Nitakikumbuka kitabu chako cha MKOMBOZI WA FAMILIA the book lead me to cry my brother. MUNGU WANGU NINAYEMTUMIKIA AKUBARIKI KAKA ANGU, YOUR MY INSPARATOR 👍
@PetyJonas6 ай бұрын
Asante bro joel 😢 adi mda huu napitia hali hii wakati naanzisha biashara yangu wapangaji zangu walikuwa wateja wangu na kiukwel hawakunionesha ubaya wowt lkn cha ajabu kadri ninavyo zidi kukua kibiashara ndo wanavyo zidi kuwa mbali yaan hata kuja kunichangia washa acha kbsa wanaenda sehem zingne ila cha ajabu wale wa pembeni ndo wanaozidi kuja wengi na kwa kufatilia masomo yako kaka joel nipo kamili gado na sitikisiki endelea kutupa nondo bro na always nakuombea mungu azidi kukuweka kwaajir yangu naiona njia ya mafanikio kupitia ww asante sana 🙏🙏
@JohnMwanjala-b8i6 ай бұрын
Ukianza wanakutia Moyo ukionyesha Mafanikio waliibua vikwazo, samahani dada ni Biashara gani iyo Huwenda wifiako nae akaifanya Uku niliko Niko Tanga
@Consolata.16 ай бұрын
Ahsante sana kiongozi kwa kuendelea kutuelimisha zaid.
@fransiscokashilimu6 ай бұрын
Hakika umekuwa msaada mkubwa sana katika Africa hasa Tanzania na jamii zake zote, mungu akupe afya njema uendelee kuelimisha jamii
@anipherwella6 ай бұрын
Ni Mimi nishawahi yapitia haya😢😢ndugu WA karibu kabisaa wanatusemea mabaya kuliko wageni Nashukuru Mungu tokea nianze kukufatilia nikiona Tu Mtu anaonyesha negative kwenye shughuli zangu namkwepa na kufuta no zake🙏🙏
@JamesJimmy-o8t6 ай бұрын
Hakika najifunza sana kutoka kwako live longer brother to help our generation
@aronkabuka17176 ай бұрын
Joel nanauka......tunaomba sauti kwenye hizi speech, Asante
@imanimwashiuya2235 ай бұрын
nikweri sana kaka joer na yapitiahayi ira nimechukuwa hatua. nakushukuru sana mungu akurindesana kaka kwakufundisha vijana
@danielsunguya1126 ай бұрын
Ahsante Sana, good morning sir!
@JamesAtilio6 ай бұрын
Kaka wa taifa
@BalemesaValelian6 ай бұрын
Mkuu kweli ww ni fundi wa sikolojia, Asante sn.
@MonaMbalike4 ай бұрын
Yaan hii content imenigusa sana iliwah nitokea hii sehem yang ya kazi
@AgnesNgowi-c5n6 ай бұрын
Kaka nashukuru kwa elimu yako.Mungu azidi kukubariki.
@HalimaAmadi6 ай бұрын
Brother hii ya leo imenitoa machozi Barikiwa sana hatukulipi chochote na unatufunza mengi sana Asante sana ❤ mungu akuwekee sana 🙏
@BeldinaAbuya-zr6qi6 ай бұрын
Hasante umeni onyesha.njia ubarikiwe sana .
@AlbertGau-k7u6 ай бұрын
Thanks san broo nanauka..... tunashuk Kwa kutuelimisha Sisi vijana kuishi njia sahihi zinazopitia✊🏾🙏🏾
@ahz69076 ай бұрын
Asante mentor...be blessed!
@alexlucas15716 ай бұрын
Nashukuru sana Kaka joel NANAUKA kwa ushauri mzuri na mafundisho mazuri😊
@Rehema8156 ай бұрын
Mungu azid kukutunza
@AbdulkadirHaji-dd4uu6 ай бұрын
Darasa na maisha yangu ya kila siku mentor joel keep moving ushaokoa maisha ya wengi sana duniani kuptia ww. Tunakushkur sana.
@shukranjulius95266 ай бұрын
Namtukuza Mungu kwa ajili yako kaka, umekuwa baraka kwa wengi
@mahambagislain96186 ай бұрын
Asante Kaka 🎉🎉✍️🇨🇩
@stevejohansen62466 ай бұрын
Keep coming buu
@DamasSanga-tg4xh6 ай бұрын
Nashukuru kwa SoMo Zuri, nimepata kitu kipya,ahsante
@OmallyMbwana6 ай бұрын
Hakika mungu amtunze kaka joel nanauka kwa kutupa masomo.
@AhmedyNassoro6 ай бұрын
mmmh nipende kushkur maan unaweza kusoma n@ kufahm h@li ya mtu k@m kijna n@ kuweza kutufikishia jumbe sahihi zaid shukran san sir joel I am keep pushing my self and your some tips is nice to us young
@IreneKihaule6 ай бұрын
Asante kwa somo zuri
@hemedichabu10896 ай бұрын
Elimu kubwa sana. Nkushukuru. But kwenye quality ya hizi audio cjajua labda ni cm yangu....kuna zile vdeo zako za zamani mfano nguvu ya kufocus zilikuwa zimechujwa vizuri na ulipga punch mno. Kwenye ubora wa audio jarib kufanya utafiti kama iko sawa ama kufanyike maboresho.
Hatari sana hawa watu hawafai Kabisa Àsante kwa somo Vitabu vipya kwa Zanzibar naweza kupata wapi?
@RachelIbrahim-e7g6 ай бұрын
Asante kaka
@AbrahamLea5 ай бұрын
Nayapitia Sana ,hadi najiuliza shida iko wapi
@muhammedwakif62166 ай бұрын
1st comment 😊
@zahramakota21986 ай бұрын
Nimekutana nao both sides yanii😅 mmoja kama mpenz mwingine kama rafiki ila nilisikiliza kilichopo ndani yangu na leo naendelea kutimiza ndoto yangu, see you at the top
@Asilimedia2 ай бұрын
0:15
@shakilangaboly79116 ай бұрын
Gd
@LinuskalokolaNicolaus6 ай бұрын
Na je akiwa anakufanyia Mambo kama hayo inatakiwa ufanyej mkuuu
@bilid41286 ай бұрын
Nimekutana nao Sana na wameathiri Maisha yangu pakubwa sana ! Sasa tunawekwepaje maana wanakuwa ni ndugu wa Damu ?