ivi awa watoto wakike awana wazazi au family kuona watoto wao wanaka uchi mitandaoni au ndo msemo wa mtoto wa nyoka ni nyoka pole sana tumia nguvu zako now ila usisahau badae kua dunia iliumbwa na allah sio binadam dunia mapito usije pata mitihani kwa allah mpaka ukaomba msada na ukakosa chukua mifano mingi kwa ao wengine wanaume miaka na hawana misada yoyote weka sura nzur Katika maisha yako na family yako na Katika jami acha uzungu auna madili ulivyo va ivyo mvalie mmeo nyumbani kwako ndani sio nje kifo nimda wowote dada kabrini hakuna rafiki wala wazazi jifunze kuogopa alie kuumba
@HenrymodestKipesha5 ай бұрын
Sishikiki ni mtoto mzuri Mimi naitaji ukipenda nitafite tuchat,
@queenmilan20247 ай бұрын
Sasa yeye mwenyewe ana Miaka 46 alisoma na dada yangu
@abubakarsaid73037 ай бұрын
Bora juvunja amri ya 6 kuliko kusitiriwa ?wadada wasikuhizi ni mtuhaniiiiiiii😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@AgnesAndrea-c3i7 ай бұрын
Live your life girl ❤❤❤ Maisha ni haya haya go girl
@ilovejesus93037 ай бұрын
People will judge you according to how you put yourself
@HASSANBAKARI-q9c7 ай бұрын
MWANAMKE YOYOTE WA KARNE HII AKIFANIKIWA KUMILIKI PESA,,,ANAKUWA KAMA KAHASIWA NA WANAUME..
@IddiKhamis-u6c7 ай бұрын
Kisha unasema unajiheshim. Wakati matiti yapo nje kila mtu anaona. Sasa ndio heshima gani hiyo.
@childrenincrisisfoundation5627 ай бұрын
999
@HappynessLucas-j4s7 ай бұрын
The way unavyokaa unafanana na malaya
@nuruosward81617 ай бұрын
Poor mentality
@husseinbakromar58657 ай бұрын
nimshenzi wa tabia huyu dada mwambie atembele kenya nairobi ama mombasa atajua hajui maana ya uchi lazma apende mashuga dad ambao hawakula ujana vizuri na wako na pesa ndio maana anafanya kivutio pumbav zake
hicho kiduka nikikiangaliaga pale msasan najiulizaga sana hiv hicho kiduka kinafika hata milion2 kweli maana daaa sijawah kukielewa
@hassanmohdally52177 ай бұрын
Huyu mpuzii sanaa hakunaa kiatu cha milioni mojaa na nusu hichoo kiatu ni dhs 600 naweza kukuleteaa hataa sasahivi dhs 600 nikamaa laki nne na 20 pesa ya bongo yaan muongoo kupindikiaa
@BerthaModest7 ай бұрын
Kipo😂😂tafuta hela
@mtimti39127 ай бұрын
KWA SABABAU WEWE NI MZEE NDANI YAKO
@Tdotkido7 ай бұрын
Ubarikiwa sio umefanikiwa hii ne sentence ya mr spear
@BlackKing89-l1u7 ай бұрын
Mchagga anajua kuwakusanya na kucheza nao Hawa maslay queen 😆
@tatuaamuuinyi96337 ай бұрын
Afu keshaanza kuzeheka.😊
@kibouttv71487 ай бұрын
Yupo kwenye 40s lazima azeeke japo makeup na kujitengeneza kunambeba sana ila tayari anaonekana mtu mzima
@HappynessLucas-j4s7 ай бұрын
Kwanza kabisa nakuomba umpokee Yesu kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yako wacha kukaa kama malaya mdogo wangu
@MamuduAziz-h1z7 ай бұрын
Yesu hakutokoa kwenye utumwa ndio hatusaidie leo wewe whitewash
@saadarashid81747 ай бұрын
Yaani nyie waongo to the maximum Jordan $160 unawadanganya million moja na nusu wakati ni kama laki nne acheni kuishi kwa uongouongo .
@dr.madevualcantara47757 ай бұрын
Ngojea siku umri ukimpa kisogo ndo atakapoitamani ndoa na wakumuowa hayupo atatamani watoto hawapo tena tumboni kizazi kimekauka ndo hapo tamu ataona chungu
@asiamerey90817 ай бұрын
Sishikiki nimekusikiliza vyoote nimeachananavyo ila hapo kwenye shopping million 20 mkundu wako
@deogratiuspaul35857 ай бұрын
ACHENI KUWASIFIA UNAFKI BWANA
@salimlubuva98605 ай бұрын
TRA wawafate watu kama hawa. Watatimiza target zao. Kuliko kutukazia sisi wa mauzo ya lak kwa siku.
@hassanmohdally52177 ай бұрын
Nikiangaliaa suraa yake niwakawaidaa sanaa hakunaa chakutishaaa kabisaa hataa hight yake sio kabisaaa
@IddiKhamis-u6c7 ай бұрын
Sema nguo za ndani. Mrembo ila hujui kuongea. Na kama unajua bas hapo hukuongea vizuri.
@nuruosward81617 ай бұрын
Anajua sanaaaa English kaish sanaaa nje hata hapo anajitahid
@shinanijumbe44887 ай бұрын
Hapo kwenye jordan umetupiga 😂😂😂
@sultansallah87727 ай бұрын
Wakishachuja ndo maneno yao
@hassanshani49994 ай бұрын
Miaka hamsini sio mzee wewe Mimi nina miaka hamsini Niko Bomba idara zote tukikaa pamoja wewe mzee