WALE MNAOULIZA KUHUSU NAMNA YA KUMPATA EDA NA INSTAGRAM YAKE NI 0735-28-28-11, 0747-75-35-66 INSTAGRAM NI @classic_finishesTZ @mkeka_wa_mbao-original DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA KIUNGANI NA NYAMWEZI
@givenessdavid374313 күн бұрын
Àsante Millard Naamini umetubariki wengi
@EliberthaKazaula11 күн бұрын
Eda kama Eda very smart hongera sana my Met Ngaza1 hiyooo
@kekiplus1andonly13 күн бұрын
MashaAllah 🙏🙏🙏kila kitu ni hatua,if you dont jave the patience and passion for something lazima utapata ugumu katika harakati za maisha. Tatizo sio mtaji,bali passion na uelewa wa kutosha wa biashara iyo,ukiongeza na uvumilivu na ustahimilivu ,ukamtegemea Mungu lazima utoboe. God's time is the best time,as long as bado upo hai usikate tamaa,
@yusuphkayuni818813 күн бұрын
Napenda sana moment kama izi uwe unatupa mara kwa mara
@dominiclyochindilla109312 күн бұрын
Helloo my dada! I bless you... Tunashukuru kwa kujitolea Mkeka kwa Kanisa letu!!! God bless your family and your business!!
@SarahtzWilliam3 күн бұрын
huyu dada ana background nzuri sana na anajisoma pia ana moyo wa kuelewesha wengine
@RutaEmmaMachumu14 күн бұрын
Nimeipenda sana ni nzuri, tupe kazi hiyo Madam Eda
@djurio14 күн бұрын
Hongera kwake. Kuna kujipata kwa kushikwa mkono na familia (family background) alafu kuna kujipata kuanzia zero ..wewe kama wewe. Wengi waliofanikiwa hawaweki wazi wamefanikiwa vip. By the way maisha yana formula na kila mtu anaformula yake. Ijue formula yako tembea humu....
@tasokwamichael243313 күн бұрын
Exactly 💯
@lydiaaugustino641714 күн бұрын
Hongera sana CEO kwa kutupatia solution ya afya zetu kwa kuleta mkeka wa mbao na bedhaa ambazo ni unic 🔥
@classicfinishestz13 күн бұрын
Asante sana
@MtegekiKaijage13 күн бұрын
Biashara ni ngumu sana mwanzoni usipotuliza akili unaweza kuchanganyikiwa na pia kuanguka ni kawaida wakati unaanza biashara mimi pia nilifanya biashara zaidi ya nne ndo nikaja kupata ramani, vingine nilikuwa nafunga mpk baadhi ya vitendea kazi vipo nyumbani. Ila niwaambie wapambanaji wenzangu ni mara chache sana kuanza biashara ya kwanza ukatoboa kupitia hyo hyo aisee. Biashara za awali kabla hatujasimama zinakuwa zinatupa lesson
@user-qe4yi8hl6n13 күн бұрын
atamimi biashara mbili sasa
@Djso2613 күн бұрын
Kongole kwako dada Eda,kweli mtafutaji hachoki… furahia matunda ya juhudi na kutokukata tamaa💪
@givennsamweli13 күн бұрын
Hongereni sana, wale tunaofanya interior designing na ujenzi tuwashauli wateja wetu wachukue hizo bidhaa nzuri na adimu, binafsi nimezikubali, unique & bright ideas za madam
Dada wewe umetisha maana mtu aliyewaza kufanya kitu kama Nicholas, kila siku naangalia movie za Kenya najiuliza hizi Floor ni marumaru au ni floor ya kawaida, now iam happy
@classicfinishestz14 күн бұрын
Thank You so Much
@user-ru6ct4rh3t14 күн бұрын
Waaooo!🎉❤
@lotionetv283313 күн бұрын
Inaamsha akiri, Hongera Eda
@ishekellyfredy971414 күн бұрын
Kitu kizuri sana👏 sema wabongo kama tunavyo wajua wakiona hiii watu wengi wataiga mnooo tutarajie kuletewa feki za china sasa😂😂😂
@vom8413 күн бұрын
CHINA hizo zipo na ndio wazalishaji , ulaya wananunua china pia,
@samnyambabe252913 күн бұрын
She is so cute
@user-xn8jh1yw1h13 күн бұрын
Hongera sana Asiimwe.
@spency237113 күн бұрын
Aiseee so impressive 😊❤
@judithsalvatory289213 күн бұрын
Wooww kumbe kunahamishwa
@marthahiliyai518112 күн бұрын
God Bless you
@revocatusmishelyludovick13 күн бұрын
Enough to inspire ! #GoBigEda
@leaherasto92913 күн бұрын
Very beautiful with brain
@deboramsuya294013 күн бұрын
Hongera sana Eda
@mrambadiana967810 күн бұрын
She is 2 natural cutieee❤🙌
@engineeragri29313 күн бұрын
Unatuinspire Wengi Boss 🔥🔥
@joycekaje875513 күн бұрын
Zipo huku Europe, hilo ni kapet la plastics lkn kuna mbao kabisa ambazo ni LAMINAAT
@fidesbernard483512 күн бұрын
Hongera sana❤
@nasrahozza923113 күн бұрын
Hongera sana
@aloycemathew392614 күн бұрын
Boss wanguuuuuu
@noeljacob964413 күн бұрын
Leads elewaha hapo mtaji alipata kwa kupata support kwa ndugu na jamaa😂😂
@allenmushema584413 күн бұрын
that winning mind >>>
@alexmwalingo50205 күн бұрын
Hiyo nzuri sana❤❤
@DosianaLulakuze-bv7fg13 күн бұрын
Da Mungu nione na Mimi nimeteseka sana kuthubutu nathubutu sana
Shida sio mtaji @AluminiumMandela vijana wengi hawana uwezo wa kufanya biashara wengi tumekosa elimu ya kuendesha biashara h
@ndukulusudikucho_14 күн бұрын
@@user-ex6vo5wu2x uko sahihi Saaana tena saaana
@classicfinishestz13 күн бұрын
Uko sahihi pia
@erickashindi266613 күн бұрын
@@user-ex6vo5wu2xukweli ndo huo pia hakuna uwaminifu
@mr.yahzadochuno791414 күн бұрын
Smart
@user-fi3hc5gt3i12 күн бұрын
Yeye mwenyew amebeba ajira Kwa iyo anajiajiri tu
@neemamkami202913 күн бұрын
Wengi tumeanguka sanaa ila tunazidi kupambana hatukati tamaa
@yaredamos766414 күн бұрын
Hongera
@classicfinishestz14 күн бұрын
Asante sana
@user-jf7is4fk2v14 күн бұрын
simu yake
@user-pr8cm5ne5c5 күн бұрын
Hongera mno dada
@sirizavitabu14 күн бұрын
Yes kuanguka mara nyingi ni lazima ili usimame🎉
@classicfinishestz14 күн бұрын
Kabisa Asante sana
@MtegekiKaijage13 күн бұрын
Ni kweli kaka mimi pia nimefanya biashara nne naanguka since 2020 nilipoamua kuacha kazi na kujiajiri mpaka nilipokuja kukaa kwenye mstari last year. Mungu mwema japo kuna waliokuwa wananikatisha tamaa, kunicheka, na mengine mengi. Ila kwa vijana wenzangu wapambanaji mkae mkijua kuwa ni mara chache sana kuanza na biashara moja na ukatoboa kupitia biashara hyo hyo, so ingine inakuwa km mafunzo ya awali downfalls ni kawaida kwenye utaftaji
SAHIHI KABISA BORA MKOMBOZI UMEKUJA CEMENT NA MCHANGA SOMETIME NI GHARAMA BORA TUMEPATA SOLUTION NITAWATEMBELEA DUKANI KWAO KUPATA ELIMU ZAIDI ....NIMEONAA VITU VIZURI SANA
@efraimjohn495614 күн бұрын
ulikuwa nazo maana wengine akianza biashara na akapoteza mtaji kupata tena ni issue
@user-uo8xw9kr4b13 күн бұрын
Ni kweli wengne wana wat wakuwashika mikono hat km sio pesa ila akadhamin upate pesa mahal.
@homeandaway281113 күн бұрын
Ni kweli nami nimeona hilo mtaji alikuwa nao au alikuwa na watu wa kumsaidia. All in all hongera kwake kwa juhudi mana pesa bila juhudi haisaidii.
@SomoKidawa13 күн бұрын
Naona nzi jamani amefikaje hapo shenzi huyuuu?
@user-zu3wp3wx8u14 күн бұрын
Bei yake ni shilingi ngapi?
@azzaalmalki4113 күн бұрын
Arusha mko sehemu gani
@user-nf5gi2ff6i12 күн бұрын
Bei ya huo mkeka wa mbao ni sh ngapi? Mfano chumba cha mita 3x3x room 4?
@davidlelo619213 күн бұрын
Unapatikana wapi dd
@jacobsimon964914 күн бұрын
bei yake inaendaje
@mohammedkhimji750513 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kibibiproductszanzibar908513 күн бұрын
Kwani hii sio carpet
@marykennedymarwa164113 күн бұрын
Niko belgium, hilo ni plastic tena halihamishiki , good idear kwa matumizi ya kitchen floor, and birthroom floor sababu iko na water resistant. Sema sio kitu cha kudumu na kinaharibika haraka na ni cha bei rahisi. Tofauti na laminaat.
@razackaigarula229113 күн бұрын
Usitutishe na Belgium Yako bhn😅
@lamayaniOlesaruni6 күн бұрын
Tutakupataje
@khamisswalehe14 күн бұрын
mimi nina miaka zaidi ya kumi sjajipata
@aishaabrahaman995714 күн бұрын
Ni kama mimi 😂😂😂😊
@khamisswalehe14 күн бұрын
@@aishaabrahaman9957 usikate tamaa mimi sasahiv nasumbiliwa na mtaji tu lakin nimepata idea moja ya kuniinua sana
@salmaalimusa680913 күн бұрын
@@khamisswalehetushee mawazo ndh
@hellenmassawe728413 күн бұрын
Utajipata tuuu
@rosinamtauka993314 күн бұрын
naomba namba zake za simu
@millardayoTZA13 күн бұрын
0735282811 na 0747753566
@DevothaMhaiki14 күн бұрын
Hongera, Tuambie Duka liko Kariakoo Mtaa Gani. Duka linaitwaje. Tunaomba Namba ya Simu
@engineeragri29313 күн бұрын
Kariakoo, mtaa wa kiungani na nyamwezi
@millardayoTZA13 күн бұрын
DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA KIUNGANI NA NYAMWEZI, 0735282811 na 0747753566
@trecygohy784714 күн бұрын
That's nice, nimeona wanawake wana improve sana kuliko men
@classicfinishestz14 күн бұрын
Asante sana
@jrsaid427013 күн бұрын
Improve na wewe
@trecygohy784713 күн бұрын
@@jrsaid4270 hahahahahaha, usijali
@isikesamike13 күн бұрын
Most of wealthy people in the world ni wanaume. Wewe hiyo research yako ulifanyia wapi?
@trecygohy784713 күн бұрын
@@isikesamike wealthy people n wanaume yes I agree ila unajua hata wanawake pia wana hela ?
@liannsambu72649 күн бұрын
🎉
@asiamalonji596212 күн бұрын
Uwe unaleta story kama izi sawa Millard ayo
@mzalendomzalendo256714 күн бұрын
Wewe dada huwezi kuweka plastic juu ya tiles nzuri, hizi kwa nchi za watu wengine zinawekwa jikoni kwenye nchi zenye carpet lakini uweke hiyo kwenye nyumba zenye tiles za ghali
@MussacharlesSongo12 күн бұрын
The problem mbona inakuwa nyingi.
@user-pu6gy2nh4q13 күн бұрын
Toto kafanana babake.cheus beauty
@Bless-sk8uv13 күн бұрын
Mme nani?
@seifkulwa33468 күн бұрын
Nyuma ya Biashara ya a mwanamke Kuna mwanaume awe baba/Mme/hawara/kaka nk
@kevinmary712913 күн бұрын
Husband business in her name
@KhadijaAli-zd8jq14 күн бұрын
Naomba namba zako mm naitaji
@elikananzibanka418610 күн бұрын
Bei ipoje?
@elikananzibanka418610 күн бұрын
Vipi kuhusu moto? Mkeka wa mbao ukiangukiwa na Kaa la moto una resist vipi?
@mpefu_493614 күн бұрын
Mawasiliano dada
@millardayoTZA13 күн бұрын
DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA KIUNGANI NA NYAMWEZI, 0735282811 na 0747753566
@beatriceclemence12 күн бұрын
nimedrop hii 4th times
@redemptaanisio277014 күн бұрын
Tunaomba namba yake ili waje watuwekee kwenye nyumba zetu
@millardayoTZA13 күн бұрын
DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA KIUNGANI NA NYAMWEZI, 0735282811 na 0747753566
@kelvinmwambona539514 күн бұрын
🎙Nakubali Mwasha
@mpefu_493614 күн бұрын
Weka simu au Arusha mko wapi
@millardayoTZA13 күн бұрын
DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA KIUNGANI NA NYAMWEZI, 0735282811 na 0747753566
@edwigashayo21272 күн бұрын
Bei yake ikoje? Niko Arusha nikitaka?
@MouhammedSeif11 күн бұрын
Hem ww dada tuache unapewa mtaji na unajaribu tena wakat mm nimeli mara tano na maraya mwishi nikabdi nilipe maden ndo nitfte mtaji niakuza bandalang apo ndio nmeona njia siaba tuache unajua kupambana na kujirski wacha kusumbua ww si unadanga tu
@comics343710 күн бұрын
Mh???????
@user-td3ss6nk2d12 күн бұрын
Sijui ni mimi tu au na wengine siamini katika kipato cha mtu kupitia biashara anayoisema,watu wana siri sana......mhm..labda mawivu yangu....😢
@fredrickbuteye715311 күн бұрын
Mawivu yako tu😅
@moidasilwamba571210 күн бұрын
Mawivu yako
@ibratetv159014 күн бұрын
Garama zake zikoje , nibadulishe dukani ,kunasakafu 2
@millardayoTZA13 күн бұрын
DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA KIUNGANI NA NYAMWEZI, 0735282811 na 0747753566
@malietamalieta965813 күн бұрын
uyu mhaya ila Sasa mm Niko na mtaji ila pakuanzia Sina Wala mawazo jmn nisaidie piah kitu gani naeza fanya nchin ya laki 5
@mohammedkhimji750513 күн бұрын
nunua baiskeli ya laki moja na nusu.... beba viatu vya mitumba za laki moja ata sio nyingi.... tembea maeneo za sinza na mbagala kwa miezi mitatu... na kila yule ukimuuzia mpe namba zako za simu asambaze kwa wandugu na marafiki.... hii laki 5 isipo geuka kuwa milioni mbili kwenye miezi mitatu basi utanisomea albadiri....
@malietamalieta965813 күн бұрын
@@mohammedkhimji7505 duuh Asante kaka angu mm Niko bukob na cjui kuendesha bike ila Asante Kwa ushauri wako