No video

LANGO LA NDOTO (III) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 9,858

Pastor Sunbella Kyando

Pastor Sunbella Kyando

Күн бұрын

Ndoto ni picha zilizoambatana na sauti ambazo zinaingia kwenye ufahamu wa mtu pindi mtu huyo anapokuwa amelala. Kama zinaingia inamaanisha kuna lango zinapopitia kuingia..na malango haya ndio huitwa MALANGO YA NDOTO.
Vilevile adui naye ana tabia ya kukaa hapo langoni na kufuatilia ni nini kinapitishwa, hawawezi kumzuia Mungu asipitishe ujumbe wake lakini ana uwezo wa kuuondoa au kuufuta ukishawekwa.
Ayubu 20:8
[8]Ataruka mfano wa ndoto, asionekane;
Naam, atafukuzwa kama maono ya usiku,
Kwahiyo ndoto inaweza ikaruka au ikafukuzwa kabisa kutoka kwenye ufahamu wako. Utakavyosikiliza somo hili utaelewa kwa undani ni kwanini unaota ndoto na ikifika asubuhi huzikumbuki kabisa,au unazikumbuka vipandevipande.. ufahamu wako utaenda kubadilika kabisa.
#PastorSunbella#Lango#Ndoto

Пікірлер: 10
@keciouschanila3160
@keciouschanila3160 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sanah Baba mm nimeelewa sanah🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌🙌🙌🙌🙌
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 2 жыл бұрын
Asante mtumishi nimekuelewa nimejifunza
@fadhilimlay6135
@fadhilimlay6135 Жыл бұрын
Somo hili huwa nalipenda sana
@NeemaNjile9
@NeemaNjile9 Ай бұрын
Amen
@treasurekilongo9093
@treasurekilongo9093 2 жыл бұрын
Thank you pastor 😊👍
@jefrineliaselias691
@jefrineliaselias691 2 жыл бұрын
Amina mtumishi
@favourndila8474
@favourndila8474 2 жыл бұрын
Ameeen in Jesus Christ Mighty name
@judithshoo4323
@judithshoo4323 2 жыл бұрын
Amen!
@mildredwekesa5844
@mildredwekesa5844 2 жыл бұрын
Amen,
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 жыл бұрын
Amen
NGUVU YA KIBALI  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 8 М.
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 15 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 29 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
MAMBO MANNE YA KUFANYA KILA ASUBUHI UAMKAPO Sehemu ya Kwanza - Innocent Morris
42:19
MAKRISTO WA UONGO NA MANABII WA UONGO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:13
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 8 М.
Kwanini Kila Ukiota NJOZI Unasahau || Pastor Steven Nzali
6:15
Nzali Global
Рет қаралды 1,5 М.
SIRI ZA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO - Pastor Sunbella Kyando
58:55
Reality of Christ Church
Рет қаралды 98 М.
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
27:08
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 5 М.
NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:07:06
Reality of Christ Church
Рет қаралды 65 М.
NYOTA YANGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
26:23
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 1,7 М.
MASANJA AKIWAKARIBISHA WAZUNGU WA IMANI MATENDO NA MIUJIZA #FREECHURCH  #MKANDAMIZAJI
8:03
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 86 М.
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:21:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 31 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 29 МЛН