Kaka pole tumeona unafanya nae mikutano Kumbe kilusi. Afai ila tumeamini ulisema kuna lushwa kapokea mlungula
@giftkalenge4189 күн бұрын
msigwa amesimama na Lisu kama Yuda alivyo Fanya Kwa Yesu duu yaliyoandikwa yanatimia
@GaradiGaradi-zq1wf9 күн бұрын
Kaka lisu huyo jamaa anajulikana ndio tabiya yake. Hujamsikia msukuma alichokisema alikuwa akitumia pesa ya ccm kufanya mambo yake. Kumbuka aliwahi kutolewa gerezani na magufuli huyo ni mpuuzi mmoja tu.
@husseinkonz519210 күн бұрын
Msigwa jasus mkubwa 😊😊😊
@othmarluwawilo83088 күн бұрын
Msigwa Samia atampa ukuu wa Wilaya, atakuwa akiomba bakshishi kwacwatendaji wa kata. Kuongea km jabari la siasa; kwishney.
@jafarmlawa96279 күн бұрын
Cdm hapo ndo Napo feliii mtu akihama cha tuna kua na mane no maneno mengiiii acheni aendeee
@goodluckmchome51429 күн бұрын
MSIGWA SIO KIRUSI NI MTU ANAYEJITAMBUA NA ANAJUA HAKI ZAKE KWA KUWA USIPO IPATA HAKI YAKO CHADEMA WAWEZA IPATA KWINGINEKO MBONA WATU WANAHAMA KUTOKA CCM KWENDA CHADEMA HAMSEMI LISU SIO MUNGU YEYE AENDELEE KUTENGENEZA MAADUI MWISHO ATAABIKA MWENYEWE AJICHEKESHE HAPO KISHA MBOWE ATAMPA ANACHOSTAHILI ,