Huyu msechu ana ngoma zote za vifo vya Maraisi Tanzania mmoja mmoja akifa ngoma inachiwa😅😅
@MashaMbwana11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@nassorali406111 ай бұрын
Uwa ashaziweka anabandika Jina tu
@bongatv2511 ай бұрын
Ila watu😂
@maryamadam562211 ай бұрын
Mmungu mrehemu mzee wetu na umpe malazi mema peponi. Wema wako utabaki milele. Pole kwa wanafamilia wote. Innaalillaahi wa Innaa Ilaihi Rajiuuna
@Lulualshagri11 ай бұрын
😢😢😢😢😢allah akusameh ulipoteleza baba etu kiongozi wetu mahiri mpambanaji shupavu tangulia baba nasi tuko nyuma yako
@mussahoza11 ай бұрын
peta msechu ukutee ushatunga nyimbo za viongoz wote... wasubr wafee tu uachiee ngoma moja mojaa
@TomasMponzi11 ай бұрын
Jaman tuache ushamba kwani kutunga nyimbo inachukua mda gan??kwawewe ambaye siyo fani yako ndyo unaona siyo swala rahisi,,R I p mzee wetu nenda nasi tunyuma yako
@ZakayoReuben-ow9tz11 ай бұрын
Hapo sasa kitu fani yake hawa wandhan kutunga wimbo ni kazi ngumu kama kutafyta thaman ya x kwenye logarthim kwa msechu utnzi wa wimbo ni kama junywa maji tu
@Monikakosimastobias11 ай бұрын
kutunga nyimbo syo kaz ngum ukishapata ujumbe RIP mwinyi.
@mwinyiswalehe956411 ай бұрын
NAKUMBUKA VILE UMEKUJA NA MSAFARA WAKO SHINYANGA KUPATA DUA KWA BABA YANGU,ULINIKUTA NIMEZALIWA NI NA MIAKA SABA ,UKANIPA JINA LAKO MPAKA SHULE UKANIBADILISHA , UNCLE ALLY HAJI MWINYI,NAMI LEO NIMEUBEBA UTAMBULISHO WAKO.....Kwelii ninalii😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢,uliniaambia unatamani Niwe kama wewee...nenda salamaa ,nitakuenzi kwakuwa mzalendo halisi kwa nchi yangu😢😢😢😢😢😢😢
@Thadei_kameta54587 ай бұрын
Ukidanji tyu ngoma chapu inaachiwa ila Petro😅😅😅
@SalimPala-w5f11 ай бұрын
Poleni sana wa Tanzania amen
@JelleKipala11 ай бұрын
Yaani pita msechu kutunga wimbo Sawa na kunywa maji tu
@JumaChunye11 ай бұрын
Nzuri sana ila haiwezi fikia umetuacha imara ya magu
@ramadhanvyombo514511 ай бұрын
Uyu jamaa inawezekana ata mama kashamtungia nyimbo anangoja muda tu wakurelease
@diyembarak550611 ай бұрын
😂😂😂
@dopnap485511 ай бұрын
😂😂😂
@lilchampion196011 ай бұрын
😂😂😂
@abbaskishangu187611 ай бұрын
Ww brother ujengewe sanam. Keep it rise,unajua mkubwa
@MUHSINSALUM-cc4tg11 ай бұрын
Allahumma ighfir lahu. Aamiiin
@LovelyAstronaut-lh3nk11 ай бұрын
Huyu jamaa hii nyimbo kaitunga zmn tu alikuwa anasubir afe tu aitoe
@libetztanzania-kiswahilina284511 ай бұрын
HUYU BWANA AJENGEWE SANAMU , PETER PETER MSECHU 🎉 WEWE NI GENIOUS UKO IN AND ON TIME OF EVENTS
@PastorClinus11 ай бұрын
😂😂😂😂
@mckingmojojo36311 ай бұрын
Kaka Msechu nyimbo ina ujumbe mzito tumuenzi Mhe Hayati Mwinyi.
@wahisiatv287111 ай бұрын
Je ukitangulia kabla ya nyimbo zingine za viongozi ambazo ziko kabatini unategea kuzitoa😂😂😂
@LothiMolleli-rl4yh11 ай бұрын
Msechu we ni hatari baba huu wimbo umetunga saa ngapi
Ila Msechu wewe ulijua baba wa watu anakufa ukatunga wimbo 😢
@mtanzaniamwenzangu18111 ай бұрын
Asante kwa kuwafariji wa fiwa wa nchi yetu, hongera kwa kazi nzuri mziki ni tiba🎉🎉🎉
@munalove45011 ай бұрын
Poleni familia ya mwinyi kwa msiba wa baba etu sisi tulimpenda lkn allah amempenda zaid😢😢😢😢
@MasterPlan-e5c11 ай бұрын
Huyu jamaa ana album😀😀😀
@njeyaduniatv9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@JonasiMwanzi-o2y11 ай бұрын
Jamni talifa imetoka saa kumi na mmoja sasa anashindwaje kutunaga nyimbo
@MikaMavanza11 ай бұрын
Ndioo tumuulizeee hapa huyuuu jamaaa ametunga hii nyimboo saaangapii
@tegemeantenga10211 ай бұрын
Kwani kutunga wimbo Nako kunahitaji wiki au mwezi?...Kwa msanii aliekomaa ni suala masaa tu
@jacksonmwalindu878611 ай бұрын
😂😂😂😂 mkimuangaliaa vzri usikute tyri an chorus za kiongoz anayefuataa
@jeremiahmtui682211 ай бұрын
Asante sana Msechu Mungu akubariki sana
@Ibrahim-ne3in11 ай бұрын
Yan Msechu na mrisho mpoto yanasubiliaga misiba tu
@ebeni_mitimingi11 ай бұрын
Jamaa ni kama wauza majeneza 😅 wako standby 😅
@emanuelwilliam883411 ай бұрын
Pumzika kwa amani baba raisi wetu all hassani mwinyi
@stevenchawala531611 ай бұрын
We msechu hiii nyimbo umetunga saa ngp?
@ntibashimadicksonmathiasna291511 ай бұрын
Taarifa anakuwa nazo 😂😮
@anodearsulusi753611 ай бұрын
Anakuwaga na nyimbo za maombolezo mmoja akikata tu anaongeza jina anaachia😂
@KhadraMohamed-vy8sl11 ай бұрын
😅😅😅😅
@Jeff_Tz11 ай бұрын
Ndio hapo hata na mm namshangaa...
@rashidisaidi853511 ай бұрын
Swali gani hilo ww ha ha ha
@MasaweKiyage11 ай бұрын
Congratulations msechu
@momylaviel11 ай бұрын
Msechu ni kiboko apumzike kwa amani
@marikwilliam988611 ай бұрын
Msechu apumzike kwenda wapi 🙈
@mcrwego132211 ай бұрын
Msechu ur always the best
@daynecleonard590611 ай бұрын
Pumzika kwa aman baba yangu 😢
@valentinesyekeye684611 ай бұрын
We mzee una bank ya viongozi wote na nyimbo zao maana huchelewi😅😅
@haiju111011 ай бұрын
😂😂m nimekuja kusoma comment tuuh🙌🙌🙌🙌🙌😂
@bushbabytz11 ай бұрын
huyu naona ana mpango wakuchukua nafasi ya kapteni John Komba😂😂 ...sio kwa uchuro huu ....kila kifo yuko ka bundi wa kwanza kulia kwa nyimbo😂😂
@ThisIsBett11 ай бұрын
Buriani, mzee!
@MUHSINSALUM-cc4tg11 ай бұрын
Alf muwe mnatuambia tarehe ya kweli ya kifo cha mtu. Sasa taarifa ya kifo tayari na wimbo. Jmn
@lyrics_forum11 ай бұрын
Ulivyo Mnene Sijui hii Nyimbo Umeandaa saa ngapi😂.
@sporahdaniel497011 ай бұрын
😂 we msechu wewe umetunga wimbo saa ngap duuu!!
@kihanda255411 ай бұрын
Bonge la Ngoma. Biti mpk Melod. Hata Clup hili linacjezeka🎉🎉🎉
@perucebuhomaosward851211 ай бұрын
Genius Msechu👏👏👏
@abdulymaeda269711 ай бұрын
Unatunga sangp
@ombeninyemba642811 ай бұрын
Hazina ya taifa hanang, lowassa na hassani
@samwelmeela838411 ай бұрын
Oya sio poa
@gigoyrn439411 ай бұрын
😊😊😊 huyu jamaa ana nyimbo za watanzania wote
@sylikiussebastian11 ай бұрын
Pumzka kwa amani pole kwa watazania viogozi chukua mfano wa mwinyi
@beyondmediatz160711 ай бұрын
We ni fundi kaka
@MengiMhelela-b3m11 ай бұрын
Safi sanaa msechuu❤
@gigoyrn439411 ай бұрын
Huyu jamaa ana daftri la nyimbo za kifo anasubiri tu mtu afe aweke jina
@tegemeantenga10211 ай бұрын
😂😂😂😂
@Boniphaceshayo511 ай бұрын
😂😂😂itakua
@anganilebukuku437811 ай бұрын
Jamaaa anastudioo nyumbani kwake piaaa mziki nimaishaa soo kinacho fanyika nikwamba anakua n melodi nyingi kichwani biti ikipigwa tu anaangalia story inahusu nini anashuka full stairi pale inakua imeisha nikitendo cha dakika 30 ty inakua imekaa poaa
@jaydon336111 ай бұрын
We jamaa Kwan viongoz wakitaka kufa wanakutarifu
@mwacyjovin967211 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@jescajames984411 ай бұрын
Msechu hauboi🫡🫡🫡
@Davidiboys11 ай бұрын
lala salama mzee wetu
@hezronjoseph40511 ай бұрын
Hakuna pengo lisilo zibika,,kaptain john komba ,huyu hapa😂😂😂😂😂😂
@yunyun79911 ай бұрын
😂😂😂jamani
@hezronjoseph40511 ай бұрын
@@yunyun799 🤣🤣🤣🤣
@dochoonlinetv11 ай бұрын
Aisee tanzaniaa imepotezaaa
@HalimaRamadhani-o4l11 ай бұрын
Innalillah
@sagy123911 ай бұрын
Pumzika kwa Amani Jembe uliyoyafanya ni upendo tosha kwa nchi yako, tutaonana baadae,
@ASHARICHAMBILE11 ай бұрын
Msechu kibokoo 😭😭😭
@ZaylinahNindae11 ай бұрын
Ongera msechu upo vizur
@barakajames674011 ай бұрын
Ila huyu jamaa😅 umeshatoa wimbo dah
@andrewvoiceofficial872111 ай бұрын
Pumzika kwa amani ally hassan mwinyi
@Berenaldo7711 ай бұрын
Love song❤
@noahchepe803611 ай бұрын
😂😂ndio maana Jana watu wamesema msechu ana lists kibao za kuimbia marehem
@ElishaSolomoni-kc4zk11 ай бұрын
R.i.p mzee wa ruksa.
@izamutv66611 ай бұрын
Msechu we ni atali je na yakwako ipo kwenye kabati au ujaitunga bado
@Gregoire-200611 ай бұрын
Nimekuja uku baada ya kuhona video kutoka kwa uswege kule nikahamuwq nije kuhakikisha😅
@lilchampion196011 ай бұрын
Bia mm😂😂😂
@isayambetwa656411 ай бұрын
Duuuuuuuuh!
@jonathanmlinda258011 ай бұрын
20 on trending 🙏
@Matatasaid11 ай бұрын
Afute iyo zerro apo nyuma
@JacksonJohn.11 ай бұрын
nyimbo.mbona inachangmsha 😢alafu ww msechu upo kitengo cha misiba
@AmedeusFrank11 ай бұрын
R.I.P,APUMZIKE KWA AMANI
@aminatanzanya747511 ай бұрын
🤣🤣🤣 Khaa. Msechu inaonesha ana nyimbo za viongz wote
@nassorali406111 ай бұрын
Ashaziweka uwa anabandika Jina tu😂😂
@RosemaryLema11 ай бұрын
Msechu n komba wa sasa uko chapu au unakuwa nazo tayari nn😢
@tanzaniamycountry930811 ай бұрын
Me nazan tumkamate atueleze Huwa anatunga saa ngap hiz nyimbo usjekuta anachuriaga watu kabla hawajafa, Sio ajabu nyimbo yangu tayar anayo
@tegemeantenga10211 ай бұрын
Kwa msanii aliekomaa ni suala la masaa tu,Wala tusifike mbali
@Officialjidaa-sn9cs11 ай бұрын
Rest in paradise
@Jirhley11 ай бұрын
Ipo siku huyu Peter Msechu atatunga nyimbo ya kiongozi alafu ajikute yeye ndo kavuta kabla ya mlengwa .make hizi nyimbo ni dhahiri kwamba anawatungia wangali hai
@RickyVan-fw4ry11 ай бұрын
Ila mshechu misiba tukuachie wewe tu sasa
@RamadanPaul11 ай бұрын
daah maisha ni mafupi
@yussufhamad984311 ай бұрын
big up
@jonnygabriel964811 ай бұрын
Sasa hv nani anakufa msechu
@rashidisaidi853511 ай бұрын
Ww msechu na ww lini tutakutungia nyimbo ?? Ukifa😂😂😂
@titodaniely971311 ай бұрын
𝙈𝙨𝙚𝙘𝙝𝙪 𝙣𝙤𝙢𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖
@GabrielSky6411 ай бұрын
Umeenda studio au ulikua nayo tu ndani
@yohanamorisi902711 ай бұрын
Naona huyu ana nyimbo za misiba to hana zingine ndyomana anakuaga wakwanza kuimba
@PaschalMologa11 ай бұрын
Wakwanza ku comment .
@maxlopezlopez22011 ай бұрын
Wapili😊
@رقيهالخصيبي11 ай бұрын
Hata kwenye kifo ,huzuni mnakazania wa kwanza ngoja yatokee kwako uje uwahi Ku, comment na kutaka like
@PaschalMologa11 ай бұрын
@@رقيهالخصيبي Tulia wewe kwani Kuna mtu kakufuru hapo .Usi complicate
@kuzenzamasule128111 ай бұрын
Huyu jamaa anatunga SAA ngapi?
@dr.swagztv355911 ай бұрын
R.I.P Al Hassan
@beautyibrahim842811 ай бұрын
msechu kiboko kah enewei tukuite tu komba saiz
@unbreakableteam822511 ай бұрын
Iyo nyimbo akatafute sehemu tu ya kuiperfom
@24seventv9911 ай бұрын
Naiskia saut ya lavalava kwa background
@KijukuuMtemi11 ай бұрын
Unatunga nyimbo wenzio wakafa na wewe jitungie kabisa kabla hujafa
@catherinemanyama910811 ай бұрын
Ila peter msechu wewe 😊
@thomasmakala208211 ай бұрын
Hauchelewi
@Bmtstudiostz11 ай бұрын
Pumnzika hodari
@philipothomas627911 ай бұрын
R.I.P
@istudiohimo211311 ай бұрын
Huwa mwamba ana siri nyingi za vifo vya watu. Tukikaa nae vizur atakuwa anatupa siri za waliotangulia mapema?