SIRI YAFICHUKA WAPO BAADHI YA ASKARI NDANI YA JESHI LA POLISI NI MABASHA NA MASHOGA WANAHARIBU

  Рет қаралды 38,668

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 332
@maryammo-gd3me
@maryammo-gd3me 6 ай бұрын
Jaman hii vita anatakiwa iwe ya kila mtu wasiachiwe watu wawili hongereni sana kwa kazi nzur
@reenesa
@reenesa 6 ай бұрын
Hongereni Catherine na Mh. Mwakyembe na team nzima kwa kazi nzuri, sikujua hali ni mbaya kiasi hiki. Mungu awalinde, Roho Mtakatifu awaongoze ktk vita hii. In Jesus name.
@geey7893
@geey7893 6 ай бұрын
Huyo Catherine ndo anapaswa kupewa udoctor wa Heshima. Sio yule Bi Mwantumu wa Ikulu
@nervashonza587
@nervashonza587 6 ай бұрын
Mungu AKUTUNZE saaana Catherine na Mzee wetu mwakyembe na wote wanaopambana na kwa ajili ya watoto na familia zetu..
@MagdalenaMatiko
@MagdalenaMatiko 6 ай бұрын
Namkumbuka amina chifupa alipojitoa kwa madawa ya kulevya,jihami mdogo wangu kwa dmu ya Yesu
@titosimon4360
@titosimon4360 6 ай бұрын
MUNGU awabariki Sana dada na kaka mwakiembe kwa kikomboa taifa la Tanzania damu ya YESU iwafunike mchana na usiku
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 6 ай бұрын
Huyo dada alikuwa mwanaume wake halima mdee labda kama kamucha
@Ashmondash-k7w
@Ashmondash-k7w 6 ай бұрын
Tunaomba mungu awape maisha maref kweli siku za mwisho ndo hizi😢😢😢😢😢😢😢ila mungu awatangulie
@vickysteven1172
@vickysteven1172 6 ай бұрын
Mungu awatunze kwenye hii vita
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 6 ай бұрын
Cartheline apewe PhD ya heshima kwa mchango wake mkubwa katika jamii kwa mapambano dhidi ya Ushoga na Usagaji Tanzania.
@MBALASUPA
@MBALASUPA 6 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awape maisha marefu
@sengakijumiletv8125
@sengakijumiletv8125 6 ай бұрын
Mpaka ninamkumbuka mtumishi wa Mungu Mozes Kulola, Mungu awape Ulinzi na Neema kutufunulia haya.
@edsonmaduhu5314
@edsonmaduhu5314 6 ай бұрын
Mnafaya kazi nzuri Sana Mungu awasaidie tuna shida huwa nawaza hata watoto wangu inakuaje
@danielmarwa5122
@danielmarwa5122 6 ай бұрын
Mimi sioni seriousness ya serikali katika hili
@WillySimangwa
@WillySimangwa 6 ай бұрын
Mbarikiwe sana na Mungu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 ай бұрын
hadi nimelia katherin nakuona unavoumia Mwenyezi Mungu akulinde mimi sina hata la kuchangia naumiaa wazungu Allah amewaumba ila ni mtihani mkubwa wa dunia wallahi wanapambana na mungu kwa juhudi zote
@joycekashalaba3575
@joycekashalaba3575 6 ай бұрын
Damu ya Yesu iwafunike waovu wote wanaochukia ukweli huu wakutane na hukumu ya mungu sasa kwa jina la Yesu
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 6 ай бұрын
Mungu awatunze sana kwa kusimama kidedea na jambo hili. Wafukuzwe kazi wakale huo upuuzi wao.
@d-thepraise4150
@d-thepraise4150 6 ай бұрын
Fanyeni mazungumzo na serikali kuuu na Bunge. Simple advice
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 6 ай бұрын
Bunge lip mzee!! Amka usingizini
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 6 ай бұрын
Sindo hadi wapewe hio chance
@Ufunuoeliyaadam2
@Ufunuoeliyaadam2 6 ай бұрын
Hongera sana mh kwa kazi nzuri mno.. ila dada aongee kwa kituo.. ikifika nafasi ya mh aongeee ikifika nafasi ya cathern aongee.. ktk yote imekaa vema kemea ushoga bila woga
@elizabethconstantino6056
@elizabethconstantino6056 6 ай бұрын
Mungu irehemu nchi yangu ya Tanzania
@MATRIDAEVARISTO
@MATRIDAEVARISTO 6 ай бұрын
Mungu amewapa kazi hii. awatangulie awaongezee ujasili
@AnnethLaizer-i5d
@AnnethLaizer-i5d 6 ай бұрын
Iliswahala Jamali nimekuwa kubwa Sana hasa Arusha
@asherimhema6714
@asherimhema6714 6 ай бұрын
A. Mhema kutoka Njombe, Tafadhali njooni mtusaidie na sisi tutakwisha Njombe.
@jameswimbe2994
@jameswimbe2994 6 ай бұрын
Yesu awalinde watumishi wa Mungu kwa kazi ngumu mnayoifanya na hili jambo litaisha kwa kushilikiana kwa pamoja kwa maombi na kukemea kwa pamoja
@upendomtui6544
@upendomtui6544 5 ай бұрын
Mimi ningekuwa Rais, ningefunga siku 3 nimuulize MUNGU harafu akinipa kibali nawafyeka wote kwa mkono uliyojificha
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 3 ай бұрын
SERIKALI MPOOOOOOOOOOOOOOOOO HALI MBAYA MASHOGA .MISAADA YA NAMNA HII HAITUFAI JAMANI ALIYEKUBALIANA NA HILI MUNGU AAMBATANE NAYE
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala 5 ай бұрын
Mungu awatunze sana Catheline na Mwakyembe kiukweli tuna kila sababu ya kupinga ushoga. Kiukweli inauma sana nchi yetu iwe tayari kupinga zaidi
@leonardkapati3125
@leonardkapati3125 6 ай бұрын
Huyo anayelia hapa inaweza ikawa muhanga na na hayo mambo mana tangu mwanzo.analia sana
@benezethbenedict1667
@benezethbenedict1667 4 ай бұрын
So sad chi yetu imeoza Mungu pekee ndio wakutuokoa hpa tulipo
@rithaurassa
@rithaurassa 6 ай бұрын
Wale wote wnampinga Mwakiembe na huyu Dada Katherin Mashoga woote naMabasha,Mungu tusaidie hili tuweze kulimaliz salam,Mungn awatie nguvu wale wote mnaoshughulika na hili janga la Taifa,,
@najalinanyambo3971
@najalinanyambo3971 6 ай бұрын
Mbarikiwe mungu awape maisha marefu
@jeniphagabriel7262
@jeniphagabriel7262 6 ай бұрын
Mungu awalinde sana.
@JustineWangi-j2t
@JustineWangi-j2t 6 ай бұрын
Mbarikiwe sana sana nawaunga mkono.
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 6 ай бұрын
Eee Mungu utusaidie Tanzania, Tumezidiwa na maovu, Utusahe na utuongoze ktk mema.🙏
@BaselisaGabriel
@BaselisaGabriel 6 ай бұрын
Yesu walinde Catherine na Mwakiembe ni watumishi wako iponye nchi yetu okoa kizazi chetu 😢😢
@sss3s867
@sss3s867 6 ай бұрын
madam unafikisha ujumbe. ila na ww pia ulitakiwa ujisitiri kichwa chako
@annakuluka7510
@annakuluka7510 6 ай бұрын
Amina mjukuu wangu mungu amekuona
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 6 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭 masikin mambo ya serikali waachie wenyewe unafanya vizuri lakini watakuzima kisa tu unawakosoa
@philoteuslwena3082
@philoteuslwena3082 6 ай бұрын
Catheline unaongea kwakuofoka sana mamaa... ila kazi yako ninzuri sana tena zaid ya sana
@annaandrea2812
@annaandrea2812 6 ай бұрын
Huyu ni muhubiri wa injili
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 6 ай бұрын
Inakera sana
@joycejoel1633
@joycejoel1633 6 ай бұрын
Ameona mengi yakuumiza sana
@annaandrea2812
@annaandrea2812 6 ай бұрын
@@joycejoel1633 Kabisa
@jumalakers7832
@jumalakers7832 6 ай бұрын
Hata akifok kuna tatizo gani kwa hiyo unatak aongee akicheka angalia vitu vya kucoment
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 6 ай бұрын
Kuna mambo mazito kumbe nchi hii,eeh Mungu baba tuokoe 🤲
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 6 ай бұрын
kuna hitajika kuongezewa nguvu na ulinz zaid ya huo mlio nao. mungu azid kuwaongoza na kuwapa afya njema
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 6 ай бұрын
Hayo yanafanyika hadi kwenye MWENGE WA UHURU.
@vincentkatabalo286
@vincentkatabalo286 4 ай бұрын
Cathy uko emotional hii vita haitaki emotions
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 6 ай бұрын
Namshukuru baba na mama yangu,walikuwa hawapendi kabisa tupokee misahada yoyote
@ErnestAyubu-n6n
@ErnestAyubu-n6n 5 ай бұрын
MUNGU azidi kufichua zilizositirika na kuwainua Watumishi wa kusema kweli yote,ili Taifa letu lipone, Amen.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 ай бұрын
Jamani hizo bidhaa za Grece zichunguzwe
@HellenMonace
@HellenMonace 6 ай бұрын
Na tuwafundishe watoto wetu vijana kuacha kupenda vitu vya bure...zawadi za aina yoyote...mitaji ..begi.. wafanye kazi
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 6 ай бұрын
Watu wanaenda kwa faida zao..Serikali ipo..party za usiku kucha zinajulikana lkn hazifanywi KITU..TAIFA LISINGEFIKA HIVI
@SelemaniMohamedi-o5r
@SelemaniMohamedi-o5r 3 ай бұрын
Iyo kampuni ya janpiego ifungiwe kabisa kufanya kazi nchini
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Ukiona hvyo hakimu naye atakuwa shoga mwenzie
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 6 ай бұрын
Amen dada Catherine, 2025 Mungu Akaonekane ktk Uchaguzi.
@godlistenmtui3267
@godlistenmtui3267 6 ай бұрын
Huko unakoraka aende sindio kunakoficha maovu Bora abak muhubiri
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 4 ай бұрын
Wajina wangu Mungu akutunze kina Catherine tupo wachache mno ila hatupend ujinga kabisa
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 6 ай бұрын
Hii ni noma mungu atulinde sana
@AfricaQueen
@AfricaQueen 6 ай бұрын
Da!🤔Dunia kwisha Sasa hapa Tunaongea mambo ya Mungu au Ushoga?mungu atawasamehe nyie wote na mashoga wote kwani haya yalikuwapo tangu sodomo na gomoro Tupeni neno la mungu ndio tunataka kusikia.🤲🤲
@mussahancy6591
@mussahancy6591 6 ай бұрын
Mungu awalinde sana kama na mashuleni yameanza hayo tena hatari sana sana Hii
@geey7893
@geey7893 6 ай бұрын
Unataka Kila mtu anavae kama wewe. Asuke nywele za elf 50 afu avae majuba kichwani?
@evangelicalmiraclesfellowship
@evangelicalmiraclesfellowship 6 ай бұрын
Damu ya Yesu iwafunike,na Hao wasagaji moto wa damu ya Yesu uwachome na kuwateketeza kwa Jina La Yesu
@erizahashimu2100
@erizahashimu2100 6 ай бұрын
Hii vita kubwa Mungu tusaidie
@PrinceMgambwa
@PrinceMgambwa 6 ай бұрын
Maigizo nchi hiii ni nomaàa
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 4 ай бұрын
Askari mashoga ni wengi sio hao tu tena wanavyeo 😢😢
@dionestermwinuka7520
@dionestermwinuka7520 4 ай бұрын
Mbona hii issue wanasimamia wenyewe mbona watanzania Tunakaa kimya lakin tutawapiga mawe kipindi cha Campaign
@aishatest4451
@aishatest4451 6 ай бұрын
🙆🙆🙆🙆👏
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 6 ай бұрын
Mungu naomba tulindie watoto wetu peke yetu hatuwezi
@erizahashimu2100
@erizahashimu2100 6 ай бұрын
Yaani hao wafukuzwe Kwa kweli
@piusmumba6301
@piusmumba6301 6 ай бұрын
Tumuombe mungu sana atusamee na atuokoe na haya majaribu
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 4 ай бұрын
Huyo dada Catherine mpeni cheo serikalini kama kweli tupo serious ili kupunguza mambo haya
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 4 ай бұрын
Uko sahihi caherine wangu tukiwataja huko kwa viongozi wao wanatuvizia na mitutu
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 6 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭dada umeniliza umeniliza
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b 6 ай бұрын
Bahati Mbaya Nchi Haina Utawala Wa Sheria. Hukumu Hutolewa Kwa Kumuangalia Mtu Alivyo. Ndiomaana Huwezi Sikia Mbadhirifu Wa Mali Ya Uma Anashitakiwa. Ila Mwizi Wa Mbuzi Anahukumiwa Miaka Saba Aliyekutwa Na Nyama Ya Swala Alihukumiwa Miaka 22 Hiyo Ndio TZ
@loner_wolf
@loner_wolf 6 ай бұрын
sio kufukuzwa kazi tu , wafukuzwe kazi na waende mahakamani wakiwa kinyume na katiba waende jela wakafilane vizuri .
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 6 ай бұрын
Dada unaingilia sana mda wa mwakyembe mpeane mda
@FabianPiusMghanga
@FabianPiusMghanga 6 ай бұрын
Saaana. Hana utulivu kabisa
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Sio kwamba hawakuwepo hao ndio wanao supot ushoga viongozi hao hao ndio mashoga hao
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 6 ай бұрын
Mama ana Huruma zilizopitiliaa kwakweli
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 6 ай бұрын
Mbona hakuna kuuliza swali hapa au ni kanisani natilia shaka huu mjadala.
@LukazakayaMlaiza-zo1wi
@LukazakayaMlaiza-zo1wi 4 ай бұрын
Mbona raia wamenuna
@ForgiveCheyo
@ForgiveCheyo 6 ай бұрын
Mungu akawapige wale wanao panga vita juu yenu na mfunikwe na mbawa zake kwa jina layesu krito
@FridaUrassa-pj7yt
@FridaUrassa-pj7yt 6 ай бұрын
Mungu awabariki mno dada na bro mwakiembe kwa kaz nzur
@justinejohn7724
@justinejohn7724 6 ай бұрын
Hiyo list iwekwe wazi.
@newbornhaule
@newbornhaule 6 ай бұрын
MUNGU AWABARIKI KWA SAUTI HII
@ImeldaIsdory
@ImeldaIsdory 6 ай бұрын
Jamani huyu baba amelia mwanzo mwisho! Machozi yake hayatapotea bure! Tupambane.
@franciscoivo1591
@franciscoivo1591 6 ай бұрын
Catherine unaongea Kwa jazba sana hata unakera kukusikiliza
@unknownbutterfly6310
@unknownbutterfly6310 6 ай бұрын
Anaumia, ana uchungu mno, ukiwa kama binadamu haya mambo yanaumiza alafu yanakera sana
@samsonsamwel8782
@samsonsamwel8782 6 ай бұрын
Inawez kuw na wew shoga
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 6 ай бұрын
Mungu simama mwenyewe
@selinalawala2270
@selinalawala2270 6 ай бұрын
Ni kweli Mungu asimame mwenyewe TU, pekee yetuhatuwezi
@ZainaRashid-t3m
@ZainaRashid-t3m 6 ай бұрын
Wafukuzwe kazi hawatufai
@samsonjoseph4260
@samsonjoseph4260 6 ай бұрын
Lengo la mzungu ni tusagane tusizae badae waje wachukue nchi yetu wakaishi huku wao 😢😢 haijalishi itachukua mda gani 😢tena wako serious 😢😢
@MariaJuma-q2k
@MariaJuma-q2k 6 ай бұрын
Damu ya YESU iwafunike dadangu,baya lisiwakute,
@annamussa185
@annamussa185 6 ай бұрын
Viongozi wengi wengi ndo wanunua mikundu
@ZainabuSaid-j9d
@ZainabuSaid-j9d 6 ай бұрын
Duuuu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Iko wazi
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 6 ай бұрын
Kuna wabunge,wakuu wa mikoa,wilaya,wafanyabiashara wakubwa,wenye vyeo katika majeshi yote nk.
@FabianPiusMghanga
@FabianPiusMghanga 6 ай бұрын
Usikute huyo hakimu wa Zanzibar ama mteja wake au shoga mwenzake
@IddiMrisho-ii5tg
@IddiMrisho-ii5tg 6 ай бұрын
Mungu amesema analeta galika mana maasi yamezidi
@WillySimangwa
@WillySimangwa 6 ай бұрын
Ee Mungu utusamehe sisi na watoto zetu
@rogersbariki1418
@rogersbariki1418 6 ай бұрын
Hii nchi ya ovyoòóóó sanaaaa 😭😭😭😭😭
@mayanmlingwa4250
@mayanmlingwa4250 6 ай бұрын
Nipeni kazi hiyo ili iwe fundisho kwa vizazi vyao.
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 6 ай бұрын
Mnahitaji ulinzi maana hii kazi ni ngumu sana mimi mwenyewe nimeogopa sana
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Walimu njaaa kari sana ndio shida
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 6 ай бұрын
Nchi hii jamani Kuna shida gani ..
@loner_wolf
@loner_wolf 6 ай бұрын
Maelekezo yanachanganya huko juu ..... Serikali inakanyagana mihimili haina msimamo mmoja juu ya ushoga .
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 6 ай бұрын
Jeshi la polisi tanzania linaweza tu kuvuruga maandamano ya chadema tu,kudhibiti huo ushoga halina ubavu huo
@emanuelmichael5295
@emanuelmichael5295 6 ай бұрын
Wanamuachia ili azidi kusambaza uovu na uchafu kweli😢😢
@ChimolasiniourMagawa
@ChimolasiniourMagawa 6 ай бұрын
Dawa moja tu! Siku tukiacha kutegemea misaada yahao kitimoto kutoka magharibi tutaepuka haya yote. Mungu ampe nguvu zaidi namaarifa zaidi mtakatifu putin awatwange mpaka wamkumbuke mungu hao nguruwe wasio mjua mungu
@lilangasayi1689
@lilangasayi1689 6 ай бұрын
Hv hawa waliishia wapi maana mbn hatujui muendeleozo wa haya mapambano yao au walipigwa pini?
@monicagrayxon8104
@monicagrayxon8104 6 ай бұрын
Mbona dada' etu unatukalipia badala ya kutuelewesha
@RichardMzule-c3h
@RichardMzule-c3h 6 ай бұрын
Mheshimiwa mwakiembe nakuomba sana baba fanya kila linalo wezekana tufikishe ujumbe kwa maandamano wengi hawana simkubwa kuona huu ujumbe
@jumarajab5316
@jumarajab5316 6 ай бұрын
sasa unamtaja mtoa siri
@HaulSidney
@HaulSidney 6 ай бұрын
Hii awamu ya haifai kabisa,
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 27 МЛН
WALEZI WA MASHOGA TANZANIA HAWA HAPA..
1:08:51
Dr.Peter Ikera
Рет қаралды 75 М.
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН