Mimi ni mwanachama hai wa Yanga. Aziz Ki .ameanza nyodo zake kama wenzake waliotangulia kina Feizal, Mayele, na wengine. Nashauri Uongozi hata akija Bure msimchukue, kwani muda wa usajili bado tafuteni mwingine mdogo kwa bei rahisi. Hata aende Simba asitutishie nyau. aende !!zake mpeni kwaheri.
Simba waache uzembe wa kushindana waachane na Azzi waangali uhitaji wa simba mm naona simba kama bii3 zipo wadili na Elia Mpanzu ana uwezo mkubwa kuliko Azzi
@CikeTanzania13 күн бұрын
Wanasimba msidanganywe na wachambuzi hawa Injinia hawez kumwachia Azizi na wala simba hawamhitaji .
@ShukuTete-wb1fp14 күн бұрын
Okeeeeeeeeeeeeeeeeee
@AnnieChikasa13 күн бұрын
Akitaka kuondoka aende salama,,,aliondokaga mayele na ushindi ni uleule na maneno yalikua mengi kama hivi
@BoscoBoniface-v2b12 күн бұрын
Simba wameshafilisika hawawezi kumsajili Aziz wala haoni wachezaji wanamvutia Simba ni utopolo mtupu waliousajili msimu huu kama amuamini ngoja ligi ianze ndipo mtakapoamini kuwa akuna usajili wenye tija uliofanyika Simba msimu huu
@ShukuTete-wb1fp14 күн бұрын
Watani mmeingiliwaaaaaaaaaaa
@humphreyngallawa563013 күн бұрын
hapo sio udhaifu wa chama,chama anakiburi na jeuri,na mpangaji wa matokeo
@begumisachristopher469713 күн бұрын
Subiri mwisho tuone nani ataumbuka
@user-wj1fr5fd7l14 күн бұрын
Nyie ujinga mtauacha lini?
@AbdallahMbunda-x2r14 күн бұрын
Yanga haina tatizo kaondoka mayele na ubingwa upo wakimchukua sawa aende
@sarahgaula222014 күн бұрын
Unajifarii mbona mmemchukua chama😂
@joycemmassi504613 күн бұрын
😂😂😂😂
@mussammanga779112 күн бұрын
@@sarahgaula2220 Lkn hakuleta ubingwa kwenye timu yake huu ni msimu wa tatu. Ameona sehemu ya makombe ni Yanga tu kwa misimu hii 20 ijayo.
@MwalimuAdamu13 күн бұрын
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu mchezaji anaangalia maslai