumwa mzee haongei ukweli wote, ila visiwa hivyo viko ndani ya Tanganyika kabisa.
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 жыл бұрын
Tulia bwana mdogo dawa iingie endelea Barwani ss hatuna shaka na maelezo yako huko sahihi mwenyeenzimungu akuweke mahali pema peponi
@husseinfarid2883
@husseinfarid2883 2 жыл бұрын
@@teddyoscar6876 Wacha ujinga Tanganyika na zanzibar wapi na wapi khulka tofauti, Mila tofauti
@mzeesaleh3136
@mzeesaleh3136 2 жыл бұрын
Karume kwa Malawi Malawi na zanzibar wapi na wapi visiwa vote duniani watu wamechanganyaaa huuu kama mtu hajachanganya anajiona yeye ndo muafrica hukuu kisiwani watu wamechanganya choyooo na chuki za nyerere na karume kumbe walikuwa wanapenda rangi rangi watu wa baraa maaana baraza la mapinduzi wote wa bara kwani mzanzibar ni mbara au mtu mwenye damu ya mchanyikoooo
@ahmedghoth4945
@ahmedghoth4945 6 жыл бұрын
Islamic state
@HudayjumaTaalib
@HudayjumaTaalib 2 ай бұрын
Ww ndomzungumza ukwel
@mosaidi2633
@mosaidi2633 3 жыл бұрын
Mwarabu akioa Mtu Mweusi ila Mtu mweusi hawezi Kuoa Mwarabu wala Muhindi, ilikuwa hakuna Haki,na yapo Mengi tu siwezi Yaandika hapa!!!!!
@asilclub
@asilclub 3 жыл бұрын
Andika unogopa nini Oman imejaa watu weusi hatuna ubaguzi wa rangi sote ni binaadamu
@mangofish9079
@mangofish9079 2 жыл бұрын
Kwani lipi la ajabu mbona mpaka hivi leo familia za kiarabu za kiminal ally na za kihindi wanaoana wenyewe kwa wenyewe itokee tu ndio Pandu na Jecha unaoa na hata hivyo huyo Pandu akidhi viwango na vigezo la sivyo muarabu na mhindi atamuowa ktk usingizi tu kiufupi tu kila sehemu chembeche za kiasili miongoni mwa jamii hazikosi kuwepo. Lakini tumchukue mwanamke wa kiafrika wala si muarabu anaejipata unadhani atakutaka wewe kwa sababu ni muafrika au mweusi? Yaguju watu huangalia vigezo babu weee. Familia nyingi japokuwa sio zote za waarabu walijishughulisha na mambo ya kilimo wahindi na biashara walikua wakijipata kwa uwezo wao tena akamtoe binti yake aende sehem hata mlo mara 1 kwa siku hakuna uhakika. Na acheni uongo hakuna muafrika aliekuwa akikatazwa kulima au kufanya biashara au kusoma ama chochote kile na kama upo ushahidi na sio porojo za midomo familia ya kiafrika kunyimwa haki au kuuliwa. kuteswa, kubakwa, kudhulumiwa mali na kama hayo kweli mbona basi inashindikana hata kuwahoji japo kidogo tu kwa waliopo hai bado na hasa ktk kipindi hichi cha kusheherekea mapinduzi yenyewe?
@husseinfarid2883
@husseinfarid2883 2 жыл бұрын
Not true one good example ni Ma Barwani we ywe wamechanganya sana tu. Wacha chuki dhidi ya waaarabu
@husseinfarid2883
@husseinfarid2883 2 жыл бұрын
hyo its not about utawala sasa mtu hakutaki utalazimisha ww mjing sana , kwani saivi haipo kama hutakiwi ndio hutakiwi u can not ofrce things kasome hem
@mangofish9079
@mangofish9079 2 жыл бұрын
@@husseinfarid2883 huyu mpe task moja tu kama ni hohe hahe sigara kali kama hivi mie mwambie akapose kwa familia inayojipata tena wala isiwe ya waarabu au wahindi iwe ya kiafrika hasa ya kibantu halafu tuone kama hatoangaliwa kama vigezo anavyo vya yeye kupewa huyo mke anaetaka kumuoa. Tatizo hawa wamerithishwa propaganda chafu nyingi ktk hii jamii.
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 6 жыл бұрын
Naomba kuuliza waarab waliopo kuja Zanzibar walikuta visiwa havikai watu
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
@Ali Ali 😂😂😂😂wacha weeee
@stevescot5650
@stevescot5650 5 жыл бұрын
@Ali Ali kaka samahani ila hukujibu swali la Dada Kwa haki .. nadhani hujamuelewa .. swali lake nadhani au hoja yake ilikua na yeye anashangaa kuwa eti visiwa vya zenji vilikua vitupu bila wakazi mpaka mwarabu alipokuja .. Dada alikua upande wako lakini hujamuelewa
@kfastak
@kfastak 5 жыл бұрын
Walikuta watu weng.. hao ni wahamuaji tu .. waomani ikiwa nchi ni Yao mbona walikimbia.. ....
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 жыл бұрын
@Ali Ali , Omba msamaha kwa Allah Jalal kwa ulichoandika. Lugha uliyotumia hata wazungu wa leo hawawezi kutumia. Sifa ya Muislaam ni vitendo na kauli nzuri. Maandishi yako yachemsha damu yangu kwa ghofu kubwa kwa Allah adhabu yake isikufikie kwa kukosea kwako. Allah akuhidi na kauli kama hizi.
@princethaly3648
@princethaly3648 4 жыл бұрын
Walikuta watu tena waliokua wakijitawala wenyewe kwa utawala wa jadi
@lenniefei6710
@lenniefei6710 8 жыл бұрын
Maelezo muafaka Sheikh,ndio sie Waafrica tujielewe na tujue tulipotoka na tulipofika sasa.Uongozi wote upo mikononi mwa "Waafrica" lakini madhila ndio yamezidi kupita kiasi!!!
@amirithabit5802
@amirithabit5802 5 жыл бұрын
@Ali Ali mbona huna adabu.kumbe ndo sababu mkapinduliwa
@salehally8007
@salehally8007 4 жыл бұрын
@Ali Ali hili ali sijui jana kharamu la wapi
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 жыл бұрын
Ile kuacha wizara ya usalama mikononi mwa waingereza ndio tatizo lilopelekea umwagaji damu mkubwa wa 1964..
@user-fn8on5lf8m
@user-fn8on5lf8m 6 ай бұрын
We mkundu
@lgffumbuka183
@lgffumbuka183 3 жыл бұрын
Mzee Muhsin ni part and parcel of our history lakini bahati yake mbaya he was on the wrong side. Historia hii ni pamoja na Ujerumani ya Hitler na ya South Africa ya General Pretorius. Ni Tuwakumbuke lakini for sure siyo wenzetu. Wamefaidika na biashara ya utumwa na pembe za ndovu na nyara mbalimbali. Mapinduzi ya Karume 1964 yaliyokomeza utumwa, kuwashabikua kina Muhsin ni kushabik8a utumwa na kumtonesha Karume.
@kamanyolabilajasho3833
@kamanyolabilajasho3833 2 жыл бұрын
Sasa mupo chini ya mkoloni mweusi mwenzenu hilo kwenu excepted as long as ni "mambo ya kifamilia" kuwa mtumwa kwa mwafrika mwenzako..
@mtambalaalinoti
@mtambalaalinoti Жыл бұрын
Hiyo kweli wazee wetu walitokea Congo acheni ujinga mm siwapendi waarabu na wazungu
@abdulrahimazizshamte4622
@abdulrahimazizshamte4622 11 ай бұрын
Nichuki tu nasumu imewajaa
@abdulrahimazizshamte4622
@abdulrahimazizshamte4622 11 ай бұрын
Mbona aliuwawa baadae kidogo tu, hujui kwanini ? Na jee kwanini aboud jumbe alivuliwa urais na nyadhifa zote ?
@abdulrahimazizshamte4622
@abdulrahimazizshamte4622 11 ай бұрын
Ukiambiwa nawe jiambie, tumia akili yako mkuu
@GlobalSouthObserver
@GlobalSouthObserver 2 жыл бұрын
Waarabu wanapenda kutumia udini kuficha udhalimu wao
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 2 жыл бұрын
Si kweli kila pahala wako wazuri na wabaya kila pahala
@abdulrahimazizshamte4622
@abdulrahimazizshamte4622 11 ай бұрын
Tunajua kua mnawachukia waarabu kwakua mlitawaliwa nawazungu na waliwaketea dini mchongo na Mila za kishaitwani.
@msakuzikondo536
@msakuzikondo536 10 ай бұрын
Uwongo mtupuuuuu.Eti wabantu sio asili Africa mashariki 😂
@abbiecox1
@abbiecox1 Ай бұрын
Sheikh nikuulize swali moja tu! mbona baraza lile la mawaziri lililoundwa na waarabu wachache baada ya uchaguzi uliokuingiza kwenye uwaziri halikuwa na sura za kibantu je huini kama ingekuwa kweli hakuna uarabu ndani Hizbu wazawa weusi waliachwa wapi?
@chekajumasebunga8358
@chekajumasebunga8358 8 жыл бұрын
Good story mzee wetu, but Zanzibar au East Africa sio Europe or Oman, Zanzibar party of Africa and should be under control by African people not Oman or European.
@lenniefei6710
@lenniefei6710 8 жыл бұрын
+Cheka Juma Sebunga Hujasikiza vizuri maelezo ya mzee Barwan,amesema kutoka Oman,Zanzibar,Congo,Burundi hadi Mombasa ilikua himaya moja(dola) na wala sio ilikua under the control of Oman.Na lazima ufahamu kua waafrica wengi tuu walikua katika mamlaka kadha wa kadha ikiwemo Usultani.Kua makini upate maelezo vizuri usibabatie ufurahishe mawazo yako.
@inuyashasgirlsmao5084
@inuyashasgirlsmao5084 7 жыл бұрын
Cheka Juma Sebunga ilikua. ya warabu.hati.ziko.mpka.leo.
@stevescot5650
@stevescot5650 5 жыл бұрын
@@lenniefei6710 rudi shule acha ubishi
@lenniefei6710
@lenniefei6710 5 жыл бұрын
@@stevescot5650 Bila kuhudhuria shule ni bayana kua "waOmani" waliishi na kutangamana na wabantu bila ya tatizo lolote kwa karne nyingi tu,wewe ndio unahitaji kujivua na taasubi za kimagharibi.Ugua pole kaka.
@stevescot5650
@stevescot5650 5 жыл бұрын
@@lenniefei6710 asante Kwa elimu japo yapasa kufahamu walikua watawala wetu ,hapo mimi ndio hoja yangu ya msingi ipo ni kwamba walikua na ujamaa wa karibu sana na Oman wakiwa ni vizazi vya huko ,Kwa kuwa kipindi cha vuguvugu la uhuru na kujitawala miaka ya 1960's lilipokua lipo moto ,waafrica wote Kwa pamoja waliona haja ya kujitawala wao Kwa tabaka lao likishika hatamu baada ya miaka ya ukoloni barani Africa , maana ikumbukwe kuna baadhi ya makoloni walisema hawatoki (mifano Rodhesia/Zimbabwe , South Africa,Namibia,zanzibar etc ) kwakua baadhi ya maeneo hawatoki sababu hawakukuta Mwafrica yoyote akiishi mahala pale, pili hawana pa kwenda na niwao ndio wameleta ustaarabu Africa etc
@inuyashasgirlsmao5084
@inuyashasgirlsmao5084 7 жыл бұрын
wafrika ni waharibifu siku zoooote.
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Ulishirikiana wewe na mengereza kuwaulisha warabu 64 nani asiejua
@osmannassir1515
@osmannassir1515 2 жыл бұрын
Oman is not a rich country
@kfastak
@kfastak 5 жыл бұрын
Sasa ! unataka kusema east Africa ni ya wa Oman..!? Waarabu na wazungu walikuja afrika masharik.. nandio maana walipo fukuzwa walirud kwao.. Ilavitendo vya wakati wa mapinduz ndio havikuwa vyema kutendewa wa Oman.. kiutu
@abbiecox1
@abbiecox1 2 жыл бұрын
si vyema angerudi huko kwao hapana shaka amekili kuwa waoman walikuja tu kutawalamaana wenyewe si hawajui kutawala sasa wamefika mahali wanataka kujitawala tatizo liko wapi au anaona kupelekwa watu utumwani ilikuwa haki kwa mtu mweusi
@asilclub
@asilclub 3 жыл бұрын
Sema usiogope Oman kwetu wamjaa watu weusi wanaona na weupe hatuna kabisa ubaguzi wa rangi lakini kuchukia kwenu kwa islamu ndio mnatoa maneno ya kijinga kma hii
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 жыл бұрын
Kwani weusi weupe wameumbwa na nani? Nn kujinasibisha na Rangi?
@asilclub
@asilclub 3 жыл бұрын
Sema usiogope Oman kwetu wamjaa watu weusi wanaona na weupe hatuna kabisa ubaguzi wa rangi lakini kuchukia kwenu kwa islamu ndio mnatoa maneno ya kijinga kma hii
@abbiecox1
@abbiecox1 2 жыл бұрын
masikini huoana na waarabu waliochoka na si waarabu mbona hawaoani na wafalme acheni ujinga wa kuwafanya weusi kuwa hawana thamani kumbuka wazanziba asilia wahadimu ambao ni weusi wengine mmetoka wapi
KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
2:33:49
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4,9 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 17 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 52 МЛН
Ali Muhsin Barwan
1:02:35
Mwanahistoria MohamedSaid
Рет қаралды 18 М.
Kumbukumbu ya Sheikh Abeid Karume 2016
1:01:16
Mwanahistoria MohamedSaid
Рет қаралды 32 М.
8. Kuundwa Afro Shirazi Party, Zanzibar
14:24
MzeeBarwani
Рет қаралды 20 М.
22 Maovu ya Mapinduzi
12:26
MzeeBarwani
Рет қаралды 46 М.
11 Twala Yuko Jela
12:37
MzeeBarwani
Рет қаралды 25 М.
12  Twala Kanielezea Jela
12:10
MzeeBarwani
Рет қаралды 21 М.
Mashujaa 10 Wasiotajwa: #4 Mufti Hassan bin Ameir
1:22:52
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 22 М.
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4,9 МЛН