KWANINI MUNGU HAJIBU MAOMBI YAKO

  Рет қаралды 7,619

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

2 жыл бұрын

KWANINI MUNGU HAJIBU MAOMBI YAKO

Пікірлер: 85
@benedictkalani2042
@benedictkalani2042 2 жыл бұрын
Mungu alikuteua iliniokolewe Mtume, Hellen from Kenya
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen Amen barikiwa sana Mtume wa BWANA na akuinue viwango vya juu zaidi
@hellenmnyazi220
@hellenmnyazi220 8 күн бұрын
Amen Mungu akubariki sana nimejifunza ubarikiwe sana
@janetisaac1084
@janetisaac1084 2 жыл бұрын
Ameen,ubarikiwe sana mtume,ninabarikiwa sana,na mafundisho yako,Mungu akupandishe viwango vya juu,naomba uniombee sana mtume,natamani kuwa na nguvu za Mungu sana,nashindwa,najikuta nakata tamaa,baba natamani sana,nijae nguvu za Roho mtakatifu,nahitaji kufunguluwa
@filemonmpenda3114
@filemonmpenda3114 2 жыл бұрын
Siri ya Mungu ipo katika maombi mazito na kufunga kwa bidihi
@lightness183
@lightness183 2 жыл бұрын
AMEN APOSTLE TUNAMSHUKURU MUNGU KWA NENO LAKE.
@roseandala6281
@roseandala6281 Жыл бұрын
Amen, hapa mlima wa kweli nalishwa chakula cha kiroho na ni naendelea kukua Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@user-fs3me5sm2f
@user-fs3me5sm2f 14 күн бұрын
Ninapo sikiza hii ujumbe ndipo napata elimu ya kiroho kwamba kuna kumlilia Mungu, tena kumuambia Mungu mahitaji,... Wako watu Wana ishi vizuri Kisha hawana ushuhuda kumtolea Mungu, heri kuishi kumtegea Mungu Kwa kila jambo, Asante, mtumisi wa bwana, mimi Sammy wa Kenya
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 2 жыл бұрын
Leah Enoch BARIKIWA tuko pamoja kutoka DAR...hata Mimi nabarikiwa Sana. Mungu amlinde
@henrykigugwe5112
@henrykigugwe5112 2 жыл бұрын
Ameen ! Kutoka Tanzania Arusha
@nisetameena9276
@nisetameena9276 2 жыл бұрын
Amen, barikiwa mtumishi wa BWANA unanishibisha sana barikiwa kwa neema hii vile uliigharamikia karama hii kwa bidii
@rosemuduwa8401
@rosemuduwa8401 Жыл бұрын
Barikiwa sana mutumish mimi nakusikiliza kutoka Kenya, nina barikiwa sana kwa ujumbe wako
@user-fs3me5sm2f
@user-fs3me5sm2f 14 күн бұрын
Amen Mungu azidi kukutumia
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Nakusikiliza Mtume Meshaki kutoka Dar es Salaam Tanzania
@DOTSConnect
@DOTSConnect 2 жыл бұрын
Mungu wetu si mnyonge, anatutaka tumtumikie kwa Ubora.
@marykassanga5374
@marykassanga5374 2 жыл бұрын
Amina Mtume wa Bwana ubarikiwe sana kwa kutuambia kweli ya Neno la Mungu yatupasayo kufanya niko Dar es Salaam.
@neemangowo1453
@neemangowo1453 2 жыл бұрын
Sema utusaidie mtumishi ,ameen ,kilimanjaro Tanzania
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 2 жыл бұрын
may God bless you my dear brother in your ministry
@elizabethmushi7562
@elizabethmushi7562 Жыл бұрын
Barikiwa mnooo
@mimmosaf.a5971
@mimmosaf.a5971 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na wewe Mtumishi
@gambonmgaya1286
@gambonmgaya1286 Жыл бұрын
Mungu bariki huduma hiii tunaipenda
@ketsiaviendah1361
@ketsiaviendah1361 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi namba yako naeza ipataaje na taka maombi sana kutoka Kenya
@irenemorris9996
@irenemorris9996 Жыл бұрын
Nko Saudi Arabia, napenda mwongozo wako kwa mungu
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl 2 жыл бұрын
Tanzania Dar es salaam,barikiwa sana Mtume wa Bwana.
@kweliyakristoyesu
@kweliyakristoyesu 2 жыл бұрын
Neno ni nzuri sana kweli kabisa mtume meshak, Yesu kristo azidi kukutumia katika viwango vya kimbingu.
@MadrineMurugi
@MadrineMurugi 5 ай бұрын
Amen nimebarikiwa na neno
@issacksanga9617
@issacksanga9617 Жыл бұрын
Mungu akubalik Mutumish Wabwana
@johnkagoma281
@johnkagoma281 Жыл бұрын
Endelea kutupa neno zuri la mungu mtumishi
@casiphaabdi3896
@casiphaabdi3896 Жыл бұрын
Mungu akufunike Na damu yko takatifu
@josephnkwamino6509
@josephnkwamino6509 Жыл бұрын
Hakika huyu ni mtume wa mungu!!! Thank you lord
@devidamasian5477
@devidamasian5477 2 жыл бұрын
Nakupenda Sana mtume meshaki mungu azidi kukutia nguvu katika huduma yako uzidi kusonga mbele napenda aina ya mahubiri yako nipo Tanzania natamani Sana kujaz wa nguvu za roho mtakatifu.naomba uniombee pia natamani kuchangia kipindi
@marymgumia7715
@marymgumia7715 2 жыл бұрын
Asante mtume wa Bwana naomba maombi nataka sana utakatifu wa ndani
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Sema mtume wa Bwana Wetu Yesu Kristo tupone na Mungu azidi kukutumia isivyo kawaida watu tuokolew
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 2 жыл бұрын
Naitwa baraka nyamafu from Tanzania nakufatiliaga Sana kila siku uko vizur Sana mtumishi
@marykassanga5374
@marykassanga5374 2 жыл бұрын
Amen mtume
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 2 жыл бұрын
Amen and Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu Mungu akuzindichie marifa yake siku zote
@magrethjoseph5536
@magrethjoseph5536 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana mtumishi wa Mungu napendezwa na Roho mtakatifu anavyokutumia kwa viwango vya juu,Bwana Yesu nikumbuke na mimi unijaze zaidi nisijiongoze mwenyewe bali niongozwe na wewe Roho mtakatifu
@HALLELUY292
@HALLELUY292 Жыл бұрын
Amen sana
@happynesskimt6249
@happynesskimt6249 2 жыл бұрын
AMINA,AMINA! MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 Ай бұрын
Amen
@jesusislord......1344
@jesusislord......1344 2 жыл бұрын
More grace man of God I’m blessed
@ambokilegwakisa3526
@ambokilegwakisa3526 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana,Mungu hats kuacha.
@anjelanimunga2362
@anjelanimunga2362 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa bwana kwa mafundisho yako
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Barikiwa mwana wa Mungu tunajifunza sana sana.arusha tz
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 жыл бұрын
Asante sana baba shauria hawa watu wana ishi kanisani na bila ndowa Halali bila ndowa a wana watoto hawa wata pâta wapi ufalme wa mungu ?
@restutasamuson815
@restutasamuson815 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nawe mtumishi,namwomba Yesu Kristo aongezeke kwako na wewe upungue ili huduma iliyomo ndaani yako idumu nasi tuendelee kufaidi
@scholastiquengorwanubusa2766
@scholastiquengorwanubusa2766 2 жыл бұрын
Ubalikiwe mutumishi,Mungu wa Israël Yukon pamoja naweemtoto wa Bwana.
@rufinamartins6755
@rufinamartins6755 Жыл бұрын
Amen, amen, ubarikiwe ntume wa mungu, ninalimika kwa mafundisho yako, mungu akwengezee maisha hili uzidi kutufundiswa, nipo Mozambique Mueda, ntume uko wapi? Unapatikana channel gani kwenye tv?
@godifreymasawe5137
@godifreymasawe5137 2 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka na mtume meshaki nabarikiwa na kufunguliwa fahamu zangu mungu azidi kukubariki na kukuinua baba yetu wa kiroho
@josephinekahandali1180
@josephinekahandali1180 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi Kwa mafunzo haya yananielekeza katika jia ya ufalme
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 2 жыл бұрын
Swali yesu aliomba chakula samaki wengi wakashuka je sasaiv mtuakiomba Pesa zinaingia papo hapo kwenye sm za watu wenye shida wakapata pesa inakuwaje hizo pesa zinakuwa za kichawi au nizakweli naomba utusaidie najua najua wewe huongea na MUNGU wetu alie Hai tuweke wazi hii imekaaje
@moyojubeki6330
@moyojubeki6330 2 жыл бұрын
And gress Mungu akupe ujasiri Kama Alina Paulo nasila
@ndayeoliver941
@ndayeoliver941 2 жыл бұрын
Watching 👀 from Washington Mungu akubariki mtume wetu
@robertmwithuimwendwa4361
@robertmwithuimwendwa4361 2 жыл бұрын
Zidi kabisa hadi kila nafsi imujue Yesu
@badeuxmlondani7264
@badeuxmlondani7264 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏻 kubwa Mungu akubariki sana
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 2 жыл бұрын
Amena Amena alleluia Alleluia
@dieudonne724
@dieudonne724 2 жыл бұрын
Amena
@charitymuema9823
@charitymuema9823 2 жыл бұрын
Amen amen
@casiphaabdi3896
@casiphaabdi3896 Жыл бұрын
Nabii enyewe unaenda kupatilisha roho yangu katika Jina la baba ameni
@Senga.W
@Senga.W 4 ай бұрын
Amina
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Aminaaa mtumishi
@janetisaac1084
@janetisaac1084 2 жыл бұрын
From RukwaTanzania,natamani kusimama sana ktk wokovu,naomba uniombee sana,mlima wa ukweli nimependa sana,mafundisho yenu
@editarichard3590
@editarichard3590 2 жыл бұрын
Amina mtumishi
@nancymuthoni9585
@nancymuthoni9585 Жыл бұрын
Asant Kwa neno mtumsi
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
amina amina
@marymary260
@marymary260 4 ай бұрын
AMEN
@YohanaMtambala-gq1sz
@YohanaMtambala-gq1sz Жыл бұрын
Amen❤🙏🙏🙏
@rukiaally3261
@rukiaally3261 2 жыл бұрын
Napokea kwajinalayesu nitaimbanyimbo kwamaadiriAme
@rosewacharo3336
@rosewacharo3336 Жыл бұрын
Kweli mtumishi....unayosrma. MUNGU huwagusa watu wake wafanye kazi yake,.
@frankmshana1331
@frankmshana1331 2 жыл бұрын
ameeeeeen tuko pamoja APOSTLE
@samsonomuya4051
@samsonomuya4051 2 жыл бұрын
Naitaji nikuwe zaidi kama wewe nifanyeje
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
Soma sana neno. Alafu omba sana maombi yakutaka kumjuwa Mungu.
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 11 ай бұрын
Ameen
@tundalawokovu
@tundalawokovu 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 жыл бұрын
Nazidi kujifunza vizur na kupata majibu ya maswali yangu mengi, kweli wapendwa kama unamasalwi jaribu kupitia mafundisho yake yooteee ya nyuma utapata majibu,
@lourennetv3778
@lourennetv3778 2 жыл бұрын
Hello everybody how can I help Mlima wa Ukweli help me to find out
@lourennetv3778
@lourennetv3778 2 жыл бұрын
Hello sister and brothers help me find out How can I help Ukweli minister please help me
@chekaelia4282
@chekaelia4282 2 жыл бұрын
Do you want a link
@ummul8908
@ummul8908 Жыл бұрын
Amen
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 2 жыл бұрын
Amena
@SamweliMushi-xl9ui
@SamweliMushi-xl9ui 6 ай бұрын
Amen
@shufaayakuti754
@shufaayakuti754 Жыл бұрын
Amen
@gladysriziki2442
@gladysriziki2442 Жыл бұрын
Amen
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Amen
NENO NA MAOMBI MAKALI YA KUTIKISA KUZIMU 8.22.2023 | MTUME MALIYABWANA
1:01:43
JINSI YA KUOMBA
49:51
Ukweli Ministries
Рет қаралды 8 М.
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 79 МЛН
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
YESU NI MUNGU AJE?
46:11
Ukweli Ministries
Рет қаралды 8 М.
KIFUNGO CHA MKRISTO ("KIFUNGO CHA HAKI") | UKWELI MINISTRIES
58:29
Ukweli Ministries
Рет қаралды 20 М.
Neno, Maono, na Ushuhuda | Meshak Maliyabwana Mausa
53:28
Ukweli Ministries
Рет қаралды 2,9 М.
"MAOMBI MAKALI YA BIASHARA KUFUNGULIWA" | MTUME MESHAK
17:00
Ukweli Ministries
Рет қаралды 13 М.
LIVE MAOMBEZI NA DELIVERANCE (KUFUNGULIWA NA MAGONJWA) |9/19/2023
2:10:14
Ukweli Ministries
Рет қаралды 1,5 М.
MAOMBI YA KUWAFUNGUA WAGONJWA | HEALING SERVICE FOR THE SICK
1:39:24
Ukweli Ministries
Рет қаралды 1,4 М.
Jinsi MADHABAHU inavyotenda kazi katika maisha yako || PASTOR GEORGE MUKABWA || 23/06/2024
3:05:35
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 20 М.
LIVE MAOMBEZI NA DELIVERANCE (KUFUNGULIWA NAMAGONJWA) |9|24|2023
2:13:39
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 79 МЛН