AMEEN,watumishi wamungu,karibuni na huku kwetu Burundi
@emmanuellikaare166110 ай бұрын
Amin amin nawaambieni nabii Aston Adam mbaya ni mtu wa Mungu amekuja duniani kwa kazi moja tu kwaleta wengi kwa Yesu...naomba kwa unyenyekevu mkuu tuwe baadhi ya wengi wanao pelekwa kwa Yesu mimi nawewe amen 🙏 .
@Celestineshikuku-i4x10 ай бұрын
Nabarikiwa sana nikiwa Saudi Arabia. Mimi ni mkenya. Ninaendelea kukuwa kiroho kupitia promover TV. Nina amani moyoni mwangu sana.
@lucyauma15479 ай бұрын
Hallelujah naomba Mungu amjaaliye mtumishi kanisa la Aston huku Kenya 🇰🇪
@judithbett42010 ай бұрын
Asanteni sana promover tv. Mungu aendelee kuwapa nguvu ya kuendelea kueneza injili. Amen.
@EspoirMlondani-w9c9 ай бұрын
Grory Jesus Christ is good for me and u my friend
@GraceNgwanda10 ай бұрын
Mungu akupe kushinda milele mtu wa mungu.
@rebeccakigen99119 ай бұрын
May God bless you and expand your territory
@nallymwamba133010 ай бұрын
Oooh HALELUYA asante YESU
@yesseanase477910 ай бұрын
Ushuhuda ni Mzuri, mbarikiwe promover.
@MabelKaaya-hl2je10 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah
@EsterShadrack8 ай бұрын
Amen sana,,!
@MariaJuma-q2k10 ай бұрын
Nina mimba nyingi za huduma lakini hazizaliwi,nimekoswa mlezi,,naona huduma rohoni lakini mwilini haizaliwi, Naomba Mungu anipatie mlezi, kama ni Nabii huyu amfunulie juu yangu,amen
@trophywilson721110 ай бұрын
nenda hapo
@emmanuellikaare166110 ай бұрын
Kwangu pia naomba kama wewe na ninahisi kama wewe Mungu wa nabii Aston Adam mbaya atukumbuke sote ndugu yangu amen 🙏
@MabelKaaya-hl2je9 ай бұрын
Nafikiri ana vituo hapa Tanzania, wasiliana na Mchungaji Obedi, yeye yupo Dar
@lovenesswalter66509 ай бұрын
Pia muulize Roho MTAKATIFU atakufunulia kwa clarity zaid
@judithbett42010 ай бұрын
Asante sana Nabii Aston mbaya Mungu akubariki sana uendelee kueneza injili ya yesu kristo.
@jeniphatemu29379 ай бұрын
Yesu Kristo
@jeniphatemu29379 ай бұрын
MBAYA: Majina ya WATU TUANZE kuandika herufi kubwa
@MariaJuma-q2k10 ай бұрын
Karibuni kahama watumishi wa Mungu alie hai,ningekuwa karibu ningehudhuria hiyo ibada,Mungu awafungulie mlango mpana kwa ajili ya injili kahama
@emmanuellikaare166110 ай бұрын
Amina
@vumiliawambula171610 ай бұрын
Amina Amina Sana mtumishi Mungu nimwema
@JohnSekopa10 ай бұрын
Mungu hakubariki
@SelestinaHamis-dw1gs10 ай бұрын
Aminaaa aminaaaaa aminaaaaaaaaa
@dativajoachimwai119410 ай бұрын
kazi nzuri watumishi wa Mungu. Tuna ujuzi wa kuezeka majengo mapana na marefu bila kuweka mguzo katikati. wakati mwingine mtutafute Mungu awabariki
@siahulomi144510 ай бұрын
Ibada hakika imefana sana na tumebarikiwa ,Mungu awabariki kwa huduma hii...
@ZakhariaMazengo9 ай бұрын
Ubarikiwe
@AzAz-sy6zp10 ай бұрын
Amen mungu akubarki san mtumishi
@LilianKelvin-z5f10 ай бұрын
Mungu awalinde mmependa sana
@vumiliawambula171610 ай бұрын
Amina Amina Sana watumishi ubarikiwe kwa ujumbe wa Mungu
@bazurimwemdi906010 ай бұрын
Amen
@failanangeso2610 ай бұрын
Aminaaa
@dayemukalai342710 ай бұрын
Ameeen
@JudithElias-ig5nb10 ай бұрын
Amina mubarikiwe
@SelestinaHamis-dw1gs10 ай бұрын
Karibuni Dodoma jamani
@reachglobal993910 ай бұрын
Arusha sehemu gan Leo nataka kuja
@PromovertvTz10 ай бұрын
Sehemu ni Maretu ukumbi wa Piazza
@annkim269010 ай бұрын
Waaa haki wachawi tumbo inauma tu naunakaa mzito huzaii kumbe umebebeshwaa jiwe
@DeboraMimbi10 ай бұрын
Arusha sehemu gani jamani ili niweze Kuja.
@fridafrancis196010 ай бұрын
Hawataki ata kusema
@PromovertvTz10 ай бұрын
Sehemu ni Maretu ukumbi wa Piazza
@williammwakipesile111110 ай бұрын
Jina la BWANA libarikiwe injili ya kweli ilishapotea watumishi wa BWANA mbarikiwe saaana dunia ya sasa haitaki injili ya kweli bali ni utapeli mtupu. Injili ya kweli isipo hubiriwa tutapataje kupona? barikiweni watumishi mlio mwalika mtumishi Aston
@emmanuellikaare166110 ай бұрын
Amen.
@annkim269010 ай бұрын
Nimejifunza kitu kwa hivyo maombi ya mama ndio yalikutoa katika bar na disco
@goodnews29410 ай бұрын
Huo ukumbi uko Arusha sehemu Gani?
@PromovertvTz10 ай бұрын
Sehemu ni Maretu ukumbi wa Piazza barabarani ya kwenda Moshi.Ni kituo kinachofata baada ya Kambi ya chupa