KUTANA NA MZEE ANAYEUNGA MIFUPA KWA DAWA ASILI AMEKUWA KIMBILIO LA WENGI HASA BODA BODA

  Рет қаралды 349

NJB TV NEWS

NJB TV NEWS

Ай бұрын

Tumefanikiwa kumtembea mzee maarufu kama babu kijiji cha Itunduma eneo Wangama kona ambaye anatibu majerha na kuunga mifupa ya binadamu iliyovunjika kwenye matukio mablimbali zikiwemo ajali
tumezungumza naye ametueleza mengi lakini si yeye pekee gata wagonjwa na mashuhuda wamezungumza kuhusu huduma hiyo ambayo siku za hivi karibuni imeokoa maisha ya wengi waliotakiwa kukatwa miguu au mikono na hata waliopata ajali mzee ameokoa
Ametueleza kuwa baadhi ya wagonjwa hutoka hospitali na na kisha kuja kupata matibabu kwake ambao hupona kwa muda wa wiki tatu tu, tafadhali tupe maoni yako ikiwa umetazama video hii

Пікірлер: 6
@saimonmtokoma8847
@saimonmtokoma8847 Ай бұрын
Watu kama hawa wachache sana. Big up Njombe TV for exposing this man.
@njbtv2982
@njbtv2982 Ай бұрын
asante sana
@njbtv2982
@njbtv2982 Ай бұрын
Usikate mguu Wala mkono mtembelee huyu Babu wengi wameshudia
@JahRastafari433
@JahRastafari433 29 күн бұрын
Huyu babu alindwe jamani, ma-doctor wasije wakamuua. Hawapendi kabisa kusikia hivi wakati wao wanjiita wataalam wasomi. Babu Mungu akulinde! Amen.
@njbtv2982
@njbtv2982 28 күн бұрын
Umeongea pointing kubwa sana ndugu yangu
@njbtv2982
@njbtv2982 28 күн бұрын
Asante
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
NEET-UG Case Hearing- Live From Supreme Court
2:20:05
Live Law
Рет қаралды 79 М.
DEREVA AKUTWA  AMEFARIKI KWENYE GARI AKIWA NA  JIKO LA MKAA
11:38
NJB TV NEWS
Рет қаралды 2,2 М.
MCHAWI WA KIJIJ CHA LUAGALA
36:38
HEBUGWA SERIES
Рет қаралды 230 М.