Yani uncle EBM nakuombea sana maisha marefu zaidi hapa duniani maana elimu kama hii tulipaswa kuipata kwa gharama kubwa lakini kwakuwa Mwenyezi Mungu kaamua tukufanya wewe uanze kufanikiwa kwa niaba ya umma,ndo maana tumebahatika elimu hii kuipata bila kulipa hata shilling mia 🙏🙏🙏🙏
@AlparslanIshimwe8 ай бұрын
Tunakushkuru sana oncle vp kwa mtu ambaye yupo state nyingine alishinda green card akiitaji msaada kutoka kwako ili information zaidi unaweza kumsaidiya ni raiya kutoka 🇧🇮 tunakuomba maisha marefu na mafanikio mema
@bandyajamiitanzania760 Жыл бұрын
Ahsant mkuu salam zako kutokea Mwanza Tanzania
@keitawallet953 Жыл бұрын
Shukran mkuu
@bonifacewanyonyi3555 Жыл бұрын
Hongera pro kazi nzuri unaifanya mungu akulinde akupe maisha marefu tuko njiani tunakuja utusaidie pia
@BaigonMacha Жыл бұрын
Habari za asubuhi kk
@alijumamohamed Жыл бұрын
That's wonderful..congratulation to her/him
@GabriellaMakatu-jf2lq9 ай бұрын
Mungu mwenye nguvu azidi kukupa Afya
@CrescentPaul-mv6rj Жыл бұрын
Asante me ebm
@issambela82793 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@joelmdoutch266811 ай бұрын
Kaka Mimi Nina hitaji iyo Jackpot ya Green card lottery Mimi na mke wangu na pia Nina watoto 2
@savannahservice Жыл бұрын
Big up ebm
@rahimsaid-sj2bl Жыл бұрын
Congrats to them.
@BaigonMacha Жыл бұрын
Naomba unitumie no yako kk
@jacquelinelukambuzi5085 Жыл бұрын
Naomba namba yako Ernest please kun mahali nimekwama
@NIMFASHADieudonne-cy1fx Жыл бұрын
Thanks mzee Ebm,so ukiwa unamke kabla hujamuowa akawa na mtoto ukayenda serekali ukapa makaratasi yakuwa kuwa nimutoto wako kwa kucheza hiyi Green ukamwandikisha kuwa nimtoto wako kwenye vipimo hawawezi kukugundua kuwa siwakwako?
@joshuanelson6558 Жыл бұрын
ebm, fullbright application interviews majina huwa yanatolewa lini? tulituma maombi mwezi wa tatu ila kupo kimya.
@Raphaelhopes Жыл бұрын
Natoa ushauri kama baba EBM anavyosema wanaenda kusoma marekani Bora huende kule ukiwa na green card
@mariosulley4669 Жыл бұрын
Naomba unielekeze kuhusu green card lottery plz.
@betricedavid2412 Жыл бұрын
Najiambatanisha na bahati yake nami nikawe mmoja wa bahat hiyo kwa mwaka huu
@Raphaelhopes Жыл бұрын
Nikwel baba Bora kuwa na green card hili kama nikusoma unaweza soma huku huko kuliko kwenda kusoma alafu una green card na kupew limitations
@luckiestmeckson2222 Жыл бұрын
Brother EBM Samahani sina elimu ya uchezaji wahiyo Green Card Lottery naomba kueleweshwa uchezaji wake unachezaje na taratibu zake kiujumla .🇹🇿🙏
@bigboys016 Жыл бұрын
Chakufanya tafuta kazi ufanye uwenacheti na uzoefu wamiaka miwili,ila iwe rasmi kama nifundi unemzi uwe na vyeti vya FDC naufanye kazi miaka mili tu,
@bellalygeomecky1145 Жыл бұрын
@@bigboys016😂😂😂😂😂 dah noma
@TabyWanjiru Жыл бұрын
Help me
@JohnFocus-l8g Жыл бұрын
KAKA KAMA HAUNA IYO GREE CARD UNAWEZA KUJA MALEKANI NABADAE NIKAWA NAFNYA KAZI UKO BRAKUWA BIRAKUWA MSHINDI WA GREEN CARD
@magicalfootball63699 ай бұрын
Kama nida tu😂
@mariosulley4669 Жыл бұрын
Sasa brother mi nipo south Africa natumia asylum seeker for more than 12 years. Samahani kwa usumbusu hio lottery inachezwaje naomba unielekeze.
@lordofshorts777 Жыл бұрын
Inachezwa October
@mageebwire92211 ай бұрын
Tafuta video yake ya kuomba greencard zipo nyingi amezifanya you tube
@MeryMichael-mg2zc Жыл бұрын
Ubarikiwe sana my brother naomba maelekezo namna ya kucheza green card lottery please naomba contact zako