Nanyie hongeni,c mnahela za ruzuku mnazifanyia nini? Mwacheni mama yetu
@EmmanuelSolile3 күн бұрын
Waambie lissu
@MonicaKaskaz3 күн бұрын
Hana sera
@phillipmasungwa7365Ай бұрын
Sshihi kabisa alichokisema LISSU.
@IddyNjaluye3 күн бұрын
Tundurisu umefirisika si kwa uongo uwo una sera
@ahmedhamisАй бұрын
Sahihi kabisa
@MariaCassian-e2iКүн бұрын
Hela za kuhongana pikipiki mnazo ila za kuleta dawa hamna hii nchi yaaani lazima mnunuliwe kwaajili ya kumpa mtu kula wala sio kura lisu nakuelewa sana msema kweli huwa hapendwi kabisa kwenye hii nchi
@maluhismadila9593Күн бұрын
Hawana hata hela ya mafuta
@ReviRashidiАй бұрын
Aisee hatari
@ReviRashidiАй бұрын
Chuma hicho
@user-sl1ko9me7uАй бұрын
MH. RAIS SAMIA ANAPATA WAPI MABILIONI YA HELA KUNUNUA PIKIPIKI NA KUGAWA BURE NCHI NZIMA....RUSHWA NA UFISADI KWA ARI NA NGUVU MPYA!
@verdianabanabi2205Ай бұрын
Mwenye macho haambwi tazama wanyonge tunapigwa tu.
@omarybakunda2554Ай бұрын
Kwani Tundu lissu na wewe si ununue pikipiki zako uache kutupigia kelele. Halafu wewe huelewani na mwenyekiti wako sema unajificha Kwenye mgongo wa samia na ccm.
@mussakimaro5588Ай бұрын
Tangu ameanza kazi kwanza mshahara wake bei gani
@reginas1832Ай бұрын
Nasi ni wajinga tunamwamgalia tu
@HamisMghuna-fj3vzАй бұрын
Bila katiba haki hakuna
@clemencemkondya856116 күн бұрын
Tundulisu kila jambo lazima useme uwongo na uzushi . kilichofanyika na CCM nikuwapa viongozi wa kata sikila kijiji .Nawewe waletee viongozi wake .mwongo Tundulisu