Tangu nianze kukufatilia nimekuwa strong nasimama mwenyewe kwenye mambo yangu ,ata sijali watu wasipoongea na mm wakati sijawafanya kitu najua ni chuki zao tuuu ,mungu akupe maisha marefu tuendelee kujifunza
@christinatibezuka32010 ай бұрын
Daaahh yaliyonikuta,😢 lakini namshukuru Mungu kwa sasa Niko vizuri, hakika wewe ni mwl🙏
@cattyrichard171410 ай бұрын
Asanteee sana Mtumishi wa Mungu somo zuri kabisa lenye manufaa kwetu vijana Hasa tulio single 😅
@CalmOysters-im5lh9 ай бұрын
Uliyosema yalinikuta labda kitu naweza kusema nikwamba kabla hujampa mtu moyo wako shirikisha vitu vitatu 1.AKILI,2.HISIA,3.MOYO..Moja ikikosekana miongoni mwa vitu hivi vitatu usitoe moyo wako acha utaumia
@edsonedmond691910 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba
@eunace301910 ай бұрын
Tafadhali naomba uongeze sauti kidogo
@brackskinyozi32806 ай бұрын
Uko Sahihi kaka Joel.... asante sana
@Mr.MbeguuMbegu2 ай бұрын
Samahan Mr. Nanauka, katika maneno yalio ambatana na PICHA katika vedeoo hii Ina makosa kidogo iweke sawa. Imeandikwa ' kumapatia' Bada ya " KUMPATIA". ASANTE Kwa huduma yako ya kuelimisha jamii Kwa ujumla. Allah awe pamoja nawe inshallah 🤲🤝🤲
@JosiasJosue-y3l4 ай бұрын
Asante sana Joel ubarikiwe
@HelenaMalunguja2 ай бұрын
Ahsante sana kaka Joel, barikiwa sana
@cubahiroarthemonofficial905910 ай бұрын
God bless you 🙏. From Burundi 🇧🇮
@geofreymatto67103 ай бұрын
sio kumpa moyo, bali kukubaliana naye... kumpa moyo binadamu unaweza kufa...
@zahraalbaloochi284111 күн бұрын
May Allah protect you Ameen
@PeterAlly-zr4di10 ай бұрын
Then see me AT THE TOP thank you pastor
@rubenkimati525010 ай бұрын
Jarb kuadjust sautii inahitajii ukiskilizeee Kwa makini sana .Alf sauti ipo had mwsh
@NevestWisa10 ай бұрын
Nashukuru sana Kaka Joel...!! Mimi Mpenzi wangu (Girlfriend) kiukweli simuelewi hata Kidogo,, Tupo kwenye Mahusiano Mwaka unakata ila suala la Appointment ni kipengele sana.. Amelelewa na Mama na anaishi kwao ila Hana time na Mimi, kila Appointment nnayoweka Visingizio chungumzima inatokea inaharibika.... Mapenzi ya kwenye simu Daily siyawezi kiukweli...,, Mtu Hana time na Mimi, Hana uhuru na Mimi INACHOSHA... Nampenda Sana Sijui nifanye kitu gani...!!
@ummuwawili9 ай бұрын
nenda kwao kamtolee posa uone kama atakataa au atakubali
@MsigwaLAT2 ай бұрын
Umesema kweli❤@@ummuwawili
@HatibuChande10 ай бұрын
Asante sana kaka zidi kutujaza maarifa na mungu akuongoze 8:42
@AlexJefwa3 ай бұрын
Asante xana naendelea kujifunza
@zakariachacha757410 ай бұрын
Hahahhahha kwakweli kwa hali hii naenda kumuacha mpenz wangu sitaki tena mahusiano nae maana hizo dalili zote naziona kwake
@shukranjulius952610 ай бұрын
😂😂😂Yani wewe
@MSHINDICLEMENCE10 ай бұрын
Very good kumb ww unaelew xo Kam wale wanaosem ntafany kesho
@shukranjulius952610 ай бұрын
@@MSHINDICLEMENCE 😂😂😂
@zakariachacha757410 ай бұрын
@@MSHINDICLEMENCE ukweli wa mungu naachana nae kuzaa syo tija
@MSHINDICLEMENCE10 ай бұрын
Hayo ndo maneno sas maan wanawake wajion wazr kumb hamna ki2 Kaz 2 ku2pa stress
@Sanga_jr_2410 ай бұрын
@zakariachacha umeupiga mwingi 🔥 kaka Vita ni vita mura 😂🙌🏿
@RosecharlesMollel10 ай бұрын
Asante sanaaa nazidi kujifunza sanaaa kutoka kwake
@billjeremiahmaiwe9 ай бұрын
Mungu akubariki sana Kwakweli napokea nafasi ya upekee sana.
@abdulfatahjuma310510 ай бұрын
Best lesson God going to enlight you Broo❤
@BigMajaon-mb8zi4 ай бұрын
Asante sana kaka
@goldiegranted550110 ай бұрын
Somo🔥🔥🔥🔥🔥
@magrethpaul22072 ай бұрын
Kama umeniona mimi najuta mwanaume kavunja vitu ndani anabamiza milango mpaka imekua mibovu kapasua radio anavunja cm mara nyingiii 😢
@glorysilayo689410 ай бұрын
Kumbe nahitaji kuanza upya nilipo sio sahihi
@AnnaMgala-n6g10 ай бұрын
Ukimsikiliza kaka Joel lazima utabadilika kwa nvonvote vile asant sana kaka
@abuhaydatOmar10 ай бұрын
You are very good man be blessed
@officialAlAbdul10 ай бұрын
Joel nmepata mwanamke anamtoto mmoja ila akombali na mm anafanya kaz namm nafanya kazi ila kila mwezi anamatatzo
@goldiegranted550110 ай бұрын
Tuliza nafsi,,,,tumia akili na moyo vyote Kwa pamoja,,,swali Sana pia,,,,kumbuka hili suala sio la kushauriwa sanaaaah,Bali kusikiliza maarifa kama hivi AF vyengine Unadeal navyo mwenyewe,naamini utaweza kupata majibu🏆,,,,NB:USITUMIE HISIA PEKE YAKE,,,,BALI NA AKILI,,,,(Akili +moyo=jibu SAHIHI)
@ummuwawili9 ай бұрын
hakuna binaadamu ambaye hana matatzo yake hata wewe unryo yako
@denssimon558510 ай бұрын
Upo sahihi sana👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@ZainabuRamadhan-p1z10 ай бұрын
Asante kaka mungu akubalik
@Mchiwalalatz10 ай бұрын
Kaka najifunza sana
@MaryamHaruna-f3r10 ай бұрын
Ni muhimu kwa hili kwakwel
@starlight100-o2l10 ай бұрын
15:14 asante ninazidi kujifunza. Thank you
@moseskenedy704210 ай бұрын
Epsod ya jana niliielewa sana kaka barikiwa
@hadidjaissa915410 ай бұрын
Aksante sana kaka somo nzuri
@work24onme10 ай бұрын
Holy Spirit Amen 🙏🏼 Asante sana mwalimu Joel, Mungu akubariki.