#LIVE

  Рет қаралды 27,420

Star TV Habari

Star TV Habari

Күн бұрын

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !

Пікірлер: 82
@majidukalokola7253
@majidukalokola7253 9 ай бұрын
Mimi nikisikia wapinzani hasa Chadema wako hapo studio, huwa naachaga mambo yangu yote na kusikiliza mjadala mwanzo mwisho
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 9 ай бұрын
Kweli,lakini tunapoteza muda kuwasikiliza Hawa watu na ccm lao Ni moja
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979 9 ай бұрын
HECHE salute sn kiongoz
@TrustElbashil
@TrustElbashil 9 ай бұрын
hongera sana Star ⭐ kwa kuwaalika watu kama Hawa ndio tunataka hats chombo cheni kitakuwa na wasikilizaji wengi ila kama mtawaalika wajinga kwamfano TU kama skins wasira,nape,nawengine chombo cheni kitakosa watazamaji
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 9 ай бұрын
National future Defense minister JOHN CHADEMA 2025, our blessed with you in our party CHADEMA...
@MohamedKitenge-o9j
@MohamedKitenge-o9j 9 ай бұрын
Hongera star tv
@mussamagunguli6937
@mussamagunguli6937 9 ай бұрын
Chadema INA watu smart sana hawa ndio vjongozi siyo takataka za ccm
@alinanusweedward2952
@alinanusweedward2952 9 ай бұрын
Kwanza hongereni sana 🌟 TV Kwa kuwa sehemu pekee ya Wananchi kupata mambo ambayo viongozi wengi hawayapendi na ndio mfumo inatumika kuwakandamiza wananchi
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 9 ай бұрын
Taifa linaitaji watu makn kama hawa ❤❤❤❤❤❤
@lugembesimon7035
@lugembesimon7035 9 ай бұрын
Kwakweli Kama nchi hii tungekuwa ndg Heche tusinge chezewa ,Mungu awatie nguvu sana
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im 9 ай бұрын
Heche uko vizur sanaa
@edwindezidery632
@edwindezidery632 9 ай бұрын
Very nice jonh heche
@fulgencerugaimukamu-vn3wp
@fulgencerugaimukamu-vn3wp 9 ай бұрын
Heche umebarikiwa sana
@RobertNdaskoy
@RobertNdaskoy 8 ай бұрын
Mungu wabarick sana awa watu chadema ina viongozi
@ManaseJubilate-kk2gz
@ManaseJubilate-kk2gz 9 ай бұрын
Smart brain, Watawala wangesikiliza vichwa km hv tungekuwa mbali kimaendeleo,tatizo sasa watawala wetu ni mimi kwanza na cyo wao kwanza🥺🥺
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 9 ай бұрын
Vivacommander Viva MH heche mwenyezimungu akujariemaishamema namarefuzaidi kwasabbu unaroho yamungu mupiganiahaki
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 9 ай бұрын
Jamani hebu tupambane hawa ccm wanatuona kama wanatufuga hebu tuamke jamani
@bukurutv4035
@bukurutv4035 9 ай бұрын
KWA KATIBA TULIYO NAYO TANZANIA NAHISI WATANZANIA BADO TUKO KWENYE ZAMA ZA UJINGA
@mangenyanyondo8691
@mangenyanyondo8691 9 ай бұрын
Natamani kuwa kama heche kwenye kuelezea jambo yupo vizuri❤
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 9 ай бұрын
Mungu akujalie
@sethnyenzitv6617
@sethnyenzitv6617 9 ай бұрын
Mimi nashauri Chadema mshiriki uchaguzi,halaafu mtangaze vita na wakurugenzi watakaoenda kinyume na Sheria,
@illomowerner7690
@illomowerner7690 9 ай бұрын
Wazo zuri sana
@omaryidd4373
@omaryidd4373 9 ай бұрын
Heche mungu akulindie unaongea vitu vinaingia kichwa. Sn
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 9 ай бұрын
Ameen
@TrustElbashil
@TrustElbashil 9 ай бұрын
tanzanian nikichwa Cha wendawazimu Haina raia nandio maana ccm wamejitawala
@emmanuelademba7919
@emmanuelademba7919 9 ай бұрын
Watanzania wengi wanafwatilia simba na yanga tu,mambo ya nchi hawana habari nayo.
@damasiuspetro5178
@damasiuspetro5178 9 ай бұрын
Star TV ACHENI EDITING WEKA KILA ALICHOSEMA
@MasterJonass
@MasterJonass 9 ай бұрын
Hawaccm wanafanyatuanzekuwa na roho ya visasi, nanisemetu kwamba kuwaficha familyya zao mbali na nchi hakuwezikuzuwia machozi ya WATANGANYIKA wengi DAM ZA WATANGANYIKA ZITAWATAFUNA
@mzeebabumzee
@mzeebabumzee 9 ай бұрын
naipenda sana chadema rakini uku kwetu pwani rufiji akipo kabisa nawa penda sana viongozi wote wa chdema na wana chama wao mungu awape nguvu
@boscomfundo7953
@boscomfundo7953 9 ай бұрын
This is a leader
@Joseph-l9r2l
@Joseph-l9r2l 9 ай бұрын
Heche excellent
@BundalaIlagila
@BundalaIlagila 9 ай бұрын
Mbona kipindi kina editing za hovyo hovyo nyingi za kukatakata mazungumzo yanayoendelea na kurukaruka yaani mtiririko wa mazungumzo sehemu nyingine yanakwama kooni huu nao ni uwoga wa ajabu na uwongo mwingi kwa wasikilizaji wajanja, Nyanda acha editing za hivyo simamia mtiririko sahihi wa kipindi chako kwenye ukweli acha uwoga na tetemeko juu ya hofu ya mamlaka!!
@jesselingzzy6537
@jesselingzzy6537 9 ай бұрын
Smart man
@yohanalukwaro5322
@yohanalukwaro5322 9 ай бұрын
Fact broo
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 9 ай бұрын
Safi sana
@leonardmartine662
@leonardmartine662 3 ай бұрын
🎉🎉🎉
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 9 ай бұрын
Akili kubwa!
@exseviangaeje1158
@exseviangaeje1158 9 ай бұрын
Yqni Tz bqdo tunasafari ndefu sana kwa sharia hizi atuwezi upata viongozi bora kbs jamani sijui tufanye nini ili upatikane ukombozi!!! Inatia uchungu sana
@AYUBUKASONYA
@AYUBUKASONYA 8 ай бұрын
@MalkGunewe
@MalkGunewe 9 ай бұрын
John Heche huyo mwamba ni hazina kwachama na Taifa
@jumayussuf6786
@jumayussuf6786 9 ай бұрын
Good leader heche chadema bog up
@TrustElbashil
@TrustElbashil 9 ай бұрын
Nyanda mwache heche afunguke mbona unamkatisha
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 9 ай бұрын
Mimi sioni tatizo la kusema fedha za Samia , hii ni kauli tu lakini wananchi wote tunatambua kuwa hizo fedha ni fedha zetu zinazo tokana na kodi zetu tunalipa. Ni sawa na hawa chadema walivyokuwa wanasema Mbowe tuvushe ...kwann hawakuwa wakisema CHADEMA tuvushe??? very poor argument .
@ChristerShao
@ChristerShao 9 ай бұрын
Naipenda nchi yangu na watu wake.Lakini hili la kupotea watanzania wenzetu ni amani kuyumba.Mungu tusaidie nasi tusaidike.
@benardkinde8496
@benardkinde8496 8 ай бұрын
Ni kweli kabisa heche uwezekano wakuajili upo mbona wabunge hewa 19 wanalipwa posho na mishahala bule kabisa ccm wanazalau sana watanzania na kumbuka hata elimu bule walisema haiwezekani mpaka walipo lazimishwa na chadema ndo wakakubali
@ChristerShao
@ChristerShao 9 ай бұрын
Hapo sawa uchaguzi wa mizengwe nikuhatarisha amani haki kwanza.
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm 8 ай бұрын
Kwaio huu muda unatosha kwer kutengeneza katiba na itumike kwenye uchaguz kwer jaman?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 9 ай бұрын
Kwa kifupi ccm wana uroho wa madaraka Ndomana hawataki ije katiba mpya yenye usawa
@AlexMakala-s7k
@AlexMakala-s7k 9 ай бұрын
Na kk Bali sana heche
@FrancisLucas-p3e
@FrancisLucas-p3e 9 ай бұрын
Nimekuelewa
@Yussuph-r2c
@Yussuph-r2c 9 ай бұрын
Madini ya uhakika Kama haya ndio tunayoyataka, ,sio kila mara kusifu tu na uchawa ,,hongera star TV ,,nanyie AKINA TBC IGENI MFANO HUU KAMA MTAENDELEA NA UCHAWA WENU MUTAENDELEA.KUANGALIWA NA WATU WASIOJIFAHAMU, ,,KWANI NYIE TBC MUNAKUWA MUNAANGALIWA NA WANANCHI.??. SI BASI TUU
@jumayussuf6786
@jumayussuf6786 9 ай бұрын
Ccm uyo jonalist
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 7 ай бұрын
Ndo aina ya waandishi tulip nao Hawajui kitu Unamhoji mtu ambaye anakuzidi akili bila kufanya utafiti utafeli tu Acha mtu aseme
@AYUBUKASONYA
@AYUBUKASONYA 8 ай бұрын
Ndugu mtangazaj elewa maelezo
@PantaleoEdward
@PantaleoEdward 9 ай бұрын
Mawazo mazuri kama haya yapandikizwe ktk fikra za vijana ili kujenga uzalendo kwa taifa
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 9 ай бұрын
Maccm niwatu wakatili kwahiyo sisiraia wanchihii tuwewakatili zaidi ilituonekiburi chao wametuzinguwa sana upanga kwaupanga kwahizichaguzi zinazokuja
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 9 ай бұрын
ccm hawezi kutowa katiba mpya hawatapata kura kabisa
@jumayussuf6786
@jumayussuf6786 9 ай бұрын
Muandishi hafai kabisa chawa la ccm
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 9 ай бұрын
Nisiku gani Serekali inapo pitishwa mswada wapinzani wakaukubali kwa 100%? Fanyeni kazi wacheni kulalamika hii nchi inaongozwa na Katiba... Nasio fikra za vikundi vichache....
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 9 ай бұрын
Hatamimi sipendi msemo ccm kirakitu biramama ivikodi zetu malizetu Ni zamama au zakwanguu? Watengue kauli Tena saaana
@richardnganya2311
@richardnganya2311 9 ай бұрын
STAR TV MNAEDIT ILI IWEJE ? WOGA WA NINI ? AONGEE MWINGINE NINYI MKATE AU MPUNGUZE KILICHOSEMWA !!
@mwllzrmihayo
@mwllzrmihayo 9 ай бұрын
Mwandishi anachokonoa vitu, ili afunguliwe visemwe
@1961nungwi
@1961nungwi 9 ай бұрын
Ha, ina maana Heche anasema tubadilishe katiba siku za mbele kuondoa nafssi za Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya?
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 9 ай бұрын
Mtani bwana!😂😂
@jumayussuf6786
@jumayussuf6786 9 ай бұрын
Wewe muandishi funga domo la ko la ccm
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 9 ай бұрын
Una ushahidi juu ya unayo yasema..au unasema tu kwa ushabiki wa kisiasa
@bunzarimarco9811
@bunzarimarco9811 9 ай бұрын
Tunaitaji watu kamahawa
@InnocentJohn-l5y
@InnocentJohn-l5y 9 ай бұрын
Shida ndo hiyo uelewa wawa tz nimdogo sana kauli yakuwa mkubwa kwahuluma yake kawaletea pesa yamadalasa ma 4 wa tz wanashangilia nakupiga vigelegele yaani hiyo kauli imekuwa ikitumika sana kwamakada wachama fulani kiukweli wa tz tunauzembe wakufikili sana kodi yako wewe kwenye maendeleo unaonekana umehulumiwa wakati huo niwajibu tunalaana sio bule
@jumayussuf6786
@jumayussuf6786 9 ай бұрын
Nenda muandishi bure wewe ukasome
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 9 ай бұрын
Wacha ujinga tuko 65milion siyo 61
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 9 ай бұрын
JAMAA KILA KITU ANAFANANISHA NA KNYA, YES UNA POINTS LAKINI HUKO KNYA HAKUNA AMANI KILA MARA NI WATU WENYE VURUGU. SO PLEASE NCHI YETU YA AMANI USITOLEE MIFANO NCHI YETU NA SEHEMU ZISIZO AMANI, AMANI NDIYO KILA KITU🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jesaminzo
@jesaminzo 9 ай бұрын
Wewe umefanikiwa kwenda kwenye nchi gani zisizo na amani? Haya, mimi nimeishi Burundi, Drc na Sudan kushughulikia political instabilities zao, unajua ni kwa nini walifika hapo? Au amani unayoongelea we ni ipi? Wacha nikwambie hiyo unayoiona wewe ni "negative peace" ambayo ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi. Take note kwa hayo anayosema John Heche, usipofushwe na uchawa!
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 9 ай бұрын
Tafadhali tufafanukie maana ya amani!
@jesaminzo
@jesaminzo 9 ай бұрын
@@sylvestercameo6263 Sijakupata!
@jesaminzo
@jesaminzo 9 ай бұрын
@@sylvestercameo6263 nilikuwa sijakupata hiyo ya "tufafanukie", bila shaka ulikuwa na maana ya "tufafanulie'. Anyway, kama huna aleji ya usomaji makala, hebu nenda kasome makala ya jamaa anaitwa Johan Galtung, hapo utapata maana ya amani hasi na amani chanya!
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 9 ай бұрын
Amani nautulivu bila haki niburekabisa kwahiyo Kenya nchi yenye uchumi zaidi yakomtz,,wakenya wameiva wala usifikili nifujo
@jumayussuf6786
@jumayussuf6786 9 ай бұрын
Nyamaza wewe faken guy
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 9 ай бұрын
Safi sana
@PantaleoEdward
@PantaleoEdward 9 ай бұрын
Heche mimekuelewa sana
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 58 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
MEDANI ZA SIASA NA MCH.PETER MSIGWA
1:07:42
Star TV Habari
Рет қаралды 15 М.
#THEBIGAJENDA:NONDO ZA JOHN PAMBALU MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA
54:52
Star TV Habari
Рет қаралды 10 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН