Jee talaka ndani ya eda inaswehi yan mtu amekuacha talaka moja halafu hajakurejea akakuacha tena yan akakumalizia talaka zilizobaki inaswehi au vp
@ahmedanwar1210 Жыл бұрын
Sheikh Izudin je wafaa kumregelea mkeo kabla ya eda kuisha
@abullahkabaka87743 жыл бұрын
MASHA ALLAH ALEIK
@ummukulthumazziz19213 жыл бұрын
Je mume anaweza kukup taraka kwa kumkaid kitu mfan amekuambia ukija njo nakit furan ww hutak kwenda nach je ilo inawez ikaw sabab ya kukup taraka
@algwiji10 ай бұрын
Yes talaka inapita
@khadijarashid98483 жыл бұрын
Salaam sheikh...naomba msaada wa hili kama mwanamke ameachika Talaka moja na ni mjamzito baada ya talaka tu mke akarudi kwao lkn mume wake akimkumbuka amfata kwao kisha wanashiriki tendo la ndoa bila kumwambia kama mke wangu nimekurejea(ndani ya eda) je hapo talaka bdo inaendelea ama inakuaje?
@keymoneytracy53984 жыл бұрын
Je mume akiwa yeye ndie aliye muacha mke wake kwa talaka tatu aweza kumurudia akiwa katika eda?