Joel nanauka mwenyezi mungu akubariki unatufunza Mambo mengi mno ya kijamii.nina suali kwako ukimaliza madam zako unasema see you at the top Ina maana gani?.
@eliastanda98254 ай бұрын
Anatamani kukuona juu sana🎉
@eliastanda98254 ай бұрын
Anatamani kukuona juu sana🎉
@JumaMussa-x9i4 ай бұрын
Joel nanauka mwenyezi mungu akubariki unatufunza Mambo mengi mno ya kijamii.nina suali kwako ukimaliza madam zako unasema see you at the top Ina maana gani?.
@brackskinyozi32804 ай бұрын
Asante.. Joel nimejifunza sitakata tamaa..mpka..nipate...matokeo kwa hili.🙏🙏
@judithmwambe47674 ай бұрын
Mungu wangu anisimamie kamwe nisiache maombi na kumshukuru hata kama bado hayajatimia lakini nina hakika yameshakuwa kwa jina la Yesu Kristo very soon yatadhihirika mwilini.
@LeilaMjaka4 ай бұрын
Majaribu ni mengi Ila sitakata tamaa...Mimi ni mshindi.❤
@NoeliaEmmanuel4 ай бұрын
Mafundisho yako yananijenga sana. Naomba namba yako kwa maelekezo zaidi
@michaelsafari3 ай бұрын
Kuna usemi usemao kwamba ukiona kizaa kinazidii ndivo kunapambambazuka ,ukiona matatizo yanazidi ndivyoo mwanga wa mafanikio unakujia
@HalimaAmadi4 ай бұрын
Mimi sitokata tamaa ❤asante sana kaka mungu akutangulie kila hatua yako
@AbdulkadirHaji-ny1iy4 ай бұрын
You are always right 👍
@AllyMbawala-db2rj4 ай бұрын
Bos naitaji kuonana na wewe tafadhar🙏
@Adevitutv4 ай бұрын
I learn to focus and establish for a single carrier 🙏
@Harisonwaswa4 ай бұрын
Waiting to hear from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@faudhiasalum72794 ай бұрын
Yeah brother ❤
@upperclass684 ай бұрын
kaka asantesana nimejifunza
@mesiambilinyi41123 ай бұрын
Sitokata tamaaa 💪💪
@Madam2554 ай бұрын
I will never give up until I win
@blessvevo4 ай бұрын
Wa kwanza Mimi Leo
@MarryJulius-wq3eg3 ай бұрын
Amina kaka🙏
@mwanaidihassan58684 ай бұрын
SITAKATA TAMAA
@silasdavid50174 ай бұрын
Nashukuru Sana mentor wangu umenifanya nisimame kwenye kazi ninayofanya