hivi kweli nawe kikeke unaushabiki wa kupidukia kiasi hicho ? nilikuamini nikiwa na mashaka sanana ulivyokuwa unawahoji shangazi fatma na hata tundu lisu. kwa jinsi hii nimedhibitisha mm kwamba hutaki kwani unaandaa mahojiano kwa mengi wa kishabiki . nilikuwa nakwamini sana lakini sasa kwisha kazi .pole
@makamelila2 ай бұрын
Simba ni kwamba umeshindwa kuamini kila mtu ananafsi yake na Ina Imani na mitazamo yake ikitaka mfanane au afate natakwa yako haiwezekani mwache afate anacho kiamini
@Farida-vg5ry2 ай бұрын
NI kweli na yeye afate anacho amini
@DavidSemu-gu6wp2 ай бұрын
Hivi BBC watakuwa wamekosa habari kiasi cha kutuletea upuuzi wa huyu pimbi.