July 2015 chama cha Mapinduzi CCM kililionyesha kwa mara ya kwanza jengo lao jipya lililojengwa Dodoma ambalo litakua likitumika kwa mikutano mbalimbali.
Пікірлер: 26
@rahmaramadhan97734 жыл бұрын
Millard Ayo kazi njema Abui unatupa mengi yakweli na uhakika piga kazi baba penda Sana wewe jamani😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍❤️
@presseg.63623 жыл бұрын
Good, Ccm hoyeeeeeeeee
@halimamasai22344 жыл бұрын
CCM Taifa kubwa
@asharamadhani46413 жыл бұрын
Dom ayeee
@edwardedward25206 жыл бұрын
Wow! ukumbi uko bomba vyama vya upinzani itawachukua miaka mingi sana kutengeneza kitu kama hicho!
@edwardedward25206 жыл бұрын
Bilali pambana na hali yako! Ruzuku mmemkabidhi mchwa msilalamike!Mtakoma mtaishia kutamani Tu vya majirani!
@freddymello32275 жыл бұрын
Ruzuku za chama Fulani,kakabidhiwa Mchwa anazifanya apendavyo hata mahesabu hawasilishi. kashindwa hata kujenga offisi za makao makuu ya chama chake. sasa kwa hili nadhani atajifunza ubora uko wapi? C.C.M itabaki kuwa juuu zaidi yao.
@victoriachesco28336 жыл бұрын
Bilali kweli hy ten wauwaji n hu magufuli wao
@pabrozungu1047 жыл бұрын
ccm juu
@mack_vita_onyango84094 жыл бұрын
Mhh 🙄 kweli ccm ni hatari.
@daudimaguha94476 жыл бұрын
Chama kubwa mdunia
@dieonmovement25579 жыл бұрын
ni shida kweli pesa ndio kila kitu
@mariyammariyam86496 жыл бұрын
ukumbi mzr sana
@husnakimicha13329 жыл бұрын
jamani dunia hii watu na pesa
@michaelnani83419 жыл бұрын
Ni nomaaaa
@safiaharir25116 жыл бұрын
Mashaalah Nakuja dom Now Nipo Canada Nimezaliwa dodoma Najisikia furaha sana Nikiona hayo maendelea ya uko
@emmanuelbonifase11144 жыл бұрын
Noumaa sanaaààaa
@namchokondasaidi22994 жыл бұрын
Kodi zetu munafanya ni pesa za chama duuh hii tz ni shida tupu
@bilalkasim65046 жыл бұрын
Kodi zetu ndio zinatumika kujengea majumba ya mikutano
@mahatakitengewamuninga12606 жыл бұрын
Bilal Kasim CCM Ni chama kilichojiimarisha sana upande Wa miradi,sio kodi zetu hao Jumuiya zao tuu unakuta zina zaidi ya billion moja bank.Vyama vyetu shida hawawekezi wanapiga tuu pesa.
@bilalkasim65046 жыл бұрын
Yahaya Kitenge hakuna lolote majizi hayo
@emmanuelbonifase11144 жыл бұрын
Unashabikia chama kisicho hata na ofisi kazi kwako
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Kapuku tu wewe kodi hiyo unalipa wapi?
@namchokondasaidi22994 жыл бұрын
Kodi zetu munafanya ni pesa za chama duuh hii tz ni shida tupu