Mama kimbo umetisha sana. Haya unayosema wangefundishwa wadada wengi wangepona.
@georgenjoroge6243 Жыл бұрын
Man, watching this as a man based in the states, i am in awe. The language, the wisdom, the eloquence and the truth. Mama Kimbo apwe heshima kwake!
@nkurunzizaabdul-aziz7211 Жыл бұрын
Mama jeijei asante kwakutuletea mama kimbo usimuace huo ni mzima kabisa Allah awabariki
@rahimaessa2552 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu Kwa mama kimbo kabla ya ndoa yng Ahsante 👏👏👏👏👏
@aishamsellem77532 жыл бұрын
Mama kimbo umenikosha moyo wangu maneno shata shata asante sana
@rahimaan64812 жыл бұрын
Mama kimbo arudie arudie arudieeeee tenaaaa 👌
@elizabethtibenda73242 жыл бұрын
Akyamungu muhaya mie kila kitu kigeni napata nondo hapa asanteeee
@irenenjeri6609 Жыл бұрын
Congratulations 🎊 mama kimbo, Tuned in from THE NETHERLANDS 🇳🇱, you are just Amazing, niko single nimejifunza mengi mazuri, nasubiri MUNGU anibariki na Ndoa siku moja, am still believing.
@KazijaAbdilla Жыл бұрын
Habary ya kazi mama kimbo hongera tena hongera yako
@shaphaina99412 жыл бұрын
Asante mama Kimbo nimejifunza kitu leo Allah akubarik.
@Witnessvlog2 жыл бұрын
Movie la kihindi hii🤣. Asante mama Kimbo. Kua mwamamke ni kazi jamani. Hata hio massage na Maneno matamu na wanawake tunapenda. Sio wapewe raha wao tu.
@witneykato24762 жыл бұрын
aloo! wity mpaka huku😂😂, na mim nakipenda hiki kipind sana
@Witnessvlog2 жыл бұрын
@@witneykato2476 😂😂Nipo mwenzangu. Huyy mwanamke yuko mbinguni huko vijijini
@paulinewangila38992 жыл бұрын
Wanawake pia tupewe raha
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Ashki Ashki mama Kimbo
@زايدالكاسبي-ل6و Жыл бұрын
@@fatmaalnabhani3609❤❤❤❤ 28:46
@AsiaSaid-tq4yw9 ай бұрын
Nakukibal mama kimbo mtanga mwenzangu mdigo
@pendezawillson34992 жыл бұрын
Mualike tena mama kimbo jamn😍😍😍😍😍
@sakinamursal35729 ай бұрын
👋 Mama Kimbo nimejifundisha mengi nisioyajua shukran. Nitakutafuta nikija Dar inshallah. Mie ni wa Mombasa Kenya.
@ArafaAmirAmir-ci7ld11 ай бұрын
Mashallah mama kimbo Alhamdulilah Mungu akuweke
@beatricefrankngalubutu14482 жыл бұрын
Jamn mama Kimbolton arudi ad nmeona time imeenda haraka😅😅😅😅
@SabinaShauliАй бұрын
Asante San mama kimbo somo Zur san
@zayumar29558 ай бұрын
Mmmwaaaaah mmmmwaaaaaa mwaaaaaaaa mama kimbo love uuuu napenda kipind hichi kwakweli host mbarikiwe sana tunajifunza mengi 😘😘😘
@laymashabani8322 жыл бұрын
Raya hana ata shida ya kungwi.♥️
@sophiamfikwa73402 жыл бұрын
Mama kimbo SHIKAMOO, asante kwa mafunzo mazuri
@simonbasian2 жыл бұрын
Dada naona umemaliza kila kitu hapa umesaidia sana ahsante sana
@nuruosward81612 жыл бұрын
Mama kimboooo❤❤❤❤ isalute you mom thanks so much nimekupenda bureeeeeee😂
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Kipindi pambe hii lohhhh Asante sna mama Kimbo
@GabrielRazalo Жыл бұрын
Nakupenda sana mama kmbo unajua kufunda kwel❤❤❤❤❤
@andrecorte36812 жыл бұрын
Asanteni sana dada zangu. Maneno yenu ya kweli.
@jumatajiri5852 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ngendakumanajeanmarrie74902 жыл бұрын
Nice kipindi nimeapenda kwaushauri nimefurahia
@OnlyRuky2 жыл бұрын
DaaaH Mama kimbo Shikamo and Shukrani kwa ukumbusho
@shkila90222 жыл бұрын
Mama kimbo weeeee nasikia raha Mie,Una madini mwanamama👌💓🙏
@فطومفاطمه-ش2و Жыл бұрын
Na sasa m nikikutaka mama kimbo nakupatapi na vipi?? Napenda sana somo lako mama
@muniraahmed87942 жыл бұрын
Asante mama kimbo umetuelimisha mazuri ya kuyazingatia .
@maryamsaid32972 жыл бұрын
Mamakimbo umeniongezea kitukichwani🙏
@msafirimajige40812 жыл бұрын
Hongera kwa mafundisho.
@eddahnabwire4955 Жыл бұрын
Respect from Kenya!
@FatramfaithMgaya Жыл бұрын
Ila mama Kimbo kuna wanaume utayafanya yoote lkn yaenda nje yaani Hawa Ndio walioshindikana kwao kitabia woiii😊
@chefbimkuubmk92372 жыл бұрын
Mwanamme ni km mtoto kweli lakini hakikisha umepata m.mme alosahihi yakupewa izo hubba
@ffed18762 жыл бұрын
Mambo mambo hayooo asante mama Kimbo kwa vichapoooz ohaweeeeeeee😄😄😄😄👌❤
@johnmalembo64642 жыл бұрын
Bila Mungu hayo ni Maneno tu. .... Kwako unatekeleza hayo....Semina Kwa wengine .. kuongea hayo ni ajira kwako... Iwe heri Kwa watz
@kingsaid7574 Жыл бұрын
Wacha siasa wewe😂 hii ni masomo kama ile ingine sio wote wanashika
@zuenahamoud1532 Жыл бұрын
Kabisa mungu ndo kila kitu
@malkiarosemuhando33107 ай бұрын
Mungu ametupa akili ILI itusaidie kupambana mambo, sio Kila kitu Mungu atufanyie mpaka kuoga!!!???
@johnmalembo64647 ай бұрын
@@malkiarosemuhando3310 kwa hiyo akiili na uzima umejipa wewe mwenyewe? Hakuna chochote PASIPO Mungu....ni hakika
@dottohami2 жыл бұрын
Tenaaaa Asante mama kimbo wape habali yao🔥👌
@ndalusanzekassim59022 жыл бұрын
Mama kimbo kila kabila pia zina mila na desturi zao. Makabila mengine hawapendi hayo mambo ya pwani wanaona ni uongo mtupu wanataka kuibiwa. Wana mila na desturi zao na heshima tofauti.
@mwansitiridhiwani50102 жыл бұрын
Karibuni Tanga Aliyo sema mama kimbo Hakuna la uongo hata moja yote n ukweli mtupu Tanga Raha. Bhn mwanaume n kama mtoto Ameacha kunyonya Kwa mamaake UNAENDELEA KUMLEA WEWE MKE WAKE
@laurentraphael547011 ай бұрын
Exactly
@dennisishengoma2743 Жыл бұрын
Hii ya mwanamke kutokula mpaka mume arudi, nilidhani ya wahaya tu, kumbe na watanga ni hivyo.. Safi!
@aminakawawa58002 жыл бұрын
Wanaume wa znz ndio bado wana asili ya kwenda sokoni na wana mapenzi sio Wanaume wetu wa bara wababe hawajui thamani ya mke
@apoloniaalex2825 Жыл бұрын
We acha tu mi jana nilimuomba aniangalizie maji bombani kama yanatoka maana nipo njiani kutoka sokoni we nilifokewaaa hatari!!
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Tanga raha hizo zipo,mume aenda sokon.
@IsraelKisaila Жыл бұрын
@@apoloniaalex2825😂😂😂 pole
@busnaoman99816 ай бұрын
@@apoloniaalex2825😂😂😂😂
@rabiamchekenje45772 жыл бұрын
Yuko vzr ma kimbo ❤
@mwantumswalehe2300 Жыл бұрын
Swadacta mama kimbooo😊😊
@rukiyyarukiyya63172 жыл бұрын
Nawapenda
@ahz69072 жыл бұрын
Hawa somo wa sasa wapo.kibiashara zaidi hawana hayo maadili.
@fatmaali88382 жыл бұрын
Mashllh, darsa zuri kbsaaaa
@amainahtwaha3111 Жыл бұрын
Mashallah
@فطومفاطمه-ش2و Жыл бұрын
Napenda sana somo leno kina mama
@Waseme-f7y Жыл бұрын
Mashaallah Mama kimbo pambeeeeeeee
@lesusi78722 жыл бұрын
Mrudishe mama kimbo tena
@LoveAron Жыл бұрын
Mashallah mafunzo kuntu 🔥🔥🔥😍
@roqayaro9439 Жыл бұрын
Mashallah
@ترووكالحارثي Жыл бұрын
Vizuri❤❤❤
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
Asante ma Kimbo asante kungwi wangu maraiamu wa magomen tanga kwa kuniweka utangani ukanifunda nikafundika nakuombea maisha marefu kungwi wangu na makungwi wenzio walioshiriki kunifunda nakumbuka sana zile chapat za dada swaumu 😋😋sijawahi kula chapat km zile hd Leo hii
@zulfasihaba5097 Жыл бұрын
Sasa ndio uzipike ww na wenzio wale wakusifie si ulifundishwa shoga angu?
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
@@zulfasihaba5097ulifundishwa ww 🤗🤗
@mwanatz59802 жыл бұрын
Mambo mazito 😍😍
@MasudBilal-vn7mi Жыл бұрын
Mama kimbo asante cn
@TalhaLiperАй бұрын
Mmh leo nmeirudia hii baada ya raya kudai talaka
@salha91862 жыл бұрын
Hivi watu tunahangaika na maisha kama hayo yiye jamn tutaweza sakumi namoja mtu anaamuka anaenda kutafuta biashara mambo ya mahaba niawale wanawake hawana kazi
@mwansitiridhiwani50102 жыл бұрын
Hata kama unabiashara Ila kumbuka kwako
@RufeaAbdalla Жыл бұрын
Ahsante sana mama chimbo mm mwenyewe mumewangu nikimwambia anisaidie mtoto anasema km yy kashalea ndugu zake
@AishaAbdullah-qj1lt Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@hasnaally17132 жыл бұрын
Please mama mtangazaji nakuomba jifunike mwili wontempak shongo yako itapendeza daizi ikiwa wewe mama wa kislam Allah autonomic katika njia ya sawa
@ahmadshaame13322 жыл бұрын
Hilo ni muhimu la kujifunika kichwa sana kwa huyu Mama kama malengo yake ni kutoa mafunzo na wengi wao wanapata hayo mafunzo. SHUKRAN
@teedullah570814 күн бұрын
Hahaha makunqwi WA siku hizi wamfundisha wari kuosha kwiko na kutandika kitanda ba😂😂😂
@amiyoung58764 ай бұрын
Mama Kimbo bwana 😂😂😂😂
@Fatma-to6rq10 ай бұрын
😂😂😂😂😂santa mama kimbo umenikosha
@marthagodson4447 Жыл бұрын
Nalitaka hilo rimbaaaaa😅😅😅😅😅😅maana nitaaxhwa kesho
@omary85647 ай бұрын
Mmmmmmh kwa wanaume wa sasa hivi hata ujitoe kafara unakufa anakutazama.umeongea point kwamba wanaume wapewe darasa
@suleimanomary96832 жыл бұрын
Mama kimbo nmekuelewa
@zuhuramwawimo28242 жыл бұрын
Nawapenda mpaka basi kinamama zangu
@khadijakimana88092 жыл бұрын
Haya sasa, Mwanamke mwenye kufanya kazi, 10hrs of shift a day, na yeye vipi? "Anakuja anakuta fujo za watoto" na hao watoto wanani? Mume/Baba wajibu wake nyumbani kwake nini? Mume, mume, mume...mke nae lini, Tanga ni bala🤔🤭🤧
@JuliusMollel-w8o8 ай бұрын
Mama J nìnakupenda bure.
@zena62032 жыл бұрын
Piga kelele kwawanawakee mwali misungo mambo nimazito🤣🤣🤣🤣
@mwanakonyaume36112 жыл бұрын
Safi sana
@ATHARIBLY4 ай бұрын
❤
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Mama Kimbo kiboko
@safiasaleh669 Жыл бұрын
Duuh 🎉🎉🎉🎉🎉
@mostyhodari21452 жыл бұрын
Naaaaam!!
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Tanga 🔥🔥🔥🔥
@swariotibi61342 жыл бұрын
Nikweli kabisa mama kimbo
@fettygal91832 жыл бұрын
Hao waume wa sasa pia hawan Mahaba ww mke utafany Kil liwezekanalo lkn mume hana mda na nyumbn ata ujitahid vipi 😂😂😂
@barakawabuge52852 жыл бұрын
Tatizo unafanya kwa kushindana
@mwansitiridhiwani50102 жыл бұрын
Wanaume waaikuhizi hawafundwi
@zeniabdala9122 жыл бұрын
Masha Allah
@mishiswaleh4476 Жыл бұрын
Haya mahaba ni ya milele kweli 😂😂
@eyabdimaha36982 жыл бұрын
Mama yupo vizuri kumbe siku alohojiwa kuhusu raya alikua anafanya fun tu
@RehamAlmamari9 ай бұрын
mapixh ya oman hy wanajaza nyama maj tel wakioxha ty maj tele ad kelo waheajui mapixh jmn 😃🤣
@rahimaan64812 жыл бұрын
Wanawake wakiwa na wafanyakaz wanajisahau kazi zote za kumfanyia mume wake anafanya mfanyakazi,hadi chumban mfanyakaz anaingia kusafisha chumba, ndipo wanapofeli wanawake wenye wafanyakazi msijisahau makuwa kama mna matende,kila kitu mfanyakaz anamfanyia mumeo mtanyooshwa kama rulaaaa 😂😂
@aishajumaa60892 жыл бұрын
Mimi nina mfanyakazi, lkn kupika juu yangu chumba changu ni mimi juu yangu kuamka asubuhi kumfanyia chai mume ni mimi na kufua nguo za ndani ni mimi....mfanyakazi yy atafanya usafi na kazi ambazo hazimuhusu mume.rimba langu la Amboni tanga.
@beatricemartin47411 ай бұрын
Nakipenda sana hiki kipindi lkn nina ombi. Naona mnaowaalika karibu wote ni dini ya kiislamu kwahio baadhi yetu hatuelewi haya mambo wanabidi wafanye waislamu tu kwnye ndoa zao au hadi sisi wakristo? Tunaomba muwaite pia wa mama na wababa wakristo watueleze wanafanyaje kudumisha ndoa zao.
@saidbakari240811 ай бұрын
😂😂😂 sasa cheka kwa ubaya madam beatrice makungwi wengi hutokea mikoa ya pwani kama Tanga, Bagamoyo, Dar es salaam na kwenye mikoa hiyo inaasili ya dini kiislam japo si woote ila ndo asili
@saidbakari240811 ай бұрын
Taaaaangaaaaaaa wababe wa dar es salaam😂😂😂😂😂
@kbiaboss12312 жыл бұрын
Kweli mtoto wa mama
@zainabusona5901 Жыл бұрын
Jamani kwanini mume tu je mwanamke
@saidbakari240811 ай бұрын
Wamedili sana na wanawake ila kwa wanaume sie twapewa mafunzo mapema yaani na tukiwa twaiendea ndoa basi twarudishwa tena shule 😂 kusoma
@MithlaRashid9 ай бұрын
Kwel kpz
@zuenahamoud1532 Жыл бұрын
Hovyooo
@shamilahussein52942 жыл бұрын
Wewe mama kimbo wewe wana ume wote hawako sawa ila una fundisha kuna wana ume baadhi hata upende vp haoni
@theodoratesha7065 Жыл бұрын
Achana nae mapemaaaa, kabla ya ndoa
@ukhtyjabutv6368 Жыл бұрын
Mama kimbo pambeee
@suleimanomary96832 жыл бұрын
Mludshe tena Mama kimbo anamengi nahis hajatuambia
@apoloniaalex2825 Жыл бұрын
Mama kimbo shikamoooo
@apoloniaalex2825 Жыл бұрын
Ila wazee wetu wengine wako bize utasikia embu usinipotezee muda
@anitababyderickwasike78722 жыл бұрын
swadakita kabisa mmake
@christerkilamlilo70132 жыл бұрын
Tupeni namba ya Mama Kimbo
@fatmamohammed36652 жыл бұрын
Sana mama kimbo watu wa tanga tunafunzwa
@ndalusanzekassim59022 жыл бұрын
Ni kweli mama kimbo si watu wa Tanga tu hata makabila mengine wana hizo mila japo sio makabila yote. Ila kama usemavyo masomo wa mitaani wanafanya biashara na vile vile mambo ya unyago hawayajui jamani wajifhnzia mitandaoni. Na unyago ni siri huwa hawafundishwi mitandaoni ni siri na asyechezwa haingii unyagoni hata simu moja. Lakini sikuhizi masomo wa wari kibao jamani mila zimeharibika
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
Mama kimbo rimba langu la masiwani shamba la kina binti juma binti songoro👌👌👌🤣🤣🤣
@khadijahali6856 Жыл бұрын
Mama kimbo nahitaji number zako za simu
@PendoPhilipo-l3g Жыл бұрын
C🎉
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
🙄Nime choka kila siku madaa ni wanaume tu! Tupeni mbinu za kujikimu kimaisha 🙄
@fahadfaraj64742 жыл бұрын
Hujaitwa huku we hayo mambo yamaisha kamsikilize bakharesa ili uwe tajiri
@janethmwanda3572 жыл бұрын
Me mwanaume Wang ndo uchumi Wang😂😂acha nisikilizee