Bwana akubariki pastor Na pia akutunze wewe Na familia yako
@beatricetemu66383 ай бұрын
Ubarikiwe sana pastor kwa somo zuri sana.
@MwaminiAlly-n4w3 ай бұрын
Asante Mchungaji kwa samo pia namshukuru Mungu kwa kukutana na hili somo maana duh!! Naomba niweke kwenye maombi pastor pia nimejifunza ,kuanzia mashangazi hadi wajukuu hatuolewi ,kuzalia nyumbani, umaskini huo hauishi shule tunamaliza hatuendelei, mapepo ayo yanaanzia kwa watoto wa changa bibi angu alikua mgaga lkn aliye takiwa kurithi alikataa akapata ajali ya pikipiki akafa kwa kweli ni mengi Mchungaji ila sikuwahi kujua kua ni laana za vizazi naomba uniweke kwenye maombi ili nikue ki Imani zaidi tuvunje izo laana
@fatumachagudadui31383 ай бұрын
Pole sana ushuhuda wako
@gladnessarego43343 ай бұрын
Mchungaji niombee mimi na familia yangu tuponywe na Mungu aleji ya kuwashwa koo na masikio
@euniceosoro74333 ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji wetu kwamafundisho mazuri
@Elizabeth-u5k1k3 ай бұрын
Pastor asante kwa kutufundisha kuushu laana sisi kwa kweli tunatamka bila kujua, naomba mungu niwe mwepesi wa kusikia ila mpole wa kutamka in jesus name naomba naamini 🙏
@SamuelKambale-yb4vk3 ай бұрын
Pastor hubiri hii inanijenga saana Mungu muumba wa mbingu na dunia akubariki saana na kupe maisha marefu.
@mussacharles53113 ай бұрын
Paster mmbaga kwa somo hili umenigusa sana, naamini kwenye maisha yangu limeanza kufanya mabadiliko amina.
@joshuamusyoki52733 ай бұрын
Asante Pastor kwa mafunzo na mahubiri mazuri, so encouraging, May God continue empowering you with more knowledge to continue delivering His people❤
@dativadominic70933 ай бұрын
Asante Mchungaj naomba uniombee napitia hali hii
@laridistrict47103 ай бұрын
please make it downloadable without paying premiums ..ni somo nzuri sana la kusaidia wengine
@AlyMusirima3 ай бұрын
Asante kutujenga kiroho mungu akulinde
@AshaMazuri-m4g3 ай бұрын
Amina nimebarikiwa sana namshukul MUNGU kwakukufunilia haya naomba azidikukutumia sikuzote amina
@NamelessValiant3 ай бұрын
Amakweli neno la Mungu ni jipya kila siku nimerudia somo bila kujua na nikaona ni jipya
@Trizah-254-e3 ай бұрын
AMINA kwa JINA LA YESU.
@fatumachagudadui31383 ай бұрын
Somo hili limenipa nguvu zaidi hakika huu usemi wako lazima niutumie nategemea kupata wateja wengi zaidi ahsante Mungu kwa kumtumia mtumishi wako anifungue Ahsante Mungu
@khadijajulius26113 ай бұрын
ameena Mchungaji Mungu akubarik kwa somo
@DannyMpole3 ай бұрын
Nmebarikiwa sana amen 🙏
@virginiav45953 ай бұрын
Asante.pastor.kwa.somo.nzuri
@MariamBusele3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji MUNGU azidi kukutia nguvu
@VictorWamala3 ай бұрын
Amen
@EzekielCharles-e8t3 ай бұрын
Mungu atukuzwe kwasomo,nimeamin bwan anawatu wake
@janethnyamwenda87303 ай бұрын
Barikiwa pastor
@AtuMgoba3 ай бұрын
Amina barikiwa mtumishi wa mfalme kwa neno la uzima,Bwana azidi kukutumia ahsante.
@sarahemukule3 ай бұрын
Pastor MUNGU akupariki, pastor nimepona nilikwa na umwa na goti,niliposkiya ukisema tulifanyiye Kazi hakika nilimwambuya BABA kwani ninaumwa kwani na ww pia unaumwa nikaskiya maumivu yakitoweka,hakika nimepona,MUNGU ni mwema
@MariamBusele3 ай бұрын
Amina
@lucynyigana28013 ай бұрын
AMEE!!
@ellycondanptyltd34373 ай бұрын
Powerful lesson! I want to download this but I can't, it has no "download" option.
@kwandundaki85683 ай бұрын
Eti za kihangaiko😂😂😂😂kwa kweli hata mimi sitaki mihangaiko
@sarahnyithambe67263 ай бұрын
Naomba kuuliza Pastor, Kwa nini nikipata shida lazima ndugu yangu naye apate shida? Mfano Mwaka 2004 niling'atwa na mbwaa vibaya week iliyofuata Dada yangu akachomwa na pembe la mbuzi mpaka ikapelekea kushonwa, ya pili nilitaka kufa baada ya presha cooker kulipuka na week mbili iliyofuata Dada yangu yuleyule yeye akachomwa na huo moshi wa presha cooker uso mzimaaaa, sasa kuna hiki kilichotokea nilifanyiwa upasuaji na mwaka huohuo Mdogo wangu akafanyiwa upasuaji kama wa kwangu na yuleyule Dada yangu akaungua uso kwa maji ya moto, naomba kujua.
@likatiabunuas27013 ай бұрын
Barikiwa sana
@alicemwaka37623 ай бұрын
E.meeeen
@pollenjile12993 ай бұрын
BWANA aturehemu
@SuzanChacha-v3t3 ай бұрын
Barikiwa sana paster mm na ukoo wangu kupitia somo hili tumepona