Miaka 15 sasa toka nmepotezana na mama yang popote pale ulipo jua nakupenda sana naimani siku moja tutaonana Mungu akulinde huko ulipo 🙏🙏,,,...mwanao nmekua sasa na nmeanza kujitegemea mwenyewe
@mycmeranyswai79577 ай бұрын
andika jina lake itakusaidia
@daydaypapaa77097 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi ipo siku mtakutana
@AMINASAIDI-mx7rs7 ай бұрын
😢pole ndugu ,hata Mimi na familia yangu yalinitokea miaka 28 ,sijuan na ndugu zangu nawao walikua wanamtafuta mama inauma 😢😢.
@MaryAsantaely7 ай бұрын
Jmn pole kamtangate utompata
@AnnoyedLimePie-lc5sw7 ай бұрын
😂nenda Leo Tena watatusaidia
@samochristopherroche99537 ай бұрын
Hawa wama wana roho ngumu na mbaya sana...mimi siamini kama kuzaa ni kwa uchungu...mama unaacha watoto na unapajuwa ukoo wa mume unaweza kuwatafuta lkn unapotezea tuu...wkt mwingine bora kuendelea kuishi bila mama kuliko wamama wa hivo...
@TatuHusseni-hs7mu6 ай бұрын
Kabisa
@TheresiaMhagama7 ай бұрын
Mama atakuwa alikuwa wa kimataifa hata muda wa kutafuta watoto hakuwa nao 😢😢mungu tusaidie
@LilianSimon-cz7zr7 ай бұрын
Jamani kwa mtazamo tu Mama anaonekana alikuwa mwingi wa habari,alafu sio kila mwanamke ni Mama
@rosehaule67657 ай бұрын
Na wanaadabu wtot wamejitunza mnoo😢😢😢mama una bahati mnoo wametunzana😢😢
@janelyatuu11356 ай бұрын
Mungu nipe maisha marefu Nile watoto wangu
@komboomar82757 ай бұрын
*Mama ni mama tu hakuna mwenye thamani zaidi ya mama ila mama kidoogo hakutenda haki kwa hao watoto wake miaka 15 sio hata kukanyaga na anapajuwa walipo duuh.*
@GiftAbduly6 ай бұрын
Daah inaumiza snaaa tna Sanaa ila hongeren mmeonana
@khadijarashidy93047 ай бұрын
Jamani mama ni mama tu😭😭😭 sidhani kama Kuna kipind bora zaid ya hiki
@Sidrasidra6367 ай бұрын
Ukiskia watoto hawana mapenzi na wazazi wao msiwe mna shanga 😢
@reginaedward48837 ай бұрын
Ooh its so touching ❤❤
@CristinLyanga7 ай бұрын
Pole kwa kuumwa mama.
@solomondanny-15077 ай бұрын
Angewatuma hata watu wengine wakawatafute kama yeye alikuwa anaumwa.
@enockmaige89367 ай бұрын
EMILIANA chomboo❤❤❤
@BrazaKau7 ай бұрын
Jamani mm stak kuongea mengi juu ya hii chanel mungu aizidishie sana na wadada inabid tujifunze kupitia hii chanel nahii chanel aina utofaut na kituo cha kusahdia watoto yatima natamani ata kuongea nao tu lakn one day ntafika napotaka kufika clauds tv mungu awasahsie sana tena sana
@eshyndibalema15297 ай бұрын
Huyu mama ana shida huwa tunapata shida sababu ya watoto alikaa mpaka watoto wamemtafuta analia nini mnafiki hana lolote
@temuramadhani51346 ай бұрын
Kwa kwer hongereni sana
@speciozakaloli7 ай бұрын
Sio kawaida mama kusahau watoto wake
@ShaniaKing-o5d7 ай бұрын
Huwezi jua wengine kwa mwanaume wanachukua watoto na mali unaambiwa usikanyage si tulishashuhudia haya,
@michaelthobias99677 ай бұрын
Msiteteee upuzi Yani utishwe kumuona mwanao na serikali ipo achani hizo angefanya baba hivyo ingekuwa mineno humu huyu ni mama bora mama
@michaelthobias99677 ай бұрын
Msiteteee upuzi Yani utishwe kumuona mwanao na serikali ipo achani hizo angefanya baba hivyo ingekuwa mineno humu huyu ni mama bora mama
@salomeshongola16977 ай бұрын
Huyo mama alikuwa hana uchungu wa watoto wake.kwa sababu alishawahi kwenda huko.
@mossyfimbo35777 ай бұрын
Alikuwa ana puyanga tu akakosa hata muda wa kutafuta watoto fyuu atajuta kwanini aliwaona hakuna bond hapo hata yeye hana bond pia umeona hata alivyowapokea watoto wenyewe hamna bond kabisa asubiri na ajichanganye aombe hela atatamani ajinyonge
@ashangalawa94927 ай бұрын
Ndivyo ilivyokuwa kwa huyu mama alisema cku ya kwanza walipounganishwa
@Thisisgrace9797 ай бұрын
Mi mana yetu yupo kakini ametutenga mda tu baada ya baba kufariki, nyumbani napajua ila naendelea na maisha yangu, nimejaribu sana kuiunganisha familia yangu lakini wapi, ye anawaza kupokonywa mali tu. Da! Inauma sana ika siachi kuomba kwa Mungu tuwe pamoja😢😢.
@HanifaOman-oo4pl7 ай бұрын
Polesana mtihani sasa kwanini yupohivyo mama
@israelkisaila84017 ай бұрын
Pole sana dada Grace😢,ipo siku Mungu atafunguwa njia
@annakifwamba23587 ай бұрын
Nilimtafuta sana kakaangu lakini siku alopatikana alikua tayar kafariki😭😭 MUNGU awabariki sana kwa kipindi hiki
@victoryjohn41796 ай бұрын
Nafanya kazi mbali na wanangu wawili lakini siwezi kumaliza mwaka bila kurudi kuona wanangu,,, Kila nikikaa kuwakumbuka utumbo wa uzazi unaniuma,, Naomba MUNGU nisaidie moyo huo huo nisiweze kupata shida ya kuweza kutengana na wanangu miaka zaidi ya kifo pekee
@salmawage72597 ай бұрын
Mungu aendelee kuwahifadhi
@jamesonduma60647 ай бұрын
Congratulation kwa kazi na from kenya
@CeciliaNguhecha6 ай бұрын
Hakika nimelia kuliko.wao. mimi sesi wa kimara
@RuthWarombo7 ай бұрын
Jamani maishani kuna mapito nakila mtu na yake .Ila tu nashkuru radio cloud's kwa msaada wao mkubwa kwa taifa Mungu awabariki
@EstarDanielisaya7 ай бұрын
😭😭jamani kipenzi Mungu awalinde umenikumbusha mbali😭
@zahramohammed23377 ай бұрын
Jaman na mimi nataka hiii kwa ajili ya mdogo wangu wa mama mkubwa
@GodfreyKulwa-f3g7 ай бұрын
Kwann mama alikosa upendo hiv😅
@fatmaallyabdul17327 ай бұрын
Mama hana upendo na wanawe yaani hajashtuka,hata hajaweza kumkumbatia hata mjukuu wake... seriously!!😮
@oman1oman1797 ай бұрын
Anaupendo sema ni udhuni alokuwa nawo anaona aibu
@MsAggie57 ай бұрын
Hana upendo wowote hata Ku act anashindwa? Ona wamama wenzake waliokutanishwa walivyo onyesha upendo. Kakaa kama mlevi lol
@israelkisaila84017 ай бұрын
@@MsAggie5mwanga huyo,bora hata wasingemtafuta,atauwa mjukuu bure,mwenyewe huku nalia yeye kajikalisha tu hapo,mpaka aambiwe simama upokee mtoto,khaaa
@tinamahega98487 ай бұрын
Mimi simshangai huyu mama kwa yaliyomkuta,manake hii dunia ina majaribu mengi kuumiza moyo,binafsi hili limenikuta na hope nitakuja kuonana nae akiwa mkubwa kama hivi,machungu aliyopitia huyu mama nayaelewa mnoo,ni uchungu usioisha kukaa mbali na watoto ingali uko hai😢
@michaelthobias99677 ай бұрын
Hana uchungu angekuwa na uchungu angesha fika mana mahali walipo yeye alikuwa anapajuwa wenye uchungu ni watt ambao hawajui alipo mama hivi huyu mama ana uchungu Gani ili Hali alipo waacha watt hakuwahi fika hata kulizia eti nilikuwa naumwa miaka 18 tuache kutetea ujinga angefanya baba mgesema vipi Mimi nisinge mtafuta mama wa hivi akwemdeeee
@rosiehayatta26197 ай бұрын
Huyu mama alijua watoto wanakoishi hakuwa na Nia ya kurudi kuwaona
@fatmamohammed83467 ай бұрын
ila mamam emilia anamoyo mgumu yaninmtoto ndo anauchungu kuliko mama mtoto analia mama hana habari wala nn
@DativaMbowe7 ай бұрын
😭😭😭😭nimekumbuka mbali sana, endeleeni kupumzika kwa amani ipo siku tutaonana,
@KhadijakassimMwaipaya7 ай бұрын
Madikin
@AshuraIsa6 ай бұрын
Watoto ndo roho yangu nawapenda mno
@upendosamwel27057 ай бұрын
Huyu mama ni mmbulu hawanaga muda na watoto wakiondoka hawaangalii nyuma😢
@HalimaMayunga7 ай бұрын
Umesema kweli kabisa ndio wako hivyo
@gilbaleticia6 ай бұрын
Huyu ni mrangi
@challemartin7 ай бұрын
Jaman jaman hawez jua sababu ya uyo mama kutowatafuta watoto wake mda wote huo maana hatujui anaishije
@MinskBelarus-il2tl7 ай бұрын
Sote tunaguswa na machozi yanatutoka. Ibaki hivohivo tusichunguze kilichosababisha Mzazi kuondoka na watoto,ila mzazi huyu😮😮😮😮😮
@sayunichullahkadinda87757 ай бұрын
Mmmmh 😭😭😭 machozi yananitoka
@halimaa93677 ай бұрын
Asante mungu
@MariaMolelll6 ай бұрын
Jaman mama mtamu sana
@paulinemwikali50777 ай бұрын
Kwangu kushukuru Mwenyezi MUNGU
@fsaad51165 ай бұрын
Jamani hukuwatafuta aaa
@TatuHusseni-hs7mu6 ай бұрын
Mama hana uchungu na watoto wake kabisa hata kushituka wala kulia mkavu kabisa na hakutakaga kwenda kuwa tafuta kwa ndugu wa mume
@edakilibika59356 ай бұрын
Huyo mama hana uchungu na hao watoto
@AsiaAlly-rn5ly7 ай бұрын
jamani nimelia sana leo.
@HapyynessValentine7 ай бұрын
Clauz hatuwapat toka ijumaa hadi leo
@paulabelleghe4512 ай бұрын
duh mienyewe nalia hapa
@bintmrisho35267 ай бұрын
Jaman uyu mama kumbe anapakumbuka sehemu hakutaka tu kwenda kuwaona watoto wake hadi wamemtafuta wao aisee
@twiseghekisilu88457 ай бұрын
Yaani sijui shida ni nini nyir😢😢😢
@GraceSanga-z1t7 ай бұрын
Mda mwingine inakuaga madawa
@ShaniaKing-o5d7 ай бұрын
Huwezi jua kipi kilipitika
@sarasaraz-vn1vl7 ай бұрын
Huwez Amin Yuko na sababu zake lakin naona hana mzuka na wanae
@queenjacklinedavid26007 ай бұрын
Kuna familia zigine onanyaganywa mtoto na ukabaki una thamani
@RevinaVedasto4 ай бұрын
Mama ni mama tu
@graceshayo57637 ай бұрын
Mm kiukweli siwez kumtafut mama aliyeniacha bila ya uchungu maan uliyezaa huwez kumsahau mtoto wako ulizaa hpn hii mm Huwa spendi story hiz zinanipa maswaliengi san
@RoseKaiza-g2j7 ай бұрын
Huyu mama mbona kama rorose kuhusu watoto wake?kumbe kwa shangaz alikua anakujua kwanini hakwenda kuwatafuta watoto wake? Kama huyu wakiume anaonekana alikata tamaa kabisa ya kuonana na mama yake
@GfgGgg-sc2uy7 ай бұрын
mama mbona hukumpenda mtoto wako wakiume km emiliana emili umempenda sana mpaka unaliya nahuyo wakiume wanao
@NicelaLugakingira7 ай бұрын
Clouds mubarikiwe
@DokersRobin7 ай бұрын
Nimelia
@ShemsaKiobya7 ай бұрын
Mama Hana upendo na watoto huwezi acha watoto wako muda wote huo kifua ameugua miaka 6 Hy hiyo mingine je
@juliemrema4977 ай бұрын
Hata mimi nimelia.
@attunelson88287 ай бұрын
Mama huyu hana mapenzi na watoto wake kabisa kha!
@hamadsuleiman51777 ай бұрын
Hiki nikipindi bora kwa sasa Tanzania kama sio Dunia nzima...Ikiwa sio igizo mnafanya kazi ya kusisimua na msichoke...Ikiwezekana muendeleee hata kupita mitaani kuhoji msikute mtu na baba yake wako ofisi 1 na hawajuani kwa kweli....Hongereni sana sana zana
@RajabuHayyan7 ай бұрын
Kweli yaan
@masalakulwa76017 ай бұрын
igizo ili kitokee nini..mxiew
@loveness09-k7 ай бұрын
Sijawahi ona mama kama huyu hajui watoto wanaishi vipi huyu atakuwa aliolewa tena ndio mana hakutafuta watoto asitudanganye
@laurenciamushi25767 ай бұрын
Jamaniii huyu dada namfahamu huku kahe
@fettiemaganza14847 ай бұрын
Ila mama ana roho ngumu hyu
@masalakulwa76017 ай бұрын
mno
@shakirashakira-gc2yw7 ай бұрын
@@masalakulwa7601 tena sana
@hyacintagugu77 ай бұрын
Roho mbaya
@SelinaPaschal-vq2iy7 ай бұрын
Hana mapenzi na watoto huyu
@graceshayo57637 ай бұрын
Kbx dear mtoto umzae umwachie mwanaume @@SelinaPaschal-vq2iy
@ROSEMARYVALENCE6 ай бұрын
Nmetoa machoz jaman hongeren clauds leo tena
@ImmaculateMweteni7 ай бұрын
Kipindi bora kati ya vipindi vya redio nyingi Tz. Nakumbuka miaka mingi iliyopita niliona kipindi kama hiki cha Oprah winfred wa US.
@HusnaMtitiko-yt4ru7 ай бұрын
Kina fanywa kila mwaka mwezi wa 5
@HawaSwabra7 ай бұрын
Mama han upendo na watoto kwanza hapo alipo han hata mshtuko
@fatmaallyabdul17327 ай бұрын
Ni kweli aisee angekuwa mama flani wa Mbeya uwiiiiiiiii hicho kilio mngejuta hapo studio
Mama nae upendo bado unapajua na hukwenda kuwatafuta
@eliaichraymond12157 ай бұрын
Mm ni mwanamke but sijamwelewa huyu mama bado!kama hajali vile yupo baridi
@alfredinafelix8367 ай бұрын
Natamani kuwe na session ya mtafutwa hasa mzazi alifanya effort gani maana haiingii akilini
@rehemakanyere41887 ай бұрын
Kuna kuwaga ni vitu vingi saana,viwekwe bayana
@CeciliaNguhecha6 ай бұрын
ROHO ngum kaka jiwe
@estakapufi75827 ай бұрын
Myaka yote hiyo kweli ka mama hainiingii akilini nahisi alikuwa kiruka njia huyu mama.
@rosehaule67657 ай бұрын
Sass inakuwaje nilikuwa nasikia tu kama wamama kumbe nao waachaga wtoto kabisaa miaka yote hiyo duh mm masaa tu nashidwa kuwa mbali na kijana wngu kutwa napiga simuu😢
@aminakipande56457 ай бұрын
Hata mm asee nakaa mbali na kijana wangu ila siwez kaa kimya kabisa sm hazikauki
@israelkisaila84017 ай бұрын
Kwa kweli mimi mwenyewe sielewi kabisa,mama yangu ni mzee hawezi kupiga simu mpaka umpigie,ole wako ipite siku hujampigia,siku ya pili ukipiga anapokea na kilio juu,upo wapi mwanangu,upo salama? Ananambia husiwe unapitisha siku hujanipigia,sasa hawa mmm
@aminakipande56457 ай бұрын
@@israelkisaila8401 aaeee hongera kwa mama 🎉🎉
@gladnesskweka96997 ай бұрын
Huyu mama dunia ilimbeba na saiz kiza kishaingia hadi anaona aibu
@OfficialA836407 ай бұрын
Mm navuta subra yule mtoto wa kaka angu atimize miaka 18 mbona mama yake nitamsaka kila radio hd nifike clouds maana kajua kutubwagia mtoto tangu ana mwaka sijui yaani kwenye msiba wa kaka yng ndy tunaambiwa kuna mtoto kule Mtoni kwa Kindande kamuacha marehem. Haya mleteni tumuone kuletwa kweli wetu copy yetu kabisa mama kasema ndy nilikuwa napataka hapa mkubali ndy hd leo mwaka wa 12 huu mtoto hamjui mama yake wala familia ya mama yake hatuijui
@fettiemaganza14847 ай бұрын
Ungemtafuta sa hv mwaya huwezi jua ya kesho
@masalakulwa76017 ай бұрын
Duh...so alimleta baada ya mzaz mwenAke kufariki??
@OfficialA836407 ай бұрын
@@fettiemaganza1484 Tushamtafuta sana tu alitoa namba ya cm fake haipatikani hd leo
@sajdatomar60257 ай бұрын
Km mama anajua wapi alikomuacha mwanawe na hajaja tena inawezekana amefariki ama km yuko hai basi hamtaki ndio mana hajapita mpk leo
@OfficialA836407 ай бұрын
@@sajdatomar6025 yaani yule kambwaga hana mpango na mtoto na aliyemuachia kafariki na yule mama aliyemleta kumuonyesha familia kafariki ndy tatizo lipo hapo hakuna anaejua kwao wala jina lake halijulikani mtoto kachukuliwa ba bibi yake yupo kijijini bint mkubwa sasa anajua hd kupika😭
@AshuraIsa6 ай бұрын
Dunia ilimbeba kweli ndo usahau watoto mmmH
@Aminahlamranl420-hw2ie7 ай бұрын
Mmmh mama ww unajua family ya watt wako mbona ukuwatafuta .😢
@maryamtanzania97437 ай бұрын
Jamani hii dunia kila mtu na changamoto unaishi na watu baki hujui mzazi wako yuko wapi
@MaulidiNchasi7 ай бұрын
Daaah😢
@aziza90937 ай бұрын
Mungu awapemaisha marafu
@ShemsaKiobya7 ай бұрын
Watoto wazuri kawatelekeza
@hanifamziray2777 ай бұрын
Nalia kwa machungu sn
@joycekalago5327 ай бұрын
Mama hana shida amejitetea aliumwa kwa mda mrefu ndio sababu hajawatafuta watoto wake,msimsakame sana
@salomeshongola16977 ай бұрын
Wee mwongo huyo asijitetee.Aombe tu msamaha kwa kuwatelekeza.
@temuramadhani51346 ай бұрын
Ni machozi ya furaha
@UpendoMtunguja7 ай бұрын
Huyo mama ana shida Ina maana muda wote huo anaugua jamani tangu mtoto ana miaka saba Ina maana walivyoondoka tuu akaumwa mmm
@HawaJomba7 ай бұрын
Mwaka wa 4 sasa tangu nilipo undokewa na mtoto wangu kipenzi wa kiume alichukuliwa na baba yake kutoka zanzibar kwenda dodoma popote ulipo mwanangu mama anakupenda sanaa nnaiman na wewe unanikumbuka sana
@HanifaOman-oo4pl7 ай бұрын
Pole sana omba Mungu iposiku mtaonana
@mrliverpoolynwa76417 ай бұрын
Da huu umependeza
@NoelChambo7 ай бұрын
Wanawake wanakuaga na roho mbaya
@Italianmomy7 ай бұрын
Kipindi kizuri sana ila kiboreshwe wasiongee chochote kabla ya kuja kwenye kipindi tuone reaction ya mtafutaji na mtafutwaji. . Yani wasipeane Number za cm mpaka wafike hapo .
@MsAggie57 ай бұрын
Itachukua muda mrefu hewani ambayo ni ghalama
@rajabuhamisi96757 ай бұрын
Huyu mama ni miyeyusho wale wazee wa kumjua mtu kwa kumuangalia watakuwa weshanielewa
@NiceWatson-y7e7 ай бұрын
Kwakwel hata kumumkumbatia mjukuu jaman balaa
@michaelthobias99677 ай бұрын
Huyu angekuwa baba ungeona mineno mama Gani huyu
@israelkisaila84017 ай бұрын
😂😂anaenda kuuwa mjukuu ,mwanga huyo khaaa
@SaphiaSitta7 ай бұрын
Jamani Mimi Sina neno mungu awazidishie Wana Mimi nalia tu
@hyacintagugu77 ай бұрын
Yaaani
@twiseghekisilu88457 ай бұрын
Ila huyu mama miaka sita ya ugonjwa baada ya hapo.....! Mama mwenzangu ana roho ngumu jamani!!
@rebeccamayo9117 ай бұрын
😅😅😅😅 aya bhana
@Paulinawilliam-n8f7 ай бұрын
Jamani nisaidieni na Mimi Chanel hii naombeni Nina WiFi wangu kapotea tangu mwaka Jana Hadi leo hatujui aliko nisaidieni naombeni
@RithaPuran7 ай бұрын
Amewaacha watt hata miaka 10 bado yy kaugua miaka sita ...au hayanihusu
@SamiraNyakunga7 ай бұрын
😅😅😅
@SamiraNyakunga7 ай бұрын
Uyo bibi kichomi uwiiii hajari wala nn
@aishatest44517 ай бұрын
mama sinyo 😢😢 mama wewe hatali
@fatmamohammed83467 ай бұрын
bibi kauzu hata kumbeba mjukuu jamani hana hata morali duuu