Tangu mwanzo alfajiri, ‘lipokucha jua lako ‘Lipokuwa na misuli, jamali wajihi wako Yautembea muili, moto moto damu yako Hadi na leo ambapo Li dhaifu tambo lako Bado dhamira i papo, wapigania watwani
Mola ampe afwan Mola ampe shifaa, Mola amuondoshee maradhi amkinge na balaa amuepushe na hasad na shari za wanaomchukia aamin
@rahmafaki73973 жыл бұрын
Aaammiin
@salehsuleiman12183 жыл бұрын
Allah akuafu ewe kiongozi makin Akupe uokofu tuwe na ww maishan Akuongoze raufu kwenye yako mitihan. Tunakupenda Maalim seif kipenzi cha wazanzibar.
@alimsabah49213 жыл бұрын
Alla ampe shifaa màalim Ni role model yangu mm na mfano wa msimamo usioyumba
@nailamohd76933 жыл бұрын
Allah atampa umzima wake na wepesi arudi kututumikia ameen ya rabby
@naimazuber54333 жыл бұрын
Allah atamlipa kwa wema anaoitendea wema nchi na wananchi wote
@Khalid-mf3iu3 жыл бұрын
Mungu awahifadhi watu wa Zanzibar inshallah mutatoka ktka minyororo ya udhalimu musife moyo ....from Mombasa
@amneothman23013 жыл бұрын
InshaAllah 🤲
@mbarakaiddi82093 жыл бұрын
Mtu mwema huwazia duniania utakapo tajwa kwa mema jua wewe ni mwema hata kwa mwenyezi mungu maana mungu amesema kuweni wema kwahiyo maalim seif sharif hamadi nimwema na siku zote wema ndo wanao uona ufalme wa mungu nimatumaini yangu maalim seif ataona ufalme wa mungu bi idhinillah
@nasser89nasser203 жыл бұрын
Mola akurehemu akupe qauli thabit Tanzania yote tulikupenda na hasa zanzibar lkn Allah amekupenda zaidi kwa amali zako njema ndio maana akakuhitajia kuondoka hii dunia lkn wema wako hatutousahau daima Mola akuweke makazi mema na wote waliotangulia
@user-mo1ui4qm7x Жыл бұрын
Mwenyezi mungu amsamehe makosa yake amin
@nassraal-riyyami83873 жыл бұрын
Tupo kwenye giza nene...hayo maneno yamekuwa visu yanachana nyoyo zetu...Yarrabi mueke mpenzi wetu😭😭😭
@zubeirkhamiskhamisabdallah63513 жыл бұрын
Nimerud tena kulia tuh kwa hii hal mlio itoa ndio imemlaza kabisa baba ety kipenz chetu wa zanzibar Mungu akulaze pema peponi amini 😭😭😭😭😭😭😭
@yasinishekallahakusaidi87663 жыл бұрын
Mungu wambinguni zuia roho ovu Kwa maalim zuia babaaaaa zuiaaaaa kabisa tunampenda mja wako huyu
@salmaseif10703 жыл бұрын
Mungu atakuaff inshallah ... Mungu akupe afya , umri mref , hekima , busara na uwezo wa kutuongoza na kutuletea maendeleo ,,,, tunakupnda sana kipnz cha wazanzibar ,,, always ulipo tupoooo
@lilianmakwati52283 жыл бұрын
Maalim seif kiongozi makini Sana
@issamahmad6653 жыл бұрын
Naam Allah sw atamlipa KHERI ZA DUNIA NA AKHERA JANNAT FIRDAUS NUZULA. ATAMUWEKA MOLA PAMOJA N.A. WATU WEMA AMPE YENYE NA SISI HUSNILKHAATIMA ALLAH SW AMPE SUBRA ZAID AFYA NJEMA PALIPOBAKI AMVUWE N.A. MISUKOSUKO APATEMRITHI WA KWELI WATWANI KUPIGANIA. NA KILA ASIYE NA HATIA ATANAWIRI KAMA MTENDE.
Jaman tuambiane UKWELI, inshaallah Allah atafny wepes
@fadhilahmad72813 жыл бұрын
Allah atamuaf akiumwa yeye nasi sote twaumwa kipenzi chetu.
@a.8563 жыл бұрын
Allah amuafu na wagonjwa wote jamia.... amin
@abuialmarjibi9793 жыл бұрын
Mimi sio mzanzibar ila maalim nilikuwa nakupenda kutoka moyoni Allah akupe kauli thabit
@lilianmakwati52283 жыл бұрын
Huyo maalim seif tunampenda sanaaa
@amneothman23013 жыл бұрын
Allah Shahid
@Binkhator3 жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun... Allah ampe qauli thabit, amsameh makosa yake na firdous iwe makazi yake "Allahumma Ameen"...
@Abdul-kadirAli-zs3yx7 ай бұрын
Allah akupe kauli thabit insha'Allah
@shebyboy28093 жыл бұрын
Ya allah mjaalie uzima kiongoz wetu arud katka hali yake
@sabihahamadi22873 жыл бұрын
Kaka tunyAmaze tumeumiya ila mungu amzidishiye nuru nyema katika kabui lake na sisi atupe mwisho mwema
@makamemjeda29383 жыл бұрын
Mungu akupe kauli sabiti kiongozi wangu ww ndie lida wa zanzba
@salmasalim60553 жыл бұрын
Mashallah 🥰
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIrKe2p_gZ6mhrM
@mwanalelee63 жыл бұрын
Tuelewesheni vizuri jmn Kuna nini
@muntaswirsaid8043 жыл бұрын
Inna Lilah wainna ilayh Rajiuun, Allah amlaze Mahali pema Peponi.. Am Ameen....
@thamratsaid85263 жыл бұрын
Mashallah
@binhashimoffcial60843 жыл бұрын
Emu acheni utan basi, munatuweka roho juu bana
@chamritaabdul15923 жыл бұрын
Innalillahi wainnailayhi rajiuun, Allah ampe kauli thabit kipenz chetu, 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@kassimomar69513 жыл бұрын
Allah tuekee atufikishe lengo letu
@mwanalelee63 жыл бұрын
Allah akusameh makosa yako poleni wazanzibar kimeondoka kifaaaa😭😭😭😭
@khamisjuma50463 жыл бұрын
Maalim the best for people in zanzibar
@Itzurfavpetpo3 жыл бұрын
Allah akupe shifaa na umri mrefu wenye kheri na barka
@omarsaid46613 жыл бұрын
Mashallah Allah amlinde.
@mohammedalnabahan.41273 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mashairi yamenitoa machozi.
@hudaasaalim13333 жыл бұрын
Ameen ya rab
@imsimk.khamis5743 жыл бұрын
Allah amjaalie afya na uzima aweze kututumikia nakuona baadhi ya maendeleo aliotaka kuwafanyia Wazabzibari na zanzibar byanafanyiwa kazi. Cc Wazabzibari hatujali bi chama gani kinashika hatamu. Tunachokitaja bi yake Maalim Sefu alioyapigania Kwa Zanzibar na Wazabzibari tokea ujana wake hadi uzeeni. Allah akunyanyue tena uje kyshuhudia baadhi ya maendeleo ambayo ulitamani ww uyatejeleze. Wazee wetu wakitwambia " Mweepo Yupo"
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Subhanallah,,,,makafiri ndio wamezoea kutumia majina kama haya ya watakatifu\ mwenyeheri , tuchunge waislam tusije tukakufuru!
@aliabdalla92973 жыл бұрын
Huo ni uzushi wako wakati alikuwepo mwanachuoni mkubwa Zanzibar alikuwa akiitwa Mwenye baraka
@jumakapilima56743 жыл бұрын
@@aliabdalla9297 najua utabisha kwa ujinga wako lakini huo ndio ukweli,,,,,,,,kanisa limo katika mchakato wa kumfanya hayati mheshimiwa fulani kuwa mwenyeheri sasa inawezekana na nyinyi mko kwenye mchakato huo!! Endelea na ujinga wako!! Eeee Allah shuhudia kuwa nimefikisha ujumbe wako!!
@thelistener83573 жыл бұрын
Allah amlaze mahala pema ameen
@mohammednassor30813 жыл бұрын
Allah atakulipa wema kama ulivyowafanyia wema watu wako
@zahorrashid54593 жыл бұрын
Hata ukifa heshimayako tutaituza nahatutorudi nyuma .mpaka tufanikishe lengo lako ulilotuelimisha ss.
@saheedali74673 жыл бұрын
Kwani Hilo shairi Lina mnasaba na umauti au ni kumbi kumbu ya alipoanzia? Fikiri kabla ya ku Comment.
@jumasuleiman6313 жыл бұрын
😭😭😭
@abdallahkhamis59263 жыл бұрын
Allah amlaze mahali pem peponi
@maulidmnukwa31713 жыл бұрын
hili ndio shairi bora kwa maalim seif
@khalimudodoma60453 жыл бұрын
mungu amlaze pema peponi amin
@proudzanzibarian31343 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilaihi raajiuun
@hafidhmussa78873 жыл бұрын
Jamani tuelezeni ukweli kuliko kutufumba,kwemalakini?.
@hamadmazuri14463 жыл бұрын
Aamin,aamin
@maulidhamad36593 жыл бұрын
Inna lilah wainna ilah rajiun 😰😰😰😰😓😓😓💔💔💔🇹🇿
@ahmedkhamis95393 жыл бұрын
Allah atakuafu inshaallah
@mkude3 жыл бұрын
Innalillahi wainnailaihi rajiuun
@khulayfnassor69383 жыл бұрын
Amiin
@sahidahamad393 жыл бұрын
Tuzidisheni dua
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Mbona unatutisha,
@haroubsalim7793 жыл бұрын
Uislamu ndio salama yetu, Demokrasy ni hasara tupu.
@mohammedsuleiman50663 жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilaihi rrajiun
@LaBboogo3 жыл бұрын
Innalillah waina Ilayhi rajiun
@IBRAHIMELSUBHY3 жыл бұрын
NI SHAIRI LINALOLIZA LA KUSISIMUA MOYONI KWA KWELI MAALIM ALIKUWA VIFUANI MWETU😭😭😭 👇👇 kzbin.info/www/bejne/iH21XpR3prGbbM0
@hassanalawy43253 жыл бұрын
Maalim anaumwa hlf unatuletea hii clip...mutatuua kwa presure jamani
@saharasheekh50733 жыл бұрын
🥺🥺🙏♥️
@fatmakhanii16763 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@husseinhajihaji23133 жыл бұрын
Msituletee utani mkaanza kutuliza
@sudaissoud36703 жыл бұрын
YUKO SALAMA NA ASHATOKA HOSPITALI
@kassimomar69513 жыл бұрын
Kweli baba ?
@sudaissoud36703 жыл бұрын
@@kassimomar6951 kweli kabisa
@omarmhmammed2163 жыл бұрын
Mbona saut kama yamasikitiko ...kwema lkn kiongoz ghassan
@khatibuhijja4593 жыл бұрын
Kama machozi yananilenga hivi
@binhashimoffcial60843 жыл бұрын
Kuna nn jaman achen utan
@khatibuhijja4593 жыл бұрын
@@binhashimoffcial6084 hatujajua kilichopo ila kimya kimetawala sna,
@binhashimoffcial60843 жыл бұрын
@@khatibuhijja459 mtihan basi..Allah ndo kila kitu
@khatibuhijja4593 жыл бұрын
@@binhashimoffcial6084 Inshaa Allah
@abdullahatik16163 жыл бұрын
H
@zuhuramuhanga54003 жыл бұрын
Hivi malim ni mzima kweli au mnatufumba ? kulikoni jamani twambieni tu watu wana presha
@ismailjuma36923 жыл бұрын
Mzima na anaendelea vizuri jumatatu tukijaaliwa anaanza kazi.
@osmanha69153 жыл бұрын
Tt
@osmanha69153 жыл бұрын
Twambieni tu msituweke Roho juu.
@hasbunakhamis4873 жыл бұрын
Mashallah
@IBRAHIMELSUBHY3 жыл бұрын
NI SHAIRI LINALOLIZA LA KUSISIMUA MOYONI KWA KWELI MAALIM ALIKUWA VIFUANI MWETU😭😭😭 👇👇 kzbin.info/www/bejne/iH21XpR3prGbbM0