No video

LISSU AKIWASHA ISSUNA SINGIDA, ATUPA JIWE GIZANI WIZI WA FEDHA ZA UMMA KUNUNULIA PIKIPIKI ZA SSH

  Рет қаралды 2,869

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

#TANZANIA: Tundu Lissu akiwasha Kata ya Issuna Singida Mashariki, atupa jiwe gizani, wizi wa fedha za Umma kununulia pikipiki za kampeni za Rais Samia.
Zaidi: • LISSU AKIWASHA ISSUNA ...
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 16
@JacksonFrances
@JacksonFrances 2 ай бұрын
Piga Spana Mheshimiwa Tundu Lissu Mungu Yuko Pamoja Na Wewe Japo Wachumia Tumbo CCM Wameziba Masikio ila Huko Mbele Tuendako Wataelewa Tu "
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
SPANAAA
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 2 ай бұрын
Ushauri huu wa Tundu Lissu si wa kupuuzia,ni kuutekeleza kwa vitendo
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r 2 ай бұрын
Jamani wanyaturu tufafanulieni kwenye ushauri
@KhalfanJuma-ii4fk
@KhalfanJuma-ii4fk 2 ай бұрын
Makamanda peopleees ✌️✌️✌🏼✌️✌️✊✊✊✊✊✊✊
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw 2 ай бұрын
Kamanda lisu mm nakukubali sana pia nasisi tushilikiane kwa pamoja
@frankpeter-of8xp
@frankpeter-of8xp 2 ай бұрын
mikoani watu wanajitokeza sana tofauti na dar
@leodgardotmar7198
@leodgardotmar7198 2 ай бұрын
Mbowe is a traitor we are behind you Lisu! Serve this country
@josephkmarwa7425
@josephkmarwa7425 2 ай бұрын
Mali. Tunayo..akili..hatuna..hivyo.basi..laana..ya..jembe..na.nyundi..itaendelea..kutuZika..nyundo..kutengeneza..jeneza..najembe..kutuchimbia..kaburi. ,😭😭😭😭😭🙏
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 2 ай бұрын
Anaempinga lissu akapimwe akili
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 ай бұрын
Yapo ma fisiemu yananuna yakisikia ukweli huu 😮😮😮
@rasnchimbi
@rasnchimbi 2 ай бұрын
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 2 ай бұрын
Mh. Lissu upo vizuri sana na unatufumbua macho sisi Watanzania na Watanzania wengi hata wa vyama vingine wanakuelewa sana. Ushauri wangu wa bure kwako ni kwamba, acha kabisa kabisa kumzungumzia JPM. Yule mtu alikuwa ni mtu wa namna yake, maana mpaka leo hii asilimia kubwa sana ya Watanzania wanamkumbuka na wanamkubali sana.
@corporatethugsent7380
@corporatethugsent7380 2 ай бұрын
Acha ujinga wewe hata angekua kama dhahabu hakuwa na ruhusa chin ya mbingu kuondoa uhai wa wengine.wakwap watoto wa wanawake wengine kama wewe ulivo kwa mamako.wako wap kina beni saa nane wakwap kina mawazo???nyoko nini!asimseme kwa lipi?hayo majeraha na vyuma kwenye mwili wake lissu na marisasi kwenye hilo gar saa nane mchana kotaz za bunge vilitokea wapi?acha umatako mjinga wewe mi huniambii kitu kuhusu magufuli nampenda mpaka kupita maelezo kwa ka yake but akifufuka leo namuuwa mimi yan kwanza wakahamishe mlima waupandikize juu ya kabur lak asifufuke tena shetani yule ibilisi kichaa mwenda wazimu kuna maana gani kufanya yote mazuri afu ukawa unawauwa watoto wa watu.Kenge wewe et asisemwe.mavi yake yan ata mbinguni tuombe asifike aende moja kwa moja kuzimu.ushenz huu wa kufuta mawazo tofauti kuuwa upinzan kuharibu maisha ya watu kwa kuafua uchaguz akajaza mabubge yote na madiwan yote bungeni umeona kafa afu katuachia balaa huku afu unataka asifiwe kwa Mavi na uharo alouacha huku nyuma.Akafie mbali ata peponi asifike Shetan yule
@LuganoPondo-km8ub
@LuganoPondo-km8ub 2 ай бұрын
Maghufuri alikuwa ni mtu mbaya sana
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 2 ай бұрын
Mwenye sikuom na asikie mwenye kuelewa ataelewa
Mwanzo Mwisho Tundu Lissu Akifunguka Wilayani Itigi, Singida
38:25
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 38 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 8 МЛН
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 21 М.
Dr Shashi Tharoor - Looking Back at the British Raj in India
1:12:35
The University of Edinburgh
Рет қаралды 5 МЛН
#LIVE: LEMA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU JUU YA UTEKAJI WA SOKA NA WENZAKE
1:15:35
What is ChatGPT doing...and why does it work?
3:15:38
Wolfram
Рет қаралды 2,1 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 38 МЛН