🅴🆇🆃🅴🅽🅳🅴🅳 🅷🅸🅶🅷🅻🅸🅶🅷🆃🆂 | LIGI KUU YA NBC | SIMBA SC {3} VS TABORA UNITED {0}

  Рет қаралды 160,006

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 2 ай бұрын
MUKWALA ni mchezaji mzuri sana mpeni muda,presha ya timu kubwa na mashabiki pia🙏🙏🙏#SIMBA nguvu moja
@dvannyclassic1756
@dvannyclassic1756 2 ай бұрын
Timu yetu inahitaji mda ❤ simba 2siwe na halaka na matokeo
@RichardLesilwa
@RichardLesilwa Ай бұрын
Wana juw
@WendeMposola
@WendeMposola 2 ай бұрын
Simba nguvu moja asante MUNGU kwa kutupa ushindi siku ya leo 🙏🙏🙏🙏🙏
@RichardLesilwa
@RichardLesilwa Ай бұрын
Ubaya ubwela
@EbenezerBryson
@EbenezerBryson 2 ай бұрын
washabiki wanaosema sema team aichezi vizuri ndo awajawahi ata kwenda uwanjani walakuchangia
@ibrahimmakasi4690
@ibrahimmakasi4690 2 ай бұрын
Wajinga hao
@Namtumbo
@Namtumbo 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉​@@ibrahimmakasi4690
@YulithaYoram
@YulithaYoram 2 ай бұрын
Naipenda Simba yangu
@ZulphaMsangi-s9g
@ZulphaMsangi-s9g 2 ай бұрын
Safiiiii 🎉🎉🎉
@shakilakasilo9286
@shakilakasilo9286 2 ай бұрын
Alhamdulillah kwa ushindi
@Thekidp3702
@Thekidp3702 2 ай бұрын
Nguvu moja 😊❤.Awesu fundi
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma 2 ай бұрын
AHOUA NA MKWALA TUNAJUA MUWAAMBIE WAPUNGUZE PRESHA MAANA TUNAJUA UWEZO WAO. HAO JAMAA NI HATAR ❤❤❤❤❤❤❤❤
@SleepyBacon-hy2lv
@SleepyBacon-hy2lv 2 ай бұрын
safii❤❤❤❤
@MagretGunda-ly5dj
@MagretGunda-ly5dj 2 ай бұрын
Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 2 ай бұрын
Waambieni wachezaji tunahitaji pressing ya hali ya juu na magoli mengi zaidi ikiwezekana mana timu yetu ni jeshi la mtu mmoja🙏🙏🙏#SIMBA nguvu moja
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 2 ай бұрын
Hatuwezi kuwalaumu wachezaji au benchi la ufundi.kwa sababu timu bado mpya .Ila kea baadae kwa siku tunakwenda wataelewana..itakuwA timu nzuri
@JeniMgina
@JeniMgina 2 ай бұрын
Safiiii sana Cha ma langu
@ireneyassin372
@ireneyassin372 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Vmoney-s1g
@Vmoney-s1g 2 ай бұрын
Simbaaa kibokooo yaooo
@dundoonlinesingeli
@dundoonlinesingeli 2 ай бұрын
kibuuu leoo nimemuonaaa kwa nzurii ongera simba
@MmodyAssu
@MmodyAssu 2 ай бұрын
❤❤❤❤unyama meing to
@latifayusuph5596
@latifayusuph5596 2 ай бұрын
🎉🎉
@ElizabethJohnstone-ss4vt
@ElizabethJohnstone-ss4vt 2 ай бұрын
❤❤
@JacksonShilima
@JacksonShilima 2 ай бұрын
Mshabiki yoyote wasimba atakae isema vibaya simba au mchezaji kumsema vibaya tunakufa nae apa kwenye comment
@jacobnduya798
@jacobnduya798 2 ай бұрын
Mbali na ushindi huu mzuri, nimependa sana uwanja ni kama Chamazi tu.
@Tegemeo-hj6ln
@Tegemeo-hj6ln 2 ай бұрын
Simba nguvu moja
@BostonNyatu-jh6sc
@BostonNyatu-jh6sc 2 ай бұрын
Ushindi waleo nimeshiba Mungu ibariki ssca
@HusseinHussein-w7f
@HusseinHussein-w7f 2 ай бұрын
Yaan apo bd mpaka msemeee!!!!!!!!!!!!
@malengaWetuTv2699
@malengaWetuTv2699 2 ай бұрын
Debro Fernandez mavambo anajua sana
@richardmichael7523
@richardmichael7523 2 ай бұрын
Overlap za Zimbwe pamoja na penetration passes ni ishara nzuri ya kuonyesha kuwa tutakuwa na nzia nyingi za kufunga magoli
@dvannyclassic1756
@dvannyclassic1756 2 ай бұрын
Na mkwala ajapata nafas 2 ila mkwala ni mchezaji mzuri qngali akiwa uwanjan na nafas ngumu anazopewa anakutwa ana mabek zaid ya m1 ni swala la mda ila mkwala mi mchezaji
@Mumlion2624
@Mumlion2624 2 ай бұрын
Maestro anajiamin hadi raha
@JosephTimotheo-d7b
@JosephTimotheo-d7b 2 ай бұрын
nimeipenda hiyo
@vailethmathayo2903
@vailethmathayo2903 2 ай бұрын
@ samwel eliud😂😂 hahaha kwa Simba hii Kuna watu hawataingiza timu uwanjani
@VeronicaDaniel-vz6yt
@VeronicaDaniel-vz6yt 2 ай бұрын
Wangapi wa memuona azizi kama mimi😂
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 2 ай бұрын
Huyo mchawi aziziki kj kuwanga
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 2 ай бұрын
Cha msingi viongozi muwalimde wachezaji,safali hii hatumtaki kufungwa na nyuma mwiko mtatuambia vizuri tu
@EliudiJastini
@EliudiJastini 2 ай бұрын
Myama ⚽️⚽️⚽️💣
@FeisalKhatija
@FeisalKhatija 2 ай бұрын
Me shabiki wa yanga lkn awa wezentu tuwaombee dua cz uyo coach adisolve kbsa kufundsha jamaaa zetu nasemaje akifikisha December me naona mke wa 5 aki amungu mnukuuu Aya maneno yang thanks
@NTILIOKIPARA
@NTILIOKIPARA 2 ай бұрын
Good Sana kwa chama langu
@Achobakiza
@Achobakiza 2 ай бұрын
Umetisa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@EmanuelyLaurent-nv4uv
@EmanuelyLaurent-nv4uv 2 ай бұрын
Highlight nzuri ila amja onesha sub
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 ай бұрын
Uwanja siyo mzuri sana
@josephfrank4446
@josephfrank4446 2 ай бұрын
We ulishafika au unaongea tu uwanja mzur sana
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Leta wa kwako mbinga huko kwenu uliomzuri
@josephpwiti2478
@josephpwiti2478 2 ай бұрын
Sio Kwamba timu haichez vizuri.tunataka mpira wa Kasi
@festojoseph-mq6vu
@festojoseph-mq6vu 2 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌📌📍
@UrassaKileo
@UrassaKileo 2 ай бұрын
🎉
@othmanwaziri783
@othmanwaziri783 2 ай бұрын
Ahoua ' must be serious !! , as no . 10 is not offer anything ' So far... We won but from cross '... ( This is not good for SIMBA)...
@MR_GUNDI
@MR_GUNDI 2 ай бұрын
Afu uyo shabalala mipira yake ya kuludisha nyuma kila wakat abadilike na aache kupoteza muda mara aweke miguu juu ya Mpira wawe na uchungu na muda na speed iongezeke wachezaji wetu
@rashidalmas3792
@rashidalmas3792 2 ай бұрын
mpaka machozi ya furaha AWESU Maestro
@mtakamaonline7748
@mtakamaonline7748 2 ай бұрын
Huyu awesu awesu atakuwa MVP save hii coment yangu
@MR_GUNDI
@MR_GUNDI 2 ай бұрын
VVIONGOZI WAMBIENI WACHEZAJI WAWE NA UCHUNGU NA MUDA WAKIWA UWANJAN WAKAT WA KUPGA FAULO KONA NA MIPIRA YA KULUSHA WACHEZAJI WAPO SLOW SANA TUMEPATA GOLI 3 WACHEZAJI WANAANZA PIGA PASI ZA KIJINGA ANGALIEN WENZETU WANAUCHUNGU NA KILA GAME WANATAMAN WASHINDE GOLI NYINYI
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el 2 ай бұрын
Tuombe Mungu uwe muendelezo mzr
@ousmanesaidy8327
@ousmanesaidy8327 2 ай бұрын
Wachezaji wetu ni wazuri ila tusipe presha
@JosephKawaza
@JosephKawaza 2 ай бұрын
Namba kumi hatuna
@NeemaDevid
@NeemaDevid 2 ай бұрын
Ubaya ubwela
@AminaLibisa
@AminaLibisa Ай бұрын
Na domo chenja kaja kuliona boll la wakubwa 😂😂😂
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 2 ай бұрын
hi simba nihatari yani walikuwa tabora wafe goll 7
@marshangeka712
@marshangeka712 2 ай бұрын
Huyo ahou apunguze uchoyo
@ismailburhan8622
@ismailburhan8622 2 ай бұрын
Tunaomba highlight ndefu.....tunakuombeni kwa hilo😢😢
@kigongomgassa574
@kigongomgassa574 2 ай бұрын
MUKWALA anakosa huduma stahiki kutoka kwa wachezaji wanaomzunguka, hivyo anajikuta anapambana sana inakuwa ngumu kwake kushinda, MUTALE NA AHOUA waache uchoyo ktk team.
@MedardAndrew-v3w
@MedardAndrew-v3w 2 ай бұрын
Wanasimba wenzangu mnaonaje tukichangishana ili tuweze kufungua kituo kikubwa cha television kitakachoongea mazuri ya kilabu yetu maana nahisi kama kuna agenda ya vyombo vya habari kuidhoofisha klabu yetu kwa kuiongelea kwa mabaya tu. Hali hii tukiicha iendelee huko mbele tutajikuta tumeanguka kibiashara maana kizazi kipya chetu tutakipoteza kwa propaganda za baadhi ya vyombo vya habari. Dawa tufungue ya kwetu tunaweza.
@vailethmathayo2903
@vailethmathayo2903 2 ай бұрын
Uko sawa kabisa mnyama mweñzangu ubaya ubwela
@ShafiiMbande
@ShafiiMbande 2 ай бұрын
Uyo ahoua mwambieni abadilike simba haimsubir yeye Kila SIKU
@shihume256
@shihume256 2 ай бұрын
Toa ujinga wako pelekea mamaako
@zaynd5366
@zaynd5366 2 ай бұрын
Huyo Ahoua si ndo katoa Assist ya goli la kwanza
@abdiharuna2818
@abdiharuna2818 2 ай бұрын
Abadilike vp mtu katoa asist
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 2 ай бұрын
​@@shihume256😂😂
@pendomfinanga283
@pendomfinanga283 2 ай бұрын
We nae Yan ndo kwanza mechi moja unaanza mdomo 😮
@james-lx6rf
@james-lx6rf 2 ай бұрын
weka mech nzima kaka kuna wengine tuko nje ya nchi
@pcthemaster9096
@pcthemaster9096 2 ай бұрын
Naona mara mia kule mbele wacheze wakina karabaka
@sangaelly8548
@sangaelly8548 2 ай бұрын
Huu ndio Ukweli wenyewe tuipe muda
@hamzayasni2793
@hamzayasni2793 2 ай бұрын
Mukwala bado ninaimani nae, huyu jamaa akianza kufunga ndio atakuwa na muendelezo mzuri
@absm8084
@absm8084 2 ай бұрын
Deborah Mavambo hii ni mtu na nusu
@masungamagoma1757
@masungamagoma1757 2 ай бұрын
nataman kuona Juhudi za wachezaji wa timu yangu uwanjani km Frenendez, Kamara che Malone, zimbwe isivyo bahati ugonjwa huu unatutafuna kila kukicha sijui yanga wanawezaje wao kwa hili😭😭
@zaynd5366
@zaynd5366 2 ай бұрын
Hii timu uhakika Muda utaongea
@RamaOmary-qq5zt
@RamaOmary-qq5zt 2 ай бұрын
Muambie wewe
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 2 ай бұрын
Tunaomba mtuongezee dakika, mbona 8 ni chache
@NasriMangaya
@NasriMangaya 2 ай бұрын
🎉
@marshangeka712
@marshangeka712 2 ай бұрын
Huyo ahou apunguze uchoyo
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 26 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,6 МЛН
MAGOLI YOTE | SIMBA SC (3) VS NAMUNGO FC (0) | LIGI KUU YA NBC 2023/24
4:20
EBENEZER
24:21
APEX CHOIR
Рет қаралды 5 МЛН