Nampenda uyu Dada anavopika..kwanza ni msafi..na anajua..big up Ika
@lockedaway46664 жыл бұрын
una saut nzur...unaelekeza vzur....am gonna cook too
@marygaspary1994 жыл бұрын
Manka hii ya leo ya ki Tanzanzania kabisa na nitamuu, ahsante
@carolmuchiri99214 жыл бұрын
Jameni Mapishi mazuli, Nyumbani pia kuzuli Mtu aeza chumda Mboga za Majani wakati wowote Akiya panda, Missing Home Sweet Africa 🙏🙏😘👍👍
@mariasimon75454 жыл бұрын
Me nahisi Tanzania tunapika ugali vizuri zaidi, kwa kuanza na uji. Nchi nyingine za Africa wanasongea maji ya moto yaliyochemka. Hiyo inapelekea ugali kuwa na mabuja na mgumu kidogo tofauti na sisi tunavyoanza na uji. I miss my home sweet home Tz.
@findinghope30964 жыл бұрын
Continue making these please! Well done!!! 🥰🥰😍🤩
@fatmabaraka31914 жыл бұрын
Mash Allah nimetamani inaonekana tamu😍.. Ila uwe unatumia kijiko kweli kwenye kupika ata mtu ukimwambia kijiko kmoja anaelewa.
@filtrmo37594 жыл бұрын
Woooooh nikirudigi Tanzania lazma nipikiwe tembele na mama.. Ugali Tembele & samaki Kibua
@rosesamwelitenga46484 жыл бұрын
Fil usirud kaa huko.huko ughaibuni
@filtrmo37594 жыл бұрын
@@rosesamwelitenga4648 na corona hii nimeryd Tanzania hahahaha
@annethjosephat63493 жыл бұрын
😂😂🤣
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, hadi nimetamani, Hongera Unapika Vizuri,Maelezo Yanaeleweka.👏👏.
@fauziajuma49024 жыл бұрын
I love your recipes Ika Malle..
@ellysilwani92874 жыл бұрын
Uko vizuri,na mapishi yako nimekupenda buree...Hongera mamii...
@TNRG20094 жыл бұрын
Kikombe cha maziwa lala kitaimarisha hiki chakula murwa! Asante bibi.
@ikamalle4 жыл бұрын
😋😋😋😋
@helencaptain81244 жыл бұрын
I love your work the way you prepare till the end looooove it
@milkaprotas23834 жыл бұрын
Daah da aika we nouma siyo kwa vitu vitamu hiv unvyotuandalia duu unanitoa mate
@lydiabukachi52464 жыл бұрын
I love this, upishi healthy sana..
@neseriannaturally46064 жыл бұрын
Wewe dada hatari.. asante sana kwa mapish.. 🔥🔥
@judithsalvatory28924 жыл бұрын
Wow hongera sana
@ikamalle4 жыл бұрын
Asante dear
@beautywithnay59744 жыл бұрын
Woooooow jmn nimemic tembele na kisamvu Tanzania mna enjoy sana jmn 😔😔😔😔😔😔
@florandossi40214 жыл бұрын
Asantee......love u so much.
@hamidahassan.78314 жыл бұрын
Unatumia oven ya gas ama umeme??
@irenesisamo21844 жыл бұрын
You are the best
@juliethurio68404 жыл бұрын
Nice love you Ika
@siimakagambo70154 жыл бұрын
Unajua sana, nimeipenda
@MsBupe4 жыл бұрын
Very nice dear👌👌👌 na msosi unavutia sana😋😋😋
@hadyabushiri89664 жыл бұрын
Sufuria yetu ya ugali bado inapiga kazi iko vizuri😃😃
@sultanking99364 жыл бұрын
Umentamansha asante
@irenengombo39694 жыл бұрын
Asante kwa recipe nzuri..
@Samuel.mulinge4 жыл бұрын
Watching from kenya thank you for sharing
@Itsangylifestyle4 жыл бұрын
Yani I need iyo matembele like crazy 😜
@albaimussa4 жыл бұрын
Looks yummy
@tinatatiana92204 жыл бұрын
Mashallah
@RaniyahAnwar4 жыл бұрын
I'm hungry 😭 this looks so good 😋 natamani ingekua naweza kuchukua kwa screen😂😂😂
@michelinemapendo66524 жыл бұрын
Cook with Raniyah 😂😂😂🔥🏃♀️
@mamunote35074 жыл бұрын
Mashallah Mashallah chakula kizuri na rahisi kabisa
@aminachappa78854 жыл бұрын
Masha Allah
@sarahwilson5864 жыл бұрын
Nice dear.
@ikamalle4 жыл бұрын
🥰🥰
@salmahail96413 жыл бұрын
Napenda ukipika full menu😍😍
@ikamalle3 жыл бұрын
Asante dear
@florarose16264 жыл бұрын
Jamani Asante sana 🥰😍😍😍
@ikamalle4 жыл бұрын
Karibu dear
@florarose16264 жыл бұрын
Ika Malle ndonimesha karibia mimi tena your channel it’s really amazing like wow 🥰🥰🥰
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Yani hapo kwa utamu huwa hadi raha 👌
@ikamalle4 жыл бұрын
🥰
@ikamalle4 жыл бұрын
🥰
@violethswai80614 жыл бұрын
Uzuri hautumii mafuta mengi...
@lindastambulipangahela65614 жыл бұрын
Thanks
@faridahassan99003 жыл бұрын
I love you moo
@zulfahhussein5054 жыл бұрын
Yaani leo wanilisha kwa kutazama nime miss hizo tembele na sijuwi lini nitazila 😪😪😪
@rosejoseph93784 жыл бұрын
Nice
@saadaissa22344 жыл бұрын
Nakupenda mamy Asante
@mariamhpilipo71894 жыл бұрын
Dada umenitamansha san
@babilebora96944 жыл бұрын
Helloooo dada! Hbr asante kwa mapishi! Naomba Siku moja tufundishe jinsi yaku kata kuku wakishenzi please! Vipande vipande!
@safiaothman10983 жыл бұрын
Babile Bora kuku wa kienyeji si wakishenzi
@babilebora96943 жыл бұрын
@@safiaothman1098 asante njo kiswahili cha Congo kibovu
@corneliasanga494 жыл бұрын
Chumvi km umezidisha hivi😉😀😉😉
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Tatu yuko njiani anakuja leo hatukubaliiii location😋😋😋😋
@ikamalle4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@michelinemapendo66524 жыл бұрын
Mate mbele akuna europ Finland n'a Pili pili zuri akuna daaaaaah 🤔 nakumbuka afrika jamani, yani nikikuja afrika Nikula matemveletu 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚶♀️🚶♀️
@corneliasanga494 жыл бұрын
Uwiii😋
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Odoooo
@MwanahamisiGona Жыл бұрын
Wao wewe ni mnyaturu nini
@maureenarbogast4 жыл бұрын
God job Ika,kama unatumia electric oven...ni kweli zinakula umeme sana yani zaidi ya 10 units kwa session?
@ikamalle4 жыл бұрын
Hapana si kweli...
@aishafrancis77143 жыл бұрын
Aisee mie mate yananitoka huku
@ikamalle3 жыл бұрын
🤤🤤🤤
@bahatihassan1724 жыл бұрын
Unamume ww kama huna mumu basi uta olowatu😂😂😂😂😙😙😙
@missnam7844 жыл бұрын
Just asking uko wapi cloves
@catherinegitau75064 жыл бұрын
Nitajaribu hii and post it soon.
@catherinegitau75064 жыл бұрын
You inspired me to start my own channel. Checkout it out.
@yvefoods37524 жыл бұрын
Hello mamy ni majaribu hii mshaki aise ni tamu sana na Asante sanaaaa 😊😊🥰🥰
@Kenchiyh4 жыл бұрын
Jamani matembele😭😭😭
@rebbypatric84 жыл бұрын
Inaanzia kumi mpaka Tisini
@judithlejalearnmore22364 жыл бұрын
Tembele Ni mboga ya aina gani,Ni chungu Kama nchunga ama Nikama mboga gani
@ikamalle4 жыл бұрын
Sio chungu
@bintdavid76724 жыл бұрын
Ninavyomeza mate sasa uwii
@florencekambe36154 жыл бұрын
Unatumia jiko gani...ilo lenye settings za temperature
@ikamalle4 жыл бұрын
Degrees Centigrade
@florencekambe36154 жыл бұрын
Dada asante kwa reply@@ikamalle hilo ndo jina la jiko? Yaani nlimaanisha jina...kama ramtons ama mika ama LG ivo yaani
@ikamalle4 жыл бұрын
Ni Hot Von Point
@ikamalle4 жыл бұрын
Von Hot Point
@florencekambe36154 жыл бұрын
@@ikamalle asante❤I'm your fan...usiache kutuelimisha
@mariasimon75454 жыл бұрын
Tanzania tunafaidi jamani, niko mbali nimemiss vyakula vyote vya nyumbani😃
@khaashfarfarid42214 жыл бұрын
Umeona ehee yah tumemic kwel
@merycianajuma-tj2cj Жыл бұрын
Ko bado mko mbali, maana meh naingalia leo😂😅
@rebbypatric84 жыл бұрын
Menatumia boss inatakiwaa niweke moto kiasi gani plz nijibu
@ikamalle4 жыл бұрын
Kwenye nini?
@ikamalle4 жыл бұрын
Kwenye nini?
@rebbypatric84 жыл бұрын
Oven
@rebbypatric84 жыл бұрын
Maana kweny upande wa oven imeanzia kumi mpaka tisini
@samwelpaul82254 жыл бұрын
Kitimoto pia weka
@maryamq86454 жыл бұрын
Vitamu😋😋😋😋
@beautywithnay59744 жыл бұрын
Iyo link iko wapi sasa mpz mbona akuna link yoyote apo mpz