No video

KUMEKUCHA MAMA DANGOTE AKATAA ZUCHU KUOLEWA NA DIAMOND/FAMILIA YAIBUA MAPYA/MANGE AANIKA UKWELI WOTE

  Рет қаралды 52,083

BORAMEDIA

BORAMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 184
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
🙄🤸🤸‍♀️, but huyo mama Dangote mwisho watu watamuhisi vibaya yaani ye kila mwanamke wa mtoto wake hamtaki mmmm 🤔🤔 mtihani 👀👂👂🤸🤸‍♀️🤸🤸‍♀️
@jaberjohn7556
@jaberjohn7556 2 жыл бұрын
God have mercy. Zuchu kindly chase your career avoid this family drama.
@siyabongakzn9864
@siyabongakzn9864 2 жыл бұрын
Mama Dangote anamuogopa sanaa Zarina. Ki ukweli Zuchu she is young. Good luck Zuchu.
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Kwani zuchu sio mwanamke au kama wenyewe wamependana huyu mama dangote kila mtu hamtaki
@_.Queen_Aiisha_ross
@_.Queen_Aiisha_ross 2 жыл бұрын
Please Zuchu don't make that mistake if this news is true!!!
@annewakevo2634
@annewakevo2634 2 жыл бұрын
Why am I crying surely??? She should not dare if n must she beter leave wcb
@_.Queen_Aiisha_ross
@_.Queen_Aiisha_ross 2 жыл бұрын
@@annewakevo2634 She necessarily don't need to quit her job but stay professional with her boss... Diamond is not for her she can do better...
@gloriasabanya7678
@gloriasabanya7678 2 жыл бұрын
Hallo sioni ubaya D akimuoa zuchu Penzi halichagui. Ndoa ni andiko
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 2 жыл бұрын
Haiwezekan kwan zuchu sio mwanamke
@mwanasharashid7417
@mwanasharashid7417 2 жыл бұрын
Hatukatai lkin ajiandae tu kuwa single maza😂😂😂😂😂💃🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣maana hakuna muoaji hapo
@muzneali387
@muzneali387 2 жыл бұрын
Sio wanatamani kuolewa na Diamond wanatamani kuolewa na pesa za Diamond hizo ndio fikra zao
@monicagerald6676
@monicagerald6676 2 жыл бұрын
Wanataka urahisi wa maisha, huyo Diamond asingekuwa na hela wasingemuangalia mara mbili
@justinamarco2884
@justinamarco2884 2 жыл бұрын
It's true
@WORDOFMYCREATOR
@WORDOFMYCREATOR 2 жыл бұрын
Zuchu anataka kujiuwa na am so disappointed with her mother she can't advice her rightly.PLUS THEY SAID DIAMOND CAN'T A DARK SKINNED WOMAN.ON LOKOLE VOICE HE SAID NI RANGI CHAFU.AM SO SAD FOR ZUCHU
@lindaouma5337
@lindaouma5337 2 жыл бұрын
Black is sweet ...
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 жыл бұрын
Mmh kuwa mke wa Diamond ni kama kutembea na kitandi shingoni uku unakikaza taratibu. Sithubutu!!!
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣
@chibandamwende3676
@chibandamwende3676 2 жыл бұрын
Zuhura swahiba,utadhalilishwa ,utazaa utaaribu muda wako utaisha kimziki wewe imba tuu.....Zuchu !
@yuzarsifutv7716
@yuzarsifutv7716 2 жыл бұрын
Iyo ni kiki diamond anatoa mziki mpya kiki iyo😃😃
@fatimamowa8166
@fatimamowa8166 2 жыл бұрын
Mange sio mungu kama kila kitu anachosema ndo sawa huo ungo
@greyson67
@greyson67 2 жыл бұрын
Kama Solomon alikua na wake 700 je Diamond ninani
@maryamm7765
@maryamm7765 2 жыл бұрын
Awezi kumuowa zuchu mondi ashindana na hamonaiz atatafuta wa mbali huyo adanganywa tu apewe mimba awe makini
@fuadmohanna1089
@fuadmohanna1089 2 жыл бұрын
You go for personalities Zari boss lady is the best.you going down with inpersonality person
@Georges.Kitchen
@Georges.Kitchen 2 жыл бұрын
Mtoto akililia wembe mpe ajikate kwani zuchu ajui kwamb diamond so mtu mzur 🤣😂🤣
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 2 жыл бұрын
Hahaha nikweli Bi Fatma uyo mama ajakosea ata mi natamani kua mke wa Chibu🤣
@fuadmohanna1089
@fuadmohanna1089 2 жыл бұрын
Even Alya is good with good love and personalty
@maryamm7765
@maryamm7765 2 жыл бұрын
Mondi anamdanganya tu huyo zuchu kama alivyowadanganya hao wengine apewe mimba atulie #awe makini zuchu
@Jamillahs1
@Jamillahs1 2 жыл бұрын
Dah hapana mwanangu bora aolewe na mfanyakazi wa kawaida tu na pia ukoo uliojaa sitoweza kukubali
@marylwanalo6115
@marylwanalo6115 2 жыл бұрын
Diamond doesn't need to marry, he should just continue populating the earth with all the children he needs. He cannot settle with any woman, he is not husband material. Women are just after His fame and money. Character matters! Even of he marries he will still chase after other women.
@siyabongakzn9864
@siyabongakzn9864 2 жыл бұрын
Zuchu hongera sanaa.
@clementsemizigi7150
@clementsemizigi7150 2 жыл бұрын
Kivutio cha app iyo mange mmbea jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Zuchu listen to your heart 💖
@halimarehani7167
@halimarehani7167 2 жыл бұрын
Waache aolewe hakuna cha ajabu apo Kwan wamezaliwa tumbo moja??
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 2 жыл бұрын
Apo sasa,atami nashanga watu wanatoa povu nakum judge monde utasema aliwah kunya kweny sahani
@alhamdullilla5108
@alhamdullilla5108 2 жыл бұрын
Tumaaaa tumaaaa uwatupe umbeyaaaa🥰🥰🥰😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Hakuna muoaji hapo leten habar zingne msitumalizie bandle
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
Mm nacho sema mama dangoti ww mama kila mtu umtaki una nn ww mama mpka unaboa kashakua mtu mzima uyo acha mama mambo ayoooo
@sheilakanege9618
@sheilakanege9618 2 жыл бұрын
Wana endana ,wana fanya couple bora... ila habari ya uwongo🤣🤣🤣 Mange ata wa leteya habari zote ili mu download App yake na mu mu ingiziye hela 🤣🤣🤣
@zou7470
@zou7470 2 жыл бұрын
Ivi alia na zuchu ni maji na mafuta kisa dudu layuyu🤣🤣🤣
@kudratyramadhan3678
@kudratyramadhan3678 2 жыл бұрын
😂😂
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 жыл бұрын
NITAFURAHI SANA MAANA HADIJA KOPA ATAMFUNGA DOMO LAKE MAMA DANGOTE 😆😆😆😆
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 2 жыл бұрын
kiboko yake 🤣😂😂😂
@lifestylereviews2486
@lifestylereviews2486 2 жыл бұрын
Hahahahah
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@angelangelica5342
@angelangelica5342 2 жыл бұрын
kama mm tu
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
Ata kuwa mwanae ana mlala sio bule uyo mama jaman daaa amisa mchawi aya zuchu sijui tambiwaje
@esthermutabuzi4582
@esthermutabuzi4582 2 жыл бұрын
Habari za Diamond kuoa kila mwisho wa mwaka tumeshazizoea. Diamond hawezi kumuoa Zuchu maana ataonekana ni boss ambaye hawezi kuajiri msanii wa kike bila kulala nae. Kwa mfano Aliyaah na Zuchu ambao anasadikika kutoka nao kimapenzi. Yaani atakua mtu wa ajabu sana na brand yake inaweza kushuka na Zuchu ndio kwanza anaanza kujibrand muziki wake sidhani kama ana akili ndogo kiasi hicho...not possible!
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 2 жыл бұрын
Kama ni kweli Aliya atakuwa na hali gani
@judyngowi391
@judyngowi391 2 жыл бұрын
Jamani hata mimi natamani kuolewa na chiba akishamuoa Zuchu anioe na mie
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
Sasa mondi ana oa namwambieni iko kibibi kizeeee icho kita stajabu mwanae akioaaaa shez uyo
@azizasaid5255
@azizasaid5255 2 жыл бұрын
Subiri aolewe. Ndiyo mtamjua khadija ni nani .mumnyanyase mtoto wake.
@trixieke8462
@trixieke8462 2 жыл бұрын
Hehe nimecheka yote. Khadija kopa atawaweza tandale haha
@pamelaakinyi4769
@pamelaakinyi4769 2 жыл бұрын
SI diamond alisema hawezi howa mwanamziki kama yeye
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 2 жыл бұрын
Huyo Diamond ni muharibifu Zuchu usikubali atakuchezea tuu na atakuacha kama hao alietembea nao na akawaacha.
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 2 жыл бұрын
Diamond ni player, huyo simba hana mpango ya kuwoa
@user-id1me9ve1o
@user-id1me9ve1o 2 жыл бұрын
Yani nanyie waandishi waongo haaa 😳😳
@kwazulu5240
@kwazulu5240 2 жыл бұрын
Sikubali binti yangu aolewe na Casanova.
@theopistakajuna2619
@theopistakajuna2619 2 жыл бұрын
Diamond Awez Oa kajitu ka ajabu Sura mbaya n kk
@khadijamohammed2855
@khadijamohammed2855 2 жыл бұрын
Mpaka ndoa hawataki kweli hao mashetwani washazoea uzinifu anapenda mwanae aendelee kuzini na kuzaa zaa ovyoo
@scollantandu6278
@scollantandu6278 2 жыл бұрын
Mh wanzanzibar hao jamani
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 2 жыл бұрын
Basi diamond siangemuoa mamake bi Sandra
@jamilahhassan172
@jamilahhassan172 2 жыл бұрын
Bahati niake zuchu
@zuleikhaali636
@zuleikhaali636 2 жыл бұрын
Km kweli Waache waoane....maan maandiko yamesem "oeni mnaowapend..." km wao wanapend ww nan ht upinge...km imeandikw bac hakn wakuft...
@lifestylereviews2486
@lifestylereviews2486 2 жыл бұрын
Hiyo ndio level yake diamond .zuchu is his class not super heavy bosses like Zari.watawezana uswaili kifamilia
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 2 жыл бұрын
kumekuchaa
@nickalekix6300
@nickalekix6300 2 жыл бұрын
Yangu macho
@meirenatus5683
@meirenatus5683 2 жыл бұрын
Jamaniii ni kweliiiii habarii zimetufikia ivi punde mkasema mangi muhongo kumbe kweliiii leta umbeya mpya
@hassannyoka1304
@hassannyoka1304 2 жыл бұрын
Wacheni kuteseka bure Diamond hata owa maishani mwake yeye ni kuonja tuu kama mgema tembo kuowa hapana na akiowa ameporomoka kwa hiyo msitegemee maishani mwake kama ataowa.
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Umeonaeee unajua watu bado hawajamjua Mond yupo kwenye mazingira gn .....!! Hawezi kuoa mpka aachane na hayo mambo alionayo
@abdulab6202
@abdulab6202 2 жыл бұрын
Jamani wanawake wengine wanajidhalilisha nafsi zao mtu unajuwa kuwa mtu huyu ameshatembea na wanawake wengi hajawaowa kazi kuzalisha watoto wa watu kesho kuna mambo wanawake tujitambue ni bora mtu ukae bila kuuolewa kuliko kudanganywa jamani kwani wanawake hatuafuti wanume wanajitambuwa Mimi kama ningekuwa mama au baba nisinge mruhusu mwanangu kuolewa na Dimond kwa sababu anapesa jamani pesa situtie motoni
@amaliweston3963
@amaliweston3963 2 жыл бұрын
WELL SAID.✔👍🏽👏🏾👏🏾👏🏾
@ethiopidemakaveli6644
@ethiopidemakaveli6644 2 жыл бұрын
Sadala freemason hawezi kufunga ndowa.sharti alipewa na freemason balimukataza kuwowa.Mamayake sandra hawezi kuitika kwaju mondi anakula mamake ndo sharti alipewa freemason
@shakilaabdallaherio5617
@shakilaabdallaherio5617 2 жыл бұрын
🙄🙄🙄
@carolinejuma3108
@carolinejuma3108 2 жыл бұрын
Hawa wakongo wametuchosha haiiii
@Shuu.A
@Shuu.A 2 жыл бұрын
Mhm usinambie ni kweli
@saudangalleni388
@saudangalleni388 2 жыл бұрын
Jaman zuch sI mwanamke ajabu gan kuolewa na dimond Kila la kher
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 2 жыл бұрын
Naam,ikiwa ni kweli tuwape tu Baraka zetu,sabb wangapi walikuwa wahuni na leo wapo kweny ndoa zake na wametulia ata uyo monde anaeza akaowa na akakwa good husband na watu tukashanga!
@AL-hm2nv
@AL-hm2nv 2 жыл бұрын
Zuchu ananyonga babu. Mond ni mwislam ataweza owa Wake waine.
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 2 жыл бұрын
🤣😆😂hahaha,kwahiyo monde anuoa zuchu sabb ya kunyonga?
@umutoni-roussel5233
@umutoni-roussel5233 2 жыл бұрын
I thought they just like sister and big brother this is just crazy , she should not make the mistake ,this guy is not ready to settle ,and for now is not husband material at all and he has much going on, she should just focus on her music , that's my advice Fatima .
@fahminasser3855
@fahminasser3855 2 жыл бұрын
Chiting za kumla uroda tu kisha kibuti akaimbe taaran na kopa awaulize wezie kimoko kisha shughuli imeisha diamond hawezi kuoa mpaka anakufa sahau
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 2 жыл бұрын
So kweli Bro,huezi kum judge mwenzio kiivo na kwanini asiowe mpaka kufa?!ni wasanii wangapi ambao awajaowa mpaka sasa na hawana scandal kma za monde na wana uwezo
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 2 жыл бұрын
Eti mondi nioe niache kula raha) bado sana
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 2 жыл бұрын
tambiyambaya diamond
@tabynas4485
@tabynas4485 2 жыл бұрын
We muandishi mwenyew chibu akikutokea huwezi kuchomoa betre.....
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 жыл бұрын
MTAWAJUA WA ZANZIBAR AU HAMJUI
@divinebernard1047
@divinebernard1047 2 жыл бұрын
Uongo uongo uongo kweli
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
😬😬😬😬😀😁eti ndoa
@tatutatu1570
@tatutatu1570 2 жыл бұрын
ndomaana hawana ukaribu na Zari
@shadyakimaro3245
@shadyakimaro3245 2 жыл бұрын
Mmmh kiki tuu hakna lolotee
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 жыл бұрын
Tatizo sio DiAmond tatizo mama yke mbona kwa wema alitulia ni yule mama anamcontrol mwanae sana
@jacquemushi6329
@jacquemushi6329 2 жыл бұрын
Wafanye yote ilimradi tuu awe mzima isije kuwa ni sadaka takatifu inàandaliwa hiyo ukute nyota ni zuchu anatakiwa Mara usikie kapata ajali Mara kaumwa kichwa kafa akuu Mungu amsaidir
@joyanambuya4486
@joyanambuya4486 2 жыл бұрын
Hapan hatuitaj bwana ukion hivo uyo mzazi ajielew kumpa mwanawe sadara
@AL-hm2nv
@AL-hm2nv 2 жыл бұрын
Wanaendana.
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Duh. Siamini.
@halimasalim5477
@halimasalim5477 2 жыл бұрын
Hii ni kiki ya kupoteza show ya harmonize
@yasintacharles3594
@yasintacharles3594 2 жыл бұрын
Sa ukakas gan kwan hana kidudu cha kuzalia
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Kiki nakukabidhiwanmizigo hakuna ndoa hapo
@tonygee5680
@tonygee5680 2 жыл бұрын
Amazing how mtu America anavyo wa control Tanzania walahi mko nyuma sana mtaanza lini kufikiria
@rehemaissa358
@rehemaissa358 2 жыл бұрын
Diamond atatulia tuuu, bi Khadija hawezi ruhusu adange dange akishaoa mwanae. Atapigwa tu na mambo ya Zanzibar, hana namna... sasa mama dangote atapata size yake. Mdomo, uswahili etc... yani ukisha zaa mwanaume jua kuna familia ya mwanamke itafaidika, regardless how hard it was to raise your child and aquire the wealth.
@LadyR102
@LadyR102 2 жыл бұрын
aaah jamani hii nayo kali.
@christinatemba6228
@christinatemba6228 2 жыл бұрын
Diamond hajaoaga. Amezaa tu. Zuchu bahati yako hiyo usiiiiachie.
@watuhuru6128
@watuhuru6128 2 жыл бұрын
Ndoa hupangiwa na mungu. Kama ameondoka atakuoa tu. Kwani wao wana Bora gani. Wote awake dini yake inamruhusu
@rosahlees5520
@rosahlees5520 2 жыл бұрын
Zuchu wewe olewa, hata kama ni mimi Niko nangoja zamu yangu, hata mimi nitaolewa na simba, najitayarisha tu. Nipate moto na yeye. Hata kama zuchu utaolewa hamtakaa sana, ukishapata mtoto unatupwa na Mimi naolewa nipate mtoto pia nitupwe, kwa hivyo Kila mtu lazima angojee wakati wake.
@salamashabani7922
@salamashabani7922 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 Rosah umenichekesha mno na nimekupenda sana kipenzi😂😂😂😂 namimi nipo kwenye foleni ukitoka wewe nakuja mimi hapa ndio itakuwa mwisho wa kuowaowa na nitazeeka nae aisee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
😂😂😂 We umujuw kunichekesh
@elizabethchebby2607
@elizabethchebby2607 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 жыл бұрын
Ndio mana Aaliyah anakuwaga na wivu na Zuchuuu mmmh leo ndio nimejumlisha 2+2 nikapata 4. Kuna kipindi Zuchu alivaa mchuchumio akawa anatembea kwa tabu Aliyah akawa kavaa sura ya mbuzi nyuma yake🤣🤣
@RandB_Channel
@RandB_Channel 2 жыл бұрын
Mbona HUYO MANGE mnamwamini sana kama vile mungu?? Hayo ni Habari yakuambiwa. Sio kweli
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Hakuna kitu kama hichi Thubutu anataka amkabidhi mikono tuu Sadala sio muowaji jamani Kamchatka miaka 4 akiwa anasubiri kusajiliwa kwenye level ya wcb siku mno pa
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 2 жыл бұрын
Miye mutanzania arishanirapiya diamond anatambiya mbaya rohoya muchawi anaukorofimwigisana namamayake nadadayake sasanaweyeunasemadiamond tambiyambayakweri
@aishayosuf3531
@aishayosuf3531 2 жыл бұрын
Ao alizaa nao yy anaolewa kama kweli mwacheni aolewe kilakitu kina mda wake
@AL-hm2nv
@AL-hm2nv 2 жыл бұрын
Wote ni wana musik wataweza fika mbali. Illuminati njo itamuchaguliya mke.
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Mhhh hapana Zucchu sio type za Daimond hapo anaosha rungu lake tuu believe me. Hiki ninkitu kizito mnoooooo
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 жыл бұрын
Sio Type yake kivipi tufafanulie
@misrahmisrah8761
@misrahmisrah8761 2 жыл бұрын
Mama dangoti ndo anaefanya mwanae achezee wanawake na kuzaa ovyo maana diamond kwa bitukinao sio type yake ila mama dangoti analazimisha eti kazaliwa tifa, kwani tifa ndo wa kwanza? Wakati kuna dada zake kaka zake kabla yeye au kwakuwa tifa mweupe na kuongea ENGLISH huu sasa ubaguzi kwa mama dangoti. Ndo maana anamuharibu mwenyewe mwanae azae ovyo watoto tofauti.
@aminarashidi8903
@aminarashidi8903 2 жыл бұрын
Mh
@mediayote3001
@mediayote3001 2 жыл бұрын
Si ilisemekana Diamond hatakikani awe mwimbaji ?
@neydaniel8850
@neydaniel8850 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@randx1158
@randx1158 2 жыл бұрын
Uongo tena uongo
@mkasiali6956
@mkasiali6956 2 жыл бұрын
Kuolewanibaati yawezekana
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 2 жыл бұрын
Ndio na kujenga ni majaliwa
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 2 жыл бұрын
I mean na kudumu kweny ndoa ni majaaliwa
@AL-hm2nv
@AL-hm2nv 2 жыл бұрын
Hamna kipya kwa Zuchu Na Diamond kufunga ndoa, ju Illuminati njo inaamuwa kuwatu wawo.
@irenewilfred7767
@irenewilfred7767 2 жыл бұрын
Sitaman aise
@princesdidak1063
@princesdidak1063 2 жыл бұрын
Sasa kwani ni ndugu ata wasi oane jmn mtu ana olewa na bosi wake wa ndani sembuse uyo
@khadijahamisi2473
@khadijahamisi2473 2 жыл бұрын
Daa Zuu usipige teke bahati ako olewa mama usitishike na mbwembwe za watu wivu wote uo wala ucjal mpenz nakupenda wewe na boss wko kuhusu mamamkwe ucjal atakupenda badae olewa bby zuu
@jescagubabu5374
@jescagubabu5374 2 жыл бұрын
player boy
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 27 М.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 47 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 46 МЛН
JUX APONGEZWA NA MASHABIKI  MPENZI WAKE KUZUNGUMZA KISWAHILI
4:32
SARAH WA DIAMOND AELEZEA JINSI DIAMOND ALIVYOMPIGA TUKIO ZITO
8:42
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 47 МЛН