LISSU: WEMA WA SAMIA NA "UKWELI WA MUNGU" KUHUSU MAGUFULI

  Рет қаралды 33,230

SK Media Online TV

SK Media Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 91
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
TUNDU LISSU IS A LEGEND AND IS FARMOUS FOR GOOD POLITICS IN TANZANIA,I LOVE TUNDU LISSU,I LOVE MBOWE,I LOVE CHADEMA AND I LOVE MY COUNTRY,GOD BRESS MY COUNTRY.
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 3 ай бұрын
Ubarikiwe Mno 🙏🙏 exactly Nampenda Mno Lissu,Mbowe,Lema Heche , Pambalu nk I love too much Chadema ✌️✌️✌️
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up Жыл бұрын
Asante MUNGU kwa kutupa Tundu Lisu
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 Жыл бұрын
Ni wenye akili tu ndo humwelewa mwamba kutoka Ikungi 💪💪
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Жыл бұрын
Kweli kbs
@TheodosiaSangka
@TheodosiaSangka 7 ай бұрын
Kabisa mpambanaji mzalendo wa kweli Tundu Lisu Mungu amlinde adui yake awe adui wa Mungu. Peoplesss..power👊✊✌
@jamesmhillu3211
@jamesmhillu3211 Жыл бұрын
Hakuna zawadi kubwa Mungu ametupa Watanzania kama kumponya Tundu Lissu na kumfanya Aishi ili atutoe Misri
@sashawambura
@sashawambura Жыл бұрын
Hakika Tundu Antipas Lissu ni zawadi kwa Watanzania na Africa...
@leahsangawe9609
@leahsangawe9609 Жыл бұрын
Lisu ni zawadi ya Tanzania kutoka kwa Mungu Anatakiwa aikomboe Nchi hii kutoka utumwani mwa wrezi tujitawale kiuchumi. Ndio maana Mungu kampa nafasi ya2 ya kuishi ili kaz iytake ikamilike. Wasira ni walewale Hana hoja.
@EvanceBujiku-dc9rh
@EvanceBujiku-dc9rh Жыл бұрын
Inabidi twelewe hivyo kama ulivyo sema,
@PauloolekooiLaizer-o3g
@PauloolekooiLaizer-o3g Жыл бұрын
P.mo😅
@PauloolekooiLaizer-o3g
@PauloolekooiLaizer-o3g Жыл бұрын
M Llin Pnpj P😅
@CHRISTOPHERKIMWAGA
@CHRISTOPHERKIMWAGA Жыл бұрын
Tundu ni mtangayika makini sana anaipenda nchi yake siku zote na angekuwa Hana uzalendo angesha unga mkono wenzi Kwa mambo waliyomfayia hao ccm
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Kweli kbs maana hapo alipo angeshaunga mkono juhudi ili kuokoa roho yake lkn bado yumo tu kuna kusudi la Mungu hapa
@Lucas-xh7wh
@Lucas-xh7wh 6 ай бұрын
Lissu ni Hazina kubwa na ndio maana Mwenyezi Mungu alimponya na lile shambulio la kikatiri na kiunyama
@user-zf1ic2ck2t
@user-zf1ic2ck2t 4 ай бұрын
Kazi nzur sana fanya kazi
@TestTest-fc3sv
@TestTest-fc3sv Жыл бұрын
Sawa sawa baba Tundu Lissu yote unayoyasema ni kweli kweli tupu asante sana.
@zabronjonathan2264
@zabronjonathan2264 7 ай бұрын
Mungu akulinde na akubariki.
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 5 ай бұрын
KWAMBA HUYU HAPA MBINGUNI PANAKUHUSU LISSU❤❤❤❤❤
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
lissu ni mpambanaji wa na mzalendo namfananisha na marehemu Maalim seif
@hajihassan5433
@hajihassan5433 6 ай бұрын
Hujuwi kufananisha Maalim Seif alikuwa ndani ya Serikali ya SMZ wala hakuwahi kujiuzulu. Kwa upande wangu Maalim ana legacy moja tu ya UADILIFU kwa upande wa kujilimbikizia mali ingawa alikuwa pia Katibu Mkuu wa CUF miaka 25 ameondoka CUF haina hata mlingoto wa bendera.
@RachealMndambi-kv9sd
@RachealMndambi-kv9sd Жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@felixmsengi1084
@felixmsengi1084 7 ай бұрын
❤❤❤
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 6 ай бұрын
Ww ni mandela mpya
@justine_JLE
@justine_JLE 7 ай бұрын
Mungu ni mkuu, alivyo Lissu na aliyoyapitia ni kielelezo tumeumbwa kwa jinsi ya kutisha sana.
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 6 ай бұрын
Jaman wana ccm muogopen mungu yan chama cha madalali
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 8 ай бұрын
This is the head on Tanzania national crush reality underground tels ccm leadership Rong doing this is where tundundulisu short 16, bullet has spoken ccm did not like him l think the position ccm hat him has spoken it bring speaks on ccm vary grateful aguimemt on tundundulisu that point one of good matariol we have in Tanzania no fear is tundundulisu wasira and tundundulisu are two different things because wasira has got no capacity challenge tundundulisu on his speech vary far distance on tundundulisu brain compare tundundulisu and wasira thanks on this clips
@felixmsengi1084
@felixmsengi1084 7 ай бұрын
Huyu mtu ni hazina ya Tz tukimuelewa Ana uzalendo wa rasilimal kwa kufuata sheria
@joycemosha1898
@joycemosha1898 6 ай бұрын
Jamhuri ya mungano wa africa duniani huyu wasira tangu tanganyika yuko ccm ya mauaji waliokuwa naa maendelezo waliwauwa kwa kuonazwa kuona w Jamuri ya muungano wa africans bendera ipepe juu ya makufuli alisema ni mwendawazimu atafany a kukubali makata wa bandari balancing kwa macontena ya muungano muungano muungano asukae aside from school miaka mpakaa mwaka nitakaa wabunge wabunge turned fed fedha na safari zako haimitikii nikaipele darinng ziwive wines windowsills wakina osca kambona haakumbukwi nyerere London alikuwa naye chumba kimoja kwakuwa have not poor and tanganyika hakina money ya kukaa hotels aka.kusanya fedha fantastically kwani wakati hotel offer free commodities for these day he stays with us
@vellenahfuraha6254
@vellenahfuraha6254 Жыл бұрын
👏👏👏🙏
@CharlesCharles-f1e
@CharlesCharles-f1e 6 ай бұрын
Ccm ovyo sana
@evelina9621
@evelina9621 5 ай бұрын
Nyerere.alisema.wakoloni.bada.mwaka.10.waje.waoni.tanzania.uhuru.wetu.sasa.mambo.gani.warudi Katiba.mageuzi
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 4 ай бұрын
MZALENDO WA KWELI❤❤❤❤
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Tunarejeshwa kwenye utumwa kwa uzembe wetu wa kukubali akili ndogo iongoze akili kubwa. Wewe jamaa una chuki binafsi na hayati Dr Magufuli Rais anayependwa sana na wananchi kuliko unavyojidanganya! Tundu Lissu ni mtu makini miongoni mwa watu wachache sana katika nchi yetu.
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Hahaha hahaha 😆😂🤣😅
@edgar3998
@edgar3998 6 ай бұрын
Huyo proff anavyojiumauma
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Жыл бұрын
Nimepata Elimu ya kutosha
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 7 ай бұрын
Nakuelewa muno safi kipindi
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 6 ай бұрын
Exactly
@sanda960
@sanda960 Жыл бұрын
Kila mtu katika maisha kuna mahali huwa anakosea. Si vizuri kufufua ya watu ya huko nyuma. Tugange yajayo. Maneno ya huyu mtu yasije yakatuingiza ktk machafuko
@SeveriniTemu
@SeveriniTemu 5 ай бұрын
Tujitambue na mungu awe nasii yasio wezekana kwa wanadam kwa mungu yanawezekana tumrudie muumba wetu. Na tusali sana yeye mungu haonekani hashikiki hahongeki Ipo siku tutapendana tutaheshimiana na mungu atabariki dunia na. Tanzania itakua moja wapo busara tuu inahitjika na usilo litaka kitendewa usitendeee nduguuzo Afika ni mojaa na wote ni ndugu asanteee
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Жыл бұрын
ASANTE SANA MWESHIMIWA ANTIPASSLISSU ASANTE SANA MUNGU KUMRUDISHA HUYU BWANA LISSU
@johakhimu.mgembe.3297
@johakhimu.mgembe.3297 5 ай бұрын
:Lissu..Amembwaga Wasira.
@CharlesSeleman-pj3zd
@CharlesSeleman-pj3zd Жыл бұрын
Mungu mwema
@sosthenespaul8821
@sosthenespaul8821 Жыл бұрын
Swali langu ni kwamba kama utachaguliwa utafanya nini kuweza kurudisha
@SamsonSebastian-c7r
@SamsonSebastian-c7r Жыл бұрын
Swali zuri mm pia niliwaza akiwa rais ataziwcha hizo mikataba za kijinga na kuwaacha wasiolipa Kodi waendelee na biashara na shughuri zao bila ya taifa kupata faida
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Umesikia kauri zahuyulissu nikubadrisha mfumo wautawala yaani katibampya yenyemisingirafiki naraia pamoja nawewe
@Ommylayzah_tz
@Ommylayzah_tz 7 ай бұрын
Yaani Mwanasheria wa serikali alafu hajuwi hata Kiingereza Lissu Wauwee
@asibwenemwaipopo4863
@asibwenemwaipopo4863 Жыл бұрын
Kama wanasheria akina Tundu Lissu na Mwabukusi wangetumika kuchambua mikataba isiyofaa na kuishauri Serikali, mikataba inayoingiza nchi kulipa faini ya matrilioni isingetokea. Serikali ikiendelea kupuza ushauri unaoweza kuokoa hasara ya faini mbeleni, nchi itaendelea kupoteza Mali/fedha nyingi huku serikali ikiendelea kukopo badala ya kujenga uwezo wa kitaifa wa kujitegemea. Watz tunatakiwa kujitambua.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 4 ай бұрын
Uko sahihi. Madeni yote tunalipa sisi wanyonge. Ila Mungu 2 Anaona.
@nickjuma6020
@nickjuma6020 Жыл бұрын
Rushwa! Rushwa! Rushwa!🔥🔥🔥😭😭😭
@msafirikushama2193
@msafirikushama2193 Жыл бұрын
Hapo jameni watanzania tujifunze kumakinika na tuwe mahiri Kwa Lugha za kigeni.
@gregoryRukiza
@gregoryRukiza 5 ай бұрын
CCM Hawawezi kujifunza kitu . Ni manyamaume ni majitu maroho. Hayajawahi kudhiba na haystashiba. Wasira ndiyo taaswira ya CCM. Wasira ni mtu mwenye tabia ya fisi, hawezi kushiba su kutosheka.
@msongojumbe486
@msongojumbe486 Ай бұрын
Wasira kaka chini
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
CCM kwa sababu ya mazoea hawana la kujifunza badala yake watatafuta wezi wa kura ili washinde kura. Hali ilivyo ya kiserekali sasa na jinsi huyu mama ameshindwa kabisa watu wanajiibia tu rushwa ndiyo usiseme. CCM hawana shida na maendeleo bora maendeleo ya mfuko wa Wasira na wenzake inatosha ni maendeleo tosha kama watawala wa CCM wakijaza mifuko yao na watoto wao imetosha na kuiba kura kwao ni furaha kubwa sana.
@karimmveyange280
@karimmveyange280 4 күн бұрын
KWA nini Enyi Waafrica mnapigania uongozi hadi kufanya makufuru na wakati KUONGOZA HAMUWEZI, MNAISHIA KUUZA NCHI BADALA YA KUENDELEZA NCHI ZENUI NINI MATOKEO BIAKA 50 MBELE? HISTORIA ITASOMWA KUWA KULIKUWA NA VIONGOZI WA AJABU AJABU. NDIO HIVYO TULIVYO FIKIA
@RichardLyamuya
@RichardLyamuya 6 күн бұрын
Wasira hana la maana anaganga nja tu
@DianaMakutumi
@DianaMakutumi 6 ай бұрын
Watu wengi watokea kusema ukweli
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
Ni bora tulipishwe, kuliko kuendelea na mikataba iliyo na harufu ya rushwa inayotunyonya.
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Hivi kweli Tanzania ni lini tutaishi angalau maisha ya auheni,Au ndio laana ya kuwatumikia watu weupe mpaka Mungu atakaporudi?Je tujiulize ni Rais gani ambaye atakuja kuwa chaguo sahihi la wananchi?MUNGU TUSAIDIE NA UTUEPUSHE NA KIKOMBE HIKI CHA LAANA YA CCM.
@AnisetMushi
@AnisetMushi Жыл бұрын
Je uzao wa kubadili Vifungu vya Katiba ili kuwanufaisha DPW sio ukatili na wizi wa Uchaguzi ulioruhusu Chama kimoja ? Na maamuzi kwa Sasa yànatokanaCCM pekee.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 7 ай бұрын
Wasira kacheze na wajukuu
@ndakimanyakenda1519
@ndakimanyakenda1519 Жыл бұрын
Kwahali hii ikulu mtapasikia tu
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Unamaanisha maccm ndiyo wenyenchi pekee,auhunaakili yakwelewa mambohaya yakubadrishanya utawala????
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 10 ай бұрын
Lissu is a confuser. Ni msaliti mkubwa
@erasmuskwayu5643
@erasmuskwayu5643 5 ай бұрын
Usaliti wake ni upi hebu utaje hapa wewe confused lot
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 7 ай бұрын
Putin na mwendazake km wanaelekeana hivi kushughulikia wapinzani
@babudingi-gd7pz
@babudingi-gd7pz Жыл бұрын
Kweri hiyo chato iyo dàa nime kubari chadema brand kubwa sasa ivi tanzania
@immaculataroeser9094
@immaculataroeser9094 10 ай бұрын
36:31
@helencyprian8745
@helencyprian8745 7 ай бұрын
Lisu ww ni lulu kabisa
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Жыл бұрын
Hakuna kitu nye ni wezi kuliko CCM bora zimwi likujualo hali kuli likakumaliza
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 5 ай бұрын
LISSU NAKUHAKIKISHIA UTAENDA MBINGUNI WACHUNGAJI MAASKOFU MITUME NA MANABII HATA RAIA WENYE DINI NA WASIO NA DINI WATASHANGAA SANA WATAKAPOKUONA UKO MBELE YAO UKIPEWA KITI CHAKO MBINGUNI TENA KITU MAALUM.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@monicamwita7865
@monicamwita7865 4 ай бұрын
Huyu ni mzalendo wa kweli na muwazi.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Жыл бұрын
Wachaçhe Wahuni
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 8 ай бұрын
Hiyo bichwa ni fuvu tu akunaga lilote alilia ubunge na Esta bulaya mpaka akawa kama zombi jitu zima lipuuzi tulipuuze Elimu alina ni kanjanja lingepata urais lingetolewa na jeshi kama lobati mgabe
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd Жыл бұрын
Huyu mzee apumzike tu nyumbani anywe chai
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Mikataba mibovu ndiyo chanzo cha yote hayo
@immaculataroeser9094
@immaculataroeser9094 10 ай бұрын
Lisu hapo nioungo tu.Tuondokee.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
KUWA MZALENDO SI KUPINGA KILA JAMBO NA KUONYESHA KWAMBA HUHITAJI WAGENI KUSHIRIKIANA NAO!! UZALENDO NI KUONYESHA NJIA GANI WATANGANYIKA WANAWEZA KUJIKWAMUA KIUCHUMI NAO WAKAISHI MAISHA MAZURI!! MIAKA 60 TUNAJIGAMBA WAZALENDO!!LAKINI WATANGANYIKA TUMEBAKIA MAISHA MAGUMU.....!!TUBADILIKE!!
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
KWANI LISSU ANAPINGA UWEKEZAJI? ANAPINGA UKIUKWAJI WA SHERIA NA TARATIBU ZA MIKATABA. LISSU ANATOA NA UFUMBUZI: 1. KUPIGANIA KATIBA MPYA. 2. KUWA NA TUME HURU YA UCHAGUZI. 3. KUACHANA, AU, KUUFANYIA MAREKEBISHO MAKUBWA MKATABA WA BANDARI. TUNA VIONGOZI NA WASOMI (e.g. MBARAWA, MKUMBO, KABUDI, MRUMA, etc) WA AJABU SANA NCHI HII. VIJANA BADILIKENI LA SIVYO MTAKUFA KWA TAABU SANA. WATU KAMA AKINA LISSU HUWA NADRA SANA KUTOKEA KTK JAMII.
@jamesmhillu3211
@jamesmhillu3211 Жыл бұрын
Miaka 60 nani alituongoza mpaka tunakiri maisha bado magumu?
@jamesmhillu3211
@jamesmhillu3211 Жыл бұрын
Ilituonekane wazalendo hebu tujaribu hili Jini jipya
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Hili lizee. Kwa kweli ndiyo maana ameandaa Jehanamu kwa ajili ya mazee kama haya. Shame to him!
@immaculataroeser9094
@immaculataroeser9094 10 ай бұрын
Lisu juo ni uongo tu.Kwenda zako.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Wasira wewe sijui kama unaelewa unacho kisema. Wewe uliye kuwa na Nyerere hivi uliweza kumuelewa Mwalimu? Kweli nilisikitika nilipokusikia unaongea kutetetea kuuzwa kwa Bandari zetu . Wewe mzee kama huwezi kutetetea Bandari kweli wewe kituko kabisa na ushindwe kabisa.
@allyhasani3750
@allyhasani3750 Жыл бұрын
Kumbe wwe unapenda burudan ? Mshamba wewe
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 Жыл бұрын
Si kazi ya baba yako anaimba singeri ndo ubuludike uyu anatuto
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
CHATO YAWAPAMBANISHA LISSU NA WASIRA. NANI KAIBUKA KIDEDEA?
21:30
SK Media Online TV
Рет қаралды 47 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
WAZANZIBARI NA WATANGANYIKA: BANDARI IMETUAMSHA TENA
42:16
SK Media Online TV
Рет қаралды 46 М.
TUTAFAKARI  FAIDA ZA "UKWELI WA KISHETANI" WA PAUL MAKONDA BASHITE
26:26
SK Media Online TV
Рет қаралды 17 М.
CHATO NA MIRADI YENYE UTATA
1:00:29
SK Media Online TV
Рет қаралды 43 М.
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
KWA HILI, VIONGOZI WA DINI MSIMSIKILIZE KIKWETE
31:26
SK Media Online TV
Рет қаралды 40 М.
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
SK Media Online TV
Рет қаралды 21 М.
SAMIA, LISSU, NA WASIRA: NANI MKWELI KUHUSU UZANZIBARI?
14:19
SK Media Online TV
Рет қаралды 31 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН