Lissu aanika ushahidi tuhuma za rushwa Chadema asema...

  Рет қаралды 27,455

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

naweza kusema siku ya kwanza ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ilikuwa sawa na moto.
Kinaelezwa kuwa kilikuwa kikao cha kusemezana, kuonyana na kuambiana ukweli.
Kikao hicho kilichoanza juzi saa tano asubuhi, licha ya kuwa na ajenda kadhaa, kilishuhudia Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu akiwasilisha ushahidi wa kauli yake kuhusu tuhuma ya rushwa kwenye uchaguzi wa ndani wa chama hicho.
Awali, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa chama hicho, John Mrema, alieleza pamoja na mambo mengine, kikao hicho kingepokea taarifa ya uchaguzi katika ngazi mbalimbali.
Pia, kupokea taarifa ya tathmini ya maandamano ya awamu ya kwanza ya mikoa katika ‘wiki ya maandamano’ na kuweka mwelekeo awamu ya pili ya maandamano.
Pia kufanya usaili na kuteua wagombea nafasi za uongozi katika kanda nne za Nyasa, Serengeti, Victoria na Magharibi.
Joto la Lissu
Hata hivyo, licha ya ajenda hizo, Mwananchi lilidokezwa kuwa kauli ya Lissu kuhusu tuhuma za rushwa, iliibua joto kikaoni.
Chanzo kutoka ndani ya chama hicho, kilieleza kuwa Lissu aliyewahi kuwa mbunge wa Singida Mashariki, aliwasilisha ushahidi wake kuhusu kauli yake aliyoitoa Mei 2, mwaka huu mkoani Iringa, akidai uwepo wa fedha zilizomwagwa kwenye uchaguzi wa ndani wa Chadema.
Katika hotuba yake siku hiyo Lissu alisema: “Wakati nakuja hapa Iringa jana na juzi kulikuwa na mtafaruku mkubwa sana, sijui kama mnafahamu, ndani ya chama chetu kuna pesa nyingi ajabu kwenye uchaguzi huu.’’
Kauli hiyo ya Lissu iliibua mjadala ndani na nje ya Chadema. Makada wa chama hicho waligawanyika wapo waliomuunga mkono na wapo waliodai inakigawa chama kuelekea uchaguzi wa kanda.
Baada ya mjadala huo kushika kasi, Mei 5, mwaka huu, alipoulizwa na gazeti hili, Lissu alisema kauli yake hiyo haina tofauti na ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliyekuwa akikemea rushwa ndani na nje ya CCM.

Пікірлер: 38
@Paultapuka
@Paultapuka 3 ай бұрын
Hongerani sana wananchi wa Tanzania 🇹🇿 tuwe wamoja ili tubadilishe demokirasi yetu wa Tanzania
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm 3 ай бұрын
Lissu piga Ndani inje Wewe nizaidi ya manabii wa leo
@LesWanyika-nb1zi
@LesWanyika-nb1zi 3 ай бұрын
Pambania Tanganyika kak
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 ай бұрын
Lissu yupo sahihi sisi ni binadamu
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 3 ай бұрын
Tumsikiluze lisu weka sauti sasa
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 ай бұрын
Kwani madaraka tunatakiwa kupewa na nani jamani ambaye ni mumiliki
@yusuphkichawele1009
@yusuphkichawele1009 3 ай бұрын
Media zakipumbavu utazijua tu, wanazani wanawezakusambaratisha chadema. Mtasubiri sana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
👊✌️👍.
@msabahaali758
@msabahaali758 3 ай бұрын
lissu hapendi unafiki ni mtu alenyooka hataki uwongo uwongo
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 3 ай бұрын
Mwananchi huyu dada hatoshi kutoa taarifa nyeti za kikao hiki cha chadema. Bado mbichi mno mtuneni mitaani huko hana uwezo
@LishaPasha
@LishaPasha 3 ай бұрын
habari haijakaa vizuri kabisa. haina kichwa, mwili wala hitimisho
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm 3 ай бұрын
Takukuru Aina meno ivunjwe iuundwe upyaa viongozi ni vibaraka wa ccm kwetu tanganyika ni Takukuru batili
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 3 ай бұрын
heee SAS HAMJAPEWA MADALAKA MKO NA MADUDU KAMA HAYA JE MKIPEWA MADALAKA S HATAR EM JIPANGEN KWANZA KUHUSU KUSHIKA DOLA HAPO TUSIDANGANYANE BADO HAMJA KOMAA
@abdallahlupatu1093
@abdallahlupatu1093 3 ай бұрын
Nyie mliokomaa kila ripoti ya C.A.G ni wizi na rushwa kwa miaka zaid ya 60
@halimamasai2234
@halimamasai2234 3 ай бұрын
Hahahahahaha Kumbe wapiga kelele naye ni wala rushwa 😂😂😂😂 hapo bado hajapewa nchi jeeeeeeee itakwajeeee mkipewaaaaa
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 3 ай бұрын
Wenzenu wana jisuka kuhusu rushwa ndani ya Chama chao. Je, nyinyi CCM ni lini mkajikosoa ndani ya cha chenu licha ya hoja za wizi, ubadhirifu na rushwa zinazoibuliwa na CAG kila mwaka ​@@halimamasai2234
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 3 ай бұрын
Madalaka Ni Nini?
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 3 ай бұрын
Takukuru ni majengo matupu tu ndan ya. Majengo hayo kuna wala rushwa tu
@gelardanyasi919
@gelardanyasi919 3 ай бұрын
😂nikweli kmnda r
@rasnchimbi
@rasnchimbi 3 ай бұрын
Propaganda za misisiemu bwana!🤣🤣🤣
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Nyie mnaopinga kwani hicho sio kikao acheni kutetea maovu. Chadema nao ni binadam sio malaika. Ogopeni sana nguvu ya pesa kama hamuamini mulizeni mbowe kwa lowasa nn kilitokea.
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 3 ай бұрын
Pesa za Chadema ni zako?ongerea pesa za walipa kodi zinazosimamiwa na chama tawala.
@FulahaMwakabeba
@FulahaMwakabeba 3 ай бұрын
Chadema hatutaki rusg
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 3 ай бұрын
PROPAGANDA FC
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 3 ай бұрын
Acha waseme wenyewe, mbona unasema wewe Mtangazaji
@athumanomary9705
@athumanomary9705 3 ай бұрын
Asa uwo ushahidi ukwapi achen propaganda za ndizii🚮🚮🚮🚮🚮🚮
@user-ow3io1il1g
@user-ow3io1il1g 3 ай бұрын
Hawa waandishi wajinga mmewatoa wapi? Achia sauti tusikie siyo kusimulia
@beinafuu6219
@beinafuu6219 3 ай бұрын
Mbona wao hatuwaon unaongea wewe tu.tunataka wao sio wewe.
@user-ow3io1il1g
@user-ow3io1il1g 3 ай бұрын
Hii chanel taarifa ziko biased! Inabidi tuache kuwasikiliza. Mnatupotezea muda
@EnockKanduli-cv8yr
@EnockKanduli-cv8yr 3 ай бұрын
Wanatuibia mb zetu. Hawana maelezo.
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 3 ай бұрын
Jamani msituteleke sababu ya Tamara ya pesa kutoka CCM
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 ай бұрын
Eti chanzo......! Acha Hadithi za kubumba!
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 3 ай бұрын
Mtangazaji mbona unawasemea? Weka clip yenye sauti tuwasikie wenyewe. Inaonekana umetumwa na wasioipenda CHADEMA.
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 3 ай бұрын
Chadema hawataki rushes chama imara Wala rushes walitoka
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 3 ай бұрын
Mwananchi mmekuwa wajinga sana mnapoteza watu wajinga kabisa
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 ай бұрын
PROPAGANDAA
@gwamakagwamaka
@gwamakagwamaka 3 ай бұрын
Mwanachi acha uwogo nyie niccm tuacheni chandema
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 80 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН
"RUTO KAMA UMESHINDWA NA KAZI 2027 TUTAJIPANGA" MP GAKUYA SENDS A MESSAGE TO RUTO
11:11
KAMATAKAMATA YA POLISI WA KENYA YAMSHTUA DC WA ROMBO APIGA SIMU
5:08
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,1 М.
Mwanzo mwisho jinsi Tundu Lissu alivyokabidhiwa gari lake na Polisi Dodoma
11:12
Tundu Lissu Alivyoitikisa Babati Kwa Hotuba Nzito
1:16:54
The Chanzo
Рет қаралды 22 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН