LAANA/DHAMBI YA KUONA UTUPU/UCHI WA MWINGINE | Prophet Aston Adam Mbaya

  Рет қаралды 5,637

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер
@queenesther2639
@queenesther2639 9 ай бұрын
Asante Sana Mtumishi wa KRISTO Aston na Lang
@CherieDeDieu
@CherieDeDieu 9 ай бұрын
Mafundisho mazuri. Tres bonne! Merci l'homme de Dieu.
@dyno4tz
@dyno4tz 8 ай бұрын
Je vous remercie la Dieu
@SheillaJaffery
@SheillaJaffery 9 ай бұрын
Mungu anirehemu na anisamehe
@EdwinOmbebo
@EdwinOmbebo 9 ай бұрын
Ooh pastor tusaidie kuondoka Kwa Hilo kikundi
@sallymumia8425
@sallymumia8425 9 ай бұрын
This is very serious,most Christians have not been taught about this,so many are living in total darkness in this area
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 9 ай бұрын
Ee Bwana Yesu tunaomba utureemu
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 9 ай бұрын
Mungu aturehemu
@tamarali8325
@tamarali8325 9 ай бұрын
Yesu utusamehe na utusaidie
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 9 ай бұрын
Mi nauliza nawezaje kutubu uovu huu niliotenda
@Klvn_Chriss
@Klvn_Chriss 9 ай бұрын
Vip tulipooonana tukiwa watoto tunaoga
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 9 ай бұрын
Sijui ni nani atakayeingia mbinguni ,Ee Mungu turehemu
@devissyprian1526
@devissyprian1526 9 ай бұрын
Adam mbaya na aston ndo wataingia
@phideliswairimu118
@phideliswairimu118 8 ай бұрын
na ssi je😅,,tuishi maisha ya kutubu mungu aturehemu​@@devissyprian1526
@annastaziakimaro3042
@annastaziakimaro3042 8 ай бұрын
Nami nitaingia hata kama toba itanigharimu kuaibishwa na kudharaurika, ila ntatubu na kuingia
@joyousjoy5043
@joyousjoy5043 9 ай бұрын
Na wale wanao kaa na mzazi mgonjwa unamtoa choo na kumpanguza ? Pia hio ni laana ?
@dokasa9176
@dokasa9176 9 ай бұрын
Sasa suluhisho ni lipi,tutaokolewaje kutokana na hilo juu wengi wetu tuko na hiyo mihuri
@Esthernyenyezi3
@Esthernyenyezi3 8 ай бұрын
Suluhisho ni kutubu na kuomba
@EvotiaKyando
@EvotiaKyando 9 ай бұрын
Hivi mnajua gharama ya umwagikaji wa damu ya Yesu pale msalabani? Ilimwagika kuwakomboa wanadamu wote na dhambi zao,ukiwa umeokoka hayo hayakuhusu kabisa ulitakaswa kwa damu ya Yesu,kwanzia hapo jitoe mwili wako kuwa silaha ya haki utatengwa mbali na kila kiitwacho laana au dhambi.
@MjakaziGladys
@MjakaziGladys 8 ай бұрын
Usiseme hvo ndugu...hata ww najua Kuna mengine ulkua hujui....we skiza ujifunze....kuokolewa ni kwaneema na Bado wengne watasema dhambi flan sabu haijaandikwa kwa biblia so sio dhambi kumbe ni dhambi so it's important...and everyday mtu apende kujifunza inasaidia...Amen.
@EvotiaKyando
@EvotiaKyando 8 ай бұрын
Hapo mimi sina cha kujifunza nimeokoka kama nimeokoka hayo yanakujaje kwangu? maana imeandikwa tazama ya kale yamepita sasa yamekuwa mapya,ukiona mtu hayo anayo jua hajaokoka bado,heri angesema ukiwa umeokoka hujaacha dhambi basi jua laana hiyo inakufuata,lakini pia ijulikane hivi ndugu pale msalabani Yesu alimwaga damu kwa ajili ya kuwakomboa watu wake na dhambi zao,pili pale msalabani Yesu alitokwa na maji ubavuni mwake yale maji ndiyo yanatusaidia kuoshwa makosa yetu tukiwa kwenye wokovu tunapojua tumekosea kwa rehema tunapomuomba Mungu,basi kama ingekuwa hivyo hakuna ambaye angeokoka, MUNGU ana upendo wa ajabu sana siyo kama mwanadamu alimtoa mwanae wa pekee ili sisi eti wenye dhambi tuokolewe na alichukua gharama yote kwa ajili yetu sisi waovu,sasa usiwakumbushe watu mambo ya kale wafundishe haki katika kutimiza mapenzi ya kristo,zaidi hayo waambiwe wasiookoka kwamba ndio wenye hiyo laana ili watubu watoke kwenye laana hiyo ikiwa ndivyo.Amen
@MadeleineJuma
@MadeleineJuma 6 ай бұрын
@@MjakaziGladysamen
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 9 ай бұрын
Kaka jactani ninahitaji msaada zaidi kwakuwa nimelipata hapa hili nahitaji zaidi msaada nisaidie
@PromovertvTz
@PromovertvTz 9 ай бұрын
Sawa karibu, wasiliana nasi
@Mamas-06k
@Mamas-06k 9 ай бұрын
Yaani tumeisha ,, mambo yoote hayo,,
@Mamas-06k
@Mamas-06k 9 ай бұрын
​@@PromovertvTz,na kama mtu alipitia hayo yote kabla ya kutoka,na Kwa sai mtu ameokako na kuyaacha yote hayo,na kuanza upya wa KiMungu
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 9 ай бұрын
Sasa wengine tuliona kwa bahati mbaya tukiwa wadogo tukitubu jaman hatusamehewwi?
@aggyparty2990
@aggyparty2990 9 ай бұрын
Sasa huku tunaambiwa namba 333 ni namba za malaika wanaashiria ww ni mtu mkubwa mwenye utajiri mkubwa
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 5 ай бұрын
Ulimwengu Wa Nuru na Wagiza
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 9 ай бұрын
Ole wangu mimi maana nina dhambi hizo sasa mtumishi nifanyaje
@Esthernyenyezi3
@Esthernyenyezi3 8 ай бұрын
Omba msamaha Mungu atakusamehe, utubu na usirudi tena
@felixthadeus6811
@felixthadeus6811 9 ай бұрын
Ni vipi kwa wauguzi na wakunga ..ambao KAZI zao zinawalazimu kuona utupu kwa watu wengine😢..nao wanaingia katika kundi gani??
@beatriceabeid9943
@beatriceabeid9943 9 ай бұрын
Yaan tumekwisha😂😂😂
@felixthadeus6811
@felixthadeus6811 9 ай бұрын
@@beatriceabeid9943 usinambie🥲
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Kadyrov Went Against Putin? / Poland Declares War on Russia
11:17
Trump announced the end date of the war / Emergency plane landing
14:05