KWA NINI NILIACHA UISLAMU YOHANA OMA

  Рет қаралды 127,485

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 711
@jacksonkilonzo1439
@jacksonkilonzo1439 2 жыл бұрын
Mungu akubariki na akuongoze mtumishi HIYO ELIMU ULISOMA KWA UISLAMU ,MUNGU ALIRUHUSU USOME ILI UWAFUNUE MACHO WENGI AMBAO WAMEPOTELEA KWA UISLAMU . KILA KITU HUTENDEKA KWA MAPENZI YA MUNGU.
@mukanyataki5120
@mukanyataki5120 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Ndugu mpendwa katika Christo Yesu wetu. Umepata neema kutoka hukwo ubarikiwe
@mkorantambi2756
@mkorantambi2756 2 жыл бұрын
Mhubiri huyu alihuburi hapa kwetu Sima Bariadi,hakika aliwabariki Sana watu,Mungu akubariki.
@shishshikoh4979
@shishshikoh4979 5 жыл бұрын
Hii Quran yenye iliteremshwa na adui wa Gabriel imepoteza wengi...Yesu tuokoe..kumbuka watoto wako wenye bado wamedanganywa katika dini mbali mbali uwaokoe...barikiwa Sana mchungaji
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 5 жыл бұрын
Acha kudanganya watu hebu leta hiyo hiyo Aya inayosema kuwa Qur'an ililetwa na adui wa jibrili
@naimaabdallah9491
@naimaabdallah9491 5 жыл бұрын
@@jamilshisia5929 Quran sineno la Mungu
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 5 жыл бұрын
@@naimaabdallah9491 ni la nani basi twambie kupitia kwa maandiko, soma Qur'an 81;25 na pia soma 26;210 acha kupiga mdomo njo na maandiko
@Deokitasa
@Deokitasa 4 жыл бұрын
@@jamilshisia5929 Qura'n 2:97 Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur´ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
@janetsemahimbo8083
@janetsemahimbo8083 3 жыл бұрын
@@jamilshisia5929 hayo yote muulize huyo mhubiri hapo atakujibu. Si amewaita nimuulize. Na mashehe wote wamepita hawajaja
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 2 жыл бұрын
Hakika Yesu Kristo ni mwokozi wa wote karibuni ndugu zetu waislam kwa Yesu Kristo
@ridhiwaniswaleh7878
@ridhiwaniswaleh7878 2 жыл бұрын
Yesu alipewa kipigo mpaka watu wakamuua tena kifo cha kuzalilika kabisa mpaka akaanza kulalamika kua Mungu wake amemuacha, tumieni akili zenu vizuri nyie makafiri.
@mcndege9724
@mcndege9724 11 ай бұрын
​@@ridhiwaniswaleh7878ww sio mwislamu wakubali yesu kafa😂😂 inalilai.. maliza?
@pendomaturo888
@pendomaturo888 5 жыл бұрын
Mtumishi Mungu akubariki songa mbele taji inakungoja. Yaani umenitia moyo.
@innocentmsoka7805
@innocentmsoka7805 2 жыл бұрын
Aminaa Mtumishi wa Mungu Yohana omar umechagua fungu jema jehanam haitakupata maana umempata YESU Kristo Mtenda Miujiza wetu anatosha
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana, ww umepona moto wa Jehanamu...
@KitangitaEmmanuel-m9d
@KitangitaEmmanuel-m9d Ай бұрын
INJILI ITATANGAZWA KWA KILA KIUMBE, HATA WAISLAMU NI HAKI YAO KUMFAHAMU YESU-MWOKOZI WA DUNIA. BARIKIWE SANA PASTOR
@donudonu2.r
@donudonu2.r 2 жыл бұрын
Ukitaka kumshinda Mwislamu lazima utumie aliyesoma sana elimu ya Uislamu akawa mlumbi kwenye hii kitu akamgeukia Yesu Kristo. Wanaelewa sana kuwa kuna waislam binadamu na waislamu majini. Wao wanasema kuna majini wema na wabaya. Wao waislamu wanasema huwa wanaswali na majini wazuri. UWE MAKINI hakuna shetani wazuri au wabaya. WOTE NI WABAYA.
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
Ww uwezo wako wa kufikri ni mdogo sana
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
Kweli,injili itafikia kila mmoja,uamuzi Ni binafs mi nimeamua YESu kristo mwenye uwezo WA kukifungua kitabu Cha uzima na mihuri yake saba 🙏
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
Mkristo anaweza kumshinda Muislamu kwa kupandisha sauti na kupiga kelele lakini haimanishi Ukristo ndiyo dini ya haki kutoka kwa Mwenyezi Mungu;Msomi yeyote yule duniani anaye pindisha maana ya kitu huyo anakuwa sio Msomi bali tunamutambua kama mpotoshaji,hata Uislamu ukibaki bila mtu au watu wote wahamie dini zingine;Uislamu unabaki pale pale ukiwa ni dini Ya Mwenyezi Mungu!
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
@@jannyrose5367 Hayo ni maneno yako;Injili kilikuwa ni kitabu kwa ajili ya wana wa Israel kipindi cha Yesu;hivi sasa ni wakati wa Quruani mpaka siku ya malipo.
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
@@ramadhanilukambuzi9760 keti hapo! Sikio la kufa haliskii Dawa wewe Lukambuzi 🤔
@henrykigugwe5112
@henrykigugwe5112 2 жыл бұрын
Kwa Yesu kila got litapigwa ,anatuandalia makao ili yeye alipo nasis tuwepo Alituachia Roho mtakatifu tuombee wagonjwa wapone tuzungumze na yeye hayupo mbali yupo karibu sana kuliko mavazi tunayovaa Karibuni Kwa BwanaYesu wapendwa anawaita kwa sauti ya upole enyi waislamu Mungu wetu ni wa Upendo.
@edwinkaris9602
@edwinkaris9602 2 жыл бұрын
very detailed information...good work good testimony
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 2 ай бұрын
Watoto wa majini uwa wananichesha sana ukiwa mwislam ata kama Ulikuwa unawafundisha watakusifia sana ukitoka tu kwenye uslam utasikia wanakuambia kusoma kwenye ujui
@muchuialbert3819
@muchuialbert3819 2 жыл бұрын
This is quite impressive and a wonderful message of the third angels
@paulmalagila4152
@paulmalagila4152 2 жыл бұрын
Aiseeewe mzee
@PhilipoAwe-x7j
@PhilipoAwe-x7j Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi Kwa hiyo knowledge
@maryamimo3039
@maryamimo3039 2 жыл бұрын
Hongera wakristo mna roho ya Amani kwa wote,ndugu zetu Waislamu wana mabishano na hasira aki
@emanuelkitiku690
@emanuelkitiku690 Жыл бұрын
Waisilam okokeni mpate uzima wamilele
@judithmoturi3402
@judithmoturi3402 3 жыл бұрын
Magumu Yesu wetu ni Bwana kabisa,Mungu akubariki Yohana🙏
@HusseinGabu-wr3xh
@HusseinGabu-wr3xh Жыл бұрын
Yesu hawezi kuwa mungu we pimbi maji mungu gabi anaetoka kwenye utupu wa mwanamke
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi uamuzi wako Mungu hatakuacha umechagua fungu jema
@erickangima970
@erickangima970 Жыл бұрын
Karibu kwa mwangaza ndugu yangu. Mungu azidi kukupa afya uihubiri Injili
@michaeljacobo2925
@michaeljacobo2925 2 жыл бұрын
Yesu Kristo ndo kila kitu,, nyie waislaamu mkataeni tu ila siku za mwisho atawanyosha tu... Wooote Jehanaumu...na mtume wenu wa Uongo.. Njooni kwa Bwana Yesu yeye habagui acheni ubishi.. Wenu...Hata samaki akiwa majini na ukamwambia kuna nchi kavu anabishaga, lakin ukimvua anasema aaa kumbe...!!!!
@rahmahussein4288
@rahmahussein4288 2 жыл бұрын
Atasema aa kumbe ila atakufa
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂ndio maana baba angu akakimbia uko maana alikumbuka kukamuliwa ushuzi akaona apaa apafai ngoja amtafute yesu sasa mpaka mkono unaingia mkunduni😂😂😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃💃apana aiseee alafu wanasafisha maiti ivyo ili funza wakafaidi uko kaburini...mambo mazitoo sana ndio maana waislam roho zao ngumu
@raphaelkimaro1753
@raphaelkimaro1753 5 жыл бұрын
Hata wao wanajua kabisa kibavu asema kweli achana na huyi anayesema eti "kibavu anadanganya" amesahau wakristo tunasoma na hatusema. Tunasoma kitu ndio tunasema sinkama wao wanasema tu bila kusoma inamaana wanasema wasichosoma. Mimi mwenyewe walitaka kunivuta alkini baadae nikagundua naingia jehannam nilipotoka amani ikanirudia hadi leo Mungu ni mwema
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
@@raphaelkimaro1753 alafu nacho choka kubishana na waislam anaomba andiko ukimpa anakimbia umuoni tenaa sasa najiuliza kama ameujua ukweli kwann bado anatetea uongo apo nachoka.kuna mtu nilibisha na nae nikampa maandiko yotee kuusu yesu ndie mungu eehh akasema bible eti ni gazeti ni magugu lkn bado anatoa apo apo maandiko kutoka kwa bible apo nikaona awa jamaaa sio wa kawaida yan anaona lkn anajifanya kipofu awa jamaaa sio wa kawaida aiseeee alafu wabishi sana kama yesu kasema yy ndie njia so Mohammed atawapeleka wp?alafu Mohammed mpka leo ajafika mbinguni na yesu ndie atae mpa Mohammed hukumu sasa wao wanamkataa yesu nauliza akishuka saizi apa wao itakuaje aiseee namuomba mungu sana awafungue ..maana yesu aliyaona aya ndio maana akasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa mahalifa
@raphaelkimaro1753
@raphaelkimaro1753 5 жыл бұрын
@@financialloan9818 achana nao. Wanasema Yesu anaomba, anaenda, anasimzia na mengine mengi. Nikawauliza kama allah anaweza kufanya hivyo wakasema hawezi. Kumbe mambo aliyiyafanya Yesu kwa allah ni mtihani. Sasa kama alikuja duniani angetakiwa aweje? Hawana jibu. Nikawauliza ikiwa Muhammad aliwahi kumwona Mungu ama kumsikia wakakosa andiko. Nikawauliza ikiwa biblia si kitabu cha Mungu wanioneshe basi quran imeandikwa na Mungu wakakosa andiko. Nikauliza andiko kwamba Yesu si Mungu wakakosa wanatafutatafuta wapi. Nikauliza abdiko kuwa alah anasema mwenyewe kuwa ni Mungu wakakosa kila andiko wanalogusa ni muhammad anasema na si Mungu. Nikauliza andiko wapi muhammad katumwa na mungu na ni mtume wakakosa maana ni mwandishi wa qurani anayesema muhammad ni mtume wala si mungu anasema. Nikauliza wapi quran inaonesha muhammad alitokwa na uchawi aliokuwa nao wakakosa. Nakauliza ni wapi allah kaumba hata inzi wakakosa. Nikauliza ni wapi Yesu anasema kuwa yeye hatakufa wakakosa. Nikauliza kama muhamad hajuibatavyifanywa nyie mtafanywaje nikagundua hata waadhiri wakubwa wa kiislam ni modern robots kwani wameadvance kwenye ubishi ukiwashinda kwa hoja wanasema takbir alafu wanakimbia. Ukisikia profesa wa kiislam ni yule aliyebobea ujinga na ubishi
@samuelkanyumoo2154
@samuelkanyumoo2154 5 жыл бұрын
Financials Loan
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
@@raphaelkimaro1753 waislam bhana sio watu wa kawaida wngu awa ndugu yngu sio wa kawaida giza zito lipo usoni kwao wanaomba maandiko wakipewa wanakimbia
@festokachunkwa4268
@festokachunkwa4268 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi Karibu kwa yesu mwokozi wa ulimwengu
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Yesu ni muislam ila binadam kwa maslahi yao wane fanya biashara kwani mitume wote ni ndugu mzungu alibadilisha mitume kua wakristo kama ayob musa we brahim ndio katokea irag
@barikinihataringira5113
@barikinihataringira5113 5 жыл бұрын
Waislamu njoon kwa Yesu mpate uzima wa milele acheni ubishi Yesu ndo kila kitu
@edigamwalongo1913
@edigamwalongo1913 5 жыл бұрын
hongera sana mtumish
@katherinasamwel3937
@katherinasamwel3937 2 жыл бұрын
@@rashidseif6095 Rashid Seif usijidanganye YESU ndio njia ya kweri na uzima sasa wewe kaatu huko kwenye uislamu wako Ila siku ya mwisho mtalia na kusaga Meno
@rahmahussein4288
@rahmahussein4288 2 жыл бұрын
Jesus peace be upon him tunamuamin sana, ila nyinyi hamuamin alokuja nayo, njoon katika uislamu, acheni kudanganywa, someni kiarabu mukielew then mumsikilize uyo jamaa, anaboronga kabisa
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Nitakuja ukinipa andiko ukiristo ni dini nipe andiko moja tu kutoka kwenye biblia yako
@SafiaAdan-ws8bw
@SafiaAdan-ws8bw 8 ай бұрын
Yesu yupi
@johnmnonjela9809
@johnmnonjela9809 5 жыл бұрын
Ubarikiwe mwalimu Yohana
@liliankagea3318
@liliankagea3318 Жыл бұрын
You did marvelous,ndacha may God bless you
@khalidabu5259
@khalidabu5259 2 жыл бұрын
Mtumishi dacha next video naeza pata wapi
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Aahmen nimejifunza kitu apa barikiwa sana sana pastor
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 Жыл бұрын
Nakuru my place 🥰🥰ahsante kwa ujumbe huu
@muhammadmussa269
@muhammadmussa269 Жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu tena sana sana
@barackamosi4116
@barackamosi4116 Жыл бұрын
Wewe unae mtegemea muhamadi umepotea mwenzako amesha okoka tayali
@Faheem_-001
@Faheem_-001 Жыл бұрын
Hakuna mtume aliye mungu kumaanisha pia wakristo hawajijui
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu aliye hai, ujumbe umefika wenye masikio na wasikie na wenye kusujudu jiwe waendelee fainali wakishakufa.
@edwinelyone3100
@edwinelyone3100 3 жыл бұрын
Good Testimony. Be bless my brother
@chemeliedinah2339
@chemeliedinah2339 5 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu, ubarikiwe sana naomba uendilezi.
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Yesu anaweza sifa kwa mwenyezi mungu
@tumaininestory7998
@tumaininestory7998 5 жыл бұрын
Yohana Omary Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa elimu ya kiroho kwa watu wote.
@halimaa9367
@halimaa9367 2 жыл бұрын
Subhanalha mungu muonkowe huyu kiumbe asipotee ziad ajue dini yakweli inshalha
@halimaa9367
@halimaa9367 2 жыл бұрын
Weunafanya biashara ya dini subr moto tu wewe umeingia ukrsto kwa masilah yko ya maisha sio din kuitaka
@frenkifrenki4775
@frenkifrenki4775 Жыл бұрын
Waslam wengi maamuma amjui kusoma vitabu vyenu
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 11 ай бұрын
hivi huyu ndio anamuamni yesu ukristo hausimami bila ya urongo yani ili uwapate waumini wakristo wadanganye kama huyu pasta wa mchongo😢😢😢
@derickomoghela9948
@derickomoghela9948 2 жыл бұрын
Mungu ni mkuu sana, yaani yote hiyo ni juhudi za Mungu kutuokoa na adhabu ya milele. Mtakatifu wa Mungu mkuu, Muweza wa Yote, Umetukuka bwana, Utukufu ni wako milele na milele. Amina.
@isackmbwambo4179
@isackmbwambo4179 Жыл бұрын
Islam = majanga
@juniormelami
@juniormelami Жыл бұрын
Sina la kusema zaidi tu ya kusema amina Mungu akubariki sana
@nellyk2560
@nellyk2560 2 жыл бұрын
Yesu ndie njia .. na yoyote ampatae atapata uzima wa milele. Amen
@MmM-dl9yl
@MmM-dl9yl Жыл бұрын
Amen
@MmM-dl9yl
@MmM-dl9yl Жыл бұрын
Amen
@shyneafya2468
@shyneafya2468 2 жыл бұрын
who is still here this is good message may God bless him and all listeners
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
Mmmmmmmmmmh..First of all I gonna appreciate whoever takes his time to upload this useful old episode Many of us takes it for granted But what should come in your mind is that one day we will die because we are human beings So we need to find a right ✅ path to rich our creator 🙏🏼
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 жыл бұрын
You can't reach the pleasures of your creator with a life of work of evident lies. Please read the Holy koran , while you can in life.
@lucykamangu5030
@lucykamangu5030 2 жыл бұрын
Dio nafika huku Leo... Mambo magumu sana
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@lucykamangu5030 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🫂Absolutely 💯Think of it darling thanks for coming back on this old clip
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 жыл бұрын
@@lucykamangu5030Welcome to Islam. The majority christians converting to Islam are women , because of their big sincere hearts.
@lucykamangu5030
@lucykamangu5030 2 жыл бұрын
Abulhakim Hassan Nikubali dini ya Majini mwishowe inipeleke jehanamu
@pascalkaralo1367
@pascalkaralo1367 2 жыл бұрын
Mtumishi ujumbe huo ndo unapaswa kutolewa kwa kipindi hiki ili watu wasiendelee kutumbukia ktk dimbwi hili kubwa la upotevu,paza sauti yako kama tarumbeta wahubiri watu Wa Mungu kosa lao.
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
waislamu kote duniani washindwe na walegee katika jina la YESU kristo mwana wa MUNGU aliye hai
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 2 жыл бұрын
Badilisha Jina pia
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 2 жыл бұрын
Uislamu ni ushetan
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 жыл бұрын
Jamani waislamu njooni kwa Yesu yy ndiye njia ya uzima wa uzima
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 жыл бұрын
Wacha ujinga. Endelea na yesu wako
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
@@mwawekomiuda9779 ujue ndugu yangu Yesu Yuko kwenye Quran yenu, angalia vizuri
@williammuriki2967
@williammuriki2967 Жыл бұрын
Kama wewe ni mkiristo na unasema unaenda mbinguni Kwa matendo utaenda jeanamu,Kwa maana unadharau kafara ya Yesu ,tunaenda mbinguni Kwa haki ya Yesu
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Mungu nimkubwa, nilikua nautamani uwislamu mungu amekuleta kwa wakati unaofaa,
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 жыл бұрын
Haya ni maneno na matamanio ya shetani.
@nellyk2560
@nellyk2560 2 жыл бұрын
My friend usiache yesu alie kuahidia uzima uwende kwa Muhammad mtumwa wa shetani
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 жыл бұрын
@@nellyk2560Wacha maneno yako ya kishetani , Mtume Mohamed amepewa na Mungu koran takatifu , kutufundisha heshima na adabu ni sawa na tabia ya Yesu kristo. Tofauti na tabia yako ya matusi na aibu ya mafunzo ya dini kasoro.
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 4 жыл бұрын
Ameeen mtumishi wa Mungu nimefarijika sana
@edwinkaris9602
@edwinkaris9602 2 жыл бұрын
Hii testimony imenibless sana., i'll share what ive learnt with muslims, I am ready to meet resistance but ukweli ntawapea ndo wapate chance ya kumake the right decisions
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 2 жыл бұрын
Ingia KZbin wasikilize hawa ili wakusaidie kuijua vizuri dini ya kiislam 1. Abdul Sameer 2. Apostate Prophet 3. David Wood 4. Somalli Christian TV 5. Christian Prince 6. Sister Khadija 7. Zara Kay 8. El Fadi 9. Sam Shamoun 10. Hatun Tashi 11.Nabeel Quresh
@edwinkaris9602
@edwinkaris9602 2 жыл бұрын
@@ambrosiamlinga8402 nataka uchallenge hii information aliotoa Kibavu hapa...point by point, ndo tukisema Kiisalamu ni religion iko bound na shetani kuna sababu zinazo support,huwa ni kuongea ukweli ndo ukweli iliberate watu
@faithfultoyeshua4576
@faithfultoyeshua4576 2 жыл бұрын
@@ambrosiamlinga8402 na father zakaria
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 11 ай бұрын
😂 hiyo Quran unavosoma Hawa makafiri tolii Sana 😅😅
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 11 ай бұрын
Hiyo quran aisee unavoisoma kama umekunywa gongo 😂😂
@peterkihongosipeterkihongo1154
@peterkihongosipeterkihongo1154 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Yesu unapatikanaje?
@ambarnelly6304
@ambarnelly6304 2 жыл бұрын
Alhamdulillah lah mungu anawatenga nisha wanafiki na walio muamini yy mungu atupe mwisho mwema kwa hakuifanya dunia ispokuwa ni starehe ya muda mfupi
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 2 жыл бұрын
Huyu jamaa adhabu yake kufa hana akili au katumwa kuuchafua uislam
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 жыл бұрын
Ambar Nelly, uwongo zisizo tosheka. Danganya wakristo, waislamu wanajua.
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 жыл бұрын
Nimekufahamu Ambar Nelly , kuwa Yohana omari ni mwongo na mnafiki.
@frenkifrenki4775
@frenkifrenki4775 Жыл бұрын
Ivi nyie mnaakili kweli nyie mnafikiri vitabu vyenu inajua usoma wenyewe tu nyie maamua tu amjui chochote
@RIO-jf9mo
@RIO-jf9mo Жыл бұрын
@@frenkifrenki4775 hao ni mafala tu ...kiarabu si lugha Yao ... Hawaelewi lolote
@mbuerecarlos1396
@mbuerecarlos1396 2 жыл бұрын
Ushuuda wako umetufungua masho saana Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo akutie nguvu na akufunulie zaidi na zaidi wewe umekuwa Paulo alipokutana naYesu ingawa hukufanana na Sauli kwa matendo Yesu amekuita kwa njia tofauti. Nimevutiwa na ushuuda wako utawaokoa wengi na Bwana akutie nguvu na familia yako.Amina.
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 жыл бұрын
Mbuere Carlos Kumbe Kuna Mungu wa bwana Yesu! Kumbe Yesu sio Mungu! Nilikuwa Sijui umenipa elimu nzuri tuwafahamishe na wengine wanaosema Yesu ni Mungu waelewe ukweli huu.
@annasanjonaombawimbousemao7625
@annasanjonaombawimbousemao7625 2 жыл бұрын
Kaka, yohsna ubarkiwe sana na mwenyezi mungu na bwana akutetee sanasana kwakusema ukweli
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Жыл бұрын
Njaaa ikiingia Hadi kwenye ubongo ni balaaaa 😂😂😂😂
@barackamosi4116
@barackamosi4116 Жыл бұрын
Wewe nimjinga acheni kufyata mikumbo hata vitabu hamjuwi njoonu kwa YESU
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Жыл бұрын
@@barackamosi4116 ahsante sana
@Faheem_-001
@Faheem_-001 Жыл бұрын
Ukwelii sasa ashakuwa mchungaji kivipi.....mtu iman yake ikiisha si akae
@masungwasalumu1278
@masungwasalumu1278 4 жыл бұрын
Soma Qruan11;13 ujitasmin mwislam uko upande gani kwa Mungu au kwa shetani
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
Sasa hapo unamaanisha nini ww?
@fredlyimo1263
@fredlyimo1263 2 жыл бұрын
😔😔 pole sana kwa wakati wake hat km ilikuwaj nadhani mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na wewe namna yoyote, aisee nimetambua mengi kuhusu usilam hakik yapo mambo ya ajabu sana.
@raphaelkimaro1753
@raphaelkimaro1753 5 жыл бұрын
Mimi ndio huwaambia waislam kama kunawaabudu sanamu wakubwa si wwngine ni waislam. Maana mpaka huku africa mashariki wanasijudu kugeukia jiwe jeusi
@zubedamachano4088
@zubedamachano4088 5 жыл бұрын
Huyu iyo Quran hajui hata kusoma unafikiri Nini inasomwa ivo hujui panapo shada Wala sekne mnapotoshwa tuu mnaijua dini ya waislam vizurii tutakutana siku yakiama Kisha njoo seme hayo maneno mbele ya mungu msiba huo😀
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
NAPENDA KUKUELIMISHA SABABU WAISLAMU WANAELEKEA jiwe jeusi lililokuwa MAKKAH. waislamu waliamrishwa na Allah SUBHANAHU WATAALA KUWA POPOTE WATAKAPOKUWA KWENYE SALA basi waelekee KIBLA ambayo ndiko lilipo jiwe jeusi,HIYO PEKE YAKE INAONYESHA VIPI waislamu wanamtii na kumfuata ALLAH anavyowaamrisha, Kwa kuelekea mahali pamoja kumefanya nidhsmu nzuri wakati wa IBADA ,lau isingekuwa tunaelekea sehemu moja UNGEKUTA WATU WAKO KAMA SOKONI WENGINE WANAELEKEA KUSINI WENGINE KASKAZINI WENGINGINE MASHARIKI NA WENGINE MAGHARIBI.
@naimaabdallah9491
@naimaabdallah9491 5 жыл бұрын
@@salimalmahrizi395 🤣🤣🤣🤣yani hata mtt mdogo anakili yani mnatazama jiwe liliko ndio mswali😂😂😂😂😂haki nyie mnabudu jiwe jeusi
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
badilisha jina hupendezi na hilo jina na unayoyasema .hakuna Muislamu hata mmoja anaeabudu jiwe jeusi ingia msikitini tafuta jiwe jeusi piga picha unitumie ,wacha fitna za shetani,
@naimaabdallah9491
@naimaabdallah9491 5 жыл бұрын
@@salimalmahrizi395 mbona mnageukiaga maka mkitaka kusali
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 жыл бұрын
Mkristo anatamba Waislam wamekimbia dah Yesu mzuri jamani 😂😂😂
@annambezi6226
@annambezi6226 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@madamehatibu9324
@madamehatibu9324 2 жыл бұрын
Ulionapi mtu anasimama anamkimbiza kichaaa aliye uchi huku nae kavua zake ? Kimya nalo jibu bwana
@felixnchimiye7019
@felixnchimiye7019 3 жыл бұрын
May the Lord bless you sir for accepting Jesus Christ
@PetroMsalika
@PetroMsalika 4 ай бұрын
watu wangu wanaangamia kwa ujinga wao yesu ni jibu
@junicnamuwenge6957
@junicnamuwenge6957 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🔥🔥🤭🤭😰😰 mungu awasaetiye sana waisramu
@asifiwemwamundela4388
@asifiwemwamundela4388 2 жыл бұрын
Safi sana 'YESU' yupo kazini!
@assumanemilongo989
@assumanemilongo989 2 жыл бұрын
This gay is very layer IS A BEST LAYER
@elijahchegere4974
@elijahchegere4974 2 жыл бұрын
Huyu ni zaidi ya mashehe wote kenya nzima hakuna kama yohana kwa mashehe wote kenya nzima kataa au kubali
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 2 жыл бұрын
Hakuna kitu anajua huyo....masheikh zetu wawalinganisha na Mtu kama huyo Mungu akubakishe huko huko...wee njaa inakusumbua
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 жыл бұрын
mbona nyie vijwa ngumu jamanii njoo kwa yesu
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 жыл бұрын
@@whitetigerprincy5882 yesu si wako ww mfyate kwani haitoshi kumfyata mungu alietahiriwa badooo!
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 11 ай бұрын
Sio kwa Matango pori haya unayowalisha vipofu 😂😂😂
@danielelnestngimba5516
@danielelnestngimba5516 5 жыл бұрын
WAISLAM KWELI NI MAROBOTI, HAWAJITAMBUI
@godfreychailo3800
@godfreychailo3800 5 жыл бұрын
Kweli
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 5 жыл бұрын
Wewe hujui unachosema
@rosemutinda4671
@rosemutinda4671 5 жыл бұрын
Waoh!!nimefurahi kuona Huyu mchungaji wa TZ Kenya. Huwa nafuatilia mikutano yake lakini sijawai jua in WA SDA
@mussajoshua1261
@mussajoshua1261 5 жыл бұрын
Ndio ni sda
@adalbertkatabaro153
@adalbertkatabaro153 3 жыл бұрын
Sio mchungaji ni mwinjilisti kwenye kitengo cha AMR
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
Praise God Brother shivachi..I see you darling ❤
@tabbygocho4127
@tabbygocho4127 Жыл бұрын
I will share to my musilam brother and sister 😢 juu they don't know
@fadhilimmbwambo4566
@fadhilimmbwambo4566 5 жыл бұрын
Nafurahi sana kusikia hiii yesu asante kwa kunikomboa waislamu yesu anawapenda karibuni
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 5 жыл бұрын
Yesu hata wewe hakujui na walah hatawahi kutambua
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Waislamu njooni kwa YESU anawapenda
@baya7067
@baya7067 2 жыл бұрын
Waislam njooni kwa yesu mfalme wa amani jiwe la pembeni alfa na omega atawaokoa atawasamehe na mutaurithi uzima wa milele
@mohamdmohamd4842
@mohamdmohamd4842 2 жыл бұрын
Yesu alikuwa MUISILAMU .. Sio Mkristo.. Hakuna Dini ya KiKristo ni UPAGANI.
@mohamdmohamd4842
@mohamdmohamd4842 2 жыл бұрын
@@baya7067 ..Alfa Omega.. na Halafu Yesu Akafariki..hiyo Alfa na Omega Ndio umemaanisha Nini..Yesu Alikufa hakuna Alfa wala Omega.
@hajiyussuf-jm2ct
@hajiyussuf-jm2ct Ай бұрын
Wewe Babu usidanganye watu, hapo umefuata maslahi tu,maana huna imani mungu amekuweka mbali na waumini
@profs.a5412
@profs.a5412 3 жыл бұрын
Kwa waislam wa sasa hata muhammad aje saiv , awambie mimi niliwapoteza njia ya kweli ni kumfuata Yesu , bado watapinga tu🤣🤣🤣🤣
@suzanaagustinookelo4953
@suzanaagustinookelo4953 3 жыл бұрын
Mioyo migumu aiseee
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 2 жыл бұрын
Laiti mngejua huyu jamaa anachoongea ni matakwa yake, kwa mfano anarukaruka haya kupata anachohitaji, na watu mnamsikiliza na kumfuata, msikilizeni akiwa anapigwa na kina Kinyogoli
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 2 жыл бұрын
Ety janaba ni mbegu za uzazi? Ni hali inayotokana na kuingiliana kimwili baina ya tupu mbili, hata kama mbegu hazikutoka?
@irenekaluse3501
@irenekaluse3501 2 жыл бұрын
Kweli kabisa hawamkubali Yesu kwakuwa ni moto kwa majini yao
@barackamosi4116
@barackamosi4116 Жыл бұрын
YESU ndo mambo yote
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
Yesu ni wa Ajabu,mutu akifa ataishi,apana sasa Yesu kristo alikufa na Leo yuko hai akiwa yipo mbinguni
@BonaneCanisius-t1s
@BonaneCanisius-t1s 3 ай бұрын
Cha kushangaza Muhamad hakufyfuka bwana!??
@keithmwambungu6625
@keithmwambungu6625 2 жыл бұрын
Niko kerege bagamoyo nakuitaji mzee by pastor keith
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 жыл бұрын
Asante kutujuza mengi nauliza maana ya udi ao faida ya udi ao ubani in maana gani ? Nakufata toka omani
@rubenorangi9314
@rubenorangi9314 2 жыл бұрын
May God bless his people Amen!
@exseviangaeje1158
@exseviangaeje1158 2 жыл бұрын
Ndio maana wanatumia nguvu kubwa kuficha ukweli kweli yesu ni njia ya uzima wa milele
@rwagasunzuibrahim8514
@rwagasunzuibrahim8514 2 жыл бұрын
Huo mujinga muongo umesema umesoma miaka misaba na kusoma Qor'an haujuwi laanatullah ilaka
@faithfultoyeshua4576
@faithfultoyeshua4576 2 жыл бұрын
@@rwagasunzuibrahim8514 lugha yako inasema kitu unachokiabudu
@ashurantunzwenimana5975
@ashurantunzwenimana5975 Жыл бұрын
Barikiwa na BWANA 🙏
@GwandajaGidamejod-w6f
@GwandajaGidamejod-w6f 2 ай бұрын
Mungu awe nawe mr yohana
@mustardseedlivepunjeyahara5292
@mustardseedlivepunjeyahara5292 3 жыл бұрын
Yohana omarr,msomi was dini,miaka 7, Tanzania 4:3.imam yuanena Sasa...1 Emlimu ya Qur'an-kiarabu 2.tafsiri ya Qur'an, Hadith za mtume.... Quran 2:2hakina mashaka... Quran 45:29quran
@mohamdmohamd4842
@mohamdmohamd4842 3 жыл бұрын
Huyo Yohana ..Hakusoma na Wala hajui Quran na hata Hadithi.. maelezo yake yote ni kama alivyosema.. Paulo. Kwa ajili ya Upumbavu wenu..basi ndio hivyo.Mwambie aje kwa Mihadhara kama ni Kidume.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 жыл бұрын
@@mohamdmohamd4842 Waislam mnamapope hata mkipewa ushahidi wa namna gn mtakataa tu ndivyo mlivyo 😂😂😂
@mohamdmohamd4842
@mohamdmohamd4842 3 жыл бұрын
George Kimasa.. Waislamu NiNi ..Wewe kama Kidume Toa andiko wa Maneno mingi. Hakuna Ujanja za Kanisani hapa.Kuja na Andiko uwone NaNi atakaye Toroka.
@baya7067
@baya7067 2 жыл бұрын
Duniani kuna giza nilawaislamu wakristo kweli walioamin wanangaaa wenye hawajaamin pia wako kwenye giza
@baya7067
@baya7067 2 жыл бұрын
Waislam wengi wataokoka katika jina la yesu
@elizabethsidi5574
@elizabethsidi5574 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂ukimuona mwenzio ananyolewa basi kitie maji upesi kichwa chako ,kwaani nawe utanyolewa kama alivyonuolewa mwenzio😂😂😂😂😂😂😂😂 allahu wakbaru paa.
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 11 ай бұрын
Mnatumia nguvu nyingi sana kutangaza ukafiri😂 msiba huu
@samwelmwasomola2457
@samwelmwasomola2457 3 жыл бұрын
Barikiwa ukimwamini Yesu,unakuwa mtoto wake.
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 2 жыл бұрын
Wapi yesu akasema nimutoto wamungu upotevu kabisa
@richardmbafu1627
@richardmbafu1627 2 жыл бұрын
@@innocentndikumana8928 siola lazima kujibu
@nicolastitus568
@nicolastitus568 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@junicnamuwenge6957
@junicnamuwenge6957 2 жыл бұрын
Amina 👏👏🙌🙌🙏🙏🔥🔥🥰🥰
@t7zkc5tpxgim28
@t7zkc5tpxgim28 5 жыл бұрын
AMEN, Mungu akubariki sana
@selestinealfonce8466
@selestinealfonce8466 5 жыл бұрын
asante sana bwana kibavu
@princeyonner8036
@princeyonner8036 2 жыл бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Жыл бұрын
Muongo ata kutamka herufi hajui 😂😂😂😂😂😂
@fredlyimo1263
@fredlyimo1263 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akutie nguvu na kuendelea kuongoza vema, ila tu usiwadhihak maana Mungu apend ni km kuchukua hukum mkononi na ni vile umesoma BIBLIA TAKATIFU unatambua jinc gani Mungu amatukanya kuhukumu na hisitoshe wapo wazazi uko katika uislamu ivyo ndy maana kuwaombea wote, haijalishi ni wa dini au wakristo thawabu zipo hapo.
@alliyrubea5731
@alliyrubea5731 2 жыл бұрын
Ww unajiandalia mdahalo mwenyewe,unajisemea mwenyewe kwa maeneo wasipokuwepo wajuzi si ulishindwa kujibu hoja mdahalo wa Dar
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
The fact that shivachi isn't awesome soul to me But am happy the way he say " Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin @shivachi killed me !Aha ha ha 😂🤣😆Awwww made tears 😢🤣up mmmh really 🤣acting his part like a comedian 🤣 I'm so excited for this episode..oh my goodness can I get part Two of this Mr Yohana
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣hahaha
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@mwanashagladys4581 I have a Question for you about the bible study 📖🤔How many years did The children of 🇮🇱🇮🇱israelites wander in the 🏜🏝🏜🏝🏜Desert 🏜😉??¿¿¿And why Noah saved the animals instead of people in the Ark
@marthabowen9618
@marthabowen9618 2 жыл бұрын
We umwisilamuu
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@marthabowen9618 What kind of temptations is this 😳This is heartbreaking 💔and also annoying mmmmmmmmmmh in fact a senseless Question Awwww
@marthabowen9618
@marthabowen9618 2 жыл бұрын
@@margaretmargaret5744 no question is senseless... Wanted to know because you made fun out of the whole thing.....meanwhile it doesn't matter
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 2 жыл бұрын
Pamoja na kuwa ni sijasoma sana dini, lakini huo usomaji hapo mwanzoni kwenye hizo sura, umebofoa maeneo fulani
@harunmangi1785
@harunmangi1785 2 жыл бұрын
Maneno kama yapi? toa ushahidi
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 2 жыл бұрын
@@harunmangi1785 nani kazungumzia maneno?soma vizuri. Quran ina kanuni za usomaji wake, huyo anayejisifu hapo, hana anachofanya bali kuharibu kuwaridhisha nyie msiojua
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 11 ай бұрын
Hajui kitu kabisa
@haidarimfinanga9755
@haidarimfinanga9755 2 жыл бұрын
Ungekuwa unaongea ukweli huo uislam usingekuwa na mfuasi hata mmoja. Lakini kwa kuwa unajua lengo la mahubiri yako basi italipwa kwa hilo lakini hupati muislam hata mmoja kwa uongo huo. Loh! Maiti anatiwa kidole!?! Huu ni urongo uliovuka mipaka. Hata aibu Huna!!!
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 жыл бұрын
Kama kawaida waislamu nyie ni vichwa ngumu huyu mtushi ashajua uongo wenyu 😂😂😂😂😂😂😂
@alexbayingana7879
@alexbayingana7879 2 жыл бұрын
Kiukweli yeyote anayeskia anayeona huyu jamaa hajui chochote maybe anataka mkate acha kupoteza watu utaulizwa kesho but upande mwingine Muumba anasema katk viumbe alivyoumba basi sisi tumepewa akiri so huyu jamaa ni muongo hajui ukristo wala uislam ,anayasema asiyoyajua ndo manabii wa uongo.kuweni makini na Watu wanaokupeni khabari,
@hamzayusuf2999
@hamzayusuf2999 2 жыл бұрын
uli acha usilamu ulikuwa unapenda kufirwa uislamu unakataza huwoni kanisa la anglikana wana ruhusu wanaume kwa wanaume kuowana
@adonismuganyizi226
@adonismuganyizi226 2 жыл бұрын
Anglikana sio ukriso anglikana ni waingeleza ukristo na madhebu vitu viwili angelea biblia tena isiwe biblia ya wapagani bali iwe biblia ya Mungu wawa kristo
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 2 жыл бұрын
Inachekesha sana. Eti alisoma qur-ani miaka Saba. Hata mtoto mdogo humdanganyi.
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 жыл бұрын
Kondoo wanaamini hata hawana uwezo wa kujadiliana na nafsi zao
@andersonpyaban8042
@andersonpyaban8042 2 жыл бұрын
Waislamu Kabla ya kuargue sana wanafaa wamskize huyu Jamaa anavyosema...kabla ya ushabiki mingi waskize tu kwanza maana kuna mashabiki wengi hata hawana hii information, hawajui hata ni mashabiki wa nini...maamuma mbu mbu mbu
@mwakaissa9569
@mwakaissa9569 Жыл бұрын
Waislam hawadanganyiki hata kidogo maana wamesoma na miongozo yote wanaijua, maana ya Quruan imekusanya vitabu 4 (Taurat, Injili,Zabur na Quruan) sasa kwakua Wakenya mmezoea kudanganywa mmuangalie kwa umakini sana huyo.
@andersonpyaban8042
@andersonpyaban8042 Жыл бұрын
@@mwakaissa9569 Wacha story mingi...vunja hoja zimetolewa kwa hii ushuhuda,ata pitia Moja tu,Mimi siko interested na propaganda na train of thought ama perception yako..Mimi niko interested na hoja, na kutumia vitabu ,sio lazima ukubaliane na yeye ndio maanake nakuambia toa hoja ukitumia vitabu kuvunja hoja ambazo amezitoa
@khamicsaidichuga1761
@khamicsaidichuga1761 2 жыл бұрын
Mmmmhhhh hiyo quran unayosoma sijui umefundishwa wapi Yani unaisoma hovyo Kabisa 🥺
@chachamwita8350
@chachamwita8350 5 жыл бұрын
Muchungaji ubarikiwe sana kuwafumbua waislam macho
@ABUU426
@ABUU426 2 жыл бұрын
Duh,nimecheka sana ,huyu jamaa inaonekana hata mskitini alikuwa haingii,yaani alikuwa ni mhuni tu wa mtaani ,hajui chochote katika dini,akaamua tu kuingia kwenye ukristo awadanganye apate pesa ya kuendeshea maisha,maana huu uongo ni wa wazi,mtoto mdogo anaesoma madrasa anajua kusoma qur ani vizuri kuliko huyu jamaa.
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 2 жыл бұрын
Kajizalilisha mwenyewe bwege huyu
@faithfultoyeshua4576
@faithfultoyeshua4576 2 жыл бұрын
Tetea dini yako. Sio kutukana mtu
@marthabowen9618
@marthabowen9618 2 жыл бұрын
Mtupe ukweli wenuu basiii
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 2 жыл бұрын
Endelea Kucheka Maana Hata Maswahaba Wa Mtume Wenu Waliposomewa Quran Walicheka Badala Ya Kulia, Ukitaka Aya Utapewa.
@heaven.love.foundation
@heaven.love.foundation Жыл бұрын
Kwa namna hii inaonesha kabisa Yesu kashinda, kwa nn mnashindwa kumsomea albadili afe? Yesu wake ni mkubwa kuliko majini yenu
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Жыл бұрын
Uliacha uislam kwa sababu haukuisoma na kuielewa Quran katika zambi ambazo hamna msamaha kwa mungu ni hiyo uliyoitenda ni safari motoniiiii
@abdisalamjamal2128
@abdisalamjamal2128 2 жыл бұрын
Huyu jamaa amechanganyikiwa Hana lolote anahitaji ushauri na nasaha
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 2 жыл бұрын
Ati dhaalika ni kile 😂😂😂😂😂😂 na tilka itakua nn?????dhaalika ni hichi sio kile wew hujui kitu....nenda kasome vizuri alafu uje udanganye wenzio....
@rahmahussein4288
@rahmahussein4288 2 жыл бұрын
Anadanganya na wannodanganywa icho kiarabu hawakijui😂😂eee Mungu wahirumie watu wako, huyu mtu aliandaliwa kabisaaa
@ezekielmurimi6874
@ezekielmurimi6874 Жыл бұрын
dhalika. ﺫَﻟِﻚَ that - masculine singular. The Arabic word ﺫَﻟِﻚَ means that. It is pronounced dhalika.
@ezekielmurimi6874
@ezekielmurimi6874 Жыл бұрын
Kuwa mkweli bwana.
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
Sir Ndacha I need more information about this guy please give me more from him 🙏🏼
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 2 жыл бұрын
Alikuwa imam WA msikiti akaokoka..Sasa ni mhubili mkubwa anawahubulia waislamu
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@BIBLIANURUYADUNIA congratulations sir Ndacha for your speed feed back reply 👏 He needs to be a appreciated # honestly he does I'm afraid of Muslims ☪️faith I wish the message was in English language so that I can share with my boss 😉Mmmmmmmmmmh I am pride to hear 👂a Muslim guy joins our faith in Jesus
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@BIBLIANURUYADUNIA it's ✅sir Ndacha very Amazing episode nice 👍content Yaaaan massage imeènda group of schools 🏫 This gentleman is fire 🔥..Have you hired it 😀 Do you have more massage by him
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@BIBLIANURUYADUNIA I will send you something you give him Please try to make awesome friendship with for me because I have a feeling to meet him one day I would like you to drive 🚗me to his city God willing
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@BIBLIANURUYADUNIA This are the people am looking to support the dreams...I love this soul ❤
Quran imeandikwa na walevi
1:00:30
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 155 М.
MWJ YOHANA
56:34
TEMEKE SDA CHURCH
Рет қаралды 5 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
VTS 01 2
42:37
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 103 М.
MFAHAMU YOHANA OMARI 13
58:17
TEMEKE SDA CHURCH
Рет қаралды 14 М.
HUYU NAYE HAJIELEWI KABISA.. MSIKIZE KWA MAKINI
14:53
BIBLIA MSINGI WA KWELI MINISTRY
Рет қаралды 1,6 М.
WAISLAMU HUKIMBIA BADA YA KUSHINDWA NA HOJA NYAHURURU
31:36
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 165 М.
Ushuhuda wa aliyekua muislamu.
28:57
END TIME LOUDCRY TV
Рет қаралды 256 М.
NDACHA AWAHUBIRIA ALISHABABU MOTO UMEWAKA.
20:17
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 37 М.
PROPHET AWOUR VS  SDA NAKURU
38:29
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 47 М.
mazinge kajibiwa swali ebu tazama
13:19
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 108 М.
Yesu ni mwana wa Mungu abadani!
1:45:48
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 66 М.