No video

KUOTA NA VIAZI VITAMU INA MAANA GANI?

  Рет қаралды 16,445

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

USIPUZE NDOTO YAKO

Пікірлер: 98
@AnneMwasile
@AnneMwasile 6 күн бұрын
Ubarikiwe sana pastor to me!
@user-ur1bs3vk2p
@user-ur1bs3vk2p Ай бұрын
amen napokea baraka kwajina layesu
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 ай бұрын
Alhamdulillah..ndio nimekuja kutazama nini maana MNGU AKUBARIKI ..🙏❣️✔️
@user-zm8cu6ow2q
@user-zm8cu6ow2q 20 күн бұрын
Amen, Amen 🙏 Grory to God
@Flesis
@Flesis 3 күн бұрын
Amen,🙏,and be blessed
@user-uv8uc2dv5u
@user-uv8uc2dv5u Ай бұрын
Asant paster mungu akubalik🎉
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 17 күн бұрын
Napokea kwa jina la yesu
@catherinemwangi1955
@catherinemwangi1955 8 күн бұрын
AMEN AMEN AMEN
@getrudenabwayo4754
@getrudenabwayo4754 2 жыл бұрын
Amen amen and amen, be blessed MOG, ndoto yenye nimeishi kuota ikijirudia nikitafuna miwa n pia kuona viazi, ila utafsiri wake ndo sikua najua🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾😇😇😇❤️
@estergasaya6935
@estergasaya6935 13 күн бұрын
Amina nimeota nimepewa kichwa cha mtu ila kina mvi nisaidie maana yake
@witnessdallen1505
@witnessdallen1505 2 ай бұрын
Ahsante yesu wangu na ikawe hivo
@Josphine15
@Josphine15 2 ай бұрын
Amen
@Rosel-uc5op
@Rosel-uc5op 7 күн бұрын
Na kama unatembea Kwa miwa.
@jacklineikoki6653
@jacklineikoki6653 Жыл бұрын
Thanks so much nimeota nachimba viazi viazi vingi sana katika kila mbegu moja nachimba vikubwa vingi nilikua na mwanang anaviweka kwenye chombo Mimi nachimba Ila viazi vikubwa na vingi navitoa kwenye udongo haviishi
@user-zb5be9kc9b
@user-zb5be9kc9b Жыл бұрын
Amen glory to God
@hellenngecho5776
@hellenngecho5776 Жыл бұрын
Waaaaw Mungu akubariki Sana mtumish,,,,☑️☑️
@jennifermdabi3716
@jennifermdabi3716 Жыл бұрын
Amen and Amen, kwa neema na maisha maregu
@user-xk6po8bq3v
@user-xk6po8bq3v 6 ай бұрын
Asante Kwa mafundisho mazuri
@lydia7859
@lydia7859 2 жыл бұрын
Amen nliota nkiona viazi tamu na brother yangu ako side
@user-mp9yz3tx6i
@user-mp9yz3tx6i 9 күн бұрын
Nilitoa nko Kwa shamba nachimba viazi Kwa utaratibu bila hta kukikataa na jembe viazi mbili mnono mrefu vimemea hdi chini kabisa
@MaryKalunde
@MaryKalunde 7 ай бұрын
Ameen baba, ubarikiwe sana, nimepata mwanga juu ya ndoto yangu ya kula viazi vitamin.
@chesangvihendah4303
@chesangvihendah4303 Жыл бұрын
Amen pastor niota viazi vitamu jana too
@tumainimwakisile4855
@tumainimwakisile4855 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe pastor mimi nimeota kiazi mviringo kimekatwa nusu na kimechemshwa.
@user-by4oc9cs6j
@user-by4oc9cs6j 8 ай бұрын
Amen🙌🙌
@johanesneema591
@johanesneema591 11 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe,,, kuhusu kuchimba viazi hujaongelea
@MildredShinali
@MildredShinali Жыл бұрын
Asante kwa kujua hi ndoto
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 8 ай бұрын
Asante sana
@elishasande4640
@elishasande4640 10 ай бұрын
MCHUNGAJI Mi nimeota niko shuleni harafu nikiwa namfuko waviazi vitam ,naombunisaidie Maana yake
@MariaBoniface-me9tb
@MariaBoniface-me9tb Ай бұрын
Je ukiota una nunua nguo Za Rangi ya Pinki Na viatu vizuri sana ina maanisha nini mchungaji
@estergasaya6935
@estergasaya6935 13 күн бұрын
Bwana apewe sifa mi naitwa Ester natoa na chumba viazi pls maana yake mchungaji
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 17 күн бұрын
Amewn
@AnneMwasile
@AnneMwasile 6 күн бұрын
Nimeota nachimba viaz mviringo
@benifodhiambo
@benifodhiambo Жыл бұрын
Mimi niiambiwa n kfo
@mariamwaweru6049
@mariamwaweru6049 2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
amen
@janethnjau
@janethnjau Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi
@rozygloria5082
@rozygloria5082 9 ай бұрын
Asante Sana naomba uniambie ukiota unanunua viazi hizi zakawaida
@user-jj7xb1ow9c
@user-jj7xb1ow9c 7 ай бұрын
Ok, nimetoa Niko ktk utafutaji nimenunua kiazi kitamu nakula na maganda yake na karanga za kuchemsha nin maana yake
@user-pe7qo7bg2k
@user-pe7qo7bg2k Жыл бұрын
Amen amen
@AnneMwasile
@AnneMwasile 6 күн бұрын
Nimeota nachinba viaz mviringo pastor maana yake Nini mtumish
@user-ui1qo1tu5y
@user-ui1qo1tu5y 7 ай бұрын
Inshallah
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 17 күн бұрын
Niota nakula muwa na nilipo shtuka nikajikuta ninautam mdomon
@christineapiyo4390
@christineapiyo4390 Жыл бұрын
Asante sana postar umenijenga sana nikiwa mumias 🙏🙏🙏🙏
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 17 күн бұрын
Nimeota nimeona viazi vitam vimepikwa na maganda yake
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 5 ай бұрын
Haleluya
@zawadimbiro1596
@zawadimbiro1596 6 ай бұрын
NIMEOTA.LEO.NA SIJAOLEWA.❤❤❤HPA KUNA NDOA TAMU
@victoriasimon475
@victoriasimon475 Ай бұрын
Kula viazi vitamu
@joyceadema7904
@joyceadema7904 6 ай бұрын
Nimeota na nyanganya mama mmoja viazi zangu, nilikua nimepewa na mamangu mzazi
@happymrema7487
@happymrema7487 8 ай бұрын
Mimi nimeot nakula boaz vilivyochemshwa manak nini
@happymrema7487
@happymrema7487 8 ай бұрын
Viaz
@christineapiyo4390
@christineapiyo4390 Жыл бұрын
Mimi nliota nakula miwa postar mwingine akaniambia tafsiri ni yake n kwamba Niko na ukimwi 😢
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
@christineapiyo4390 miwa ni mafanikio na baraka maishani
@christineapiyo4390
@christineapiyo4390 Жыл бұрын
@@revpeternjihia asante sana mchungaji
@RobethaMapunda
@RobethaMapunda 4 ай бұрын
Ok
@carolinamponji7830
@carolinamponji7830 2 жыл бұрын
Baba na viazi mviringo
@everlinekisache6976
@everlinekisache6976 Жыл бұрын
Hello pastor naitwa Everline niko Saudi Arabia...leo nmeota nmebeba mtoto kwa mgongo n nilikua nmepika viazi tamu alfu venye nilitoka nje n mtoto tukaanza kunyeshewa 🙏🙏
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.infod5vb0u1fu5g?feature=share
@kundwajovia9515
@kundwajovia9515 Жыл бұрын
Mucungaji shikamoo Mimi Niko inchini Rwanda Mimi nimeota Niko naraisi kagame anakaratas hiyo karatas irikuwa kirajina pamejyaza pesa mbere yajina rakiramutu
@polynewere7475
@polynewere7475 Жыл бұрын
Pst Mimi nimeota Niko shambani alafu ileshamba nikubwa alafu shanganzi yngu akanipa viazi vitamu viwili inasha nini
@kundwajovia9515
@kundwajovia9515 Жыл бұрын
Tena nikaota Niko kwandege poiti ariku nimuscana Basi tukaeda badarara tukatu cini akakatoka kununuwa ndizi zirio ivaaa banana Safi Sanaa Tena ametoka kwandege anacezaa anafuraha hiyo inaimanisha Nini?
@berylvall723
@berylvall723 Жыл бұрын
Mm nliota kua tuna pika kuku na dadangu na mm nibeba kisu badaye tena nkaota aty nimebuy mayai na tena ikapasuka mchungaji nsaidie
@chicesther7642
@chicesther7642 Жыл бұрын
Hi pastor, naitwa esta, niliota nanunuwa viazi nilikuwa mimi na mke wa raisi, sijuwi inamanisha nini ?
@joycemwaura1199
@joycemwaura1199 Жыл бұрын
Nmeota nking'oa sweet potatoes. Inamaanisha aje?
@joycemwaura1199
@joycemwaura1199 Жыл бұрын
Kwa kina mzee wangu
@halimabindshaban3105
@halimabindshaban3105 Жыл бұрын
Nimeota hii ndoto nachimba viazi na mtoto wangu,,viazi mingi na kubwa kubwa,,imejirudia hii ndoto
@agnesssaid9899
@agnesssaid9899 Жыл бұрын
Ukiota unapika kuku
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 Жыл бұрын
Leo nimeota mtu anachimba viazi vitamu nikamuliza hii sehemu imefika mpaka wapi hio sehemu ilikua ndefu akasema imefika mpka huko nilipoangalia hata hakuna mwisho shamba ilikua kubwa sana nikamwambia utanipa na mimi akasema ngoje nikipewa nitakupa mana kila mtu alikua nataka hio viazi nikaamka
@christineapiyo4390
@christineapiyo4390 Жыл бұрын
Umetafsiri adi nikaridhika mjungaji umenitia moyo
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Asante
@rosemmary6652
@rosemmary6652 Жыл бұрын
Mwanangu alinyolewa nywrle kisogoni Nini maana yake Nini? Pastor
@rosemmary6652
@rosemmary6652 Жыл бұрын
Huwa naota Mara nyingi na kuku wakati mwingine vifaranga
@happymrema7487
@happymrema7487 10 ай бұрын
Mchungaj mimi nimeota nimechimba viaz vikubwa nikaviwek mahal ile narud nikakuta watu wanavichonga nikawaambia ni vyakwangu wakaniambia chukia vikibak tuachie nikachukua nikajaza sufuria nikawaachia vingine
@NellyKadenyi-qc3em
@NellyKadenyi-qc3em 3 ай бұрын
Niota niko shamba kutoa viazi kuota zilikua kubwa sana nipeleke kanisani
@lisakcomediantv3789
@lisakcomediantv3789 Жыл бұрын
Mimi nimeota nipo kwenye shamba la vianzi viaz vingi vinavunwa
@focusnyigu3818
@focusnyigu3818 2 жыл бұрын
Nimeota mke wangu anaomba nimununulie mayai nin mana ake
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Mayai ina simamia , Destiny, Prosperity, Fruitfulness, ina maana mke wako anataka utie bidii kwa maisha ili umpatie mambo hayo matatu
@annatkenneth2598
@annatkenneth2598 2 жыл бұрын
Mm nimeota viazi ivi vya chipsi niko na nunua sado tatu
@lucyouma1021
@lucyouma1021 2 жыл бұрын
Hdi mm nimeota nikiwa nimebuy mingi bt njia napita imeteleza sana
@TKd-kf6lc
@TKd-kf6lc 6 ай бұрын
Mimi nimeota gunia la viazi mviringo
@ireneshabani7775
@ireneshabani7775 Жыл бұрын
Jambo mchungaji ukiota maole ina maanisha nini ukiona unaona maole kwa mtu mwingine anayo kitungani ukaipenda ina maanisha nini
@anastasiaachieng22
@anastasiaachieng22 2 жыл бұрын
Asifiwe yesu ukiota unangoa meno inamanisha
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Anastasia Achieng, ina manisha kuna kitu ina kukosesha amani maishani na ili uwe na utulivu lazima uiondowe kabisa hata kama ina uchungu. Its a separation
@anastasiaachieng22
@anastasiaachieng22 2 жыл бұрын
@@revpeternjihia thanks
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 2 жыл бұрын
Nimeota viazi hivi vya mboga nilikuwa na viosha yale maji machafu tukatachukuwa mimk na huyo mtoto wa boss tukaenda yamwanga inje tulipokuwa tunarudi huyo mtoto akanishika kama rafiki tukawa tumeshika mpaka ndani kukuwa na sufuria nikamwambia huyo mwenzangu ekakwa hii sufuria kubwa ilituvichemshe badae tuvikarange kando kulikuwa na mwengina pia wana osha viazi nisaidie Mchungaji
@user-ro3nn3ke5u
@user-ro3nn3ke5u Жыл бұрын
Ukiota unalima maanna yake nin
@piusnyabuto231
@piusnyabuto231 2 жыл бұрын
Naomba unifafanulie vizu kuhusu hivi ninavuna viazi tamu kubwa kubwa nikiwa mama Angus mzazi pia na BABA na pia nkachukua hiyo viazi nkaaza kuifananisha kichwa ya Mtoto wangu mdogo. Ni maana yake?
@sofiamohammed5925
@sofiamohammed5925 2 жыл бұрын
Mimi biimu naota na kula viazi vya kizungu vimekaangwa Nini maana yake
@user-mh9rv4pk5f
@user-mh9rv4pk5f 9 ай бұрын
Niliota tulikuwa na mrembo akinipaa viazi tamu kubwa kubwa maana yake
@zenamtembezi4921
@zenamtembezi4921 2 жыл бұрын
Viazi hujaongelea
@KiteMakanga-qe6mt
@KiteMakanga-qe6mt Жыл бұрын
naitwa Maria aron nini maana ya ndoto unachimba viazi vitam
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Maana yake ni utaenda kufanikiwa na pia kama kuna shida unapitia itafuta kiini chake utatuwe bila kuficha na utapata amani
@asambajairus
@asambajairus 2 жыл бұрын
Amen
@tausilazaro1685
@tausilazaro1685 2 жыл бұрын
Na viazi mringo baba naota mara nyingi npo shambani nkiwa navuna viazi vinatoka vingi Hadi nafurai
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZqapYSQfbuKZ7s
@user-cn6zy4vl6t
@user-cn6zy4vl6t Жыл бұрын
Nimeota nakata miwa shambani ambao refu kupita kiasi
@user-hl2uw6wo8r
@user-hl2uw6wo8r 9 ай бұрын
Amen
KUOTA NA SAA INA MANISHA NINI. SEH 2 // NA REV PETER NJIHIA
1:47:36
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 706
MAISHA NI KIROHO. (life is spiritual)
1:23:22
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 203
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 101 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 11 МЛН
Mwanamke Mcharuko Ndio Maangamizi ya Dunia | Mwl Dimoso
49:05
ZVP ONLINE TV
Рет қаралды 34 М.
KUOTA UNAKULA MAHINDI AMA KUONA MAHINDI KWA NDOTO INA MANISHA NINI?
1:27:25
EX WAKO-Ukiota Na Mpenzi Wa Zamani, Je Ina Maana Gani  [] +254706945821
42:36
ISHARA 8 RAFIKI YAKO NI MCHAWI
16:45
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,8 М.
Kuota Uko Kwa Matope Ina Manisha Nini?
1:32:56
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 7 М.
MAOMBI YA KUFUNGUA MBINGU // OMBA MPAKA MBINGU ZISEME
1:04:55
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 7 М.
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН