LISSU:NITAFANYA MABADILIKO MAKUBWA CHADEMA HAKUNA ATAKAYEKUWA WA MILELE KAMA MBOWE AU VITI MAALUMU

  Рет қаралды 8,737

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 9 күн бұрын
I agree with you Lisu changes and reform is important to bring new ideas
@anosiata8242
@anosiata8242 9 күн бұрын
Tuvushe baba tunakuaminia mungu akuntunze
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 күн бұрын
Hiyo siyo sera lissu
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 8 күн бұрын
Sera ni ukomo wa uongozi 😂 unaelewa ukisikiliza au??
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 8 күн бұрын
@@Abs-tz8dl Asikusumbue, huyo ni CCM
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 8 күн бұрын
CCM mnafanya nini huku?
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 8 күн бұрын
@@mohamedturanardan8871 ni kweli huyu ni roboti wa ccm na msaliti wa Tanzania
@Nanga-t6y
@Nanga-t6y 8 күн бұрын
Welcome mzee Lissu
@RutaJuvent-d8z
@RutaJuvent-d8z 9 күн бұрын
MWENYEZ MUNGU, aliziwia kifo chako kwa tesi wako kwa maksudi. Kwaajir ya taifa letu.
@williamLuchapa
@williamLuchapa 9 күн бұрын
Excellent naomba uishi miaka mingi na uendelee kuwa moja kat ya wanaharakati hi
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 9 күн бұрын
Safi sana mwamba
@annamnanka-qk1bx
@annamnanka-qk1bx 2 күн бұрын
Grace kagoma kwani shida ya lisu nini kugombe uwenyekiti wanachadema tumemuchoka mbowe acha wengine waongoze apumzike kwani mbowe chadema ni kampuni yake pekeake au ni chama cha wanachama acha vijanawaongoze mbowe amezeeka
@JuliethNyoni
@JuliethNyoni 9 күн бұрын
Ndiyo lisu tuvushe tunaumiasana wanyonge
@bsmonline8482
@bsmonline8482 8 күн бұрын
Lisu ndio mwamba wa kuongoza Chama wengine wapumzike, Mbowe kama hujashiba kwenye Sinia utashibaje kwenye sahani.
@kingj9606
@kingj9606 8 күн бұрын
Ndo lissu huyu wa siku zote? Huyu kanunuliwa na ccm. Yaani kageuza vita yote ndani ya chadema. Lissu anaongea hivi utafikiri Mbowe ndo kamzuia yeye kushinda in 2020. Lissu grow up and take responsibility for your own failures 😂.
@williamLuchapa
@williamLuchapa 9 күн бұрын
Lissu unaongea point ....unaakili mingi sana Lkn heshimu mamlaka na utawala.uliopo yaani serikali
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 күн бұрын
Ni chizi baada ya risasi16😮
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 күн бұрын
Huna shukrani Mbowe alifanya makosa kumsaidia Lissu kumpeleka Kenya kutibiwa.Hana shukrani,hana busara wala hekima kwake yeye mhimu ni madaraka tu.😢
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 8 күн бұрын
Watu wanalipa kwa damu
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 8 күн бұрын
Chadema no ya watanzania
@annamnanka-qk1bx
@annamnanka-qk1bx 2 күн бұрын
Grace kagoma mbowe hakuwa mungu wakumuoko lisu bila mungu tundu lisu hagepona mungu ndiye Kila kitu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 күн бұрын
U n a roho ya paka lissu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 күн бұрын
Huyu lissu kama anaroho.mbaya kwa wenzake je atatusaidiaje sisi masikini Tz.leo hii Mbowe kwake yeye lissu ni takataka.Wtz tufikirie
@bsmonline8482
@bsmonline8482 8 күн бұрын
Mtu sahihi mnamwona Mwongo na anayewafanya mtembelee ulimi kwa Shida ndio mnamwona mtu mzuri 😂😂😂 yaani ya baadhi ya watz akili zetu sijui zimewekwa Mahidi au mashudu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 күн бұрын
I mean Tanzanians arent ready to have a crazy president.This is a country with more than 129ethinic. Tribes😮This is a man who only depends on foreign help in his own country which is strange😮. Iam a wo m an who is more educated and more life experience than Lissu.pia mzalendo kuliko Lissu Huyo lissu ni msenge na msaliti.
@ErickyKatunzi
@ErickyKatunzi 8 күн бұрын
We ndiyo,mjinga na hivyo ulivyomwita Lissu. Do you think your interigent than Lissu, just keep quiet b,cz u know nothing about leadership.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 күн бұрын
Hivi wewe Lissu unajua bila helkopter usingalipona.Kwanini huwezi huwezi kusema ahsante
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 8 күн бұрын
Nani alitoa helicopter,nani alitoa damu,pesa za matibabu,amewashukuru wote ulitakaje labda
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 8 күн бұрын
Grace mi nakupenda ww ni ccm ila huwa nakuona kwenye comment za chadema🎉🎉🎉
@bsmonline8482
@bsmonline8482 8 күн бұрын
Yaani wewe unawaza Helicopter tuu ndio ukomo wa akili ysko umekomea hapo Kenya alienda kwa ndege binafsi sio Helcopter.
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 8 күн бұрын
Kwahy helkopter ndo Mungu?
@bsmonline8482
@bsmonline8482 8 күн бұрын
@@SurprisedFullMoon-gg9vu Si ndio hapo
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Ruto's statehouse journey cut shot in 3 years
8:36
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 2,5 М.
JOHN HECHE AGEUKA MBOGO AKIJIBU MASWALI YA WAANDISHI
38:53
JAMBO TV
Рет қаралды 28 М.
#MEDANIKUU: KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA -  04/01/2025
2:30:19
Star TV Habari
Рет қаралды 28 М.
BADO SIELEWI. KWANINI TUNDU LISSU ALIMWAMINI ABDUL WA SAMIA?
29:41
SK Media Online TV
Рет қаралды 34 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН