KUPIKA NDIZI + UTUMBO “Maziwa Ya Mtindi”/ Ika Malle

  Рет қаралды 38,498

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

Leo tunaenda wote buchani kununua utumbo, halafu tunapika Ndizi Utumbo kwa MAWESE

Пікірлер: 69
@laureenthomas1537
@laureenthomas1537 2 жыл бұрын
Napenda namna ulivyo simpo huna mambo meng alf kwny kuelezea sasa duh uko vzur i love u yn naelewag sanaaaaa
@switmmy3717
@switmmy3717 4 жыл бұрын
Pishi zuri wajua kuelezea mamy... Ntabak kukupenda tu😘😘😘
@deborahpeter6540
@deborahpeter6540 4 жыл бұрын
Somo nzuri dada asantee kunifundisha.
@magiefrank4098
@magiefrank4098 4 жыл бұрын
Mawese waaoooooooh Unankumbisha nyumbn Kigoma😍🤗 Shukran Aika❤😘
@hellenmawere9284
@hellenmawere9284 4 жыл бұрын
Ikaaaa! Nimetamani umenirejesha mgombani kwa maksudi😅 hongera Sana dada
@juwairiyamambo
@juwairiyamambo 4 жыл бұрын
Kama kule kwetu uchagani, asante sana. Please tunaomba mapishi ya kiburu tafadhali..
@georgethomasi3741
@georgethomasi3741 4 жыл бұрын
Napenda sana mapishi tatizo nakosa muda nimependa san uomsos wa ndizi utumbo
@awadhimunga1018
@awadhimunga1018 3 жыл бұрын
Yah nimejaribu na mm its amazing
@salmaseif8755
@salmaseif8755 4 жыл бұрын
Waooow👏👏👏😋😋😋😋ubarikiwe
@zulfahhussein505
@zulfahhussein505 4 жыл бұрын
MashaAllaah chakula kitamu sana wanikumbusha nyumbani kweli hila nami naja unipe ndizi
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Njoo 😂😂
@Kenchiyh
@Kenchiyh 4 жыл бұрын
Nmemiss sana ndizi utumbo, this is my favourite dish on planet earth lol
@minahsamiry4459
@minahsamiry4459 4 жыл бұрын
Dada honger... Umenifundisha kupik ving... Saiv yan nyumbn kil mtu anatak nipike mm... Et chakul chang kitam
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Woyooooo 👌👌👌
@florakilasi8027
@florakilasi8027 4 жыл бұрын
Ika upo halisi sana....ninapenda sana
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Video nzuri sana my dear na chakula ni 🔥🔥🔥 Great Video as usual👌
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Asante
@kiaradamian3451
@kiaradamian3451 3 жыл бұрын
Ika nataka mawese. Nayapataje? Beautiful video❤️
@atuganilelobisoni3014
@atuganilelobisoni3014 3 жыл бұрын
Asant🙏
@moshiibrahim1490
@moshiibrahim1490 4 жыл бұрын
Wooow nice recipee
@catherineosmund486
@catherineosmund486 3 жыл бұрын
Safiiiii
@juliethurio6840
@juliethurio6840 4 жыл бұрын
Napenda sana ndizi utumbo
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 4 жыл бұрын
Ila dada unajua kupika😋
@princessmuro4455
@princessmuro4455 4 жыл бұрын
Wakomeshe mama wansemaga wachaga hatujui Kupika,,
@najimakimaro2908
@najimakimaro2908 4 жыл бұрын
Napenda unavopka full kwanzia soko ad mwish
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Asante sana!
@NeemaCharles-pb4wq
@NeemaCharles-pb4wq Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@sekelalote3100
@sekelalote3100 3 жыл бұрын
Mpaka raha
@sumahsumah8083
@sumahsumah8083 4 жыл бұрын
Tuletee mapish ya mtori wa kichaga tunakuomba
@jenifahassan8928
@jenifahassan8928 4 жыл бұрын
Very nice
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Asante
@onelove7830
@onelove7830 4 жыл бұрын
Nipate na pili pili ya ndimu hapo. hata najisahau 🤤🤤
@arlenebenithairakiza5769
@arlenebenithairakiza5769 4 жыл бұрын
Napenda sana mapishi yako toka Burundi
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Asante
@neemamsuyas3084
@neemamsuyas3084 4 жыл бұрын
Nimependa recipeeeee
@faridahassan9900
@faridahassan9900 3 жыл бұрын
Unajua sanaa
@Kenchiyh
@Kenchiyh 4 жыл бұрын
Aisee it looks so yummy, ntatoa wapi iyo ugaibuni uku mie mama yangu 😅🤤🤤🤤
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
😂😂😂
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰
@hawakasim5299
@hawakasim5299 4 жыл бұрын
Kimalindi izo ila mshale ndio mpango mzima
@RaniyahAnwar
@RaniyahAnwar 4 жыл бұрын
Yum yum😋😋 njaa ghafla😂😂😂
@merrynimependaninzurisanaa9775
@merrynimependaninzurisanaa9775 4 жыл бұрын
Waaaaaaaw
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 жыл бұрын
Ukiongeza maji ktk chakula chochote kile.lazima yawe maji ya moto sana
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Utumbo wavutia huwa hadi raha👌
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Asante dear 🥰
@khaashfarfarid4221
@khaashfarfarid4221 4 жыл бұрын
Unanitamanisha Kwel nimemic hichi Chakula 🤤
@sarasospeter8280
@sarasospeter8280 4 жыл бұрын
Waooo
@hawakasim5299
@hawakasim5299 4 жыл бұрын
Mambo ya wese kigomaaaa
@MercyKyando
@MercyKyando 4 жыл бұрын
Am already hungry
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@estherkungu4360
@estherkungu4360 4 жыл бұрын
Tamu inakaa, mtu akikosa, maziwa mtindi, coconut milk anaweza tumia, ama nini instead na iwe sawa?
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
Dada eeh aiseee nisipoeka mafuta kwani kuna shiida?
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Itakua chupuchupu sasa
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
@@ikamalle daa sawasawa Dada. Asante leo umenijibu
@hawakasim5299
@hawakasim5299 4 жыл бұрын
Sasa mchalali aikatikati ndug
@deborahpeter6540
@deborahpeter6540 4 жыл бұрын
Unatutamanisha
@khaashfarfarid4221
@khaashfarfarid4221 4 жыл бұрын
Dada nikuulizee mawese ndonn Kwan
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Ni Mafuta
@stellahnjagiakaemma9057
@stellahnjagiakaemma9057 4 жыл бұрын
@@ikamalle jina la hii mafuta kwa kingereza pls...nitapata kwa supermarket?
@mamybotha1761
@mamybotha1761 4 жыл бұрын
@@stellahnjagiakaemma9057 palm oil
@stellahnjagiakaemma9057
@stellahnjagiakaemma9057 4 жыл бұрын
@@mamybotha1761 shukrani sana
@corneliasanga49
@corneliasanga49 4 жыл бұрын
Sipendagi utumbo uwii😬
@maryfrank9259
@maryfrank9259 4 жыл бұрын
ulilazimishwa kuangalia
@nancyg8664
@nancyg8664 4 жыл бұрын
@@maryfrank9259 🤣
@itstwot
@itstwot 4 жыл бұрын
yummy ukitaka mapishi kama hii bonyeza kzbin.info/www/bejne/iIvcZn15rdB5mJY
@LawrasBakeshop
@LawrasBakeshop 4 жыл бұрын
Ndizi ni plantains sio banana
@mohamedmbelwa8529
@mohamedmbelwa8529 4 жыл бұрын
Tamu sana
@princessmuro4455
@princessmuro4455 4 жыл бұрын
Wakomeshe mama wansemaga wachaga hatujui Kupika,,
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Usihofu, 😂😂😂😂
WALI WA ILIKI + MAHARAGE YA NAZI + MAINI ROSTI “SPINACH"
17:16
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 37 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 44 МЛН
KUGANDISHA CHAKULA CHA MWEZI 1:CHAPATI, SAMBUSA na KACHORI:
14:02
UGALI + DAGAA WA KUKAANGA + BAMIA LA KUKOROGA(MLENDA)
11:58
Ika Malle
Рет қаралды 185 М.
VIUNGO SITA MUHIMU JIKONI KWANGU
3:56
Rasheedah’s Meal
Рет қаралды 4,7 М.
MCHUZI WA NYAMA YA KUKAANGA /JINSI YA KUPIKA ROSTI YA NYAMA / MUTTON CURRY RECIPE
8:36
Tajiri's Kitchen Swahili Flavor
Рет қаралды 1,6 МЛН
MY BIRTH STORY 💙 2024
20:56
Ika Malle
Рет қаралды 7 М.
MOM VLOG: DAY IN A LIFE OF A FIRST TIME MOM 💙
25:28
Ika Malle
Рет қаралды 3,2 М.
Mapishi ya Saga noti / Sweet Fried Pinwheel bread
10:06
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 369 М.
ROSTI LA MUHOGO/ KUPIKA MUHOGO WA NAZI (2019) Ika malle
5:21
Ika Malle
Рет қаралды 61 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 37 МЛН